Maggie Muliri - Muachie (Official Gospel Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2019
- Muachie Mungu Ni Wimbo Ulioimbwa Na Maggie Muliri Ukieleza Kumwachia Mungu Nafasi Katika Maisha Yetu Pamoja Na Magumu Tunayoyapitia Kwa Sababu Ni Yeye Peke Yake Anaweza Kukuvusha Na Kukuokoa Na Majaribu Pamoja Na Mateso Unayoyapitia.Usishau Kusubscribe Account Yangu Hii.#MaggieMuliri#Muachie#GospelSong.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital - เพลง
Usipigane mwenyew mwachie mungu kazi👐
Amen Amen and Amen 🙏 mwachie Mungu kazi hallelujah 🙌
Nakukubali dada mafuta iongezeke
Mungu nikumbuke tu...,. nothing is working out.... everything going south😭😭😭
Kweli mengine sitayaweza mwenyewe
Da.!kazi yako nzuriii Maggie na Bahati hakuna mpinzani.Nawakubali
Mungu Habatiliki
Ubarikiwe dada angu nyimbo ni mzuri sana
Amen
Mam mungu akuinue kiwango kingine
Nimeachia Mungu mimi.
Wimbo mzuri saana ,nikweli Yesu anatuwazia mema kwani yy sio kama mwadam
Muwachiye Mungu kazi
Mungu nimekupigia matatizo haya yote ninayopitia siwezi Mungu baba
Ubarikiwe sana mama
Ongera sana mom
Kazi nzuri sana
Mungu akuinue zaidi
Songa mbele katika Bwana wetu Yesu Kristo
Yesu ananiwazia mema kabisa
Nice song so powerful
🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
Amen mungu akubariki Sana dada
Hii wimbo nikama ni mimi niikuwa nahubiriwa
Nakupenda bure mamy
Uko sawa..Endeleza kazi ya Mungu Watu wajue Njia ya Mungu
🔥Nimemwachia🔥🙌
nice song mama hakika mungu mueza
Cmart song
Mungu anatenda kila wakati
Amen..Barikiwa my sister
Mungu awa bariki
Hu u wimbo hunibariki sana
💪💪💪shujaa wa mungu unanipa moyo sana barikiwa sana mama
Yes mom some time we need to do what we can do and leave the rest to him Amen 🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ama hakika pekeetu hatuwezi. Ubarikiwe sana.
Nimebarikiwa na wimbo huu
Amina songs mbele
I love ur songs and as well as ur self ♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏
Naachiya mungu kazi
🙏🙏MUNGU akujidishiye dada kweli tuachiye MUNGU kazi kabisa
Amina barikiwa
Ameeen mtumishi huu wimbo umenigusa sana ila kupitia huu wimbo acha nimwachie mungu nafasi atende kazi yake
B blessed my mom❤️❤️
Je laisse tout à mon Dieu, et il agira puissamment
Muachie Mungu nafasi atende kazi
nabarikiwa na wimbo huu. ameen
Dada jambo
Yesu Kristo ni WA Milel e
Amen namuachia MUNGU kazi
Muliri.... Siku hizi you don't fast. Unakulakula sana. Weweee
Jamani ahhahaha
Amen
Hakika yapo mengi sana yanayotusibu lazima tumwachie Mungu kazi . Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Asante nime wachia Mungu kazi Amina ubari kiwa dada
Mwajie Mungu Kazi🤗🤗🤗 what a blessing song.💃 Mwajie Mungu kazii
Ameen
Powerful
Dear Lord from today I surrender!
Mwachie mumgu kazi ubalikiwe mutumishi
Mubarikiwe sanaaaaaaaa
B blessed mama nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu azidi kukuinua sana🙏
I like your dancers, they dance with rhythm.They are well arranged, they are well coordinated, beautiful outfit, shooting is well presented with scenery.
Waooooooooo namwachia Mungu kazi
Waimbaji hao bado wanavaa mawigi na marasta yupi wa danguro na Yupi anayemsifu Mungu;
Trophaina Magogwa ulitaka wavahe pads kwa kichwa ama guniya 🤷🏿♀️
Ulitaka avaee nn
Mbona maswali zisio na msingi? Watumikia Mungu nasi tumshangilie mungu sio udaku kwa huduma ya mungu
@Gloria Kiwele looooh are u sure?
Stupid
AMEN
Namwachia Mungu kazi🙏🙏🙏
Amen
Do your part and leave the rest to God. Powerful song Maggie
Mungu awabariki sana watumishi wake azidi kuwainua zaidi
Superb nice song.
Na muachie yezu kazie
A very powerful voice with a deep message. I see you gathering more fans with time. I first saw your collaboration with Bahati Bukuku (Utafika). Your voice sure reminds me of the late Angela Chibalonza. May the good Lord continue to bless the path ahead of you.
Are they sister's ?🤔
Amen thanks
Woow❤Nitafika song ft Bahati Bukuku is my best ever❤Everyday in the morning when I wake up I listen to it and it inspires me❤
ma soeur que va de l'avant tu defend bien ma ville NYOTA YETU MWANA BONKA
God bless you for this song.
I have become your fan..Your songs bless me.
Amen amen
Njema saana saana
Wooow!!!! kam unaon uyu mama mwimbaji anafanan na Jay Dee, nipe like zang plz😍😍😍😍😍
Wow nimekuachia mungu
Love u mummie
Powerful 🙏🙏🙏🙏🙏
Don't look on the past, I leave everything to God
Amen Mungu nimekuachia yote kwako roho yangu itawale
Ameeni majibu ya Mungu ni matamu sana ukimuachia atende kazi yake kwaza utakuta unapata raha ya moyo usilipe kisasi mwachie Mungu afanye kazi
Amen 🙌
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 soit puissamment béni ma sœur ❣️🇨🇦
Namuachia mungu kazi ongera sana mumy ujumbe mzuri
Amen powerful massage maggie am blessed with this song....Muachie mungu nafasi katika maisha yako
Amen
Mwachiye atende kazi yake
Coz he is an omnipotent God,
AMEN!!!
Maisha nimemwachia mungu akamilishe
Wimbo mzuri na unatia moyo
achia Mungu kazi kabisa mengine hatuyawezi
yes bby
Quality..
Amen nimebarikiwa
Dada Ile Wimbo yako imenibariki kila Mara ata Kama Niko Na ma shida Mungu akubariki
nice
POWERFUL voice,,,Nakubali kumwachia Mungu kazi,, God bless you and favour you more
Thank u
who's here 2020 getting blessed by these amazing song
Amen.
Amina Hallelujah
Halleluyah !Mwachie Mungu afanye kazi yake...such an inspiration, God bless you mum!
Amen amen merci.
Ameeen
Unanibaliki sana dada
Amen amen mungu azidi kukubariki sana 😍😍😍😍😍😍
Am blessed mum with ua song
Nice song
Mwachie Mungu kaxi....nakuachia yote eeeh Mungu wangu...wat a song