EXCLUSIVE: CHIDI BENZI AJIPANGA KUANDAA TAMASHA LAKE KAMA WASAFI FESTIVAL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Kupitia #KijiweUkwaju
    tunakusogezea bonge moja la interview na Msanii Wa HipHop Legend CHIDI BENZ Msikilize Hapaaa Alivyofunguka....
    HOST
    @fesaltz
    @sumaphd
    CAMERA MAN
    @mboggo.jr

ความคิดเห็น • 479

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 5 ปีที่แล้ว +108

    Kitu nilichogundua akili ya huyu jamaa ni kubwa mno...Kama unakubaliana na Mimi gonga like hapa

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 5 ปีที่แล้ว +2

      Akili kubwa mno bang na unga tu ndo tatzo Yani anakichwa chenye madini

    • @maxlattinokiki8105
      @maxlattinokiki8105 5 ปีที่แล้ว

      Wewe hamna kitu hapo mla unga yoyote anakipaji cha kuongea kama huamini mzamini

    • @tazrichard2494
      @tazrichard2494 5 ปีที่แล้ว +1

      Anaakili kubwa sana mjinga awezi kuelewa

    • @hamadramsey7514
      @hamadramsey7514 5 ปีที่แล้ว

      huyu jamaa ni kichwa kinoma yan ana akili mno nimependa sana idea yake ni nzur sana sana sana kama atasikilizwa kitafanyika kitu kikubwa na chenye mchango mkubwa ktk tanzania yetu

    • @jaffarymangamba3537
      @jaffarymangamba3537 5 ปีที่แล้ว

      Hichi kichwa
      Aaah anatumia Akili nyingi sana
      Mungu ampe uhai mkumbwa 👏👏👏

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 5 ปีที่แล้ว +28

    Jaman huyu ni kichwa sana nawalaum sana waliomshawish ale sembe

    • @mvungigaming
      @mvungigaming 5 ปีที่แล้ว +1

      Fact smart...kwa kichwa....

    • @ziakaitala2221
      @ziakaitala2221 5 ปีที่แล้ว

      @@mvungigaming jamaangu umeona madawa ya kulevya yalivyohalibu kizaz hik?

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 5 ปีที่แล้ว

    Chidi nataka nikupe wosia kidogo.walahi usipojirekebisha,utapotea.na watu wata kuja kusahu mpaka muziki zako.lakini ukijiamini nakuambia utarudi kwenye game fresh

  • @mrmsasajames4690
    @mrmsasajames4690 5 ปีที่แล้ว

    Anakula kitu gani mdomoni? Huyu jamaa anatia huruma sana bado nafasi anayo naombeni serikali na wadau tumsaidie CHID BENZ tusije kuchanga mamilioni baadae huku saizi nafasi tunayo yakumsaidia

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 5 ปีที่แล้ว

    Bangi Na Madawa Ya Kulevya Haijawahi Mwacha Mtu Salama

  • @Christianjack
    @Christianjack 5 ปีที่แล้ว +128

    Awa watangazaji awajawahi kubadilisha izo nguo zao kama umekubaliana na mimi gonga like apo.

  • @cultureboytz1873
    @cultureboytz1873 5 ปีที่แล้ว +97

    Kam umegundua chidy anakula ugolo weka like yako hapo

  • @diamondplatnumz41
    @diamondplatnumz41 5 ปีที่แล้ว +4

    Halimuona chid na ugolo like hapa

  • @kfastak
    @kfastak 5 ปีที่แล้ว +16

    Huyu jamaa muoneni chiz ila mutakuja mkumbuka siku akiwa hayupo... Samahan lakin hatuombeani mabaya ... MUNGU niwetu sote

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 5 ปีที่แล้ว +8

    I dreamt yesterday that this man had come to Kenya. His ideas and passion shld be taken seriously. He is a flag bearer in TZ music genre. This man goes beyond songs. He shld have a post in a national culture board as a consultant. He shld be in the film industry and many other more things.The "tunawasanua" that comes in b/w the interview sounds like a noisy interruption. Professionalise it with some decency and order

  • @diamondplatnumz41
    @diamondplatnumz41 5 ปีที่แล้ว +4

    mim nasoma koment t kama na wew unasoma gonga like hapa

  • @gabriel_tz2989
    @gabriel_tz2989 5 ปีที่แล้ว +42

    Hilo neno tunawasanua linakela muwe mnalitoa kipindi cha interview

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +1

      True

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 5 ปีที่แล้ว

      Gabriel_tv Online yaani wangejua linavyokera watu wangelitoa

    • @hassankidisa8070
      @hassankidisa8070 5 ปีที่แล้ว

      Waache watusanue

    • @cnc5755
      @cnc5755 5 ปีที่แล้ว

      kama konki

    • @adammbarouk4842
      @adammbarouk4842 5 ปีที่แล้ว

      Ina bore hiyo break mloweka...halafu mmeshindwa kujua mnafanya interview na mtu mwe sauti ya uwezo gn..its real bored

  • @fatumaabdallah566
    @fatumaabdallah566 5 ปีที่แล้ว +12

    Huyu chid akili zinamzd uwezo ndiomana anadat😂😂😂😂

  • @abuubakrachani1943
    @abuubakrachani1943 5 ปีที่แล้ว +35

    dah.....hapa kwa chidi m nimejifunza sana ........kweli kwenye maisha hkuna m2 anjuwa kesho yake.....roho inaniuma sana nikimkumbuka chidi wa Mwasiti....pole sana broo

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว +49

    Chid ana akili saana mnamchukulia poa poa kwa sababu ya matendo kadhaa tuu

    • @ramjanjoojoo827
      @ramjanjoojoo827 5 ปีที่แล้ว +1

      OfficialBasaga

    • @ramjanjoojoo827
      @ramjanjoojoo827 5 ปีที่แล้ว +1

      OfficialBasaga

    • @Basagamp4
      @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว

      @@ramjanjoojoo827 naaaam

    • @hajiiddy4843
      @hajiiddy4843 5 ปีที่แล้ว

      King kiba hebu mrudishe huyu broo kwenye gemu

    • @emmanuelasheri7037
      @emmanuelasheri7037 5 ปีที่แล้ว

      Mchane utakua umemsaidia,chid anahitaji msaada bro mate yamemjaa mdomoni bado kuanza kudondoka chini,sikia matamshi yake kama kajaza mate mdomoni ana ya cotrol

  • @ramadhaniddy3384
    @ramadhaniddy3384 5 ปีที่แล้ว +5

    Oy gonga like apa kama umekubal kuna watu wanaloga mpaka vyuma

  • @Bongo1Media
    @Bongo1Media 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka sana baada ya kusoma kichwa cha Habari 😂😂😂😂😂😂

  • @divamrembo8788
    @divamrembo8788 5 ปีที่แล้ว +7

    gonga like hapa kama umeona ugoro kwenye domo la chidi

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว +3

    Unga na point alizo nazo nivitu tofauti kabisa wenye uelewa wameelewa ameongea juu kwa upeo mkubwa sanaa sijui wahi kuskia akiongea km hv ila wabongo tumechukulia niteja tu angalieni point alizo ongea kielimu zaidi mfano aliyo piga yeye kuhusu yeye kuingia kwenye cm bonge la example walio soma Logic watakua wame muelewa

  • @castorthobius101
    @castorthobius101 5 ปีที่แล้ว +2

    chidi shikamoo bro kwa hii interview inatufundisha vingi sema wanaokuhoji ndo wafinyu wakupanua maswali chidi ukija faulu kuutupa uchidi ulionao saivi ukavaa uchidi mpya akuna atakae Cheka na wewe

  • @juliusonesmomfumya8709
    @juliusonesmomfumya8709 5 ปีที่แล้ว +28

    Mnawasanua kina nan, mnaboa na hilo neno katkat ya interview

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 5 ปีที่แล้ว +2

    Chid ukimsikiliza ni bonge la genues but lazima mkiianzisha mbele ya safari lazima arushe ngumi😂😂 sisi tunamjua chid kitambo

  • @rashidomar1908
    @rashidomar1908 5 ปีที่แล้ว +6

    Upuzi mwingi2 na hilo neno lenu katikati ya interview tunawasanua nn upuzi2 inaboo sana na hilo neno lenu chukuweni time yenu ...

  • @felixchiluka9925
    @felixchiluka9925 5 ปีที่แล้ว +8

    Mnasanua mikundu yenu mnakela bana

    • @rashidomar1908
      @rashidomar1908 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha 😂😂😂 interview imeboa coz ya hiyo tunawasanua yao

  • @gadsonmanchester475
    @gadsonmanchester475 5 ปีที่แล้ว +29

    Ase madawa siyo dili chid benz acha kula ugoro kama bado unampenda chid gonga like

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +16

    Nakukubali sana *ChidBenz* ila sipendi hayo maugoro yako na acha madawa tunakupenda SANA, cha mwisho ni neno *TUNAWASANUA* linakera sana.

  • @fetymwamba8685
    @fetymwamba8685 5 ปีที่แล้ว +15

    Nenda mbele huko!unaniuzi hubadiliki na ndio maana watu wanakususa emu acha ivyo vitu vibovu unavyo tumia emu angalia mdomoni sijui ameweka nini jamani alafu unalia watu wamekususa badilka kwanza chid benz

    • @fredmankaingu4172
      @fredmankaingu4172 5 ปีที่แล้ว

      Fety mwambie tuko nnje ya kwetu Africa na tunamfatilia lakini hapendeki..unga noma

    • @wolfhelmgothom6641
      @wolfhelmgothom6641 5 ปีที่แล้ว +1

      Kaeka Ugoro huo Mdomoni

    • @fetymwamba8685
      @fetymwamba8685 5 ปีที่แล้ว

      @@wolfhelmgothom6641 😆😆😆kah huyo mtu anaelekea pabaya jamani

    • @elieereka8744
      @elieereka8744 5 ปีที่แล้ว

      Fety Mwamba dudu baya alisema afe tu waende kuzika kwa sababu yeye amekataa matibabu eti yeye sio mgonjwa

    • @muhidinsaleh6832
      @muhidinsaleh6832 5 ปีที่แล้ว

      #Huyu anatakiwa apewe counseling kwa umakini Sana why yeye yuko hivo na nn afanye

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 5 ปีที่แล้ว +6

    Hivi hii tv online imesajiliwa?hawa watangazaji mimi siwaelewi?

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 5 ปีที่แล้ว +11

    tunawasanua ndo ujinga gani huo , ujinga huo unapoteza radha ya mahojiano, na itawakosesha followers wengi

  • @RAMARUPIA
    @RAMARUPIA 5 ปีที่แล้ว +2

    Ebana katika skuzote leo chidi kaongea gud gud sanaaa bc tu broo uyu yan daah tumpe pongez tu ila ashauliwe mengine tusonge km mwazo ukweli anaweza......na tunampenda mpenda bado na bifu sio mpango watanzia tushkamane banaaaaaaaaa tuachane na kiki za online.

  • @bmcstudios9624
    @bmcstudios9624 5 ปีที่แล้ว +4

    Hizo kelele zenu za "tunakisanua" zinafanya mtu asijisikie ku-subscribe nakutorudia kucheki interview zenu zinakelaaa.

  • @saidichidudu7843
    @saidichidudu7843 5 ปีที่แล้ว +11

    Hizi advertisement katikati ya mahojioni yanaboa

  • @deljaysamil1153
    @deljaysamil1153 5 ปีที่แล้ว +1

    KING WA FREESTYLE CHID CHUMA

  • @smashempire4604
    @smashempire4604 5 ปีที่แล้ว +2

    Tungekuwa na wasanii wenye akili kama Chidi Benz hapa kwetu Nairobi, Kenya ingekuwa mbali sana.
    well said Chidi hope your dreams will soon be a reality. #yes_you_can #inawezekana all the best

  • @sammyaron3818
    @sammyaron3818 5 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji hamna kitu hawa na io tunawasanua inakera kichizi

  • @leocardiafipeko1104
    @leocardiafipeko1104 5 ปีที่แล้ว +2

    Chid kichwa sanaaa saluteee

  • @nasrtalki9461
    @nasrtalki9461 5 ปีที่แล้ว +8

    Watangazaji Leo mbona hamchekicheki😂😂😂 naona Leo mnaadabu,fanyeni Fujo muone

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @agnessjohn8404
      @agnessjohn8404 5 ปีที่แล้ว

      Nasr Talki 😀😁😀halafu wajaribu kukatisha wakati anaongea watajuta

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 5 ปีที่แล้ว +13

    Kumaamazenu mnafirwa io tunawasanua zogoo kumamazenuuu

  • @ambakisyemwanjemba6501
    @ambakisyemwanjemba6501 5 ปีที่แล้ว +9

    chid hataari unafaakuwa mtangazaji wanaokuhoji wote unawathibiti

    • @mvungigaming
      @mvungigaming 5 ปีที่แล้ว

      Ni multi talented....

  • @markkaitira8622
    @markkaitira8622 5 ปีที่แล้ว +1

    Chid tunakupenda ila starehe ulizonazo ni nyingi mno madawa,ugoro,sigara na kama unatumia vitu hivi lazima utatumia gomba na bangi hautafika popote kwa starehe hizo acha mzee baba watanzania bado wanakupenda ila umarekani mwingi ndio maana uko hapo na hali yako NAKUMBUKA CHIDSHOW ULIVYOKUWA NA SASA MADAWA SI MAZURI MUNGU MBARIKI CHID

  • @abubakarjabir3132
    @abubakarjabir3132 5 ปีที่แล้ว +1

    CHID GENIUS

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 5 ปีที่แล้ว +12

    Munaboa Bhana.. Ideas zenyewe za Kuiba..
    Tunawasanua, Tunawasanua
    Hatutakiiii..
    Munaboa..

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 5 ปีที่แล้ว +7

    But nakupendaga sana broo kwel wa2 wana pga pesa za wasanii sio uongo

  • @abdulchikut6553
    @abdulchikut6553 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaka chid mm binafsi mdogo wako nimekuelewa vizur uko sawa pamoja sana!

  • @stevebupamba5009
    @stevebupamba5009 5 ปีที่แล้ว +1

    you guys Tz...this man has a gorgeous idea and creativity ever.! !!!!.we can use this idea which might increase our GDP that will improve our economy..we need to think beyond on how to increase our national income not only in collecting taxes or improving tourism industry whilst there are other methods that will bring more money in Tz ...like music industry which has many fans,it will pave a way that our artist will increase their income and promote our country or opening new doors for the external investors incase of good supervision. And this will make the Tz artists to enjoy their works ...and prevent them to live unrealistic lives meaning the artists by big names but beggars in reality or drug sniffers...Chidbenz have spoken a right thing that should be remarkable... an artist is also having a normal life like anybody ..anyway we are ought to Support music for development and not for somebody benefits..sanaa isiwe ya kutengeneza majina yenye maskini wakubwa..HAPANA!!!@Big up to CHIDBENZ I appreciate this man...tusiponde tu ...hakuna aliyekamilika guy's.

  • @halimatanzani2610
    @halimatanzani2610 5 ปีที่แล้ว

    Apo.ulipo.domo.chid.bez.linanuka.kwa.kuvuta.unga.naiyo.sigara.atari.kama.dampo.unavyonuka

  • @juliusjosephat8880
    @juliusjosephat8880 5 ปีที่แล้ว

    gari limewakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @susanlazaro7492
    @susanlazaro7492 5 ปีที่แล้ว +4

    Mumuonyeshe comment kila fans wake anamlilia abadilike aache sembe na Hizo maugoro Maskini Chidi benz

  • @NeneMedia
    @NeneMedia 5 ปีที่แล้ว

    punguzeni hiyo tunawasanua wazee...

  • @officialraydizzy5147
    @officialraydizzy5147 5 ปีที่แล้ว +1

    wanao muitachidi mgojwa mamake zake muheshimu chidi mungu ndio ataamua juu ya chidi mamake sitaki kusikia mtu anatukana chidi muacheni kama alivyo mfalme wa daresalam

  • @DjRHINOInternational1
    @DjRHINOInternational1 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii tunawasanua ni jina la kijinga na ufala. Grow up. Na pia lipo out of tone ni kama mlifanyia voice over kwa simu. Aibu sana kumuona chidi kwa show ya kisenge

  • @rashidbakarisaid6985
    @rashidbakarisaid6985 5 ปีที่แล้ว +1

    Tupo Pamoja Chidy. We anzish a Alafu Waone Maajabu. 😎Chidy we ninoma we nihatari Alafu Upo Tofauti Kabisa

  • @baliigearhouse1015
    @baliigearhouse1015 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama Umeona ChiDi kasahau Huu Mwaka gani ,,twende sawa

  • @praygodmeena2935
    @praygodmeena2935 5 ปีที่แล้ว +1

    Hilo neno tunawasanua,lina haribu Ladha ya interview

  • @junioryulaw8706
    @junioryulaw8706 5 ปีที่แล้ว

    Chidy BENZI NAKUBALI BROTHER wachache Watakuelewa Vichwa panzi wata diss Uko Deeep Kupita Kiasi

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 ปีที่แล้ว +1

    unapo mskilizaa chid unanatakia ufikilie mbaali sana ana maneno yenye kujenga sana chid uko sahihii sana chid hakuna kakata tamaa

  • @SirdickOmondi
    @SirdickOmondi 5 ปีที่แล้ว +1

    chidi una ananichanganya kwenye tu VINAAA..... kipaji na jaribu kama wewe ilaaaa SINA....nabaki nakuita KIng KONG Itaaa....piga Vocal piga free style hadi saa SITA... HII NI bongo..... MZIKI Game... VITA. ....Wasani wote kwenye game ni shawaitaaaa

  • @MrMtulivu
    @MrMtulivu 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha doo jamaa yuaongea kwali yani hataki hata swali. Yaani Amepanga tayari show yote kabisaaaa hahaha noma sama.

  • @officialraydizzy5147
    @officialraydizzy5147 5 ปีที่แล้ว +1

    chidibenz wewe ni genius kaka nakukubali Sana kichwa ipo wanakusema bure lafamilia wanao kusoma niwasenge

  • @DIweni
    @DIweni 5 ปีที่แล้ว +2

    Chidy me mshabik yako lakin duuh,haya bhana hakuna namna🤔

  • @brotherblood3871
    @brotherblood3871 5 ปีที่แล้ว

    Mnaboa coz
    Poor welcoming code
    Poor questions
    Poor flow of ideas
    Alafu hamjui mumuige nani kama code yenu

  • @abdulrahmanhassan3825
    @abdulrahmanhassan3825 5 ปีที่แล้ว +1

    Hicho anacho kiongea chidi Benz nina Uwakika Asilimia 100/: kunasiku nchi jirani watakuja kukifanya ikiwa Wasanii wa Bongo watakidharau, kwasababu mawazo hutembea usipo yafanyia Kazi yataenda kwa mtu mwingine.

  • @Iamraychris
    @Iamraychris 5 ปีที่แล้ว

    Akilinyingi adi zimezidi freestyle zaukweli wanangu mwanamabangi bangi

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 5 ปีที่แล้ว +2

    😀😁😀eti tumeogopa kupigwa mngejaribu na maswali yenu ya kejeli mngemjua chid vizuri na hilo neno lenu tunawasanua sidhani Kama mungelitangaza yaani linakera kweli

    • @rashidomar1908
      @rashidomar1908 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha hapo umeongea sana linaboa sana

  • @rainflextheplug
    @rainflextheplug 5 ปีที่แล้ว

    nachukia kuona watu wanamhukumu kisa addiction....thou haters are everywhere

  • @costantinokisinga7933
    @costantinokisinga7933 5 ปีที่แล้ว

    Watangazaji wamekaa kisnitch sana....dats why thnadeal na kina lil omy and millard only...chid anaongea point afu wao wanaleta za kutusanua na kucheka cheka ovyo....salute chind beeng

  • @rajabseif2301
    @rajabseif2301 5 ปีที่แล้ว

    Oyaaaa wacheni usenge toeni hii kelelee ya TUNAWASANUA au anyway wacha ni unsubscribe

  • @msafiri85
    @msafiri85 5 ปีที่แล้ว

    Acheni kutengeneza pesa kwa kumuumbua huyu teja. Mwacheni apumzike. Na wewe Chidi kataa hizi interviews za kibwege zinakuumbua.

  • @godfreymgwasa9405
    @godfreymgwasa9405 5 ปีที่แล้ว

    Akili bado intact. Hajapotea kabisa, anaweza kurudi huyu.

  • @testarguy8609
    @testarguy8609 4 ปีที่แล้ว

    Chid nakuelewa sana akili yako GB za kutosha,mwenye akili mb mwisho 120 lazima akunockout na utatoka kapa

  • @fabbulous2
    @fabbulous2 5 ปีที่แล้ว

    uyo mtu anashout "tunawasanua" anaudhi... please tafuteni catch phrase ingine

  • @manyorifrancis8348
    @manyorifrancis8348 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa mbona mdomoni ni kama ana ugoro? Chidi Benz wa miaka ya 2007 sio Chid Benz wa 2018.

  • @goodhelpnolland9637
    @goodhelpnolland9637 5 ปีที่แล้ว

    Sembe imemharibu sana angalia alivyojaza ugoro mdomoni

  • @wemadoktarmichael6448
    @wemadoktarmichael6448 5 ปีที่แล้ว +2

    Hata kumuoji msanii ham jui kazi ya kukopi tu kutoka kwa shilawadu

  • @galgalloj1782
    @galgalloj1782 5 ปีที่แล้ว

    chidi benzi is very talented but believe me not anaitaji rehab,isipokua he looks addict chenye ameongea ni Kali.

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 ปีที่แล้ว

    Nyie wasenge Kila saa tuna wasanua mnaboa intaviw nzur mna halibu natangazo lenu Kila saa , achen uchok washamba nyie, chid nakukubali mwamba, mwamsanua nann Kila saa uchoko sna

  • @jamescasmir9730
    @jamescasmir9730 5 ปีที่แล้ว

    Daaaah Chid umekufa unatembea dead walking.hujui hata mwaka uliomo

  • @ellynassor7381
    @ellynassor7381 5 ปีที่แล้ว

    chidi ana akili mpk basi sema vitu anavyotumia ndo vinamfelisha ktk sanaa Ila uyu jamaa ubongo wake umeshiba mpk anadata..badilika chidi unamashabiki wanao kukubali kibao tu mbona..Ila unatuvunja moyo unapokula vitu vyako ivyo broo

  • @khatwabyshabani5592
    @khatwabyshabani5592 5 ปีที่แล้ว

    Chichichiiiiii,,,,,,,we Jamaaaa kichwa sanaaaaaa IPO siku utakaa sawa

  • @hamadramsey7514
    @hamadramsey7514 5 ปีที่แล้ว

    bonge la idea zur na lenye mchango mkubwa kwa tanzania yetu kimapato serikalini,kiburudani lkn pia hata ktk kuwafariji watu wanaoishi ktk mazingira magumu kimaisha lkn pia kudumisha umoja inshort jamaa ameongea point mjinga hawez elewa ila ataendelea kumtupia madongo

  • @seifgervas6837
    @seifgervas6837 5 ปีที่แล้ว

    Achaneni usenge weno huo kila muda tunawasanua tunawasanua tuone uchafu huo

  • @maulidomar7715
    @maulidomar7715 5 ปีที่แล้ว

    Nime msikiliza dudu baya konk maneno yake nikwel uyuu Tahira achae dawa Anazo tumia lasiivo Ana potea

  • @neemawilliam8415
    @neemawilliam8415 4 ปีที่แล้ว

    Mnakera na hilo litangazo lenu mpka nimepata hasira kuendelea 😎😎

  • @yakubyusuph249
    @yakubyusuph249 5 ปีที่แล้ว +2

    yan aya matangazaj yanajixhauwa alf kuoji ayajui maxhamba yanakazi yakuwachimba nakuwachora wa2

  • @imaishakhamic6390
    @imaishakhamic6390 3 ปีที่แล้ว

    Sister duu ana kisima ana bwawa aise nimecheka sana sema namkubali San chuna long life brother 🙏❤️

  • @phirmtv6095
    @phirmtv6095 5 ปีที่แล้ว +7

    "Tunawasanua" lina kera na pia linaleta picha ya mzaa kwa interview. Litoeni

  • @sumatanjunior231
    @sumatanjunior231 5 ปีที่แล้ว

    Toeni hiyo tunawasanua. It's loud and effing annoying.

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 5 ปีที่แล้ว

    hiko kijingo chenu kati kati ya maelezo mnazingua kishenzi hilo neno tunawasanua masikio yanauma sauti mbovu

  • @saidichidudu7843
    @saidichidudu7843 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu unga umemuharibu akili

    • @emedymangole2102
      @emedymangole2102 5 ปีที่แล้ว

      Chidi naona kama unajielewa sasa unafeli wapi acha unga bro

  • @kingbaitz522
    @kingbaitz522 5 ปีที่แล้ว

    ww unazingua uo ugoro utoekwanz ukiojiwa achana naujingauo ulionanao sisi mashabiki tunakupend sana ila ww unazingua badilika ww mkumbuke mungu matatizo yote ulionayo lakin watuwana kukumbuka bado jitaid badilika ww sio komed ww king of hip hap

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 5 ปีที่แล้ว

    mawazo ya Chid et Wasanii wakasafishe Ikulu,hospitali na mahakamani.
    Mara Sista duu hana kisima ana bwawa.

  • @vicentjohn7287
    @vicentjohn7287 5 ปีที่แล้ว

    ujinga tunawasanua ndo nn achani ujinga interview za kelele tu

  • @herbertpeter3026
    @herbertpeter3026 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah kilichoumia ni bando langu tu

  • @emmanuelboss5501
    @emmanuelboss5501 5 ปีที่แล้ว

    Kaane chonjo aawazubaisha mkizubaa asepe na hio simu.. Anatafuta njia apo

  • @youngmreno9931
    @youngmreno9931 5 ปีที่แล้ว

    Hilo Jingle lenu la Tunawasanua linakata stimu ya Interview, linakera

  • @hermannbiniface9458
    @hermannbiniface9458 5 ปีที่แล้ว +1

    kamsanueni mama enuuu mnapenda kuchek Cheka mbn hamchek

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 5 ปีที่แล้ว +3

    Watangazaj leo mme patikana 😂😂

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 ปีที่แล้ว +3

    Yani Rashidi unaongea mdomoni unaugoro umewegesha unaongea kwa shida kweli tema huo ugoro bana

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 5 ปีที่แล้ว

      Inampa mawaidha na kupanua akili yake😂😂😂😂

  • @ludagatv1563
    @ludagatv1563 5 ปีที่แล้ว +1

    jaman huyu jamaaa anavyo ongea bado madawa yapo kichwani achen kumuhoji msaidieni huo ugolo

  • @paschalsanya8339
    @paschalsanya8339 5 ปีที่แล้ว +1

    chid benzi material IQ iko sawa