FULL VIDEO: KIKWETE ALIVYOTINGA KWA JPM IKULU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 49

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂Mzee Kikwetu,
    Et aendelee kutukandamiza

  • @rajabumlau5911
    @rajabumlau5911 6 ปีที่แล้ว +5

    duu mzee tunakukumbuka sana kwan wasiojulikana wamekuwa kero

    • @hassanmirambo5671
      @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว +2

      Rajabu Mlau hata ktk awamu yake walikuwepo sana tu ila nadhani ulikuwa bado unanyonya ushauri wangu fanya kazi ndio siraha ya kuepukana na majungu

    • @PaulJelais
      @PaulJelais 8 วันที่ผ่านมา

      Kero wamewahi kukuteka au😅

  • @PaulJelais
    @PaulJelais 8 วันที่ผ่านมา

    Aendelee kutukandamiza😂

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 6 ปีที่แล้ว +7

    Aendelee kutukandamiza.

  • @geja8708
    @geja8708 6 ปีที่แล้ว

    Hadi raha yaaan jinsi wanavyopeana support wakubwa

  • @greciousnewgeness3170
    @greciousnewgeness3170 6 ปีที่แล้ว

    MUNGU BABA IBARIKI TANZANIA MUNGU BABA WABARIKI VIONGOZI WETU WENYE MAPENZI MEMA NA NCHI YETU🙏 VIVA JPM

  • @geofreykupenda2147
    @geofreykupenda2147 6 ปีที่แล้ว +1

    Wabeja sana😀😀

  • @amirmotors9735
    @amirmotors9735 6 ปีที่แล้ว +7

    Aendelee kutukandamiza hahahaha

    • @hassanmirambo5671
      @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว

      Amir Mpenike fanya kazi wewe ndiyo siraha ya ukombozi wa maisha yako

  • @patienskasigano6164
    @patienskasigano6164 6 ปีที่แล้ว +4

    Kandamiza kabisa usihangalie uso wa mtu

  • @fatmamasoud6243
    @fatmamasoud6243 6 ปีที่แล้ว

    Wavejaaa saanaaa wavejakuyumbaaa

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 ปีที่แล้ว +8

    KUDADEKI, MAFISADI KAMA FISADI LOWASSA WANATAMANI KIKWETE ANGERUDI ILI WAENDELEZE GURUDUMU LA UFISADI! LAKINI KIKWETE KAWAGEUKA KWA KUWAAMBIA " KANDAMIZA, NIMEKUJA KUMPONGEZA RAISI KWA KAZI NZURI ANAYOIFANYA MAANA HATUJAONANA KWA MUDA MWINGI."

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 6 ปีที่แล้ว +2

      Na kweli yaani roho zinawaumaje!

    • @godfreymbwambo4460
      @godfreymbwambo4460 6 ปีที่แล้ว

      KITU GANI HUELEWI HAPO? KAMA HUELEWI NENDA KASOME SHULE TENA!!!!HAHAHHAH!!!

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว

      Kama kawaida yako Kada wa Chama na Maneno yako yakurudia rudia kila siku yasio na Maana Sasa Lowasa Hapo anakuja Vipi..? huna Jipya nini wewe Mpare..?Ifikie Hatua wa Tz tuwe na Akili tuache ushabiki wa Kijinga wa Vijiweni..

    • @godfreymbwambo4460
      @godfreymbwambo4460 6 ปีที่แล้ว

      MIMI SIONGEI NA MAFISADI BWANA, MAANA JINSI ULIVYOJIBU HAPO JUU, INAASHIRIA NA WEWE NI FISADI. HAHAHAH!!!! POVU?

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว

      @@godfreymbwambo4460 Hamna Ppovu lolote..Tubishane kwa Hoja sio story za kusikia tu na wewe unachukua..Kwanza Nipe Maana halisi ya Fisadi..?Hao Mafisadi Mbona hawajapelekwa Mahakamani mpaka leo..?Acha Kuongea hadithi za kusadikika wewe ukiitwa utoe ushahidi utatoa hizo ni Story tu mzee Baba.No data no Right to talk.

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 6 ปีที่แล้ว +4

    Tuko pamoja JPM

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 6 ปีที่แล้ว +1

    Haaaa love Tanzania

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 6 ปีที่แล้ว

    Mwendo wa hip hop kaz kaz maneno badae saf sana

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 ปีที่แล้ว

    Jpm Nyoosha nchi kwa kutumia rula.. adi inyooke

  • @munamuna414
    @munamuna414 6 ปีที่แล้ว

    Hadi raha

    • @amedeusmagufuli5139
      @amedeusmagufuli5139 6 ปีที่แล้ว +1

      Utamu sana kuwa ccm ya jk na jpm penda sana wote jmn

  • @ismailramole1700
    @ismailramole1700 6 ปีที่แล้ว +1

    aendelee kukandamiza...

  • @enockkitomarys4909
    @enockkitomarys4909 6 ปีที่แล้ว +4

    mhhhh kwel aendelee kutukandamiza...
    kila mtu anaona bhn aendelee Kutukandamiza

    • @hassanmirambo5671
      @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว

      Enock kitomarys na mlivyo mnapenda starehe halafu kazi hamtaki kufanya kila siku mtakuwa ni wa kubadirisha maneno likisemwa hivi mnalimaanisha vile HAPA KAZI TU

  • @HansBwoi
    @HansBwoi 6 ปีที่แล้ว +1

    Aendeleh tu kutukandamiza 😱😱😱😱😱

    • @hassanmirambo5671
      @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว

      Hans Bwoi1983 ukipendelea kuendelea kukaa tu vijiweni bila kujishughulisha ndio mtakalia maneno hayohayo kila siku kubadirisha maana

  • @jamesjjoseph5908
    @jamesjjoseph5908 6 ปีที่แล้ว

    full video

  • @blackwayne7279
    @blackwayne7279 6 ปีที่แล้ว +1

    Kukandamiza co?!

  • @nemangowi1418
    @nemangowi1418 6 ปีที่แล้ว

    Hahahaha kwakweli kandamiza

  • @fabianimbilinyi3787
    @fabianimbilinyi3787 6 ปีที่แล้ว

    ccm inogire

  • @fantsonmpango7742
    @fantsonmpango7742 6 ปีที่แล้ว

    Wanawashwa eti!

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 6 ปีที่แล้ว +2

    mmmmh....!!!!

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 6 ปีที่แล้ว

    Miss u

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 6 ปีที่แล้ว

    Vyuma vya bana

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 6 ปีที่แล้ว

    Tukandamiwe tupate akili za kutafuta

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 6 ปีที่แล้ว +1

    Raha sana

    • @pendomarco9307
      @pendomarco9307 6 ปีที่แล้ว +2

      nzuri hiyo wabeja sana

    • @kasimmango9269
      @kasimmango9269 6 ปีที่แล้ว +1

      Raha sana nikisikia wimbohuu uwanaona raa kuzariwa tanzania

    • @boniphacetv739
      @boniphacetv739 6 ปีที่แล้ว

      @@pendomarco9307 mwabeja mayo

    • @boniphacetv739
      @boniphacetv739 6 ปีที่แล้ว

      @@kasimmango9269 safi sana

  • @tabumpate9762
    @tabumpate9762 4 ปีที่แล้ว

    Ulimi auna mfupa

  • @Kifyasi
    @Kifyasi 6 ปีที่แล้ว +2

    nikiongoz mzur ila sio mzur

  • @fjafrica62
    @fjafrica62 6 ปีที่แล้ว +1

    Kukandamiza ehhehheee