Aslay - Mama (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 485

  • @FabianAlex-y8c
    @FabianAlex-y8c ปีที่แล้ว +3

    Aslay nilikuanakukubali ilaumezkngu engekua unajua machknga tunavokimbizwanamigambo usingeimba ujinga huo kuakana laisiwakitaa 😢

  • @elvisjuma550
    @elvisjuma550 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtoto kimaoni yangu amepoteza Dira sasa kwani Tanzania wasanii Wote wanaimba mama Mbna Nay wamitego ama yuko upinzani 😅Wasanii wakenya hawana huu pumbavu yakuimba Rais ....Huyu mama n ka anawapea donge wamimbe...sasa wasanii wa Tz s kio Cha jamii n cha mama all the from Kenya

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 ปีที่แล้ว

    Nyinyi watanzania MWAOGOPA RAISI SANA ata akikosea nyimwaona tu sawa Huku Kenya akuna kuficha Rais tunamwambia ukweli coz yeye binadamu pia hukosea

  • @RashidiMkumbeni
    @RashidiMkumbeni ปีที่แล้ว

    Kwa wimbo uu umefeli sijakubali

  • @andrewkilulu
    @andrewkilulu ปีที่แล้ว +6

    Acheni kuimba vitu vya uongo Jamani mnatuumiza 😢

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 ปีที่แล้ว +3

    Naomba uendelee kupotea kwenye game maana unataka kuwa chawa kwa jina la Yesu na utapotea

  • @samjr2841
    @samjr2841 ปีที่แล้ว +2

    Kazi kusifia viongoz acha ujinga

  • @musungu_official
    @musungu_official ปีที่แล้ว

    kijana mdogo lakini nyimbo zake zina wisdom ya wazee watatu wamiaka tisini

  • @OfficialAslony
    @OfficialAslony ปีที่แล้ว +1

    Ww ndo king sijaona kwakwel mbunif kama aslay huo ndo ukweli

  • @bindatalent6972
    @bindatalent6972 ปีที่แล้ว +8

    Mama gani? hata umeme unamshinda, namsikiliza aslay tu, lkn RIP JPM❤

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh ปีที่แล้ว +12

    Iwapo unampenda mama yako Na unamwombea Maisha marefu aone ukibarikiwa siku zote naomba likes zako❤

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu ปีที่แล้ว +2

    Ila japo kuwa mm ni mkristo ila unajua kuimba na kutunga🎉🎉

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl ปีที่แล้ว +1

    Bonge la song

  • @okwarotv
    @okwarotv ปีที่แล้ว +1

    Aaah bro Kenya 🇰🇪 umepotea...now days uko down saaanaa

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 ปีที่แล้ว

    Nani anampenda uyo samia suluhu wewe sema ela una kwaiyo kuimba iyo nyimbo unataka maokoto kwani mani ajui kua ukimsifia uyo raisi unapata ata milion10 chap

  • @maggienjiru6879
    @maggienjiru6879 ปีที่แล้ว

    Hivi wakenya tuna nini ya kujivunia ila tubaki kuwaonea ngere wezetu kweli mama ametenda kumbe mwanamke anauwezo mkuu hvo.

  • @FrankPoul-r6t
    @FrankPoul-r6t ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni ya mama wa Tanzania tunangoja combination bro,, k.m samahani waiter ongeza glasi

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko ปีที่แล้ว +1

    Wasanii wa Tanzania mnafeli sana mnashindia kumsifu mama ili mpate shows za kisiasa wakati hafiki robo ya magufuli

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma ปีที่แล้ว

    Huo ni uongo bwana mm sikubalian na hayo ata kdg

  • @skalaboy
    @skalaboy ปีที่แล้ว +2

    skala boy music artists from KENYA 254 we love you aslay more than diamond i mean your king mdogo aslay❤❤❤ welcome 254🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mrtravellianke
    @mrtravellianke ปีที่แล้ว +181

    We bana tunangoja kazi international Sasa sisi mafans wako wakenya dedication za Samia zinatuhusu aje

    • @wise9268
      @wise9268 ปีที่แล้ว +4

      Well said

    • @lugarboy9483
      @lugarboy9483 ปีที่แล้ว +5

      😂😂😂😂😂😂😂mwaambie

    • @DJQueenBeeOG
      @DJQueenBeeOG ปีที่แล้ว +16

      Ndo mkae kwa kutulia msubiri vinavyo wahusu😂😂

    • @kenyanstarofficial6548
      @kenyanstarofficial6548 ปีที่แล้ว +15

      Weee acha bifu nani ,anaimba kwa furaha zake. ukitaka kuskiza uskize.. mi ni mkenya ila sikuungi mkono kwa maneno yako . Msanii hutoa ngoma do apate views ama kwa intetion yake , akimwimbia huyu Rais wao pengine atampa surport na hapo diyo target yake .. aslay zidi twakupenda🎉🎉

    • @MchubeEmmanuel
      @MchubeEmmanuel ปีที่แล้ว +2

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @elizabethkweji
    @elizabethkweji ปีที่แล้ว

    Mungu amlinde,Ampe hekima, wanaume waliiharibu hii nchi, Mungu ainue wanawake wengi waipiganie hii nchi, wanaume mafisadi tupu 😃😃😃

  • @LuqumanUpudo
    @LuqumanUpudo ปีที่แล้ว +3

    Toa nymb za kuelewek sio za ushubamiti

  • @aaysays325
    @aaysays325 ปีที่แล้ว +1

    NYimbo nzri inaujumbe ila kwa vile mamb y mam siyaelewi nmeona nyimbo yako kama vile iko nje na maada

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 ปีที่แล้ว

    Tufanye kama hatujasikia maneno ya huu wimbo ila jinsi huyu mwamba ameimba, jamani Aslay ni moto sana anajua vibaya sana

  • @tzfinest75
    @tzfinest75 ปีที่แล้ว

    Huyu mpuuzi tu. Kumbe naye chawa. Anatakiwa apuliziwe dudu killer.

  • @fizzo_beats9902
    @fizzo_beats9902 ปีที่แล้ว +3

    Lete kazi aslay za mama zipo nyingi sasa umeimba mozah, angekuona lete ya tofauti sasa,

  • @Iddy-pg8kj
    @Iddy-pg8kj ปีที่แล้ว +1

    Acha kuimba tuu mjomba

  • @NasraShafii-q8f
    @NasraShafii-q8f ปีที่แล้ว +1

    Me nampendaa tu aslay wetu jmn kuimba wangemuachia yy tuu tanzaniaa 😂😂😂❤

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 ปีที่แล้ว +3

    Rais wako pekeako na wazanzibali mbwaa weeee

  • @DaudiMwasyeba-md5do
    @DaudiMwasyeba-md5do ปีที่แล้ว

    Aslay umezingua Sana Kama vyakuimba vimeisha acha wevp

  • @jonathanbrayson6946
    @jonathanbrayson6946 ปีที่แล้ว

    Aya logen Tena dogo kaanza upya kwa hapa aslyey kamaliza kazi mama ni mama

  • @alisalim2725
    @alisalim2725 ปีที่แล้ว +1

    Raisi wa bongo nikusifiwa tu kupingwa ni mwiko haha aisee

  • @martinezthomas030
    @martinezthomas030 ปีที่แล้ว +8

    mimi ni shabiki wako ila kwa huu hamna ulichoimba

    • @YunVocal
      @YunVocal ปีที่แล้ว

      Wew ndiyo hujui mziki sas, mziki mzuri kabisa ,,, njoo usikilize mziki Wangu I hope siku Moja tafany Collab na Aslay inshaallah 🙏

  • @DanielSeveline-mc6ey
    @DanielSeveline-mc6ey ปีที่แล้ว

    Yaani badala utusemee shdazetu mhmhmh njoo kitaa ujionee

  • @tayk4745
    @tayk4745 ปีที่แล้ว +1

    Kama ndo umekuja hvi Bora ukalime kilimo Cha matikiti anaupiga mwingi Nini, ugoro?? Au ulanzi mwehu ww Bora hata ungefanya cover ya naenda kusema

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri ila CCm ndiyo siwaelewi wanaunga tu mikono Kila kitu mfano kikokotoo Kwa wafanya kazi , bandari, Tozo, na mengine🎉

  • @seluno7139
    @seluno7139 ปีที่แล้ว +1

    Nlkua nadhani ni mama yako banae

  • @JumaShimende
    @JumaShimende ปีที่แล้ว

    Ufundi saut ya muziki Ashley imba imba imba Asaley imba hakika unajua pongez sana.

  • @OxeaBukuku-o6d
    @OxeaBukuku-o6d ปีที่แล้ว +1

    Acha unafiki

  • @noeltheliberalmillennial4886
    @noeltheliberalmillennial4886 ปีที่แล้ว +17

    Ambia Mama Salama tunamtambua kama mama Kenya pia. We are proud of her
    ❤ from Nairobi 🇰🇪

    • @papamacheso
      @papamacheso ปีที่แล้ว

      Pia Mimi naomba support yenu wakenya wacheni story za tz

    • @SabaSaba007
      @SabaSaba007 ปีที่แล้ว

      Mama Kenya gani??? 😂 😂 Na bibi ya ruto utamuitaje??? We wacha mchezo bana chunga usideportiwe😂😂😂

  • @JafariYuster-jt1qr
    @JafariYuster-jt1qr ปีที่แล้ว

    We dogo fala kweli umekosa cha kuimba aliyekudanganya machinga mapedeshee ni nani pumbavu kabisa Yan ss tunachomeka na jua af unaimbaimba2 ujinga ingia na ww mtaani uwe pedeshee

  • @ayoubjuma122
    @ayoubjuma122 ปีที่แล้ว

    Oya unaua vaibu komea hapa hapa tu ngoma zetu tuu huku sio kweli

  • @ashraff_tz
    @ashraff_tz ปีที่แล้ว

    ❤ my president

  • @hm3854
    @hm3854 ปีที่แล้ว

    Aslay yupo juu sana, hamna nyimbo hata moja isio fana, nampemda sana huyu mwana, Mungu azidi kuang’arisha nyota yako mwanangu.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 11 หลายเดือนก่อน

      Ila mimi sijuwi anakwama wapi au ajaingia kwenye chama nini

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 ปีที่แล้ว +1

    Bora ungeongelea na tatizo la Umeme

  • @jacobmurai6447
    @jacobmurai6447 ปีที่แล้ว

    Imependeza sana hii. Aslay mtunzi mzuri sana. Mbna tungoje mama afariki ndiposa tumpee maua 🌹 yake?
    Heko Aslay👍🇰🇪

  • @ramadhanijuma2632
    @ramadhanijuma2632 ปีที่แล้ว +1

    Apo umezingua sana man

  • @HanscanaHustle-rc9gr
    @HanscanaHustle-rc9gr ปีที่แล้ว

    Kunakauli alipenda kuiludia ludia MTETEZI WAWANYONGE KWAMBA TUTAMKUMBUKA KWER TWAMKUMBUKA MAANA PAKA SASA KIRA KTU KIMEKWENDA TOFAUTI MAJI YASHIDA UMEME WASHIDA SABUNI ZIRIZOKUWA MBILI 500 SASA NI MOJA MIATANO 🥴🥴🥴🥴😩😫😩😫🥴😩😩

  • @mrrajjy
    @mrrajjy ปีที่แล้ว +17

    Team konde msapotini Aslay kwanguvu zote 💥💥💥💥

  • @mwasangwaleagriculturalact8510
    @mwasangwaleagriculturalact8510 ปีที่แล้ว

    Upuuz tuliuacha huko achen ktafuta usikiv imbeni kinachotugusa jamii. Kusifu

  • @davidbarack9879
    @davidbarack9879 ปีที่แล้ว +5

    more likes from nirobi kenya, kayombotole, aslay ni mombototo sambatana, wimbitimo imewembeteza

  • @jullymkongwe4380
    @jullymkongwe4380 ปีที่แล้ว

    Sijaona bado nakupa mwaka mmoja tu utaelewa

  • @martinwambua4758
    @martinwambua4758 ปีที่แล้ว

    Tuna taka kazi poa ..wachana n suluu

  • @TIM54PUBGMOBILE
    @TIM54PUBGMOBILE ปีที่แล้ว +17

    I wish aslay was born in Kenya.. after long time he hasn't changed the vibe in his songs. BIG love.

  • @BsbJs-tl4qi
    @BsbJs-tl4qi ปีที่แล้ว

    Bna wee tupe vitu vzr

  • @issabella1455
    @issabella1455 ปีที่แล้ว

    Mwamba achiya ngoma uwafunike wote

  • @yusuphmbega4005
    @yusuphmbega4005 7 หลายเดือนก่อน

    nilikuwa nakupenda sana kazizako aslay ila kwasasa nakuona chawa ufaiata kidogo

  • @Iamjaysimple
    @Iamjaysimple ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimb ingekua yamapenz kali sana beat na mixing melody kali

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 ปีที่แล้ว

    Asley sasa Umeishiwa Nyimbo Duuuuh

  • @issackjoseph6436
    @issackjoseph6436 ปีที่แล้ว +2

    Mtupu haulambwi,ukiona unalambwa unae msosi

  • @umenyagatv7163
    @umenyagatv7163 ปีที่แล้ว

    Machinga mapedeshee ingia mtaani kaone

  • @PierrotMulamba-vn7sz
    @PierrotMulamba-vn7sz 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante aslay niko fan yako kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @giftchongofikansa4301
    @giftchongofikansa4301 ปีที่แล้ว +15

    Am a Zambian citizen but I really really love aslay songs very much, much love 💕 you bro man

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon ปีที่แล้ว +1

    ASLAAY🏆

  • @ROSEWISLAY
    @ROSEWISLAY ปีที่แล้ว

    WISLAY KOMBO FROM KENYA AM BACK ASLAY MY MENTOR LOVE YOUR LYRICS

  • @noblechild5652
    @noblechild5652 ปีที่แล้ว +2

    Jinsi ninavyompenda Aslay na ngoma zake Mungu ndiye ajuaye❤❤❤❤

  • @patrickkimuli204
    @patrickkimuli204 ปีที่แล้ว

    Aslay ni msanii mchezo kando

  • @PaulNigo-yq5ps
    @PaulNigo-yq5ps ปีที่แล้ว +1

    Rais nimemkubali tu kwaajili ya aslay kwakuwa aslay nampenda sana pia namweshimu mno apo ndo ameiludisha kula yangu kwa samia

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 ปีที่แล้ว

    Aahaa aahaa aahaa aahaa aahaa aahaa aahaa aahaa mdomo koma

  • @skalaboy
    @skalaboy ปีที่แล้ว +1

    that is aslay we need ❤❤❤🎉

  • @pauldaniel6227
    @pauldaniel6227 ปีที่แล้ว

    Au sio aslay mm ni shabiki wako sikuzote ila leo umeniangusha kiseng yaani mama kakupa pesa nn mbn mm sijaon zaid ni vitu vinapanda bei mafuta ..kodi ya majeng , makato , na mengin mengi we unaimba anaupiga mingi duhhhh aya bn kweli tz na msanii wangu mmoja kam sio wawil nay na roma hawa ndo wanaelewa san nchi inaendaj

  • @OfficialAslony
    @OfficialAslony ปีที่แล้ว +1

    Brother congratulations nakkubar sana mung azidi kukuimalisha

  • @bongo39
    @bongo39 ปีที่แล้ว

    Hongera imetulia nyimbo hongera kwa kumsifu mama kwa kweli anahitaji pongezi mama

  • @NikolaiMwambene-e2o
    @NikolaiMwambene-e2o ปีที่แล้ว

    Siamin Kama kweli ndo ulishafilisika kimziki kiasi hiki

  • @saidikinguti1303
    @saidikinguti1303 ปีที่แล้ว

    Hapo umeniboa au huna pesa harafu usiseme tunampenda sema unampenda

  • @rabsontryphon9254
    @rabsontryphon9254 ปีที่แล้ว

    Aslay hapa umetudanganya

  • @angalikiyanajeanmariemerci4758
    @angalikiyanajeanmariemerci4758 ปีที่แล้ว +4

    Safi kabisa

  • @jumannewazir6716
    @jumannewazir6716 ปีที่แล้ว

    Aslay brother angu juzi nimefatikia itaveu Yako na milady yaani kweli unaweza maana Nikitu upo nacho aslay Mimi nakuambia endeleza gems maana unaweza

  • @AnithaJohn-i4z
    @AnithaJohn-i4z ปีที่แล้ว

    Nyimbo ni nzuri ila utekelezaji uo wa Mama kuipiga mwingi mi siungi mkono

  • @declarkakeyo5634
    @declarkakeyo5634 ปีที่แล้ว

    We bana dedication za huyo mama zimetuchosha,,,ama unamtongoza baaana,,,ama unakula serikalini,,,,,omera buana

  • @joycemageta4876
    @joycemageta4876 ปีที่แล้ว

    Mmh unataka kua chawa mdg wngu eeh

  • @peacboy737
    @peacboy737 ปีที่แล้ว

    Mimi binafsi ni fans wako wa toka enzi ila huu wimbo Aujanikaa sawaaa Bora unge imba Happy to all mother's mambo ya siasa Wakurungwa hayatuhusu na nime worch tu ni jue umeimba nini kumbe utoporo nikushauri Asley usitafute za kwenye Bahasha bana we tupia Song zuri maokoto yatakuja tu na so kutuchanganyia na siasa
    Fansi wako wapo vyama vyote sasa we kama unataka CCM. Shauri yako 🧐🧐🧐

    • @SinemaZaChina
      @SinemaZaChina ปีที่แล้ว

      hata fans wawe wa vyama tofauti lakini wote raisi wetu ndio huyo mama kwaio hakuna namna mimi sijasikia kwenye wimbo kataja ccm

  • @BoazBoaz-z1u
    @BoazBoaz-z1u ปีที่แล้ว +1

    Wanao msifia samia twende na hoka ameifanyia nini taifa letu tofaut na kutuingiza kwenye madeni makubwa😢😊

  • @jamilahalrajhi9172
    @jamilahalrajhi9172 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali sana kazi Yako aslay

  • @iddyshabani-wx4un
    @iddyshabani-wx4un ปีที่แล้ว

    Amerud na kasi yake, awez kufa kimziki ad anaingia kaburini

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว +2

    Nikajuw nyimbo kwa ajili ya Mama ake kumbe Mama Samia 😢

  • @alfredbizimana7814
    @alfredbizimana7814 ปีที่แล้ว +37

    Kenyans are ready to give a hand to any tanzanian artists without even rely on what artist is singing, that's why we tanzanians 🇹🇿 have intimacy for you guys❤

    • @deemusique2426
      @deemusique2426 ปีที่แล้ว +3

      What is the meaning of intimacy😳

    • @geoffreykinyangi9402
      @geoffreykinyangi9402 ปีที่แล้ว

      ​@@deemusique2426close familiarity or friendship.

    • @ROYALCFCFANS24
      @ROYALCFCFANS24 ปีที่แล้ว +1

      I bet you don't know what what you saying bruh😂😂😂

  • @BonifaceSylivester
    @BonifaceSylivester ปีที่แล้ว

    Hapo umeanza kupunguza mashabik wangu. Wa kwanza mimi 😢

  • @DullyFish
    @DullyFish ปีที่แล้ว +1

    Makopa mengi jamni kwa aslay fundi talent ❤❤❤❤

  • @Eizyme
    @Eizyme ปีที่แล้ว

    upuuzi mtupu, inamana umeshinda kuimba nyimbo za kureta mabadiriko kttk ubovu wa mifumo ya kiutendaji kaxi wa hii serikari mbovu ya MAMA SAMIA, mnasifia sana utasifia mpaka ujinga na upuuzi,

  • @ashleystarqueen8780
    @ashleystarqueen8780 ปีที่แล้ว +2

    Aslay sauti yako nzuri mno Rabi akupe umeri mrefu na uishi miaka mingi kama namba za vocha sichoki kuskiza mziki wako kazi nzur sana Aslay one day i pray to God that uendelee hivyohvyo kiukweli umeibeba Tanzania nzima na wewe ni kioo cha jamii kwa hii dunia listening you from mombasa Kenya tafadhali njoo show sharks nwaka huu tafadhali my fv artist 🔥🔥

  • @abassimussa7473
    @abassimussa7473 ปีที่แล้ว +1

    Nimeona Tu maji na Barabara na inchi iko na Giza umeme

  • @ZiggieJayMusiq
    @ZiggieJayMusiq ปีที่แล้ว

    Aslay unaimba adi unakera😥❤

  • @VictorNyambe-xl8gg
    @VictorNyambe-xl8gg ปีที่แล้ว

    tunaona mnajipendekeza kwa vile uchaguzi unakarbia au siyo hamna cha mama hapo

  • @eveamatta2245
    @eveamatta2245 ปีที่แล้ว

    Tz are praising their president while Kenyans cry every waking morning cos of theirs😭

  • @benahgrafix
    @benahgrafix ปีที่แล้ว +2

    Heshima ya bongo fleva tunakupa we bro

  • @allanmajiwa9308
    @allanmajiwa9308 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli usemwe huyo mama kafeli💯

  • @juliusmaroa4629
    @juliusmaroa4629 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri bro big up Nairobi Kenya tunakutambua

  • @VictorFranael
    @VictorFranael ปีที่แล้ว +1

    We jamaa aliyekuroga akuhurumie hata kidogo.