FANYA HAYA KWA MTU ASIYE JALI HISIA/UPENDO WAKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024
- ili kumfanya mtu anae taka kukuacha bila kua na sababu ya msingi nawakati bado unampenda, kuna njia kadhaa za kurudisha Penzi na likaendelea kua bora zaid
FANYA MAMBO HAYA ILI KUMFANYA MTU ASIYE JALI HISIA ZAKO NA AKAKURUDIA HARAKA
KWA MAONI NA USHAURI PLS 👇🏾👇🏾
PIA PLEAS NAOMBA USUBSCRIBE NA KUTUFOLLOW KUPITIA 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Subuscribe hapa- / @lizamedia
Tufollow kupitia - ...
...
/ lizamedia_
igshid=MWI4MTIyMDE=
CAMERA MAN-
...
Ahsat Maneno mazuri San inahitaji kuzingatia Kwa anaejielewa shukran 🎉🎉🎉❤
Macho mazuri❤️
Asantee sanaaa madame
Jitaidi kuvaa vizuri
Kipindi chako ni kizuri,ila tambua kuwa kinatazamwa na watu tofauti,jitahidi kuvaa nguo za heshima zinazoendana na Hadhira ili ufike mbali zaidi,Barabarani Usalama kwanza kisha sheria,So hata kama Mada ni mahusiano Usalama wa watazamaji lazima uzingatiwe,Hongera kwa mafundisho,Ubarikiwe mpendwa.
Somo nzuri
true kabisa
Daaa nimekubali ushauli wako lakin nimeachwa sasa iv
Vaa nguo ndefu basi
hahaha nimechekaa
Asante dada
Nyie mmekuja kuangalia mavazi au
Asante sana 🙏
Unyama sana dada
Asante dada upo vzr
Mbona umevaa tisheti u sketi Iko wapi
Mim ninampenzi mwanzo hakuwa na kazi yeyot mim kwa jinsi ninavyompenda nikampa pesa akawa anafanya kazi ya mam nitilie mim kazini kwangu nikapat changamot ila leo hii ananitesa sana kwa sababu sina kazi ila yeye hakumbuki mema yangu na kumuacha nashindwa nifanye vp dada
U talking something special sana , hata ukiwa una mpa mtu priority then akawa ana ku ignore ktk mapenz just move on yaan change for while , tu stop kufanya vile ulivyo kuwa una vifanya , basi utaona tu talatibu ana ludi kwako 🤞🏽🤍, maan matalajio yake yana kuwa yame stop so must his\her ata ludi tu ku taka the same love apo utakuwa ume win tayar
Mavazi gani tena hayo😢😢
Usiige wazungu,(mavazi)
mbona hauvai muzuri naiko nashauria
Dada mimi mumewangu simuombi chochote kwasababu najitafutia ila anatama zawanawake wainje hadi nikienda safari kidogo analeta malayazake hadi kwangu nishauri dada nashindwa kuachana nae sijuwi nifanye nini
Pole san dada angu Aya mapenz yanaumiz san
True