Lava Lava - Maji (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
- Download The Song👇👇👇
lavalava.lnk.to/maji
For Bookings: iamlavalava@wcbwasafi.com
Follow Lava Lava On:
Instagram: iamlavalava...
Facebook: / iamlavalavapage
Twitter: iamlavalava?lang=en
#wasafi #lavalava #amazingfacts - เพลง
Wakwanza mimi like please 😒😒
Unapigwa muwa ww
@@SebastianDaniel-mb4nl shobo tu kuoga haaaa
@@Eagle_Sound like za nn sasa bweg ww usikut mtoto w kiume kabs utashonwa😀
From 🇨🇩 nipo makini nawe mr lava, ongera
Wa kwanza kutoka Kenya lkes zenu pliiiz
Una pigwa muwa ww
@@SebastianDaniel-mb4nl sikuelewi broo
nimwakwambia uwache kiherhere
Hili Amapiano ni kali saaana, naombeni likes za Lavalava na producer wake MR LG 🔥🔥🔥🔥🔥
Lava nimechelewa sana ila naomba like yako naya shabiki
Mi wa kwanza félicitations Artistes lava lava l m followers from Congo drc🇨🇩
Kazi zuri mdg wangu 😊 upo ki yesu yesu
Wa kwanza kutoka kongo nipe like zangu kama unamupenda lavalava champion 🇨🇩🇨🇩
Wimbo bora amapiano bora wa mwaka wala sio siri tunakupenda❤tuna ku aminia na tunakupenda saana
Nipeni maji nkunywe❤❤❤❤
Je viens de la RDC 🇨🇩🇨🇩 je te féliciter beaucoup mon artiste préfère lava lava
Namimi wa kwanza kutoka ZIMBABWE 🇿🇼🇿🇼
Kama unaamini lava lava kabadilika kwenye muziki saiv Yuko vizuri gonga like apa tujuane
Maskio yako mazuri sasa hivi, uliskia nyeeee hivi umeskia kiu 😂😂😂😂😂😂😂😂 kudos bro ngoma kali . Toka Somalia nakukubali Sana. Wasomali like zenu ziwe hapa 👊
Jamn tunao mkubali mwamba please please naombeni hata like tano please
Kenyans we love this jam
Barry Gingel ft lavalava. 2028🔥🔥🔥
Wakwanza 😢mimi nipeni like zangu
Wcb wasafi tujuane apooh ndugu zanguni 🥰🥰🥰🥰
Lava lava unafeli wapi mzee kama VIP toka wcb atakupoteza😂😂👍
Video Kali ya mwakaa Pablo 🎉🎉🎉🎉🎉
Njameni mimi nakuwaka wa kwanza kila Siku lakini sinja waii patanga hâta 1k plz 🙏🙏🇨🇩
Lava lava greatest of all time......🎉🎉❤
Pantho kingdom kenya tumepitisha #maji maji @likes hapa ukiikubali❤
Wasafi kazi zenyu hazipingiki na kama Yuko wakuzipinga ni bifu Tu.....WASAFI FOR LIFE❤️🇰🇪
JAMANI kama kweli unaitani tuzo kwa lava lava tupia like Hapa tujuane
Amapiano imeharbu content na. Mashairi yenye mafunzo kwa wasanii wabongo,,, ila nyimbo nzuri kaka. Lovebite,, maji to the world ❤
Hii ngoma ni kubwa sana mshirikishe Harmonize utanishukuru baadae, Combination yako na Konde itakua 🔥
Nouma mzee wang lava🏆🎧🥂🍷
Mwaka maji tucheze kama lavalava ❤ like zangu ni mimi
Sema lava anajua San sema amumzingatii
🎉🎉🎉
Oya weeeee hii ni BIG KICHUPA💥🙌🏾
Hit baada ya hit💯
Lavalava sku❤❤ zte hatari
No 1 here
Huu mdude kumamamake 🔥🔥🔥
lava lava hii ngoma ni kali sana... nimesikiliza sana nimejua uzur wake
Jama anajuwa sana🎉
Ngoma ya motooo hii 2024
Ila waTZ mambo ya amapiano yashapitwa na wakati. Kueni wabunifu kama sie wakenya. Si kila nyimbo ikue Amapiano. Kenge nyinyi. #Mombasa KE
Lava hatari siku zote....wasafi wewe namba moja ...
Wa 81 jaman mbaliii ila tia like kenge nyie😂😂😂😂
Sina mengine Léo team lava lava Naomba 🎉 like zangu 😮😮😮😮ata tatu mimi nashukuru 😮❤
Tulisubilia kwa ham kubwaaa
First artist from Tanzania
Mwamba karudi upya? Ebu angusha like apa!
Sawa
Uko juu lavalava
❤❤❤ moto aushiki ki we ndio masta
Hiii kali sana bro maaaaaji maji mwaga maji iiii🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 mbonga skuhizi ahuna views nyingi
Hili goma 🙌🙌🙌
I don't have lot of things to say. But WCB is the best label ❤❤. If you believe it put likes
Woyooooo 🔥🔥🔥🔥maji kama maji dadeki
Unaisha kwasababu yakushindia kitu kimoja # youngh king kid tz....rudi kam love baiti chalii
Video ya moto🔥🔥🔥 san mzigua mwenzangu👊😎
All way from Ghana 🇬🇭 love you lavalava❤
Lava lava ni fire sinabudi kukupa mauwa yako🎉🎉🎉🎉
Eeeeh nipe love ❤️ za Kenya 🇰🇪
My favorite lovely lava kipenzi changu hii imeenda kichupa kari 😊😊😊
Hovyo sana...amekaa wasafi mda wote huo lakini bado ajui mziki.....Yani kama ujui ni ujui tu 😏
Ungempa diamond hii sngekua star dunia nzima
Kuimbaa ty kuvumaaa aaah
Video director 🙌🙌🙌🙌🙌
Combination ya love ❤ bite na mr LG inakuanga tofali❤
Lava this is a hit 🔥🔥
Khaliii sanaaa Lava mohlove as kutoka 254
My Kenyan people 🇰🇪💪
Nice song keep it up brother 🇰🇪
Mbona mwagombania like zina faida gani jamani ?
Ukifikisha like 1000 unalipwa saw na mwenye nyimbo😊😊😊😅😅
@@hamah8536 kumbe basi na Mimi naomba like jamani swala la malipo 🥱😁
@@hamah8536 Kwelii😮
Mama uko vzr congrats❤
Nimeamuwa kuwa wakwanza ❤ebu tukusanyike sote apa
Wakwanza mimi KUTOKA inchi ya Congo 🇨🇩
Nipeni MAUWA YANGU JAMANI
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Iam form somali🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴😊
Inatuhusu Nini
❤❤❤❤❤❤much love from kenya 🇰🇪
Wakwanza like zng love bite
From Congo 🇨🇩 I like it
Kichupa cha moto umeua lava
kazi nzur kaka 🎉🎉🎉
from USA 🇺🇸
Nice song Mr lavabite
Kama unamkubal ninja gonga like apa🔥🔥💯
We need water all over the world 👏👏👏🙏👌👌👌👍👍♥️♥️♥️
Pablo hashikiki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huku Kenya tunakunywa na ruto bna 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
Kijana mbunifu huyoooooo❤❤
The dance got me smiling... Someone like my comment 😊😮❤
Mr. Lovebite🔥🔥🔥
NIPE like Yako APA kama lava lava ndo masani pekee Tanzania
😂😂😂
we pablooo hushikikiiii🔥
🎉 Kula chuma hicho 🎉🎉🎉
Big up love bite.....🎉
Tunao mkubali Lava lava tuyuane hapa Kwenye Like Nasubilia Nione Like nyingi kwa Lava lava 🎉🎉🎉
Kaka umeuaaaaaa hiiii ngomaaa🙌🙌🙌🙌
Unajua lavalava 🔥🔥🔥
Folex ameumiza sana humu ndani
Kikubwa sana lava boy
My Kenyan citizen 🇰🇪 ndo hii comment yetu,pita hapa na likes za kuappreciate Love bite✌🏿✌🏿✌🏿
Master shivo🎉🎉❤254 representing