PATANISHO : OKUKU - NASHUKU MIMBA YA MKE WANGU IMENIKATAA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ก.พ. 2023
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
that man is very wise,much respect to him
😮😮😅😮😅😮😮😅😮😮😅😮😮😅😮😮😮😮😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😮
Gidi hii naye haujakata hii kesi vizuri, okuku amejieleza vizuri vile yuko,
Sio mimba kumkata ni mimba inataka pesa🤣🤣
😂😂🤣🤣
Mzee ako sawa sawa kabisa Mr gidi and ghost jamaa afunge virago hadi kwa akina msichana full stop ✋️ okei ukuku mbioooo
Mzee Ako sawa kwa maoni yake
Dubai tuko tuned
I love old folks,hawana stress.Lakini if ur lady is not on ur side mambo bad.Ha hurumii mtoto wake.
Mzee amenena sawa ...peace first
😮
you're truly trying heko gidi na coaches 👍
hi pia Mimi Nataka hiyo patanizo
Safi sana
nawapata life toka molo nakuru county giddy na ghost 👻
I think unawapata LIVE sio LIFE.
Kama msichana anataka ndoa arudi wajipange ndio watembee kwao. Mzee akuwe flexible pia.
Vijana tafuteni hela
Is this the same Okuku wa Joncener Silver loyalty test show🤷, l sawa this guy in a certain show of layalty test from Busia ,😂😂😂😂, anyway Ogidi Saudi Arabia tuko tuned🖐️🖐️
Meaning this is an act ama?
Wewe mzee wacha kisirani
Huyu mzee n mkora wacha akae na msichana wake
Okuku tafuta bibi hyu mzee anakaa mkora, haja yake n pesa aaaaiiiiii i wish my Dad angekua hai
Mimba haijamukataa shida yenye iko ni kwamba mke wa okuku ako na cravings hao hawaja kosana hizo ni cravings tu so Mr okuku asikue na wasiwasi mke wake atakua poa
Mwache akae Na babake n mamake kama amekataaa kwani unabembeleza aiiiii kijana tafuta MTU akae n mtoto wko au peleka children home enda kazi aiiiiii,,,,,sasa wanataka uende aje hauna pesa mtoto uko nae utafanya aje kazi ndio upate pesa ya kuenda khaaaaaaaaaa
True 👏 💐
Mzee bibi ata Rudi kwako please 🙏
Gidi please wacha kuzima mic ya mulle
Hii mimba aki🤣🤣🤣
Hakumuchapa mbona hiyo gharama yooote
Wacha huyu mwanamke akae na babake siku atataka kurudi aruditu
Safi sana