Get The Song ⬇️ lavalava.lnk.to/kibango Follow Lava Lava On: Instagram: iamlavalava... Facebook: / iamlavalavapage Twitter: iamlavalava?lang=en #wasafi #lavalava #music
American🇺🇸,Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
Jameni wakenya wenzangu musiniangushe kwa another burn ya mondi na lava Wacha tumpe zombie more love for kenya❤❤❤ imfikiye mpka TZ weka like hapo tukisonga mbele
Bwana we ume kuwa na kimya ila ume rudi na jiwe 🔥 🔥 👌. ❤Wcb. Mzee mzima nusu binadamu diamond naye international act always.. We unaskia😂.. Nipe likes zangu toka 🇰🇪.
Kama bongo ndo makao makuu ya mziki Africa mashariki na kati naomba likes zenu. Wakenya tuwaachie kingereza tuone kinaingiza shilingi ngapi. Sisi mziki wetu lazina waupende. Watake wasitake. Kenya do you feel our tunes? We are at your service whenever you want good music just listen to BONGO FLEVA.
Diamond ni tz ghost artist maana mwamba anajua km ilijina la pablo yani linaleta ladha fulani kila mtu anatinga kusema pablooo duuh haujuwi umetisha east africa ghost singer like zangu jameni kwa wale wasio kua ma fans wanafki km tuna kubali Mondi ni ghost singer like zangu hata 100❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 🦁 🦁
Kama umerudia hii Ngoma zaidi ya mara moja nipe likes za Diamond na lava lava❤❤
❤❤❤❤❤❤
Sa like za nn we kuma😅
Neverrr
@solommwambie huyoonamir2107
@@solomonamir2107 umaskini unakusumbua licha ya kuitwa Solomoni😅. Imba wewe basi
American🇺🇸,Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
Mention us first please 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙆
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤🎉
saidi@@zazalareinebosslady
Jameni wakenya wenzangu musiniangushe kwa another burn ya mondi na lava Wacha tumpe zombie more love for kenya❤❤❤ imfikiye mpka TZ weka like hapo tukisonga mbele
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
bana huyo
Hii ngoma katengeneza PABLO not ZHOMBIE they are two different producers.
Bwana we ume kuwa na kimya ila ume rudi na jiwe 🔥 🔥 👌. ❤Wcb. Mzee mzima nusu binadamu diamond naye international act always..
We unaskia😂..
Nipe likes zangu toka 🇰🇪.
Tuliwambia ziik achen kumchokoza Simba la masimba dangote ona sasa ngoma tayr tunalo natushanza ruka nalo#wcb never disappoint#bonge la hit
Kama mmeielewa KIBANGO naombeni like Jaman maana nusu nife kwa Raha hii ngoma Tamu
simba why Pablo 😅😅 🔥🔥🔥ngoma yenyewe ni electric 🔥🔥🔥
King mond simba la masimba dangote wezombi nyepesi pablo🎉
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naomba like please
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
❤
Wakenya tu prove sisi ni fans wa WCB na likes hapa watujue sisi ndo original Diamond fans 😊
❤❤❤🔥🇹🇿🤝
@@najmahhassan7853❤❤
tu le mérites
kali sana...we zombie, haujui tz much love from kenya
kazi safi sana big up platinumz & lava lava
My favorite artist lavalava never disappoint 🔥❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Fare🔥 na sikia nyepesi sana likes za Kenya 001 uku tuki songa..bóom🔥
Weee zombiii... 🎉ngoma kali
MUNGU ANAKUPENDA NA KUKUJALI. MUOMBE NA KUMTUMAINI YESU. BARIKIWA. WEWE NI WA PEKEE, MUNGU ANAKUJALI.
They aren't pregnant but they always deliver ❤️💯
Aaaaah wametishaaaa....gonga like kama unawakubali wcb
Wakwanza from Kenya 🇰🇪🇰🇪 naomba likes 1000 please
Mzuka uku kenya 🇰🇪 😍 😳 pombe zinatembea Sanaa Simba kama Simba na Top writer Lover Man 👩🚒 🔥 Ziiki maumbwa sanaa
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Yaan ni ndani ntiuu nje ntiii.. TZ an KE we run EA
Kama umeitizam zaidi ya mara tano nipe like platnumz on the beat I'm from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🍾😎👊🔥
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Diamond platnumz is the best in East and Central Africa 🌍
Mondii atengweee PABRO 😂😂😂 GONGA LIKE apaa tupitee nazoo chap 🎉🎉🎉🎉
Ndomaana wla nlikua wameifungia ngomakali
🔥🔥lavalava kwenye ubora WA Hali ya juuu pamoja na zombiiiiiiiiiii Mondi🔥🔥🔥
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Mondi Siku th ndakuona na macho Yangu sijuwi itakuwaje , nakukubali sana mzee ,,, DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Simba unajuaa sanaa hii nyimbo nilikuwa sielewi ila Kila nikiskiliza naona huyu jamaa sijui jini spat picha
Camera rolls🔥 LET'S REPRESENT KENYA. LET'S SIGN UP🌹⌚🔥
Mimi wa Kwanza but huwa sipati likes zenu😭😭
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Soon hii nyimbo inaingia no moja trending😍
No , wamezingua.mondi atapush ila ngoma mbovu
Hii iko kwa basata😂😂😂😂
wee zombie❤❤ nasiki nyee🎉🎉🎉 love munch simba ft lava lava ❤wasafi 🎉🎉🎉🎉juu hawatowez🎉🎉
Na Simba la masimba DANGOTE ❤️❤️❤️🇨🇩
Oyaaaa hiii ngoma ikae namba moja on treanding 1 mpaka ziiki waombee msamaa kama unaunga mkono bas tupa like apoo sis ni washindii
We jamaa ujielewi nn labda ikawe trend ya wasafi ila so ya yutubu. Konde ndio atari ya mjini yuko trend namba one boya we
We umetumwa nn ebu toa uchaw wako apo
Cjatumwa jamaa ang karbu konde gang mpaka mashehe wanajua moto wetu
Huyu ka tumwa sii buree
We unadanganya watu sema kweli trend namba one ni
Harmo a.k.a jesh au konde
Mondi we sio level za bongo tena
Lavalava nakukubali sana mimi nishabiki wako toka drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Kenya wa kwanza likes hapa
This Banger Kali Sana naomba like zenu basi 10 hapa ❤from 🇧🇮🇧🇮
Mimi wakwanza kutoka congo DRC sud kivu napenda sana iyo Ngoma j'aime beaucoup 👍👍
Daah ngoma kal .hakuna wa kumushindanisha simba ❤❤❤❤❤❤❤
Wamebana wameachia WCB ni kubwa kwenye mioyo ya watu💪💪💪❤❤
Jamani naomba like Simba japo 100 tu
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Goma lilikuwa lishabasti kabla hata litoke 🔥 nzito sana tofali hili
Kibango hichoimeandikwa zombie nani ebu nisomee😅😅😊,,much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Yan mondi anajuaa jamaniii🔥🔥🔥
director Khasi see🎉
Aisseeeee you guys never disappointed aiseee....umesikiaa nakia nyeeeeh ....hatariiii kibango nipen malike mezayananiii kibango😊🎉
Babaa babaaa mr lavalaaaava na am simba la masimba dangote ebwanae mmetisha wacha kbs amapiano full udambee 🎉🎉🎉🎓🙋♀️
Lavalava is so underrated, he never misses when it comes to Amapiano songs.
Yeaas Man is so underrated but Simba is know this
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Wa kwanza from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like zenu plz❤❤
Pablo💯🤛🤜
I love this song 🎵
Leo wa Kwanza tz one love dondosha like hapo tusonge mbele ,
Wow❤
Baba Simba la masimba dangote umetisha baba👍👍
Diamond platnum hana mpinzani #diamond platnumz the GOAT
Jamn tuna king 👑 wanyimbo diamond 💎 platnumz music 🎶🎶
American🇺🇸, Japanese🇸🇯, Haitians🇯🇲, Afghanistan🇭🇹, Britainians🇬🇧, indians🇮🇳, Chinese🇨🇳, Belgium🇧🇪, Ukrainians🇺🇦, Filipino🇫🇯, Portuguese🇵🇹, Argentinians🇦🇷,spain🇪🇸, france🇫🇷Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
Diamond na WCB kiujumla wana nguvu sana 🎉🎉
Oyaaaaaa mpaka inafika kileleni Namba moja on treanding
th-cam.com/video/qtmrNS-_ELU/w-d-xo.htmlsi=bnKgQF06Rt267riR
Mr LG, you are on fire bro
Kenyans mko wapi ❤
Goma la kwendaa kma umelipenda like hapa🥳🥳
WCB 4lef
🔥🔥🔥
Wezombiiiiiii ume ua kaka👐👐👐👐
Kama bongo ndo makao makuu ya mziki Africa mashariki na kati naomba likes zenu. Wakenya tuwaachie kingereza tuone kinaingiza shilingi ngapi. Sisi mziki wetu lazina waupende. Watake wasitake. Kenya do you feel our tunes? We are at your service whenever you want good music just listen to BONGO FLEVA.
Ninoma kaka nakubali sana team lava lava❤
Niko tayari jaman, ipost yote, wa Kwanza nipeni like zenu jamani 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Hii ndyo ngoma hao zikii walikua wanagoma kuiachia halafu waachie ipo😂😂 kweli hawajuiiiiiiii🔥🔥🔥🔥
Yeah lava lava akiimba hvi ni anakua na moto mkali sana mazee🔥🔥🔥🔥hii haichukui man
Unyama wanangu daa hii inauwa ❤❤naombeni like ata kumi ❤❤
Wakenya tunasema shkamoo baba🙌🙌🤘✌🏻❤💘
Diamond ni tz ghost artist maana mwamba anajua km ilijina la pablo yani linaleta ladha fulani kila mtu anatinga kusema pablooo duuh haujuwi umetisha east africa ghost singer like zangu jameni kwa wale wasio kua ma fans wanafki km tuna kubali Mondi ni ghost singer like zangu hata 100❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 🦁 🦁
Hii ya leo ni kaaaalii nomaaa
Kenya show more love❤
Sasa hii laana simba 🙌 wakacheze wanakochezaga™
HAWA jamaa wako serious Sana kwenye swala la kuburudisha watu 💥💥💥
This so biiigggg 🎉🎉🎉🎉
Imiticha you 🎉 cabaisa urembo napatikana Mozambique 🔥🔥🔥💯
Weeeeeeeee🎉 Zombi 🎉 Haujui
Comoros 🇰🇲 are here with you good people . Big up together (African) as one !!
Ngoma kali lava lava
Wapi nduru kwa simba mwenyewe..thank for making bongo proud we ❤ u simba
Absolutely fantastic..We Zombie Haujui pamoja na LavaBoy..Love from🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Upo mji gani huko
Wangapiii tumeuludiaa kuelewa zaidiii mashairiii
❤❤Simba lamasimba dangote 💃💃🐕🐕
Unauwa watuh apaka kwetu drc🇨🇩 naiyo nyimbo bro club zote zinapigwa kwa mda huu i love you wcb
Simbaaaaa anajua saaana🙌🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Wow song kali aijawayi tokeya vraiment j'aime c chanson ninja avec lion le leader de Tanzanie 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
ewaaaaa mmetishaaa sana wananguuu hii ngomaaaaa ni mwishoooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Lava lava ft diamond plantnumz mumeuwa sana
Simba is the greatest artist to ever live in Africa 🌍❤️🙏
I am back for my 5X repeat of this song morning and evening dose🤦🏾♂️😊😊
Welcome back LavaLava 🎤 🎼 👌🏽💯🇹🇿🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Haujui Pablo 🦁🔥🔥 kutoka moz 🇲🇿
Approved!
Diamond platinumz is now the sweetheart of Africa
Lavalava let's goo never give up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯✍️
🗣️pablo pablo haujui 🎉😂😂😂
Nipeni like zangu mimi wa kwanza leo
Anaitwa simba mbwana ❤
Uyu jamaa atengwe aseee alooo noma sana ili ni bomu ❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Basata is typing...... Nyenyenyenyeeee😂😂😂.
Nomaaa sana nipe like hapa wa kwanza
Moootoooooo💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥
Waiting video big up Tz Talented boys
WCB for life ❤❤