Mtu asipoelewa Mafundisho ya huyu Mwamba bac hayuko sawa, huenda atakua ana maradhi ya Chuki na Husda nafsini mwake, Mwenyezi Mungu akulipe malipo yaliyosawa na kazi yko ya Dawah yako kaka Mathayo na akupe kila hitaji lako la moyo ambalo litampendeza Allah 👈
Ustadhi mathayo Allah akulipe kila la kheri fi dunia wal akhera mwenye hajaelewa hapo ni ukaidi wake na atakuja kueleweshwa na jahanam na tayari atakuwa amecelewa jamani karibuni kwenye uislaam okoweni nafsi zenu adhabu ya Allah ni kali mno hakuna atakae weza kuvumiliya na tulio jaliwa kuwa wa islaam tuitumikiye dini yetu ipasavyo kuyafuata alio tuamrisha Allah na kuyaacha alio tukataza na tumfuate Mtume wetu ambaye ni rehema kwetu Muhamad swalallahu alayhi wa salama
@@JamesJastin-bg1rx wewe huijui Biblia toa sababu 3 zilizofanya uache ukristo kama kweli wewe ulikuwa unaijua Biblia, halafu na mimi nikupe sababu 3 zilizofanya niache uislamu.
Sheikh wetu tupe vitu tusijisahau na kutuelimisha zaidi. Na Simulizi kaka we vipi umesha sikiya ukweli wote mbona kimya.Karibu kyenye dini ya Mwz Mungu. In shallah ❤🇨🇩 to 🇺🇸 tuna wafatiliya kwa lakini sana.Mwz Mungu atuongoze sote Duniani na kesho hahera ❤
@mifunga3414 Mungu hana dini inayoshirikiana na majini na kuwasilimisha wawe waislam na pia dini inayoshiriki uchawi kupitia kitabu chao ambae ni quran, shtuka dogo. Dini ni njia, na Yesu ndio njia ya kweli na uzima. Wanaoenda kinyume na Yesu wote Jehanam.
@rejim2231 yani kumanisha sisi kama wa Islam tukakiumba ichi kitabu amatulizaliwa tukakita! nasisi tumeifata adamu yamesemwa na Mwz Mungu!🥰 sasa majini yenye inazungumzia sisi atuyonagi labda nyiye kila Sunday pepo toka pepotoka 😁😁 ama munakimbiya kusali kwa wingi. Musijali iyonikwa faida zetu sisi wenyewe.
Kejeli munazianza nyie Wenyewe na mukijibiwa munaanza hooo sijui elimu hana hata nyie mukiona munashindwa kumtambua Mwenyezi Mungu mmoja elimu zenu hazina faida ni sawa na hakuna kwahiyo hata Muislamu ambaye hana darasa hata moja la kisekyula huyo Muislamu kwa Mwenyezi Mungu huyo mmoja ni sawa na nyie muliosoma 1,000 hapo ndipo ujue kuwa Uisalmu sio dini ya kuchezea kama munavyodhani!
@@ramadhanwilbard8196 Hapo Umeongea Kiushabiki, Biblia Nzima Hakuna Andiko Linalotaja Uislam Au Waislam, Biblia Haitambui Kabisa Uislamu. Lakini Quran Inataja Wakristo Na Wayahudi Kwa Wema Na Kwa Ubaya, Hii Inatosha Kudhibitisha Kwamba Nyinyi Waislamu Hamuwezi Kukwepa Kwamba Baadhi Yenu Mnalazimishwa Na Quran Yenu Muwe Wa Kwanza Kuwafanyia Kejeli Wayahudi Na Wakristo Huku Mkijihesabia Haki. Kuhusu Mungu Mmoja Hiyo Ndiyo Imani Yetu Wakristo, Sote Tunaamini Kuwa Mungu Ni Mmoja, Kama Una Hoja Kuhusu Hilo Lete Hapa Nikufundishe Ukweli Huo.
MUNGU ni mjua yote lakini anakua anaweka nafasi yakujieleza kama vile mtihani (( mfano MUNGU anamuuliza ADAM uko wapi?? Mbona unajificha?? Umekula lile TUNDA nililo kukataza?? alafu unajua ni jibu gani ADAM alimjibu mungu?? Swali MUNGU anauliza Adam yupo wapi, kwani alikua hajui Adam na hawa walipo na anawauliza kama walikula tunda kama vile MUNGU hakujua kama walikula tunda ila MUNGU alifanya ivo ili kupima mtu huu Ana utii ghani kwake na kampa kuchagua mema na mabaya ila ADAMU alitupia lawama MUNGU na uumbaji wake wote kusema kama MWANAMKE alie mpa ndie kampa tunda na akala jifunze kwa hili wewe domo kubwa akili ndogo
Ingekuwa rahisi hivyo basi wengi wangeweza kutunga vitabu kama Quran Unapoona kuna mambo yanafanana ndani ya Quran na Biblia tambua chanzo cha maneno hayo ni kimoja na SIO Quran imekopi hilo jambo no jepesi kulitamka ILA haliwezekani kwakuwa Quran ni kitabu very complex chenye mambo mengi ttofauti yasioweza kutungwa nà mtu kamwe
@@rizikiyahya5254 😂😂😂😂 Acha umaamuma Qur'an ni sawa na riwaya za Maqureish kilichoandikwa na Zayd Ibn Thabit Kwa maelekezo ya Ab bakri na Omar baada ya kufa chifu wa Maqureishi wa Makka na Madina Muhammad
Kila siku huwa nasema Wapumbafu kama hawa wanaopindisha maandiko , Sio wakuwasikiliza , Bible au CANON, inakanuni zake sa kusoma na kutafasili , lazima ujue Context na Amunetix kanuni za kutafasili maandiko acha andiko litafsiri andiko na sio kwa akili kama hizi za kimsikitisikiti utapotea
Sikiliza kwa makini hapo natukampelekea roho wetu akajifananisha kwake sawa na mtu..inaonekana kama vile huyo mtu aliyeandika quran alikuwa anajichanganya kwasabbu hapo inaonesha kabisa iliwekwa roho wa mungu tumboni mwa mariam ili yesu ajifananishe sawa na mtu..alfu ukija kuwasikiliza hao hao waislamu utasikia wanakwambia yesu alikuwa ni mtu wa kawaida wakati quran yao yenyewe inasema alijifananisha sawa na mtu ili neno la mungu litimie afe,azikwe na kufufuka kama ilivyopangwa ..qurani yenyewe inadhibitisha yesu atazaliwa atakufa na kufufuka lakini qurani hiyo hiyo inakataa hakufa😅aisee ni mambo ya ajabu sana..kwakuwa qurani ina story nyingi zakweli kabisa kuhusu mungu yani hicho ndiyo kitu kinawafanya waislamu wengi waamini kuwa mtume ni mtume wa m/mungu kumbe wizi mtupu
Matayo umeisha kabisa ,nadhani wewe ni Mwalimu wa madrast awaal uwafundishe watoto wadogo Sana, (majini wanasumbua Sana wanadamu walio nje ya YESU KRISTO )
Sefania suraya 3 aya ya9 Mungu anaahidi kuleta lugha moja yakumuabudu je? Wakristo mnaweza kutuambi iyo lughaniipi Au Us stadhi amepindua andiko labda ni JINA moja nasio lughamoja kamavile mnavo fnaya kwaJina layesu kwa jinalayesu au hiondo lughayenyewe nutusaidieni.? majibu
Soma 8 afu shuka hiyo lugha safi tutakao pewa na Mungu ni baada ya Mungu ku wateketeza waovu maana Baada ya hukumu Swali Je Tayari hukumu ilisha kuwepo hakuna uovu La pili wapi imeandikwa kuwa lugha ya kiarabu ndo ilikuwa lugha ya binadamu hapo awali
Atuambie hapo nyuma ya msikiti alikokimbilia Mariam ni katika mji gani na nchi gani? Bila shaka atasema ni Maka Saudia, wakati biblia inasema ni katika mji wa bethelehem nchini Israel, hapo ndo utaanza kujua Isa siyo Yesu. Tuanzie hapo.
Mathayo UNAMJUA SHETANI MBINI ZAKE. SHETANI ANAWEZA KUTOKEA KAMA MALAIKA LAKINI LAKINI anakuwa na jambo moja la kukufulu ambalo hilo atalitumis kwa ujaja kumpiga MUNGU mfano soma kitabu cha mwanzo jisi alivyomdanganya hawa. Alijifanya kumuubili hawa ukweli wa MUNGU WOTE KUMBE NDIO TAYAYA KASHAMDUMKIZA KWENYE MOTO.
@@abdallahdoka9173 kulingana na BIBLIA Yesu ni MUNGU MKUU...soma Nabii isaya 7:14, isaya 9: 6 -7 na Tito 2:13... MWOKOZI, MUNGU MKUU... BIBLIA na BIBLIA peke yake...usiongeze NENO Wala kupunguza..
@@JumaOmar-ku6cr wewe kafiri toka kitambo tu. Utakuwa mwislam utoke kutumia maji badae ukatumiye karatasi? Eti Juma Omari? Aca kuzalilisha mitume usiitwe tena Omari, Tangu leo uwitwe Paulo ao Matayo plz. Kasome historia ya Omari kisha badae urudi hapa kwenye comments. Mxiiiiiiiium
Mm vyovyote utakavyoniita ni sawa, mana kitendo cha mm kuwa mkristo ninaemfuata YESU nabii na mtume w kweli wa mwenyezi MUNGU nimekuzidi vyote kuhusu imani. Kuliko ww unaefuata uislam kisa mtume wenu wa Uongo Muhammad kawadanganya peponi mtaozeshwa wanawake warembo na mtakuta mito ya pombe! Mpka apo hujioni kama ww ni taahira! Mtume asiejua kusoma wala kuandika. 😂😂😂
@@ramadhanjuma610 kenge mama ako ambae mtume kamdanganya akibahatika kwenda peponi atakutana wanaume wakukata na shoka. Na ww kenge maji utaenda kukuta mito ya pombe na utalala na wanawake warembo. Shituka Nyau ww, Nabii wa mwisho ni Yesu Kristo. Ambae ni njia ya kweli na uzima. Na ata kama ningezaliwa muislam, baada ya kujua ukweli huu wa kuwa Yesu ndie njia naa Muhamad alisilimisha majini anapotosha. Hakika ningehama uislamu mdogo etu. Tuliza mshono punguza hasira ndo utaelewa. Nyambonee 😂😂😂😂😂
Huyu jamaa ni mjinga na muongo Jehova witnessed ni watu wenye kuchukiwa na serekali na watu wa ulaya kwasababu ya kupinga kuhusu ushoga na sheria zao kwa waumini wanao fanya hivo hawa ruhusiwi Tena kufanya kazi nawao Jama yupo kwa ajili ya uongo
Mkiwa mnatafuta kuhalalisha utume wa mud huwa mnatumia biblia ambayo mnapo banwa na maswali huwa mnasema imetiwa mikono vp hilo andiko halijatiwa mkono? Watu wa ajabu kabisa . SOMENI METHALI 22:1-36 MTAFAIDIKA SANA WAISLAMU WALIO NA WELEVU.
Yan hapo mtu ambaye ajui biblia ndo anaweza kuskiliza na kuelewa ..sasa nyie iv utabili wa kwenye biblia mliwai kuzingatoa iyo kitabu mnayo amni nyie Quran ...uwezi fananisha biblia ata siku Moja .....nikisoma tu ufunuo nasema akuna dini zaid ya ukristo
Sasa wewe usiyejielewa unapo Sema eti wa Islam wanakula Ngurue, iliandikwa ni kwazarura na atujawahi ikula. Mbona nyama nyingi, na Mwz Mungu katufanyiya wepi bwana nanyiye vipi? Njoomutambue dini ya Uwislam dini ya haki ambayo aina shaka ndani yke😊
Sasa ww unashangaa nini na ushaambiwa kwa dharura manaake ikiwa hunabudi na c ukiwa na njaa kama unavyosema kwamba hakuna business na usivyo kula unaweza poteza maisha sasa huoni upeo mkubwa uliopo ndani ya uislam na uislam umezingatia hali zote hakika uislam ni dini ya haki zilizobaki ni chuki tu
Molla akulipe jaanat kazi unayofanya nijihudi kubwa sana endelea ivyo ivyo shek walai nafuraia sana shek
Teach them brother man of GOD , may the GOD of our bible give you protection and wisdom , I pray in the name of JESUS...
Mashallah SIMULIZI Allah akuongoze kwenye haki uweze kuifata
Mtu asipoelewa Mafundisho ya huyu Mwamba bac hayuko sawa, huenda atakua ana maradhi ya Chuki na Husda nafsini mwake, Mwenyezi Mungu akulipe malipo yaliyosawa na kazi yko ya Dawah yako kaka Mathayo na akupe kila hitaji lako la moyo ambalo litampendeza Allah 👈
Masha Allah Ustaz
mashallah sheikh Matayo wapeleke shule wawrewe haki ❤
Ustadhi mathayo Allah akulipe kila la kheri fi dunia wal akhera mwenye hajaelewa hapo ni ukaidi wake na atakuja kueleweshwa na jahanam na tayari atakuwa amecelewa jamani karibuni kwenye uislaam okoweni nafsi zenu adhabu ya Allah ni kali mno hakuna atakae weza kuvumiliya na tulio jaliwa kuwa wa islaam tuitumikiye dini yetu ipasavyo kuyafuata alio tuamrisha Allah na kuyaacha alio tukataza na tumfuate Mtume wetu ambaye ni rehema kwetu Muhamad swalallahu alayhi wa salama
mungu akubariki OSTAZI ❤❤❤❤
Sheikh wajibu wako umekamilika mungu atakulipa ujira mkubwa
Simulizi anaitwa Muhidin...somo yangu mashaAllah...sisi wakina Muhidin roho zetu za upole mashaAllah😅
Shekh upo vizur mim ndyo maana nimeamua kusilimu maana ukristo ni shida sana na ndyo maana hata wakristo humu wanaishia kutukana tu
@@JamesJastin-bg1rx wewe huijui Biblia toa sababu
3 zilizofanya uache ukristo kama kweli wewe ulikuwa unaijua Biblia, halafu na mimi nikupe sababu 3 zilizofanya niache uislamu.
@@mobutu3884 patamu hapo
Yesu mwarabu, musa mwarabu, Yakobo mwarabu. Huyu ni mwehu tu hata hajitambui. SIMULIZI fanya mahojiano na watu wanaojielewa. Tutaacha kukufuatilia
We acha unafaida Gani humu tumia akili Toka shetani ukikwazo Kwa watu
Basi wazungu wametoka marekani au italy
Sheikh wetu tupe vitu tusijisahau na kutuelimisha zaidi. Na Simulizi kaka we vipi umesha sikiya ukweli wote mbona kimya.Karibu kyenye dini ya Mwz Mungu. In shallah ❤🇨🇩 to 🇺🇸 tuna wafatiliya kwa lakini sana.Mwz Mungu atuongoze sote Duniani na kesho hahera ❤
@mifunga3414 Mungu hana dini inayoshirikiana na majini na kuwasilimisha wawe waislam na pia dini inayoshiriki uchawi kupitia kitabu chao ambae ni quran, shtuka dogo. Dini ni njia, na Yesu ndio njia ya kweli na uzima. Wanaoenda kinyume na Yesu wote Jehanam.
@rejim2231 yani kumanisha sisi kama wa Islam tukakiumba ichi kitabu amatulizaliwa tukakita! nasisi tumeifata adamu yamesemwa na Mwz Mungu!🥰 sasa majini yenye inazungumzia sisi atuyonagi labda nyiye kila Sunday pepo toka pepotoka 😁😁 ama munakimbiya kusali kwa wingi. Musijali iyonikwa faida zetu sisi wenyewe.
mpaka ndgu yenu muandishi anahisi kuna kweli ndo maana anataka kujua kwa sheikh mathayo
eti anafikiria anajua sana
Huna Elimu Ya Kutosha, Alafu Unatafsiri Andiko La Kitabu Cha Ayubu Kwa Kejeli.
Kejeli munazianza nyie Wenyewe na mukijibiwa munaanza hooo sijui elimu hana hata nyie mukiona munashindwa kumtambua Mwenyezi Mungu mmoja elimu zenu hazina faida ni sawa na hakuna kwahiyo hata Muislamu ambaye hana darasa hata moja la kisekyula huyo Muislamu kwa Mwenyezi Mungu huyo mmoja ni sawa na nyie muliosoma 1,000 hapo ndipo ujue kuwa Uisalmu sio dini ya kuchezea kama munavyodhani!
@@ramadhanwilbard8196 Hapo Umeongea Kiushabiki, Biblia Nzima Hakuna Andiko Linalotaja Uislam Au Waislam, Biblia Haitambui Kabisa Uislamu. Lakini Quran Inataja Wakristo Na Wayahudi Kwa Wema Na Kwa Ubaya, Hii Inatosha Kudhibitisha Kwamba Nyinyi Waislamu Hamuwezi Kukwepa Kwamba Baadhi Yenu Mnalazimishwa Na Quran Yenu Muwe Wa Kwanza Kuwafanyia Kejeli Wayahudi Na Wakristo Huku Mkijihesabia Haki. Kuhusu Mungu Mmoja Hiyo Ndiyo Imani Yetu Wakristo, Sote Tunaamini Kuwa Mungu Ni Mmoja, Kama Una Hoja Kuhusu Hilo Lete Hapa Nikufundishe Ukweli Huo.
Wakristo wanadharau walai,ati Yesu alizaliwa kwenye zizi la mg'ombe mahali kuna mimavi inanuka,ati ndo Yesu alilzwa
Uislam niushetan
Uyooo simulizi anaanza kuiona haki ila anajikaza tu
MUNGU ni mjua yote lakini anakua anaweka nafasi yakujieleza kama vile mtihani (( mfano MUNGU anamuuliza ADAM uko wapi?? Mbona unajificha?? Umekula lile TUNDA nililo kukataza?? alafu unajua ni jibu gani ADAM alimjibu mungu?? Swali MUNGU anauliza Adam yupo wapi, kwani alikua hajui Adam na hawa walipo na anawauliza kama walikula tunda kama vile MUNGU hakujua kama walikula tunda ila MUNGU alifanya ivo ili kupima mtu huu Ana utii ghani kwake na kampa kuchagua mema na mabaya ila ADAMU alitupia lawama MUNGU na uumbaji wake wote kusema kama MWANAMKE alie mpa ndie kampa tunda na akala jifunze kwa hili wewe domo kubwa akili ndogo
Hoja Zako Daifu Kama Mtume Mhamadi Alichukua Maneno Kidogo Ya Bibilia Mengine Aka Jiongezea Mwenyewe Kwa Akili Yake
Ingekuwa rahisi hivyo basi wengi wangeweza kutunga vitabu kama Quran
Unapoona kuna mambo yanafanana ndani ya Quran na Biblia tambua chanzo cha maneno hayo ni kimoja na SIO Quran imekopi hilo jambo no jepesi kulitamka ILA haliwezekani kwakuwa Quran ni kitabu very complex chenye mambo mengi ttofauti yasioweza kutungwa nà mtu kamwe
@@rizikiyahya5254 😂😂😂😂 Acha umaamuma Qur'an ni sawa na riwaya za Maqureish kilichoandikwa na Zayd Ibn Thabit Kwa maelekezo ya Ab bakri na Omar baada ya kufa chifu wa Maqureishi wa Makka na Madina Muhammad
Malizeni stori tujue hatima ya ayubu mungu alimuacha?
Mbona mumekata dili la mungu wa bibilia na shetani wakipanga mipango ya kuua ng'ombe wa ayyub ?
Kila siku huwa nasema Wapumbafu kama hawa wanaopindisha maandiko , Sio wakuwasikiliza , Bible au CANON, inakanuni zake sa kusoma na kutafasili , lazima ujue Context na Amunetix kanuni za kutafasili maandiko acha andiko litafsiri andiko na sio kwa akili kama hizi za kimsikitisikiti utapotea
Apo ndio wazungu walipo kupaten ata mkistuka mmekwisha na ndio maana wenye akili hamuwaweki uko wanatoka
Wanajuwa tu kununuwa vumbi kwa mwamposa loohh
Sikiliza kwa makini hapo natukampelekea roho wetu akajifananisha kwake sawa na mtu..inaonekana kama vile huyo mtu aliyeandika quran alikuwa anajichanganya kwasabbu hapo inaonesha kabisa iliwekwa roho wa mungu tumboni mwa mariam ili yesu ajifananishe sawa na mtu..alfu ukija kuwasikiliza hao hao waislamu utasikia wanakwambia yesu alikuwa ni mtu wa kawaida wakati quran yao yenyewe inasema alijifananisha sawa na mtu ili neno la mungu litimie afe,azikwe na kufufuka kama ilivyopangwa ..qurani yenyewe inadhibitisha yesu atazaliwa atakufa na kufufuka lakini qurani hiyo hiyo inakataa hakufa😅aisee ni mambo ya ajabu sana..kwakuwa qurani ina story nyingi zakweli kabisa kuhusu mungu yani hicho ndiyo kitu kinawafanya waislamu wengi waamini kuwa mtume ni mtume wa m/mungu kumbe wizi mtupu
Ndio maana mnazidi kua wajinga kila siku coz ukimbiwa hivi wewe unataka vilee
@@MohamedAhmada-ie7ke kuambiwaje nyinyi ndio mmeshindwa kuitafsiri hiyo quran mtapata tabu sana mpka mje kujua ukweli..mungu awasaidie kwakweli
Ivi simulizi ni muislam au vipi
Matayo umeisha kabisa ,nadhani wewe ni Mwalimu wa madrast awaal uwafundishe watoto wadogo Sana, (majini wanasumbua Sana wanadamu walio nje ya YESU KRISTO )
😂😂 kila uchao kanisani pepo toka lkn aya toki😂 ukweli unauma mzee pole sana
Huyo anafaa kuwafundisha waislamu baadhi Yao walio mambumbumbu wanaitikia Kwa sababu wapo kama mazombi hawapendi kusoma maandiko ndo maana huyo jamaa akiongea wanaitikia tuu ,ndgu zangu mjifunze kusoma maandiko sio Kila jambo analoongea huyo jamaa mnaitikia
Sefania suraya 3 aya ya9
Mungu anaahidi kuleta lugha moja yakumuabudu je? Wakristo mnaweza kutuambi iyo lughaniipi
Au Us stadhi amepindua andiko labda ni JINA moja nasio lughamoja kamavile mnavo fnaya kwaJina layesu kwa jinalayesu au hiondo lughayenyewe nutusaidieni.? majibu
Soma 8 afu shuka hiyo lugha safi tutakao pewa na Mungu ni baada ya Mungu ku wateketeza waovu maana Baada ya hukumu
Swali Je Tayari hukumu ilisha kuwepo hakuna uovu
La pili wapi imeandikwa kuwa lugha ya kiarabu ndo ilikuwa lugha ya binadamu hapo awali
Maliza kusoma mandiko mwisho ya Ayubu usikate story
@@jeanbaptistebutoyi1609 tusomee mpaka mwisho tujifunze
Atuambie hapo nyuma ya msikiti alikokimbilia Mariam ni katika mji gani na nchi gani? Bila shaka atasema ni Maka Saudia, wakati biblia inasema ni katika mji wa bethelehem nchini Israel, hapo ndo utaanza kujua Isa siyo Yesu. Tuanzie hapo.
Ilikua Israel Palestine nyuma wa msikiti wa masjid aqsa Hadi wa leo huwo msikiti uko pale Israeli.....sio saudi yesu hakuzaliwa saudi usilete unafiki
😂😂😂😂. YOHANa kwa Yahaya huu ni uchizi
Vumilia tu kwan auja ambiwa uwe mkristo
Mathayo UNAMJUA SHETANI MBINI ZAKE. SHETANI ANAWEZA KUTOKEA KAMA MALAIKA LAKINI LAKINI anakuwa na jambo moja la kukufulu ambalo hilo atalitumis kwa ujaja kumpiga MUNGU mfano soma kitabu cha mwanzo jisi alivyomdanganya hawa. Alijifanya kumuubili hawa ukweli wa MUNGU WOTE KUMBE NDIO TAYAYA KASHAMDUMKIZA KWENYE MOTO.
Wewee haujui chenye unaamini..majinni si ni mashetani? Na unaabudu nao
Uisilamu mzuri kuchezewa matsko nashetani😮 ajabu kusali namajini. Acheni kupotosha watu watusaivi wanafunguka macho mmbebaki nyietu poleni
Wenye akili huwa wanatoa ushahidi kwenye vitabu, je ili tujue una akili unaweza kuleta ushahidi wa hayo uliyoandika kutoka kwenye vitabu vya dini?
Kashifu ILA tambua muda unapita na uhai unaenda, zindukeni msije sema hakuwajia muonyaji
@@rizikiyahya5254 Mimi siwezi kumuombea maiti. Nimwache YESU Aliye hai YESU ndiye uzima. Nanjia yakweri. Mohamadi. Ashakufa. YESU yupo hai.
Quran ilikuja nyuma, ukweli wake ukoje
Waislamu someni sana UFUNUO 9 sura yote...inawahusu hasa kuinuka kwake...
Sasa yesu ni nani kulingana na wewe?
@@abdallahdoka9173 kulingana na BIBLIA Yesu ni MUNGU MKUU...soma Nabii isaya 7:14, isaya 9: 6 -7 na Tito 2:13... MWOKOZI, MUNGU MKUU... BIBLIA na BIBLIA peke yake...usiongeze NENO Wala kupunguza..
Inaeleza Kwa mafumbo ya kinabii jinsi mohamedi alivyotumia majeshi kueneza DINI yake...na kuinuka Kwa Dola la kiislamu ottoman empire
Ndugu zetu wakristo mnataka msomewe nini mbona hayo ni maandiko msiwe kama yanga na simba kuna maisha baadae
@@JumaOmar-ku6cr wewe kafiri toka kitambo tu. Utakuwa mwislam utoke kutumia maji badae ukatumiye karatasi? Eti Juma Omari? Aca kuzalilisha mitume usiitwe tena Omari, Tangu leo uwitwe Paulo ao Matayo plz. Kasome historia ya Omari kisha badae urudi hapa kwenye comments. Mxiiiiiiiium
Maandiko pia yanasema Muhammad ni nabii wa Uongo! Mana yeye pia ni mpibga Kristo. Vp apo tuko pamoja? Au mpaka nikupe Aya
@@boubabizo246 Kafiri wa kwanza ni ww, kitendo cha kumuita mwenzio kafiri ikiwa ww mwenyewe ni mdogo ake kafiri inatutosha kukujua
@@Num3er22 kumbe wewe pia kafiri??? Daah.. ila ndo hivo. Mnatimiza yale mungu kasema. Makarifi wataenda motoni. Sasa sisiwote tukisilimu nani ataenda motoni? Hayaaa..
Mm vyovyote utakavyoniita ni sawa, mana kitendo cha mm kuwa mkristo ninaemfuata YESU nabii na mtume w kweli wa mwenyezi MUNGU nimekuzidi vyote kuhusu imani. Kuliko ww unaefuata uislam kisa mtume wenu wa Uongo Muhammad kawadanganya peponi mtaozeshwa wanawake warembo na mtakuta mito ya pombe! Mpka apo hujioni kama ww ni taahira! Mtume asiejua kusoma wala kuandika. 😂😂😂
kwani wakristo mlmungu mnamchukuliaje kwa mfano
Huyu ni shehe feki ajitokeze ajibiwe za wachungaj aache unafiki,tumehams uislam kwa ajili ya mambo yote
Simulizi hauna cha kupost nn! Uyo taahira mwenzio anaongea mwenyew kila siku unaweka video zake! Aongee hayo mbele ya NDACHA.
Akuna mtu alokwambia uwe mkristo usi tupigie kelele hapa kah kimya kenge ww
@@ramadhanjuma610 kenge mama ako ambae mtume kamdanganya akibahatika kwenda peponi atakutana wanaume wakukata na shoka. Na ww kenge maji utaenda kukuta mito ya pombe na utalala na wanawake warembo. Shituka Nyau ww, Nabii wa mwisho ni Yesu Kristo. Ambae ni njia ya kweli na uzima. Na ata kama ningezaliwa muislam, baada ya kujua ukweli huu wa kuwa Yesu ndie njia naa Muhamad alisilimisha majini anapotosha. Hakika ningehama uislamu mdogo etu. Tuliza mshono punguza hasira ndo utaelewa. Nyambonee 😂😂😂😂😂
Kijito ni hori 😂
Huyu jamaa ni mjinga na muongo Jehova witnessed ni watu wenye kuchukiwa na serekali na watu wa ulaya kwasababu ya kupinga kuhusu ushoga na sheria zao kwa waumini wanao fanya hivo hawa ruhusiwi Tena kufanya kazi nawao
Jama yupo kwa ajili ya uongo
Mkiwa mnatafuta kuhalalisha utume wa mud huwa mnatumia biblia ambayo mnapo banwa na maswali huwa mnasema imetiwa mikono vp hilo andiko halijatiwa mkono? Watu wa ajabu kabisa . SOMENI METHALI 22:1-36 MTAFAIDIKA SANA WAISLAMU WALIO NA WELEVU.
Yan hapo mtu ambaye ajui biblia ndo anaweza kuskiliza na kuelewa ..sasa nyie iv utabili wa kwenye biblia mliwai kuzingatoa iyo kitabu mnayo amni nyie Quran ...uwezi fananisha biblia ata siku Moja .....nikisoma tu ufunuo nasema akuna dini zaid ya ukristo
Ila waislamu nguruwe wanakula...kulingana na Quran
Wanarusiwa kula nguruwe ukiwa na dharula yaani ukiwa na njaa na hakuna chakula kingine😅😅😅😅 Qur'an kigeugeu
UKAFIRI unawasumbua kasome Quran (5:3)
Sasa wewe usiyejielewa unapo Sema eti wa Islam wanakula Ngurue, iliandikwa ni kwazarura na atujawahi ikula. Mbona nyama nyingi, na Mwz Mungu katufanyiya wepi bwana nanyiye vipi? Njoomutambue dini ya Uwislam dini ya haki ambayo aina shaka ndani yke😊
@@paulmushi2428 Mioyo yenu imejaa kiza mungu awanusuru muingie kwenye Nuru kabla hakijawafika umauti
Sasa ww unashangaa nini na ushaambiwa kwa dharura manaake ikiwa hunabudi na c ukiwa na njaa kama unavyosema kwamba hakuna business na usivyo kula unaweza poteza maisha sasa huoni upeo mkubwa uliopo ndani ya uislam na uislam umezingatia hali zote hakika uislam ni dini ya haki zilizobaki ni chuki tu
Huyo jamaa anaitwa Mathayo ni mropokaji tu hajui maandiko anaropoka tu,hajui lolote, ni mpiga makelele tu
Dogo vumilia tu kwani auja ambiwa uwe mkristo 😂
Wewe ujitambui
ndo kawaida yenu io,huna hoja ya kusema..watu wanatoa maandiko we huna andiko umekuja kiushabiki
Vumilia tu dawa inaingia utapona tu
Mipinga Kristo Mingi Imefeli La Saba Kwahiyo Haijui Kutafsiri Maandiko
Hujui biblia kaka ..wewe una hekima ya kiislamu ambao mapepo na majinni ndio wenye kumbuni uongo wa hii dini yao..potelea mbali!
.. hiki kindundu mtu....uislamu ni unafiki.... ahhahaha
Vumilia tu kaka sindano ina penya iyo 😂
@@ramadhanjuma610 ...sindano ya Mafia?
Wewe kaa kimya ujui kitu ,jiulize kwanza biblia na kuraan kip kilitangulia?? Nyamaza ksbisa ujui kitu wewe
He is shallow minded he has nothing substantive
Mbna Kwenye Qurani Shetani ni muislam haujaiona iyo wewe
😅 wakristo bwana!yani hapo umeona utafte hoja MFU?hujioni kuwa unafeli bwa mdogo??
KWA HIYO KAMA WA ISRAEL NI WAKRISTO HIVYO UKRISTO NI USRAEL?
USITOE HOJA ZISITO NA MASHIKO
Kuma tofauti ya Shetani na jinni.Yesu alipelekwa mlimani na Shetani.
Iyo ni biblia Nyingine Wewe ,usitelete ukatuona Sisi Wajinga Wewe
Kila andiko lenye pumzi linatoka kwa Bwana😂😂😂😂