🔴 LIVE: 11/05/2024 | USIKOSE BARAKA YA MGENI HUYU | PR.DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @HyrineBochere
    @HyrineBochere 5 หลายเดือนก่อน +8

    Ni Hyline kutoka Kenya mungu amenitoa Kwa stress kupitia mtumishi barikiwa Sana na familia yako David.

  • @OrnellaAsifiwefataki
    @OrnellaAsifiwefataki 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo muchungaji kumbe mwaka huu ume ahirisha Ku ende inje ya inchi tulikuwa nakusubiri kwa hamu Congo tuna barikiwa sana na mahubiri Mungu azidi kukuzidishia hekima na maarifa

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 5 หลายเดือนก่อน +4

    Amen, Asante Sana nabarikiwa na Mahubiri TV❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @VeronicaNyambu
    @VeronicaNyambu 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda mafundisho yako mtumishi nabarikiwa nikiwa 🇰🇪

  • @jannykomu5345
    @jannykomu5345 5 หลายเดือนก่อน +2

    Pastor Mmbaga lini unakuja Bukoba? Mungu akubaliki kwa mahubiri Yako mazuri tangu nimeanza kukusikiliza nimebarikiwa sana

  • @DorcasNgumbi-k6n
    @DorcasNgumbi-k6n 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu uhishi milele kwamaana nimebarikiwa n'a ninaamini kabisa Yesu amanitosha katika haliya kuzarauliwa kwakikakitu👏👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @castykangai4609
    @castykangai4609 5 หลายเดือนก่อน

    Amen. Mungu akuongese nguvu

  • @Vincentsamorasudi
    @Vincentsamorasudi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naiweivyo, Mungu wetu atukuzwe milele Mchungaji ni kweli uchoyo austahili kwa wana wa Mungu.

  • @ghvb9421
    @ghvb9421 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu tenda yaliyoyako kwetu kwautukufu wako amen

  • @scolastikapeter5892
    @scolastikapeter5892 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa na mahubiri mchungaji, Mungu akupe zaidi maarifa haya ili yatufae

    • @ngiksfood
      @ngiksfood 5 หลายเดือนก่อน

      Ameen

  • @freddyvyambwere7404
    @freddyvyambwere7404 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen... Amen🙏🏼🙏🏼. Asante sana Mchungaji kwa mahubiri haya, nimesha barikiwa kiroho pia kimwili. Mungu akubariki sana.

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 5 หลายเดือนก่อน +10

    Ameeeen nimebarikiwa na mahubiri haya Mungu akubariki sana mtumishi🙏🙏🙏 tangu Mungu alipo nikutanisha na channel hii nikakufahamu nimejifunza mambo mengi sana pia imani yangu inazidi kuongezeka Mungu akubariki sana na azidi kukutunza Ameeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @SusanMburu-pi1bo
      @SusanMburu-pi1bo 4 หลายเดือนก่อน

      Nipee imani,,,,,,bwana nipeee uvumilifu

  • @annettegeorge2424
    @annettegeorge2424 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuombea Mungu aendelee kukutumia Pastor Mmbaga . Balikiwa sana na familia yako.

  • @rosemuia
    @rosemuia 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen mjungaji mafuzo yako yanabadirisha maisha yetu growly to JESUS

  • @Brayanikerisa
    @Brayanikerisa 3 หลายเดือนก่อน

    Ubariikiwe sana mtumishi

  • @GraceMachibya-p1x
    @GraceMachibya-p1x 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi hii ni kweli kabisa

  • @metrinenyongesa7757
    @metrinenyongesa7757 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen mungu akutie nguvu pastor.... Umenijenga kiroho zaidi

  • @Alan-g2t
    @Alan-g2t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana YESU asifiwe mtumishi wa Mungu, naitwa Aziza Shaban nilikuwa naomba nami nishiriki baraka hizo, Kwa chochote nitakachokipata, nipo nje ya nchi.

  • @virginiav4595
    @virginiav4595 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa.sana.pastor

  • @LucyMgallah-bb1nl
    @LucyMgallah-bb1nl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu tunduma tunakusubiri Kwa hamu

  • @carolinemwango5967
    @carolinemwango5967 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukuzwe kwa mambo makuu

  • @FurahaGisele-wz1mb
    @FurahaGisele-wz1mb 5 หลายเดือนก่อน

    Que Dieu te bénisse mon pasteur préfère nous t'aimons beaucoup

  • @VailethKegoye
    @VailethKegoye 10 วันที่ผ่านมา

    amen

  • @upendomaduhungalula6641
    @upendomaduhungalula6641 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana Mchungaji, Somo la Leo limeniongezea Imani. Ninazidi kumjifunza Mungu Mkuu wa Mbinguni.
    MUNGU AKUTUNZE NA FAMILIA YAKO

  • @natihaikamjema6130
    @natihaikamjema6130 5 หลายเดือนก่อน

    Nataman na mm kuchangia katika huo mkutano Pastor.

  • @JanetBosibori-ww3cf
    @JanetBosibori-ww3cf 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu apewe sifa mikutano hiyo ya nchili.

  • @ZaireShema
    @ZaireShema 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @KipembeNsajigwa
    @KipembeNsajigwa 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana pr David nasonga mbele kwa imani.

  • @DeboraMwandute
    @DeboraMwandute 4 หลายเดือนก่อน

    MUNG akulinde siku zote asantee kwa kuwa MUNG anakutumia vema

  • @matthewsathanas2267
    @matthewsathanas2267 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 5 หลายเดือนก่อน

    Amina mungu akubariki PR

  • @YASINTAMARTIN
    @YASINTAMARTIN 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji naomba maombi Yako Nina mama mkwe wangu anamatatizo ya mapepo miaka ishirini Sasa msaada WA maombi

  • @christinemueni6147
    @christinemueni6147 5 หลายเดือนก่อน

    Such a blessing

  • @IrineoyaruOyaru
    @IrineoyaruOyaru 5 หลายเดือนก่อน

    Shukurani Mingu nimebarikiwa sana

  • @gracejovano2049
    @gracejovano2049 5 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa pasta

  • @joerystiven776
    @joerystiven776 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa

  • @BeatriceMbonea
    @BeatriceMbonea 5 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏

  • @laickwilinerd5375
    @laickwilinerd5375 5 หลายเดือนก่อน

    Amina🙏💯🤝

  • @rizikimakupe-tw2sj
    @rizikimakupe-tw2sj 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya sadaka mutumishi

  • @abbasmkambara5815
    @abbasmkambara5815 5 หลายเดือนก่อน

    Amen bwana

  • @AwAw-i3d
    @AwAw-i3d 5 หลายเดือนก่อน

    BWANA YESU ASIFIWE, KWANI TUKO PAMOJA, NDUGU WENU MKENYA BALI NIKO INJE YA NCHI NAOMBA NUMBER INAYOYUMIA M-PESA, HATANAMIE MKONOWUNGU UFIKE KWA AJILI YA KUTUNZA WAGENI WETU 🙏🙏

  • @christinemueni6147
    @christinemueni6147 5 หลายเดือนก่อน

    Is the yr supposed to be 2023 or 2024??

  • @sarafinamtweve9462
    @sarafinamtweve9462 5 หลายเดือนก่อน

    Waebrania 13,1

  • @gatiestermossama1486
    @gatiestermossama1486 5 หลายเดือนก่อน

    Tarehe hapo juu imekosewa twendeni tuwaambie watu juu ya Kristo maana anakuja soon haua mambo si ya kawaida

  • @JENITHACHERU
    @JENITHACHERU 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba kushiriki baraka hiyo naomba msaada wa no ya kutuma

  • @ZawadiItaji
    @ZawadiItaji 5 หลายเดือนก่อน +2

    Muchungaji niombeye kwamana nimesumbuka naimaniyangu inadidimiya

  • @ZaharaKamota
    @ZaharaKamota 5 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji hakika wewe umeinuliwa ili utuokoe wengine

  • @frankkisenge8047
    @frankkisenge8047 5 หลายเดือนก่อน +2

    paster tunataka kuchangia kwa simu tulio mbali tupe utaratibu

  • @TabizaAa
    @TabizaAa 5 หลายเดือนก่อน

    pastor can I get your number plz..,kuna vitu zinansmbua wallah

  • @StanfordChim
    @StanfordChim 5 หลายเดือนก่อน

    Amen