Hongera Mkiti kwa majibu mazuri kwa kila swali uliloulizwa. Tunaamini kwa kauli yetu ya Katiba kwanza na marekebisho ya sheria za uchaguzi. No reform no election.
hawa watangazaji njaa,hawana professionalism ilo jamaa liliovaa kanzu nimesoma nalo shule moja ya msingi mbeya nililiacha nyuma madarasa kadhaa Si wamuige sammy awamy wa BBC.
Ndio mara ya kwanza kukutana na hii channel ila sijapenda uulizaji wenu wa maswali. Mnamkatisha sana akiwa anajibu swali ili muulize maswali mengi zaidi remember is not about the quantity but the quality. Mjirekebishe kwa hilo...it is really annoying...
Chama hakikuwa na fedha, watu wa Mungu walijitowa ili kufanikisha mkutano. Lakini wewe Lissu pia ulikuwa sehemu ya waratibu wa hizo nauli, hivi basi unamlaumu nani. Mapungufu mliyokuwanayo tatua kwa vitendo si maneno
Mtangazaji jifunze kutulia unamkatisha katisha sana mwenyekiti mwache mwenyekiti atoe maelezo ya kutosha. Wewe Kila saa asante sana asante sana ya nini
Dishi limeyumba jmn huyu mtu chadema meua chama chenu kwa mikono yenu wenyewe kwanza anapenda media na lugha chafu chafu kwa Viongozi utandamana na watoto wako watanzania huwezi kutuona
Mhe Lissu, wananchi wanangojea tu neno lako kuhusu uchaguzi. Hongera sana kwa msimamo mara.
Ila Tundulisu kichwa sana mungu akupe afya njema mwenyekiti wetu Lisu
Point point🔥🔥
Chadema kitakua chama bora sana kwa utaratibu na mtazamo huu
Jamaa namuelewa sana
Man of the match currently...
Hongera sana Tundu Lisu.
Lissu ni next level Mungu akutunze sana
Lissu number 1 on trending Tanzania
Hongera Mkiti kwa majibu mazuri kwa kila swali uliloulizwa. Tunaamini kwa kauli yetu ya Katiba kwanza na marekebisho ya sheria za uchaguzi. No reform no election.
Iliyopo unaijuwa?
Angekuwa haijui asingeiandika, tulia@@asinahussein2176
BRAVO KOMREDI LISSU.
This fellow-journalist needs to relax and let TAL speak. In journalism, sometimes you relax and let the newsmaker roast himself.
Anaingilia sana anakera
Africa Lion 🦁
Nani aliyemfuata gerezani kumpa habari njema😂😂😂
Nakukubari sana ira punguza maneno mengi watanzania utatukomboa kama Rais wa yure kijana arie Jenga ichi yake Kwa Mari za nchi yake taer
Maneno yake ndio tunayataka, hauwataki usimfuatilie kokroch wewe
Huyu jamaa ni hatari sana 😂
Lisu juuu
Covid 19 hata wakirudishwa wanatakiwa wakae benchi mhula mzima na tuwaone wakipambania chama kwa vitendo.
Wale ni wasaliti wasirudi kabisa
Uyo mtangazaji Kila muda anamkatisha lissu kuongea mara Asante sana yanii aise mwache aongee utengeneze maswali zaid
Na wewe umeliona hilo. Wanatakiwa kubadilika...kwa sababu nilikuwa nataka kusikilizaLissu anaongea nini . ngekuwa sio yeye nisingemaliza kusikiliza.
hawa watangazaji njaa,hawana professionalism
ilo jamaa liliovaa kanzu nimesoma nalo shule moja ya msingi mbeya nililiacha nyuma madarasa kadhaa
Si wamuige sammy awamy wa BBC.
Lissu utabakia tu kuwa kiongozi imara na mwerevu, utaendelea kuwa role model wa wengi,nikiwemo
Hongera sana mwenyekiti wetu mpya
Mbona basi hamkumuondoa John Mnyika idealism na Realism ni mbingu na anga tuwape muda
CCM wanajua sana kua chadema wanaitaji tume huru na katiba mazungumzo kupoteza muda
Huitaji nguvu nyingi kumuelea Lissu
Ndio mara ya kwanza kukutana na hii channel ila sijapenda uulizaji wenu wa maswali. Mnamkatisha sana akiwa anajibu swali ili muulize maswali mengi zaidi remember is not about the quantity but the quality. Mjirekebishe kwa hilo...it is really annoying...
Ktk upande wawaandishi wa habari hapa hamna kitu kabisa.
Chama hakikuwa na fedha, watu wa Mungu walijitowa ili kufanikisha mkutano. Lakini wewe Lissu pia ulikuwa sehemu ya waratibu wa hizo nauli, hivi basi unamlaumu nani.
Mapungufu mliyokuwanayo tatua kwa vitendo si maneno
LISSU UKO SAHIHI WATANZANIA TUMEKUWA WAJINGA SANA! ETI WAKURUGENZI WANASIMAMIA UCHAGUZI HAPO HAKUNA HAKI
Mtangazaji jifunze kutulia unamkatisha katisha sana mwenyekiti mwache mwenyekiti atoe maelezo ya kutosha. Wewe Kila saa asante sana asante sana ya nini
Hongera Mh mwenye kiti Kura zote za ubunge 2025 chadema
LISU we ni mashine KUBWA
❤
Huyu tundu ni muongo sana muda utamuunbua
Pumbav ww uongo upi ?
Kapimwe ubongo
Wewe ndiye unatakiwa kupimwa akili.@@richardnganya2311
@@Massy-g9cYan nimejikuta nachek et uogo 😅😅
Uso unaonesha rushwa kwa wajumbe.
Lisu hongela
Halima mdee wachaneni na hiyu jamaa mtata jiungeni na ACT mkapiganieni
Kweli ubaya ubwela
Kichwa cha Tundu lissu 1 ni Sawa na wakuu wa CCM 700 , wengi vilaza wamepitishwa tu serekalini, Majambazi ndani y Suit. Vibaka 😂😂
Yeye mwenyewe kashakula advance ya wajeda .
Ubaya Ubwelaa.. Mbombo Ngafuu..😂😂😂
NI UKWELI NA USAHIHI WA MAMBO YOTE KATIBA MPYA NA TUMEHURU YA UCHAGUZI SAWA KABISA MKUU
Sheria bila uchumi ni ukichaa
Mgombea uraisi simama wewe mwenyewe una tosha na Mungu wa mbinguni akushindie
😂❤
Je ukimrumia na kumbe kinachomleta nihela huoni kama mnaweza kupoteza wajumbe
Mlio karibu na Lissu mshaurini aepuke media zitamwaribia maana humohumo kuna mamluki wa maadui.
Amekuwa mwenyekiti ni lazima aongee kwa vyombo vya habari
Kiaje ?
Chama kifua mikononi mwako kawa Hali hii
Nina shida nao sana!!!😂
Msimamo imara
Sisi wafuasi wa mbowe lazima tukate rufaa,maanake huyu lisu daah,,chuma zitakaza sana
Mh lisu point tupu
Kwani hiyo cash ilikuwepo?? Mbona naskia mlitembeza bakuli??
Nchi yenyewe inatembeza bakuli seuze ....
Kile nilichokifikiria ndio kinaenda kutokea ila wacha tuone
Hakika
Hik chuma kweli
Hao wabunge 19 wasikubaliwe kabisa
Mweshimiwa Lisu mchakato wa katiba mpya ya chadema itahanza lini?
Ndugu mtangazaji, umetumwa?
Tunaanza hapa tutauzuia
Mh. Acha kufukua makaburi Anza yako tuko nyuma yako
Mi naisi awawezi kurudia watahamia kwenye chama kingine
Jamaa anaongea kama JPM
Mpambeni sana humu ukweli hamna kiongozi humu
Mbogamboga hamjapenda eti
Ni sawa maana kiongoz wako ni wasira
@@ProsperReuben-fg6uhhuyu tindu lisu Hana tofauti na walioko milembe maana anasema atakataa uchaguzi kufanyika Yeye kama nani
Mtangazaj unaogopa nini sasa unauliza maswal.mtu anajibu unakatisha.sasa unataka wewee majibu au wananchi.
Atatupotezea muda tu
Chawa wa mbogamboga ndio anakupotezea muda
Muda labda wa kuiba uchaguz
Uongo mtupu hata wewe umehonga tu
Muongo mkubwa eti hupendi rushwa wakati wewe ndio mpigaji no moja
Alipiga kwenye nini?
Chadema ndo inajifia hivyoo 2025 hawapati jimbo hata moja
Endelea kuota
Amka utajikojolea
Umemsikiliza lakini? Hawatapata hata jimbo moja kwa sababu kutakuwa hakuna uchaguzi. Ro reform no election. I like that a lot.
Dishi limeyumba jmn huyu mtu chadema meua chama chenu kwa mikono yenu wenyewe kwanza anapenda media na lugha chafu chafu kwa Viongozi utandamana na watoto wako watanzania huwezi kutuona
Kwani umewahi kwenda hata mara Moja mbwa wewe
@@lufingomwakisambwe-ow4ycmbwa sisi tulisha acha baada ya kuona hakuna tija zaidi ya kushabikia ajira za wajinga zaidi yetu...
Nchi inauzwa na watu wa ccm, wewe ogopa kwenda barabarani
Nitaandamana mwanzo mpaka usultani uondoke
Mhe Lissu, wananchi wanangojea tu neno lako kuhusu uchaguzi. Hongera sana kwa msimamo mara.
Sio wananchi, isipokuwa wenye akili kama zake na tabia zake...
Sahihi tunasubiri kauli ya mwenye kiti
Mbona mnaweweseka? Tulien tuli Mambo ndo kwanza yanaanza😂@@ismailhaji-b4s