ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
PATANISHO : MKE WAKO ALINIAMBIA HANA MUME
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2023
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
For the first time Gidi gave someone enough time kujieleza bila kuharakishwa,.
Siku hizi kwa ndoa ni maelewano age is just a number respect matters alot
Keep up the patience of listening Gidi.
Nakupenda Kama Buzaa😂😂
Kuna funzo nilipata jana. Mwanamke anaweza kuwa ana hanya hanya na huwezi jua. Ukifika nyumbani unaandaliwa mlo wa kifalme na mapenzi kama uteenager umerudi. Next day ukienda job anaenda kwa Nyakundi wa Sacco ya Githuri 44❤️. Mko ni wako wakati yuko machoni mwako. Ama ni aje Gidi na Ghost?
Wakisii were just chilling then boom 😂
Wewe mwanamke uko na ujinga sana.sam wachana na huyu mwanamke dunia itamfunza
Mwanamke akikushinda ata na one yr huyo ameona mbele boy child make sure mwanamke asikushinde n umri
Do not forsake her and she will keep you love her and she will guard you the beginning of wisdom is this get wisdom and whatever you get get insight 🙏 🙏
Goooooood job Giddy and don't ever stop laughing Ghost
Sasa mtoto wa miaka 24 ati 'tumetoana mbali'.... Kwenye mnaenda ndiyo mbali my frend
😅😅 umesema ukweli @Nyar sakwa
Awuoro 😂😂😂
24 ni mtoto?.
Mwanamke mzima unaita mtoto,
@@vincentomondi5612 it depends on your age wewe pia, kwangu mimi a 24 yr old male ni mchanga sana hata hafai kuwa ameoa
@@nyarsakwa1492 a 24 years ni mwanaume mzima hata college hashamaliza yuko job jamani.
Nyinyi mnapenda wenye wanaoa wakiwa over30, by the time mtoto wake anafika class eight retirement age pia imefika lol.
🤣🤣🤣hapo ndio mapenzi imewafikisha🤣🙆♀️ghaiii
😂😂😂😂
Kiti moto😅😅😅. As a Kamba i was confused
🔥🔥🔥🔥🔥
Waaaaaaaa huyu kijana wivu
Kijana juwa siku zote ukiowa mwanamke aliye zaa Mtoto Mmoja ni sawa na kuanza gem 1-0 pili umeowa make wa mwana ume mwenzio tu.
Waluhya Na patanisho Aki 😀😀😀😂😎
Kila siku waah😁😁😁😁😄
@@divinahogamba wametuchosha
😂😂😂😂
Wacha huyo mwanamke aende wataachana na huyo side man
Yes
😂😂😂😂😂😂mapezi ya kiti moto
nakupenda kama kiti moto 🤣🤣🤣🤣
Apana! Huyo mwanamke amejipanga kuanzia kitambo! Juu hiyo sasa unatoka unaenda wapi?
Sio wakikaa,,mwanamke alishakata kauli. Najikombolea nyumba,
Watu walipe tax,ii ingine sasa sijui🤷
Uko sure uyo mtoto n wko bdo?
Kiti moto🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥🔥
Sisemi kitu mimi
Priis natafta mluhya tuoane tukosane ndio anipeleke radio jambo😂😂😂😂
Nisikike kwa hewa
Ebu kuja uku unijaribu
Barazaa please take a chill pill
Huyu mama lazima angesema ati alizaa na mkisii?🤨
Ati kiti Moto maneno gani haya 😂😂😂
Kiti Cha kukalia jikoni unapopika😂😂😂😂
Namrekebisha huyu jamaa kitu moto ni nyama ya nguruwe.sio hicho kitu alicho sema
Oh Lord
Nilisikia mapenzi hisia
Kimeumana sasa
Pasaka imekua jana, i hope Naliaka alirudi.
Kiti moto oveee
Tearm strong mmeskia hiyo
Kabisa
Tuko
Naliaka ni mshenzi kabisa uyu naweza tandika
😂😂,😂😂
As a man never forgive a cheating woman kwanza huyu unampata live
Uyo naweza tandika kama ngombe ata awezi rudi kwanga stive mimi
Hii ni ya jana
Following. ..
naliaka
Wewe Fala nini waogopa kuwachwa bro,
Huwezi nikosea tena nikuombe msamaha😂
The man is just afraid to kuachwa ...at the same time nassirstic.... The woman doesn't care!!!! Mmm.... She is also fed up with his talks....
Kuna watu hufurahia kuongea kwa radio,hakuna pstanisho hapo!!hii ni gani sasa gidi?rudisha patanisho iwe ile tulijua ni patanisho aja hizi za ovyo.
Let this man forget about that lady....he gona get heart attack
Waluyha mnachoma, , , , , , ,
Wanaumee mujiheshimuu tafadhali!!!! Wachana na ma single mothers,wachana na WANAWAKE walio shindwa kuvumilia ndoa zao, wacheni KULELEA WANAUMEE WENGINE WATOTO,wacheni kukimbizana na WANAWAKE wazee kuwalikoo,tumienii akilii jamenii
😂😂😂😂😂😂😂naliaka
Nini inachekesha hapo?
Wachana na huyu mrembo hii ni red flag already watu wanatakanga waone ama waambiweje ndio wajue ni kubaya
Get yourself a luhya man very loyal but the guy is immature @24 eti nampenda kama kiti moto shenzi
Mbona mwanaume akishinda mwanamke miaka hakunanga shida, but mwanamke akishinda mwanaume miaka inakuwa issue?
We chacha