Mungu alikua na kusudi na maisha ya mchungaji ili amtumikie na nyota yake ilikua inangaa na ndio sababu shetani aliiba nyota yake,lakini ashukuriwe Mungu kwa sababu anayaweza yote.
YESU alisema kila haina yote ya myama niyeye aliye umba kwazia mbinadamu hadi myama.Kumbuka wote walio huko huko kusim ni wake pia,Jizi halivyo kutoa divyo tu hatawatoa Kwa hivyo zidi kuwaombea pia na wao Amen 🙏
Mtumishi wa Mungu uko na nguvu za Mungu nimesikiliza maombi mwishoni mwa ushuhuda nimefunguliwa. Japo pia kwa mtazamo wangu kuhusu tatizo lililokupata baada ya kutoka kwenye chuo cha biblia ni kwa sababu ulimfuata shetani kwenye territory yake namaanisha huko kwenye theolojia. Theolojia haikutoka kwa Mungu hiyo Ili Kuwa. designed na shetani mwenyewe kupitia kanisa katoliki. Je Mungu ndiye aliyekwambia uende kusoma? Ndiyo maana ni muhimu kuongozwa na roho mtakatifu katika kila jambo maana yeye ndiye mwalimu wetu na mshauri wa ajabu.
yaani Imani yenu Hamsomi Theology??ndo nasikia leo ,Au ni Msabato maana Ndo najuaga wako Nyuma Na Maandiko na wanafikiria Wako sawa,Yaani Elimu zipo ili tusome,Soma Kitabu cha Methali,Usimuache Elimu aende zake
Wakati unavunja hoja ya mtu ambatanisha na maelezo yanayoweza kuibeba hoja yako kuliko ukimbilia kujificha kwa mungu.... Kwamaana ukijibu mungu ndio ANAJUA ni ipi maana yako ??? Je NIKIKUULIZA HIVI , yafaa kulifanya baya kisa tu umekuswa ??? Naje vipi Sasa huo mguso wako ikienda kuleta mabaya zaidi ?? Yaani kwa mfano umekuta ndugu yako anapigwa ikafika ukaingilia ugomvi ukamoiga Yule mtu ukafa je bado utasema hiyo kauli yako ya MUNGU ANAJUA ??? NAJE NIKWELI WEWE HUTOANDIKIWA DHAMBI??..
Bwana Yesu asifiwe Wana na Binti wa Mungu.......! Mimi huwa sielewi Watu wanaosema Wanauwezo WA kuongea na Bwana Mungu.... Nakwamba Bwana Mungu amewatoa mahali Kimiujiza.... Nakwamba Mungu anafanya Kazi nao Kimiujiza..... Halafu Wanafika Mahali Wanapatwa na changamoto.... Halafu wanaweka tumaini kwenye misaada ya Binadamu.....?...?....? Mtu unaushuhuda Mkubwa hivo... Kweli unashindwa kumwomba Mungu atende jambo kwaajili ya Afya yako......?...?...? Je Mungu unaye Mtangaza unamjua uwezo wake kweli .....?....?.....? Bwana Mungu akiamua kukutumia..... Jamani..... Anapenda tumtegemee % 100 (asilimia). Huyu Ndugu bado anaumwa nahisi ni kwasababu hakulitii Neno la Mungu alilo ambiwa akiwa Rwanda...... Aliambiwa akitoka huko asahau Mke na Watoto Wake..... Lakini yeye inaonekana alipo rudi TZ hakulitii Lile Neno...... Je Mke na Watoto ni Kitu Bora Kuliko Mungu..... Je Mungu hawezi kumpa Mke mwingine na akampa Watoto...???... Watumishi wa Mungu mnao shuhudia kuwahi kushikwa na Nguvu za Mungu mnakwama wapi...?.....?......? Ameshuhudia mwenyewe kuwa Ukiwa na Mungu kufa ni Faida..... Bima ya nini sasa....!...?...!....? Nashauri Atubu Kosa la kumrudia Mke wake....na akate mawasiliano naye..... Ategemee maongozi ya Mungu peke yake. Amen.... Mzidi kubarikiwa na Bwana Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai.
Unahitaji kusaidiwa sana sana kiroho mpendwa...naomba jitahid huu mtazamo wako kuwashirikisha watumishi wa Bwana walau watatu tofauti kisha tafakari majibu watakayokupatia na kama hutaridhika basi muulize Mungu mwenyewe atakupa majibu ila nikuache tu kuwa kukwambia kwamba MUNGU duniani humtumia mtu ili atukuzwe vile vile hata shetani naye hutaka mtu ili atukuzwe....kingine Mungu hakaririki namna anavyomtoa mtumishi wake ktk mapito naomba mimi na wewe sasa tuwe marafiki kwa hili jambo ili tupate majibu ya maswali yako..Amen
Kaka ufahamu wako umenifanya nifurahi WAKATI naisoma coment yako, ujue kuna vitu vingi kiufahamu ikivitazama vina vuruga sana kwa hawa watumishi ,bado ulimwengu wa roho na mungu na shetani vinakuwa na mtihani sana kwetu.. Maana Kuna muda kuyatizama hayo maisha ya ulimwengu wa roho na huyo mungu mwenyewe kwa kupitia hawa watumishi wetu , bado inakuwa ni kitendawili na fumbo kubwa .. maana hata WAKATI unapo hisi kumuelewa au kuwaelewa bado ukituliza ufahamu wako vizuri unajikuta kumbe huelewa chochote.. Eti shetani anaomba nguvu KWA mungu na anapewa , hii inawezekana vipi ?? Sasa vipi nikisema mungu huyu anatumikia sehemu zote mbili ?? Je kwaiyo huu Ni mchezo mungu anatufanyia ??? Naje huyu mungu alikuwa na haja gani ya kuyafanya yote haya WAKATI yeye Ni mpole na mkarimu kwanini Sasa atese viumbe vyake ??? Wakati ameahidi kuvipenda na yeye yu mwema wakati wote ??? Je mungu ni mkengemfu wa ahadi zake mwenyewe ??? au mungu ni baba aliye telekeza kiumbe chake mwenyewe ???. 0782 704 670
Dah nilikuwa sijaona! Mambo makuu haya! MUNGU wangu mwema niwezeshe nami niweze kukupa kitu kupitia Mtumishi wako Mch Jonathan
Mungu tusaidiye
Mungu alikua na kusudi na maisha ya mchungaji ili amtumikie na nyota yake ilikua inangaa na ndio sababu shetani aliiba nyota yake,lakini ashukuriwe Mungu kwa sababu anayaweza yote.
Amen mtumishi🇰🇪, kuchoma majira inamaana gani? Naomba ufafanuzi
Ina maana kuchoma sindano za uzaz wa mpango mpendwa huku Tanzania tunaita sindano za majira
@@magdalenapeter6106 asante sana barikiwa, kwa hiyo ata tempe yani pills si mzuri?
YESU alisema kila haina yote ya myama niyeye aliye umba kwazia mbinadamu hadi myama.Kumbuka wote walio huko huko kusim ni wake pia,Jizi halivyo kutoa divyo tu hatawatoa Kwa hivyo zidi kuwaombea pia na wao Amen 🙏
Amen sana muchungaji umenibariki sana kiukweli
Mbarikiwe sana pia wewe mwanahabari. Asante kwa maswali mazuri.
Asante saana kwa Injili hii
Ushuhuda huu ni wa miujiza sana,mtulete part ingine
Ni vizuri umeuliza
Ni kitambo tiskie testimony ya Mch Jonathan..anaendela aje kwa sasa
Mtumishi wa Mungu uko na nguvu za Mungu nimesikiliza maombi mwishoni mwa ushuhuda nimefunguliwa. Japo pia kwa mtazamo wangu kuhusu tatizo lililokupata baada ya kutoka kwenye chuo cha biblia ni kwa sababu ulimfuata shetani kwenye territory yake namaanisha huko kwenye theolojia. Theolojia haikutoka kwa Mungu hiyo Ili Kuwa. designed na shetani mwenyewe kupitia kanisa katoliki. Je Mungu ndiye aliyekwambia uende kusoma? Ndiyo maana ni muhimu kuongozwa na roho mtakatifu katika kila jambo maana yeye ndiye mwalimu wetu na mshauri wa ajabu.
yaani Imani yenu Hamsomi Theology??ndo nasikia leo ,Au ni Msabato maana Ndo najuaga wako Nyuma Na Maandiko na wanafikiria Wako sawa,Yaani Elimu zipo ili tusome,Soma Kitabu cha Methali,Usimuache Elimu aende zake
My friend even Paul was taught...
😭😭😭me nmepaka hayo mafuta yao na waliniambia usiku nitaota ndoto na kweli niliota
Mungu ana upendo sana jamani
Duh! Aje huku kwetu aanzishe Branch aliyoniahidi Mch Obed kwamba anataanzisha Branch huku
Glory to Jesus Christ,for the testimony of our brother.
Amen
Aminaaa
The meaning ya ,kuchoma majira please
Kutumia sindano au vidonge vya uzazi wa mpango
Ndo nilivyoelewa
Birth control
He mean " u'r prohibited on both contraceptive methods"
Mbona kaliongelea jaman
Can u send the no again, am from kenya
😢ulijiletea Laana Mwenyewe kwa nini ulitoa Pesa ya Kujenga Kanisa ukawapa Watoto??Omba Msamaha
Ni mungu anajuwa
Wakati unavunja hoja ya mtu ambatanisha na maelezo yanayoweza kuibeba hoja yako kuliko ukimbilia kujificha kwa mungu....
Kwamaana ukijibu mungu ndio ANAJUA ni ipi maana yako ??? Je NIKIKUULIZA HIVI , yafaa kulifanya baya kisa tu umekuswa ??? Naje vipi Sasa huo mguso wako ikienda kuleta mabaya zaidi ?? Yaani kwa mfano umekuta ndugu yako anapigwa ikafika ukaingilia ugomvi ukamoiga Yule mtu ukafa je bado utasema hiyo kauli yako ya MUNGU ANAJUA ??? NAJE NIKWELI WEWE HUTOANDIKIWA DHAMBI??..
Bwana Yesu asifiwe Wana na Binti wa Mungu.......! Mimi huwa sielewi Watu wanaosema Wanauwezo WA kuongea na Bwana Mungu.... Nakwamba Bwana Mungu amewatoa mahali Kimiujiza.... Nakwamba Mungu anafanya Kazi nao Kimiujiza..... Halafu Wanafika Mahali Wanapatwa na changamoto.... Halafu wanaweka tumaini kwenye misaada ya Binadamu.....?...?....? Mtu unaushuhuda Mkubwa hivo... Kweli unashindwa kumwomba Mungu atende jambo kwaajili ya Afya yako......?...?...? Je Mungu unaye Mtangaza unamjua uwezo wake kweli
.....?....?.....?
Bwana Mungu akiamua kukutumia..... Jamani..... Anapenda tumtegemee % 100 (asilimia).
Huyu Ndugu bado anaumwa nahisi ni kwasababu hakulitii Neno la Mungu alilo ambiwa akiwa Rwanda...... Aliambiwa akitoka huko asahau Mke na Watoto Wake..... Lakini yeye inaonekana alipo rudi TZ hakulitii Lile Neno...... Je Mke na Watoto ni Kitu Bora Kuliko Mungu..... Je Mungu hawezi kumpa Mke mwingine na akampa Watoto...???... Watumishi wa Mungu mnao shuhudia kuwahi kushikwa na Nguvu za Mungu mnakwama wapi...?.....?......?
Ameshuhudia mwenyewe kuwa Ukiwa na Mungu kufa ni Faida..... Bima ya nini sasa....!...?...!....?
Nashauri Atubu Kosa la kumrudia Mke wake....na akate mawasiliano naye..... Ategemee maongozi ya Mungu peke yake.
Amen.... Mzidi kubarikiwa na Bwana Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai.
Unahitaji kusaidiwa sana sana kiroho mpendwa...naomba jitahid huu mtazamo wako kuwashirikisha watumishi wa Bwana walau watatu tofauti kisha tafakari majibu watakayokupatia na kama hutaridhika basi muulize Mungu mwenyewe atakupa majibu ila nikuache tu kuwa kukwambia kwamba MUNGU duniani humtumia mtu ili atukuzwe vile vile hata shetani naye hutaka mtu ili atukuzwe....kingine Mungu hakaririki namna anavyomtoa mtumishi wake ktk mapito naomba mimi na wewe sasa tuwe marafiki kwa hili jambo ili tupate majibu ya maswali yako..Amen
Uliishika maana uliuza
Kaka ufahamu wako umenifanya nifurahi WAKATI naisoma coment yako, ujue kuna vitu vingi kiufahamu ikivitazama vina vuruga sana kwa hawa watumishi ,bado ulimwengu wa roho na mungu na shetani vinakuwa na mtihani sana kwetu..
Maana Kuna muda kuyatizama hayo maisha ya ulimwengu wa roho na huyo mungu mwenyewe kwa kupitia hawa watumishi wetu , bado inakuwa ni kitendawili na fumbo kubwa .. maana hata WAKATI unapo hisi kumuelewa au kuwaelewa bado ukituliza ufahamu wako vizuri unajikuta kumbe huelewa chochote..
Eti shetani anaomba nguvu KWA mungu na anapewa , hii inawezekana vipi ?? Sasa vipi nikisema mungu huyu anatumikia sehemu zote mbili ?? Je kwaiyo huu Ni mchezo mungu anatufanyia ??? Naje huyu mungu alikuwa na haja gani ya kuyafanya yote haya WAKATI yeye Ni mpole na mkarimu kwanini Sasa atese viumbe vyake ??? Wakati ameahidi kuvipenda na yeye yu mwema wakati wote ??? Je mungu ni mkengemfu wa ahadi zake mwenyewe ??? au mungu ni baba aliye telekeza kiumbe chake mwenyewe ???. 0782 704 670
Nakwa MUNGU ni hivyo hivyo uaminifu ni wa Muhimu saana
Ameeeen. MUNGU Anawenza yote
Amen ,
Mtumishi wa bwana nilikuwa naomba labda unaweza kutuma number zako
Amen
Amen