Yan lii kuna mtu nilimpendaga sana sana sana hadi nilihisi kuchanganyikiwa na ilikuwa sio rahis mtu uyo kumsahau baada ya kuachana na ilikuwa ngum sana kumuv on ilinichukua miaka mitatu sijamuv on ...but now nishamtoa moyon kabisa nishamuv on da yan siamin kabisa kumuv on...yan sitaki tena kumuingiza mtu moyon mwangu tena yan kama ilivyokuwa kwa yule ...nakama nikipenda sitoingia moyo wng wote ili ikija kuachana niweze kumuv on kwakwel...simtaki tena walah maana mmmh angeniua yule mtu...yan sitaki tena kupenda kama vile wala kumpenda tena yule x wng simtaki tena ...na najua lazima atarudi na sitompokea tena
@jamilaathumani5481 hongera mm bado nashindwa hata kutoka najikuta nampenda Tu hata afanye lipi bado nakosa uamiz nasema acha Nivumilie kidg ikinishinda sio ridhiki yangu
Liz please naomba nikuulize jambo la mahusiano lkn kwa kuzungumza directly na wewe inawezekana?
Naomba namba, elize saimon nikuulize maswali ya anakwa ana
Ni sahihi na ni ukwli mtupu nimelithibitisha hilo
Yan lii kuna mtu nilimpendaga sana sana sana hadi nilihisi kuchanganyikiwa na ilikuwa sio rahis mtu uyo kumsahau baada ya kuachana na ilikuwa ngum sana kumuv on ilinichukua miaka mitatu sijamuv on ...but now nishamtoa moyon kabisa nishamuv on da yan siamin kabisa kumuv on...yan sitaki tena kumuingiza mtu moyon mwangu tena yan kama ilivyokuwa kwa yule ...nakama nikipenda sitoingia moyo wng wote ili ikija kuachana niweze kumuv on kwakwel...simtaki tena walah maana mmmh angeniua yule mtu...yan sitaki tena kupenda kama vile wala kumpenda tena yule x wng simtaki tena ...na najua lazima atarudi na sitompokea tena
😂😂 na wew unatusimulia au mbona mkek mkubwa ivyo mpaka unaziba nafas za sisi wengin ku comment
Pole dada Wakina Jamila mnapenda sana half mnaumizwa sna mtu unampenda ila anavyo fanya
@jamilashabani8580 Yan kumbe wajina uyo..wow..🤭😁nishapona hata ivyo..but thanks dear

😂😂😂