SIRI NZITO YA KUHUSU UGOMVI WA MBOWE NA LISSU / HECHE AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2023
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 53

  • @mussamagunguli6937

    Heche ni mwanasiasa mzuri sana na amewafunika waandishi wanafiki wa eastafrica radio

  • @msabahaali758

    heche yuko vizuri sana

  • @sylvestercameo6263

    Kwa nini habari ya maridhiano waulizwe CHADEMA tu hawatafuti maoni kutoka kwa viongozi wa CCM angalau tulinganishe wenyewe tupate ukweli. Naona wanahabari wa kizazi hiki ni makanjanja tu wasio na weredi!😊

  • @wanainchitvrdc6705

    Chadema ni chuo kikuu cha siasa Tanzania. Uki hitimu hapo ww ni mwanasiasa Bora kabisa . Hata walio Feli chadema wakaenda CCM , Leo ni mawaziri,naibu WAZIRI ,wakuu wa mikoa na wilaya .... Kwa kifupi, CHADEMA ndio chama bora cha siasa tanzania .

  • @raymondchaula3914

    Heche ukimariza kuhojiwa na waandishi wa Habari naomba kuwasiriana naww mm ni mtanzania ni mzariwa wa hapa naomba mniongoze napenda niombe uraia wa nch za nje hapa bongo nimepachoka mafisadi wanatufanya watanzania tuishi maisha ya tabu kwenye nchi yetu mafisadi makubwa hawa

  • @meiruzibwe9145

    Huyu ni HECHE, huyu ni Kiongozi 💪✌️✍️🙏

  • @wanainchitvrdc6705

    Excellent respond from honorable JHON HECHE

  • @levissanga8867

    Hongera My Heche umeonesha ukomavu kisiasa

  • @tumainimwaifunga3884

    Hongera Heche, u.ejibu hoja zote vizuri

  • @mussamagunguli6937

    Hongera waandishi wanafiki umewamaliza kiherehere nadhani hawathubutu kufanya mahijiano nawe tena,uwezo wao mdogo sana

  • @fwc5552

    East africa yamekuwa manafiki sana hata kwa page yao ya twitwer wanaishambulia sana CDM wanazusha maungo yasiyokuwepo ni moja ya majitu yanayochangia kukandamiza wapinzani

  • @josephmakutano7067

    MH heche kwelikabisa majibu yako mimi yamenilizisha viva commander viva mh heche mungu akubariki wewe nakizazichako milele, eemungu tusaidiye utuepushe nawatu wenyeroho mbaya wabinafusi

  • @josephmakutano7067

    Hongera kwa majibu mazuri yenyemantiki tena cdm wanajielewa sana,cdm ndiyo ukombozi wetu sisi watZ, sisiraia wanchihii tuungejuhudi zawapiganaji wenzetu wapendahaki,

  • @augustinonestorysasi3683

    CCM mnawaziwasi na Chadema tunahitaji katiba mpya Tume Huru!!

  • @benardkinde8496

    Safi sana heche umejibu vizuri ubunge ni wako huna mpinzani atakaye simama mbele yako

  • @oscarkasalile3966

    Nilishawahi kusema Heche anafaa kugombea urais kwenye chama cha Chadema na akapita bila shaka.

  • @EvanceBujiku-dc9rh

    Maswala ya ngorongoro mbona est africa radio humjadili ,

  • @haroldtarimo-wj9lw

    Kwanini CCM hawataki tume huru ya uchaguzi uoga wa nini

  • @raymondchaula3914

    Usicheke mwandishi wa habar kama ni uzuri unauona ww unaongelea nn kuhusu CCM kwamba wanauzuri furani kuhusu nini zungunzia miaka 60 ya Uhuru tuko wap mpaka sasa

  • @baaussi9736

    Ninyi watu wa habari hamko sawa maana mambo ya taifa hamyasemi