TUNDU LISSU:MAKONDA ANAHUSIKA NA KUPIGWA KWANGU RISASI,"KWANINI AJASHTAKIWA WALA KUHOJIWA MPKA SASA"

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 156

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda alijiweka pembeni mwenyewe kwa kuacha ukuu wa mkoa na kuchukua fomu ya kuomba chama kimpe nafasi ya kugombea ubunge.

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwongo mkubwa Tundu lissu makonda hajahusika.

  • @user-pn1yb3hw7f
    @user-pn1yb3hw7f 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ila huyu Jamaa mungu alimsimamia Sana mungu mwema aiseee

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 8 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu huyu, ulipigwa risasi za aina gani hata ukapona, na kwanini kama unawajuwa hujawapeleka mahakamani.

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 8 หลายเดือนก่อน +5

    Umetumia lugha ya mama anamsafisha makonda katika lugha hiyo nyie wanasiasa wa vyama hiyo ndo tabia yenu 2015 CHADEMA mlimsafisha lowasa kuwa ni msafi awapeleke ikulu

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda piga kazi Alie inuliwa kainuliwa tu ,lisu acha wivu wew mwache makonda

  • @KedrickMalila-lk6xh
    @KedrickMalila-lk6xh 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mjiandae kweli kweli maana yajao ya afurahisha

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuta Amani. MashaAllaah nchi yenu amani na furaha yawacheeeeni yalopitaaa. Masikizano na ummoja ni upendoo kwa nchi yenuu…

  • @user-ts6fh4si3m
    @user-ts6fh4si3m 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe Kila siku ni kama wimbo unataka upewe nini Sasa au maokoto apo ndo Tunajuwa kuwa kelele zote ni maokoto tu hakuna Cha kijani Wala kombati wabigaji tu

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 8 หลายเดือนก่อน +3

    Na yeye siku moja yatamkuta tu kama alihusika.

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂MAKONDA OYEEEE❤❤❤❤❤❤❤ acha chuki binafsi😂😂😂😂 .MAKONDA JUUUUU❤❤❤❤ .

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 8 หลายเดือนก่อน

      makonda ni jambazi kama Sabaya sema nchi hii imekosa utawala wa sheria makonda ilibidi awe gerezani

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 8 หลายเดือนก่อน +2

    Na makonda ataawaashosha nyie subili hapo hapo

  • @evancengowi-md1ls
    @evancengowi-md1ls 8 หลายเดือนก่อน +1

    Loveness

  • @rasnamahala
    @rasnamahala 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kama umepona give thanks to the mostly high jah fanya mambo mengine mzee dola ni kubwa sheria haitokusaidia kitu unaweza tafuta mapya makubwa zaid ya hayo

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 8 หลายเดือนก่อน +3

    Lisu aache wivu

  • @nickolassimion
    @nickolassimion 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa maoni yangu. Chama hii haijali ubinadamu au uhai wa mtu.

  • @wanimzur5597
    @wanimzur5597 8 หลายเดือนก่อน +1

    WAANDISHI NA NYINYI WACHENI CHOKOCHOKO NA UNAFIKI

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi lisu ni kabila gani?

  • @abdallahnjaule1447
    @abdallahnjaule1447 8 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu Tundu Lisu hana akili yeye kila siku anazungumza ovyo tu.Azungumzii ubora wa chama chao.Hafai uongozi wa nchi.

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe ungefanyiwa kama yeye ungenyamaza?

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 8 หลายเดือนก่อน

      Wacha upumbavu

    • @AliMasudi-td7gy
      @AliMasudi-td7gy 8 หลายเดือนก่อน

      Mmmm je? Baba Yako anayo akili kama ya lissu. au yupo mirembe kwa Sasa au yupo kwanye kawa mdaa huu

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 kazi kwako. Uongo ulioneza kanda ya ziwa sasa unapanguliwa. Kaa chonjo

  • @leothardngonya4842
    @leothardngonya4842 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hovyooooooo....

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nashauri Vyama vya Siasa vya Upinzani wajikite zaidi katika Sera za Maendeleo na sio kuongelea maslahi binafsi. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @user-gr9wc7bc2m
      @user-gr9wc7bc2m 8 หลายเดือนก่อน

      Umechelewa sana kalabhaho

    • @musakihama7205
      @musakihama7205 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-gr9wc7bc2mnafikiri wewe ndio umechelewa .

    • @user-qy5qw1jv4s
      @user-qy5qw1jv4s 8 หลายเดือนก่อน

      Kumbe hujuwi chochot umbeya ww

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 5 หลายเดือนก่อน

      Maswali utakayopewa ndiyo yanayoongoza mjadala. Ayajuayo mwache asimulie shida iko wapi?

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mheshimiwa Rais Dokta Samia ni Rais Msikivu hivyo madai yako atafanyia Kazi ila Wapinzani mjifunze kutoa Pongezi kwa mazuri ambayo Serikali inayafanya. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @matukioonlinetv25
      @matukioonlinetv25  8 หลายเดือนก่อน

      KIMEUMANA BITEKO AWA MBOGO MTWARA "KILA MTU ABAKI NA CHAMA CHAKE,SIASA ZA MATUSI NA KEBEHI AZIFAI"
      th-cam.com/video/_rvCY26lOM0/w-d-xo.html

  • @kilalikanestory3635
    @kilalikanestory3635 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda oyeeeeeee lisu turia wewe huo ni umbea kama una ushahidi siufungue kesi mbona unatapatapa

  • @user-zp7dt9bk6f
    @user-zp7dt9bk6f 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo Kuna watanzani wanataka kujipendekeza kwa watawala bila kujua Kuna watanzani masikini tunaumizwa na hao watawara hao, hacheni upande wa pili watetee Taifa lao na watu wake kwa Hari hii hakuna kukatisha mtu was watu tamaa

  • @NasibuNasoro-ew3vw
    @NasibuNasoro-ew3vw 8 หลายเดือนก่อน

    Acha zako Wewe huna swaga huna ishuu muache makonda apige kz mbona wakat mama haja mteuwa ulikua huja sema hayo

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jikite.zaidi katika kutueleza mambo.ya kisera,hii kila kukicha,magufuli makonda kama unaongeza mwendo kwa chura

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa kama mama alikuwa na ubinadam Kwa kiasi KIKUBWA namna hiyo mbona Bado unakuwa unamsema vibaya unadhani utalipwa wewe kama nani?

    • @leitonyngayama6882
      @leitonyngayama6882 8 หลายเดือนก่อน

      Hakumlipa Stahiki zake,,, Wema upi huo alio nao? Hakuna alie kamatwa kwa kujeruhiwa kwake, ni wema upi huo,,, alimuhaidi kushughulikia yote hayo, lakini umeisha mwaka sasa,,, Ni wema upi huo... LOLIONDO imeuzwa kwa warabu, wamasai wanahamishwa kwa nguvu na ukikataa unakufa, watu wasiseme? Bandari Inauzwa kwa warabu milele, watu wasiseme! Umeme hakuna na bado mnafanya BIASHARA ya umeme Kenya watu wasiseme... pelekeni USHIRIKINA wenu na wizi wa mali za uma CCM vibaka

    • @matukioonlinetv25
      @matukioonlinetv25  8 หลายเดือนก่อน

      TUNDU LISSU AMKANA MWABUKUSI"MWABUKUSI SIO CHADEMA,SAUTI YA WATANZANIA SIO TAWI LA CHADEMA"
      th-cam.com/video/Xu9TqWA5880/w-d-xo.html

  • @nickolassimion
    @nickolassimion 8 หลายเดือนก่อน +1

    Je ungeumizwa wewe au mtoto wako ungeonsje. Au mkuki tamu kwa nguruwe.

  • @RosemaryKasuka
    @RosemaryKasuka 6 หลายเดือนก่อน

    Nyoooo lione

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lisu we huna jema kabisa na hata wewe siyo mtanzania halali kabisaa

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo siasa zenu za kitoto sikuhizi hatuzitaki acheni watu wapigekazii

    • @mwajumaomari4699
      @mwajumaomari4699 8 หลายเดือนก่อน

      Hawa watu wavurugaji sana,wamemsema sana magufuli Sasa ameondoka wameingia kwa makonda,tunakitambua waache kutudanganya

  • @user-zl3le1wz2u
    @user-zl3le1wz2u 7 หลายเดือนก่อน

    Sheria ichukue mkondo au faili limefungwa.

  • @user-su6yd2lt5f
    @user-su6yd2lt5f 8 หลายเดือนก่อน

    Anausika kweny mAbaya anachaguliwa tena. Naama ccm chapu

  • @selemanchongo-kw2hh
    @selemanchongo-kw2hh 8 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa tu baba😂😂😂

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na Waarabu je, siyo mabeberu?

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mfa maji huachi kutapata kama ni kweli mpeleke mahakamani

  • @mbarakahaji4302
    @mbarakahaji4302 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unafik na uzushi haukuvushi ktk unayoyataka,utafedheheka tu

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 7 หลายเดือนก่อน

    Huna mpya

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 8 หลายเดือนก่อน +2

    nyinyi chadema washenzi2 mpo kimasilah mno ww ulisema siku ile kuna malipo ulilipwa na ulikua umekopa Gali ya kazi nandio umeenda kulipa leo tena unasema hujalipwa tuchukue lipi ss pesa za luzuku hamja sema aliposema makamba kwamba mmechukua kimya kimya ukasema ndio tumechukua billion mbili sasa nyinyi 😂hamuaminiki

  • @user-hd5bg8qw1b
    @user-hd5bg8qw1b 8 หลายเดือนก่อน

    ACHA KUTAPATAPA NENDA ZAKO WW UNATAKA KUVURIGA AMANI HATA KENYA WAMEKUSHITUKIA UNAPENDA VISASI TUNAKUJUA C TUNATAKA AMANI VISAC HATUTAKI UONGO HUO ANAKUTAKA NN?WATAJE WALIOKUAMBIA,ULISEMA JPM LEO UNAKANA TUACHIE AMANI RUDI ULIPOKUWA.CHAMA KIMEKUSHINDA MNAFIKI

  • @joycemambya7352
    @joycemambya7352 8 หลายเดือนก่อน

    Msameheane kama ni kweli,hatakama sio kweli twendeni mbele tuyaache yaliyopita...

  • @DeejayKabah255
    @DeejayKabah255 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe unayeongea kusameha umesamehe nani? Yeye anayetakuwa kusamehewa. Alipopewa tu ananza na Lissu wewe ungesamehe? Wewe ungepigwa marisasi 16 ungesamehe na mtu aliya andaa kufanya hivyo amejaa kiburi uwenda ameletwa kumumaliza Lissu kwa nini ni mtu wa kwanza kumusema ati ni mtoa taarifa? Kama kuna watu wa kusamehe ni Lissu na ndiyo sababu Mungu amemweka ili wabaya wajifunze. Makonda ajifunze kama alihusika

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 8 หลายเดือนก่อน

      Duuuh Risasi 16! Mungu ni mwema, risasi moja tu huponi.

  • @jamespeter2187
    @jamespeter2187 8 หลายเดือนก่อน +1

    Muhongo choko huyo

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hyo ilishapita sasa hiv ni kazi iendeleee,,Haina haja ya kulialia ,piga kazi makonda

  • @JudithMaziku-os3ws
    @JudithMaziku-os3ws 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nilikuaga nawapenda wapinzani ila saiv wote niwalewale

  • @AngelAyole
    @AngelAyole 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kelele za chura hazikatazi ng'ombe kunywa maji

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 8 หลายเดือนก่อน +1

    Fatani mkubwa huyo muongo kila kukicha ufatani tu. Mpuuzi mtupu huyo fatani mkubwa

  • @luhindakanige2987
    @luhindakanige2987 8 หลายเดือนก่อน

    Unaonyesha udhaifu mkubwa sana kaka we umekuwa wa kulia lia tu matangazo hayaishi ukitoka apo nenda kongo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน

    Warabu Zanzibar ni Inchi. Na sisi hatuna Inchi iliyojiunga na Zanzibar haipo. Mwisho mtataliwa na warabu wakitokea Zanzibar nawambia atayeishi miaka 150 kutoka sasa mtaishi kusimulia ninayoyasema sasa.

  • @martinemifuko71
    @martinemifuko71 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahahha acha ni cheke kwani wewe Lisu ni wa kwanza kupigwa risasi kwenye hii nchi waliokupiga hawajulikani watakapojulikana watakamatwa

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe huna akili timamu na huna uelewa wowote kwa mambo yanayo endelea nchini

  • @lukagulagekidehele4379
    @lukagulagekidehele4379 8 หลายเดือนก่อน

    Majibu ya Makonda kwa wana habari walipomhoji kufuatia tuhuma zinazomhusisha na kupigwa risasi Tundulisu kwamba akamuulize mama yake, ni kumdhalilisha kiongozi mkuu wa ccm, kakidhalilisha Chama Cha mapinduzi nk, wana ccm tumevunjiwa heshima sana kumtusi mama wa mwana habari anayetimiza wajibu.

  • @edwarddawite4150
    @edwarddawite4150 8 หลายเดือนก่อน

    Hana baya hata moja Kwa sababu anayoyasema ni ya ukweli

  • @margaretmbongo3440
    @margaretmbongo3440 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 tumechoka na hii habari twende tukafanye kazi jaaaaaaaaamaaaaaaniiiii

  • @user-nc4li8ch9f
    @user-nc4li8ch9f 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi tundu lissu ulipigwa risasi kweli au unatutania

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimwanasheria kweli ? Huna uhakika acha kuhisi vitu visivyo ukweli .

  • @KedrickMalila-lk6xh
    @KedrickMalila-lk6xh 8 หลายเดือนก่อน

    Jmn hiii nchi ubaya fanyiwa wewe ndo utaelewa 😂😂

  • @wanimzur5597
    @wanimzur5597 8 หลายเดือนก่อน

    MWANA KUYATAFUTA NA MWANA KUYAPATA 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @okokakasumba3031
    @okokakasumba3031 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huna jipya kibaraka mkubwa wewe muache Makonda apige kazi.....CCM oyeeee

  • @edwarddawite4150
    @edwarddawite4150 8 หลายเดือนก่อน

    Jengeni hoja juu ya hoja anazozungumza siyo matuzi

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 8 หลายเดือนก่อน +3

    Waliomuuwa Magufuli bado wanadunda mitaani na wizi na ufisadi mbona hamsemi??? Mnamsikiliza kibaraka wa mabeberu utawafanyia kitaifa vipi? Kenge huyo!!!

  • @wanimzur5597
    @wanimzur5597 8 หลายเดือนก่อน

    UMEYATAKA MWENYEWE ILIOBAKO SHAURIA YAKO😂😂😂😂

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hata kama mama alikwenda kumuona, ukweli husisemww? Lissu ni anafaa kuwa kiongozi

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b 8 หลายเดือนก่อน

      LABDA AKUONGOZE WW NA MASHOGA ANAOWATAKA

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 8 หลายเดือนก่อน

      Tuliza mshono pimbi wewe,una chuki na lissu, kwani akiwa kiongozi wewe unapungukiwa nini? Au hao wanao ongoza wewe umepata uteuzi gani? Kama sio kuhanya mtaani, sura imekuparara kama mbwa koko

  • @user-jw7gr2nm7p
    @user-jw7gr2nm7p 8 หลายเดือนก่อน

    Chalamira mkuu wa mkoa wa bukoba

  • @mushumbaeric4916
    @mushumbaeric4916 8 หลายเดือนก่อน

    Unafikiri utamchafua tena makonda huwezi kapambane na hali yako mdomo uliponza kichwa

    • @matukioonlinetv25
      @matukioonlinetv25  8 หลายเดือนก่อน

      KIMEUMANA BITEKO AWA MBOGO MTWARA "KILA MTU ABAKI NA CHAMA CHAKE,SIASA ZA MATUSI NA KEBEHI AZIFAI"
      th-cam.com/video/_rvCY26lOM0/w-d-xo.html

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 8 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @wanimzur5597
    @wanimzur5597 8 หลายเดือนก่อน

    MBONA WAKATI WA MAGUFULI HUKUSEMA CHOCHOTE

  • @user-dk2hz4xk8y
    @user-dk2hz4xk8y 8 หลายเดือนก่อน

    Utaratibu ukoje vigezo

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe Lisu wakati mwingine uwe unaona AIBU kuzungumza UONGO WA WAZI kabisa! Huna hoja za msingi za kuzungumza?

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kama una ushahidi mshitaki basi!!! Usikae kulialia kama lipumbavu. Nimekuchoka wewe kibaraka.

  • @nabiiashermgani7523
    @nabiiashermgani7523 8 หลายเดือนก่อน

    We ni Mwanasheria Mzuri unadhani kwenye Midia ni sehemu Sahihi ya kupata Haki yako?Hu ni Uchochezi! Kwanini Husiende Mahakamani na Ushahidi unao?

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 8 หลายเดือนก่อน

      mahakama gani hapa Tanzania hakuna mahakama huru zote ni matawi ya serikali

  • @WiliamMasalu-gs2ov
    @WiliamMasalu-gs2ov 8 หลายเดือนก่อน

    Lissu ni mwanasheria, inakuwaje ueneze uzishi huu? Kama una ushahidi ulisubiri kufungua kesi hadi Makonda anapewa wadhifa ndipo unazusha haya.
    Acha Makonda anyooshe na asawazishe mabonde.

  • @kichenjewillian5720
    @kichenjewillian5720 8 หลายเดือนก่อน

    Jinga sana huyu

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 หลายเดือนก่อน

    Unaedelea kupoteza mvuto usitegemee kuwa raisi wa Tanzania.huiwezi CCM wala makonda.

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 8 หลายเดือนก่อน +3

    Siku zotee ulikuwa wapi kumtaja acha husda wewe

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 8 หลายเดือนก่อน +4

    Tundulisu tunakuchukia sana na mke wako shida anayo maana hujui kushukuru mungu na kusamehe

    • @finesiakwimba7664
      @finesiakwimba7664 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mpambavu mmoja unaongea kwa sababu yaliyotokea siyo kwako, unajikuta kwamba na wewe umeongea point.

    • @matukioonlinetv25
      @matukioonlinetv25  8 หลายเดือนก่อน

      TUNDU LISSU AMKANA MWABUKUSI"MWABUKUSI SIO CHADEMA,SAUTI YA WATANZANIA SIO TAWI LA CHADEMA"
      th-cam.com/video/Xu9TqWA5880/w-d-xo.html

    • @user-nn1fw9rq1y
      @user-nn1fw9rq1y 4 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu me naona km vile niwew kusamehe nijambo la kher lisu ananguvu ipi yakubishana na sheria Siri Kali elewa neno Siri na ni kali​@@finesiakwimba7664

  • @lauriankajugusi1776
    @lauriankajugusi1776 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika sasa naamini Tz hakuna vyama vya upinzani! Kwa sura hii na hizi tuziite ni siasa au malalamishi? Na kama hizi ni tuhuma sahihi ni vipi utupotezee muda badala ya kwenda mahakamani? Ama kweli kama huu si utoto, basi ni ujinga uliokubuhu "nonsense interview "!!!!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe lissu hadithi zako tumezichoka.Hazitusaidii.Rudi Ubeljiki wewe traitor kichaa 😅mkubwa.Rudi ukachukue hela yako ya ukimbizi huko dereva w
    Wako anahusika na chama ch ako.Lissu hatukujui wewe mbuzi😢😢

  • @edwarddawite4150
    @edwarddawite4150 8 หลายเดือนก่อน

    Huna baya baba

  • @user-dr1su7pf7w
    @user-dr1su7pf7w 8 หลายเดือนก่อน +1

    unaweeleza wakenya wakusaidie nini?kama sio kuthalilisha nchi yetu, mbavu zako

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 6 หลายเดือนก่อน

    Tundu lisu kila mtuu akitrend anahusika kukuumiza,muache Makonda kipenzi cha watanzania na watanzania wanamkubali, story na porojo zako hazijengi nnchi

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulibakishwa tuone uongo na ustaarabu wako si unamtukana endelea kumtukana tu amekuletea chuma saizi ysko khabithila amali wewe

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 8 หลายเดือนก่อน

    Mh. Lissu, pole kwa yote yaliyokutokea.. Makonda alishasamehewa na Mbingu. Mh. Lissu jisamehe mwenywe na Umsamehe Makonda mpk lini tutamwandama!

    • @KedrickMalila-lk6xh
      @KedrickMalila-lk6xh 8 หลายเดือนก่อน

      Ua ata swala tuu Kwa mkono wako utaelewa kuhusu hiyo unaiita misamaha

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 8 หลายเดือนก่อน

    Tundu ndio hakutaka kutoa ushirikiano na jeshi la polisi

  • @abdallavictory6723
    @abdallavictory6723 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tundu Lisu unaonyesha wewe ni mtu a.baye hauwezi kumsamehe Mtu, hivyo ni mtu wa kisasi ungekuwa kama Mzee Mandela aliyeteswa Miaka yote Si ungemaliza Makaburu wote? Mambo mengine muachie Mungu ahamue.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 8 หลายเดือนก่อน

      Lisu Hafai kuwa Kiongozi wa Nchi kuanzia sasa

    • @matukioonlinetv25
      @matukioonlinetv25  8 หลายเดือนก่อน

      TUNDU LISSU AMKANA MWABUKUSI"MWABUKUSI SIO CHADEMA,SAUTI YA WATANZANIA SIO TAWI LA CHADEMA"
      th-cam.com/video/Xu9TqWA5880/w-d-xo.html

  • @user-ky5qj7kr1g
    @user-ky5qj7kr1g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tutafute amani tukimbilie Mungu acha longolongo shemeji

    • @kassim1262
      @kassim1262 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ss kwanini hukuwashauri waliompiga risasi kwmba wamkimbilie mungu

    • @habibabadru7375
      @habibabadru7375 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@kassim1262Huyo kibaraka wa mashoga ametuchosha kaishiwa hana jipya huyo paka

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 8 หลายเดือนก่อน

    Tundu unalalamika sana kuhusu Makonda kuhusika na yaliyokukuta, pole, pole sana sasa Mkuu kama ni hivyo na ushahidi unao kwanini usiende mfungulia kesi? Hasa ukichukulia kuwa mahakamani wewe ni MZOEFU?

    • @matukioonlinetv25
      @matukioonlinetv25  8 หลายเดือนก่อน

      TUNDU LISSU AMKANA MWABUKUSI"MWABUKUSI SIO CHADEMA,SAUTI YA WATANZANIA SIO TAWI LA CHADEMA"
      th-cam.com/video/Xu9TqWA5880/w-d-xo.html

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ata taja watu wote lissu hana mpango

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmm kazi unayo, Kila kiongozi ni Mbaya kwako?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nami nashangaa kama walimuua mwenzao itakuwa wasiyo na uhusiano. Maana ujamaa ulikwrnda na Nyerere na ulizikwa pamoja naye. Iliyo baki ni ufisadi, wizi, kukopa mikopo tele tele mtalipa au mnataka wajukuu wetu kuwa watumwa tu? Mnaongea kama washabiki tu. Tafakari kwa kina kabla hujabwata. Kila neno ulitafakali kwa nini unalisema? Litaleta faida watu wakilifuata?

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 8 หลายเดือนก่อน +1

    Risu hana jipya chuki zimemjaa laana ya kusapoti ushogaaitakukuacha salama .pia magufuli hakumuacha makonda ni makonda mwenyewe alpotaka ubunge

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba tuwe Wazalendo na kumuungauunga mkono Mheshimiwa Rais Dokta Samia katika Utekelezaji wa Maendeleo Nchini. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona sikuzote hujasema Leo ndio unasemaa kisa makonda kateuliwa kwenda zako huko tumesha kuchokaa acha baba kigan apige kazi

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yani huyu jamaa ni muongo mpaka anakera waTanzania wamechoka porojo zako

  • @user-wy3gw3lg3u
    @user-wy3gw3lg3u 8 หลายเดือนก่อน

    Mtu akifa usipende kutaja taja kwa ubaya wewe tundu lisu amua kuokoka siasa ina mwisho na pia punguza uongo!

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 8 หลายเดือนก่อน

      Mtu yeyote akifa,hutajwa kwa mema au mabaya aliyotenda,haikwepeki,lakini kwa wacha Mungu,wanatakiwa kumuachia Mungu.

    • @alphaexaud5279
      @alphaexaud5279 8 หลายเดือนก่อน

      Lazima usemwe mbona hata mitume wanasenwa

  • @melchiorndayizeye9761
    @melchiorndayizeye9761 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo sasa nyumbu itasikia muziki wake ndani ya uwanja wa fisi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe. Kazi yako ni kujikomba kwa wazungu tu.Msenge mkubwa.Sasa wamekuchoka ndiyo maana uko hapa .hun a la maana zaidi ya kuongelea risasi kuminasita tu.😮😮😮

  • @BAKARIMatengele-gl5ys
    @BAKARIMatengele-gl5ys 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio tz ya mafisadi na wauaji hasa viongoz was juu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ukipibwa barabarani ni nani wa kuhusika kushika aliyekupiga na labda ulipoteza fahamu? Kwani serikali iko wapi? Aliyepigwa ni raia polisi kwa nini hawakuhusika kufanya upelelezi? Neno la Mungu linasema anateuwa kwa upanga atakufa kwa upanga. Inapogusa mtu na mwili wake muache kuongea ongea ni mwili wa mtu. Leo ni Lissu unajuaje kesho anaweza kuwa mwenzetu ni binadamu sioni vitu vya dunia tunatakuwa kuongea tufanye kinachotakuwa kufanya siyo ushabiki wa binadamu.