KIFARU AMVUA NGUO GATUSO,KUIGIZA KUFA NI KIKI ZA KIJINGA,AMPA DOGO ZUUH MAUA YAKE,NIPO NAE NI NGOMA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
- Book us for any event @ferdbird1234@gmail.com or Alobo vibes on social media
Subscribe to our channel: / alobovibes
Follow US & GET IN TOUCH
IG, TikTok and FB: @alobo vibes
Copyright © Alobo Vibes TV
#AloboVibes
#AloboVibesTV
#WereHereForAloboVibes
#shambemedia - บันเทิง
Nimekuwa wa Kwanza naomba link zangu
Kimeuman Huko Naon Mpak Kufikiy Huko Nimeliya Xana😭🙌🙌
🎉🎉🎉🎉🎉
Iyo ngumi ngumi nayisubiri jmn muache kifaro ataki maongezi acha aende GM
Umeongea point ndo Mana kuna utofaut wa Mwanaum na Mwanamk ni pale kwa utofaut wa Mafikirio kidume kifaru Mweus Big up
Yy na Dogo ZUU NYASHI 😂😂😂
Kifaru Mungu akubariki kujita kifo dini zt zinapinga kazi za kuposti kifo sio poa jifunze kwa kambini mastar wakufa sn kwa sasa kujinyonga, magonjwa na mwenzi uhu ajali ya boda boda jifuzeni limetoka wapi kuna maisha bahada ya sanaa. Tusizidishe vitu kila kitu na okomo wake.
Kwa1 Alobo tv amko serious kikaz tiar mtu kafanya ujinga wak lkn Mnasupport ujinga kma huo Hongereni sana lkn muwe makin kwa mamb madgo madgo Endapo kma yatapata nafas huyo mjinga wenu akafie mbali hko
Alikosea sana jamani .unaji post umekufa? Dhu!! Nihatari
Alifika kwao alikuta wanakula ugali😂 Gatuso Mungu akusamehe
Amewekea × kwenye kibala ya kuongea ni comedy 😂🎉
Sio ujinga t ni ahana akil t
😂😅
Kiki za kijinga