PATANISHO : MKE WANGU ALIKULA FARE MARA MBILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มี.ค. 2023
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghost
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 37

  • @essiewajojis7918
    @essiewajojis7918 ปีที่แล้ว +14

    Huyu mwanaume ni kisirani the lady is depressed juu hana mtu wakusimama naye jipe muda dada ndio uone kama atarekebisha anajifanya mzuri kwa wazazi lakini ni ubwa muitu amavalia ngozi la kondoo kama anakutaka akuje kwenu, kwao utaweza ongea aje na ako na back up ya watu wao

  • @faithkemunto6258
    @faithkemunto6258 ปีที่แล้ว +12

    I hate a man mwenye anajipendekeza kwa mzazi wangu

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 ปีที่แล้ว +6

    Wacha huyu mwanaume akae single ndio ajue umuhimu wa mwanamke

  • @hedwiglilande8981
    @hedwiglilande8981 ปีที่แล้ว

    This guy will never change

  • @francymutua7022
    @francymutua7022 ปีที่แล้ว +3

    Sikio ya kufa halisikii dawa move on achana na huyu jambazi

  • @reginaamoo6530
    @reginaamoo6530 ปีที่แล้ว +3

    Wow i hope her parents will hear her now so sad i feel her pain

  • @katejimmy8694
    @katejimmy8694 ปีที่แล้ว +7

    Number 1 hupewa glocuse ama pesa gapi ?swali tu

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +2

    David ni control freak; anaficha ubaya wake

  • @sirasi1889
    @sirasi1889 ปีที่แล้ว

    I love her reasoning she's a good wife lakini mumwume ni kisrani

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaaaa huyu jamaa ni wivu ina msumbua

  • @shemmosoti2808
    @shemmosoti2808 ปีที่แล้ว +1

    Nguvu ya kupembereza mwanamke watu hutoa wapi, atajileta Tu na itakua too late

  • @eliomundus
    @eliomundus ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @emilywangui
    @emilywangui ปีที่แล้ว +5

    Hii relationship ni toxic na mwanaume ni nassicist

  • @maureendama1395
    @maureendama1395 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanaume wacha akae na kiburi yake kwanza, I can't advice the lady to get back

  • @sekanicanory9915
    @sekanicanory9915 ปีที่แล้ว

    🌿🌹

  • @cannidahosano3302
    @cannidahosano3302 24 วันที่ผ่านมา

    This is a narcissist 😢 kuachana na ng'ombe kama hii inakuwanga kama kumaliza kulipa loan

  • @b.3940
    @b.3940 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ana umama sana tuchange tumnunulie skirt na high heels na lipstick pia.

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee ปีที่แล้ว

    Hii wiki ya my ppl chameni,unajuako mambo kani hii.

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 ปีที่แล้ว

    Mwanaume aende kwao waongee

  • @evencemangamwachia1617
    @evencemangamwachia1617 ปีที่แล้ว

    Mbele ya gidi 😂 😂 😂....

  • @eunicenjeru215
    @eunicenjeru215 ปีที่แล้ว +1

    I suggest that lady should not go back.She needs a person to stand with her, help her heal and get a job far away so that she can be stable and avoid being abused.Domestic violence is happening because she is fighting back alone.That man is a narcist.He does not deserve any woman.Young lady, you deserve better.

    • @joycesavai7402
      @joycesavai7402 ปีที่แล้ว

      True this is a narcissist man... A typical one indeed. And he won't stop beating her

    • @hedwiglilande8981
      @hedwiglilande8981 ปีที่แล้ว

      Next time atamuua

  • @simonnjue2015
    @simonnjue2015 ปีที่แล้ว +1

    😏

  • @gracewangari8121
    @gracewangari8121 ปีที่แล้ว

    Mami rudi ujipange na hio pesa yake utoke ukarent km wazazi hawakuskizi

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 ปีที่แล้ว

    Marriage ya Vikao Akii n mbaya Mzee mzima akii heshimu bibi yako

  • @muunganoshow4212
    @muunganoshow4212 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 ปีที่แล้ว

    That's a NARC man

  • @julmanly1714
    @julmanly1714 ปีที่แล้ว +1

    Me nipate kaa huyo ananipembeleza hivyo ntafirahi..wangu ni don't care

    • @faithkemunto6258
      @faithkemunto6258 ปีที่แล้ว +2

      Anakubembeleza lkn hana heshima kwako mtaishi mkiachana hadi lini acha akae pekeake kwanza

  • @estherochieng3368
    @estherochieng3368 ปีที่แล้ว

    Very manipulative and a control freak this cycle will still continue

  • @lukasobiria7912
    @lukasobiria7912 ปีที่แล้ว

    Wacha kutumia jina ya Hon. Gidi vibaya😂😂😂