MALCOLM X: Mwanaharakati ALIYEUAWA Kwa RISASI 15..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 221

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Ni neema kubwa kuwa muislam amekufa katika Imani sahihi ya dini ya Mwenyezi mungu.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kubaka vitoto (Aisha), kuahidiwa madanguro pepon, kulawit watoto wenu wasio wa ndoa, ubakaj wa Muhammad, uuaji, uongo, porn right? Uislam ni njia ya jehanum, ukibisha njoo tidescus ethic za Muhammad tuone ka anafaa kuwa hata kuwa mfagiz wa Choo cha kanisa,
      Waislam ndio wanyanyasaj wakubwa kuwahi kutokea, fuatilia ni nan aliyengang'ania watumwa mpka Leo,muhammada anasemaj juu ya watu weusi, akasema weus ni watu wa jehanum, ingawa waarab walichukuwa watumwa weng weus, wameua wote, ila ulaya wapo mpka Leo, ka kafa muislam, means yupo kuzimu mbingu ya allah akifany porn na mikahaba 72,mbingu aisahau

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว

      Mxiuuuu

  • @karigoshafuri
    @karigoshafuri 5 ปีที่แล้ว +35

    I was waiting for this... Malcolm my brother❤ huyu amefungua akili watu weusi wengi sana... Shujaa wa mda wote kwa watu weusi❤

    • @bumijamshana9691
      @bumijamshana9691 5 ปีที่แล้ว +1

      Karigo Shafuri gud sana

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 5 ปีที่แล้ว

      Wapo lkn ni asilimia ndogo sn most of them are Christian

  • @benjaminlaglise3140
    @benjaminlaglise3140 5 ปีที่แล้ว +5

    ALLAH AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI INSHAALLAH. MASKIN.

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 5 ปีที่แล้ว +1

    First Black American To Visit Makkah💜ALLAH AKBAR 💙

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 ปีที่แล้ว +5

    👍👍👍👍, Malcolm x!,nikimsikiaga tu kumbe ndio history yake iko hiv

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว +10

    Kazi nzuriii sanaaa, TUNAOMBA Utleteee VITA YA KWANZA YA DUNIA

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 5 ปีที่แล้ว +6

    Maa Shaa Allah kumbe mzee X kafariki akiwa musical💕💕💕💕💕❤❤

  • @peresirakoze6353
    @peresirakoze6353 5 ปีที่แล้ว +20

    May his soul rest in peace, The most revolutionary black man ever walk on planet earth.

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 ปีที่แล้ว +11

    Simulizi nzuri sana,na pongezi ndugu mtangazaji kwa jinsi unavyoielezea hiyo story.

  • @nisilesanga3602
    @nisilesanga3602 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani nipo nanyi bega kwa bega maaan napata vitu vinavyo nisaidia ktk maisha🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙌

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah bless the man of black people this is king hunter

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 5 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana, unaweza pia kusimulia historia ya Marcus Garvey, the father of modern panafricanism.

  • @alinuurtube
    @alinuurtube 5 ปีที่แล้ว +13

    U r good for this naomba historia ya simalia said bare

  • @asadikiazam6895
    @asadikiazam6895 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah, wallahi hawa wazungu ni watu wabaya sana.

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 5 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzur sauti nzur hongera sana

  • @fintaniferx9535
    @fintaniferx9535 5 ปีที่แล้ว +5

    Sasa kichwa changu mpaka kina uma nashindwa kupata jibu yani waka mpenda wenyewe kwa kuwa mkweli alafu waka muhuwa wenyewe wanadam kwa kweli amsomeki mungu wetu wa mbinguni MPE mwanga uko aliko apumuzike kwa amani amina

    • @ulamaashaban4452
      @ulamaashaban4452 10 หลายเดือนก่อน

      Hapan✋ inasemekn kuwa waliomua sio national of Muslim ila huyo jamaa aliwasngizia tu national of Muslim tena alisem el hajj Muhammad kahusukia kumua malcom baad ya el hajj Muhammad mwnyw ashakufa

  • @zakiakhalid212
    @zakiakhalid212 5 ปีที่แล้ว +6

    Hata mm leo cjachelew aloow nakukubali sana ananias

  • @charlesmatheka7707
    @charlesmatheka7707 3 ปีที่แล้ว

    one of the greatest people to walk on earth,the reason many people dont know him is bcoz he was muslim

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah amrehem ❤️❤️❤️🙏🙏🙏

  • @majaliwaalphonce5441
    @majaliwaalphonce5441 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwa auti yako annanias

  • @davyabely2775
    @davyabely2775 5 ปีที่แล้ว +4

    nice// nimeipenda kwa jinci ulivyoisimulia...nimehuzunika jinsi sana ilivyokuwa fupi msana sijazoea kuona hivi makala zako huwa zinachukua dakika22 hadi 28 leo hii sijui DENISI MPANGAZE ambaye ndo muandaaji wa makala hizi amekuwaje

  • @akidanyanje4671
    @akidanyanje4671 5 ปีที่แล้ว +1

    Thank you Broh Malcolm x...

  • @sonson9282
    @sonson9282 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri rusha nyingi kuamsha vijana wa sasa waoga sana

  • @babalevo3862
    @babalevo3862 5 ปีที่แล้ว +2

    ananias nakukubali sana sauti kal aisee yaan

  • @adrianvandervalk6734
    @adrianvandervalk6734 5 ปีที่แล้ว +4

    waislam hawabatizi ww . waislamu wanatumia jina la kusilimu. kutokana sote watu weusi dini yetu ya kiislam ukiristo ni dini ya waZungu walitubatiza. nashkuru wazee waliligundua hilo na kuenda njia sahihi mungu aliosema

    • @nurdinsaleh1653
      @nurdinsaleh1653 5 ปีที่แล้ว +1

      adrian van der valk unajielewa kweli ww.?

    • @frankkikanda1813
      @frankkikanda1813 4 ปีที่แล้ว

      Shida ndio inafanya mtu aelemee wapi lakini sio kila mtu anapoelemea ni sahihi,ukisema ukristo wa wazungu sema na uislamu wa. Waarabu turudi katika asili yetu ya mababu zetu kuliko kuendelea kuwa mtumwa wa jamii furani pasipo kujitambua

  • @shabanjumanne1066
    @shabanjumanne1066 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda

  • @iddyshabani5942
    @iddyshabani5942 5 ปีที่แล้ว +3

    r. I. p Al haji almalki

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว +1

      Waislam hatupaswi kusema "r.i.p". Tunasema "innalillahi wainailayhi rajiun"

  • @youngthug604
    @youngthug604 5 ปีที่แล้ว

    Vi2 va mzungu dunia ya mungu ww unamchukia lakn ukipata homa daw kagundua yy unaenda mkoa wako kwa magar vote kadundua yy mzungu mzungu sio mwezako sisi watu weusi tuna uwezo mdogo wa kufkili na tuna maisha ya kikatili pasipo mzungu mbka Leo sisi watu weusi kuna mataifa ya singeweza kupatan

    • @remotetz
      @remotetz 4 ปีที่แล้ว

      We ni kabila gan? Kweli kuna watu watabaki kuwa watumwa wa fikra milele duh pole kijana

  • @mosendababumansigiria8621
    @mosendababumansigiria8621 5 ปีที่แล้ว +1

    Malcolm X was a greater orator than Martin Luther King and any American who ever lived,,,,Inna lillah rajiun 🙏

  • @garethandrew2334
    @garethandrew2334 5 ปีที่แล้ว +3

    Yesu na baadhi ya mitume wake walikuwa waafrika

    • @abdunoor3775
      @abdunoor3775 5 ปีที่แล้ว

      Toa ushahidi

    • @garethandrew2334
      @garethandrew2334 5 ปีที่แล้ว

      Abdu Noor kushi ni mjukuu wa nuhu na alikuwa mweusi hii inamaanisha kushi mama ake na babu yake ambae ni nuhu walikuwa weusi maana mzungu hazai mweusi vivyo hivyo ibrahim kama unakubali ni uzao wa nuhu basi ukubali pia alikuwa mweusi yeye na uzao wake wote

    • @garethandrew2334
      @garethandrew2334 5 ปีที่แล้ว

      Abdu Noor kama unapinha toa ushahidi pia kama yesu alikuwa mzungu

    • @garethandrew2334
      @garethandrew2334 5 ปีที่แล้ว

      Hata musa alioa mwana mke mweusi maana yake alioa mweusi mwenzake

  • @Youngbaby_38
    @Youngbaby_38 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama unataka story ya 2Pac❤️ gongs like apa?

  • @mariamkikula1614
    @mariamkikula1614 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana but jitahid usikae kimya sana

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 5 ปีที่แล้ว +1

    Good Work

  • @frankgwig6955
    @frankgwig6955 5 ปีที่แล้ว

    Mungu mkbwa#

  • @jacobedmar.yakobo4546
    @jacobedmar.yakobo4546 5 ปีที่แล้ว

    Viva Africa
    Viva black people

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 5 หลายเดือนก่อน

    hiv mpagaze na jamal nani bingwa wa historiya mm wote nawakubali sana myie je nani bingwa wa historiya

  • @danielm2715
    @danielm2715 4 ปีที่แล้ว

    My man Malcolm

  • @blessenboywakidy3561
    @blessenboywakidy3561 5 ปีที่แล้ว +2

    Dini ya Kweli Imani yako

  • @pabloescobar-tp9zd
    @pabloescobar-tp9zd 5 ปีที่แล้ว +5

    Ndume bwana watoto 7 kwa umri wa 39

  • @Thuon_
    @Thuon_ 5 ปีที่แล้ว +12

    Malcolm X my brother from another mother, huyu jamaa alinifunguwa akili na toka nimfaham sijarudi pale nilikuwa yaani maisha ya kutojijuwa tumewekwa nayo sisi waafrika. Mengi zaidi kumhusu visit my chanel.

  • @ngombalengombale4502
    @ngombalengombale4502 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuerewa

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 ปีที่แล้ว

    Ngozi nyeupi sio nafs zao mungu ndio anajua arie waumba

  • @mosendababumansigiria8621
    @mosendababumansigiria8621 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wale mnataka historia za kizungu style up acha kuturudisha utumwani

  • @Gcuttter
    @Gcuttter 5 ปีที่แล้ว +1

    Wao kwa wao wana uwana nauona ushetani katika dini hii ya allah

    • @nassoraly7234
      @nassoraly7234 5 ปีที่แล้ว

      Bado ww bwege ww unaujua uislamu au unaropoka tu

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 ปีที่แล้ว +2

      Cutting edge,
      Ndugu tambua National of Islam ni jina tu lililotumika kama cover kwa ajili ya kuwakutanisha watu weusi ili kupinga harakati za kibaguzi dhidi ya mtu mweusi barani Amerika hususan nchini Marekani, baada ya waasisi wake kutambua mafundisho ya dini ya kiislam yanapinga ubaguzi na ukandamizaji na pia yanafundisha kupeana haki na usawa kwa binadamu wote bila kubaguana ndipo walipoamua kuasisi kundi hilo wakilifanya kama dini kwa wamarekani weusi tu ambao waliokuwa hawaujui uislamu sahihi huku wakipinga dini za wazungu ambazo walihisi zilitumika kumkandamiza mtu mweusi, waasisi wa National of Islam walitumia baadhi ya mafundisho ya dini ya kiislam wakaongezea na ya kwao huku mafundisho mengine ya Uislam wakiyaacha kama kukataza pombe, kamali, zinaa na kadhalika. National of Islam wala sio waislam kabisa ndiyo maana Malcom X baada ya kuujua Uislam halisi aliachana nao na kuingia ktk Uislam moja kwa moja huku akiendelea na harakati zake za kumkomboa mtu mweusi. Na hata kifo chake National of Islam walitumika kama vibaraka wa watu weupe ili kukamilisha malengo ya waasisi wao kwa kueneza itikadi ambayo sio uislam kwa ajili ya maslahi yao binafsi na pia kuzima harakati za kweli za ukombozi wa mtu mweusi Amerika.

    • @Gcuttter
      @Gcuttter 5 ปีที่แล้ว

      @@rayisadesigns2646 uisilamu ni dini ya kibaguzi hakuna haki ktk uisilamu kitabu cha waisilamu kinawataka waisilamu wasifanye urafiki na wakristo pia waisilamu wao huwaita watu wasio kuwa wa imani hiyo huwaita makafiri acha kumtetea shetani

    • @mlanzimohamed3766
      @mlanzimohamed3766 5 ปีที่แล้ว

      @@Gcuttter ingekua vizuri zaid ungetaja ni aya au sura gani inasema hayo uliyoyasema kuliko kusema vitu ambavyo unavisikia sikia tu mtaani mm najua ww hujasoma ila umesikia tu sasa ukiwa unaamini kila unachosikia bila ya kufanya utafiti utakua na maisha mabaya sana. historia inasema Malcom X alisilimu kwa kuwa alisoma mafundisho ya kiislam ambayo yalikua yanakemea ubaguzi na ndio maana akaamua kuingia kwenye uislamu,kumbuka kuwa yeye alikua mkiristo lakini kwa kipindi hiko mtu mweusi alikua harusiwi kuingia kanisa la wazungu na ndio maana alivutiwa na uislamu kwa sbb msikitini walikua wanaswali pamoja watu wote weusi na weupe. sasa jiulize kati ya ww na Malcom x nani atakua anaujua vizuri ukiristo

    • @Gcuttter
      @Gcuttter 5 ปีที่แล้ว

      @@mlanzimohamed3766 ebu jaribu kutumia akiri acha kutetea dini ya mauaji.malcom x aliuwawa na waisilamu wenzie.ebu sasa nionyeshe aya kwenye quran inayopinga ubaguzi na mm nita kuonyesha aya inayo hamasisha ubaguzi

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah
    Malcom hero of all the time

  • @asendekashindi3966
    @asendekashindi3966 5 ปีที่แล้ว +3

    Lini story ya Martin Luther king jr tuna subiri

  • @salumurashidi9991
    @salumurashidi9991 5 ปีที่แล้ว

    Good job Blaza nakufatilia sana blaza

  • @youngthug604
    @youngthug604 5 ปีที่แล้ว +1

    Dini ya kweli ipo kwa vitendo na wala sio maneno kama wenywew kwa wenyew unaitana magaid mbk kufka mbl kuitan makafli je sisi tunaotak kufta dini yenu MTA tushawish kwa kipi

    • @alawyjr4741
      @alawyjr4741 5 ปีที่แล้ว

      kama hutoweza kuamini hakuna atakae kulazimisha just go on

  • @gogolamavi
    @gogolamavi 5 ปีที่แล้ว

    Kiu fupi uko vizuri kwa simulizi

  • @ommymudricky1503
    @ommymudricky1503 5 ปีที่แล้ว +2

    upo vzr bro....
    lete mengne meng tusooyajua....

  • @adamkwayu2600
    @adamkwayu2600 5 ปีที่แล้ว

    Nilikua nikiisubiri sana hii🤝

  • @heartnsanya1182
    @heartnsanya1182 5 ปีที่แล้ว +11

    Natamani kujua historia ya Abraham lincoln aliyekuwa raisis wa marekan

  • @Phoenix_Greenleaf
    @Phoenix_Greenleaf 4 ปีที่แล้ว

    Malcolm x was more better than MLK junior

  • @kashakutwina4554
    @kashakutwina4554 5 ปีที่แล้ว +3

    Naisubr kwa amu hii boss

  • @karaben2186
    @karaben2186 5 ปีที่แล้ว +1

    Story book kuhuzu ukweli Wa kifo hua mutu akifa hueda wapi

  • @SuzanaSamson-w1p
    @SuzanaSamson-w1p 9 หลายเดือนก่อน

    Sana

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 5 ปีที่แล้ว +5

    Ubaguzi kwa watu weusi haukuanza leo toka kitambo

  • @makolengosha6869
    @makolengosha6869 5 ปีที่แล้ว +3

    Nlitaka kushangaa hawa watu wasiojulikana nlidhani ni huku tu kumbe imeanzia mbali

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 5 ปีที่แล้ว +2

    Wazungu bilaa Allah amlipe huyo kijana alie pambania haki za watu

  • @amissislywachako1772
    @amissislywachako1772 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsnt pia honger sn ananias edgar
    Tunaomba story ya chege vara

  • @lucasmalile6658
    @lucasmalile6658 4 ปีที่แล้ว

    Mtu noma

  • @saadalghamid1105
    @saadalghamid1105 4 ปีที่แล้ว

    Malcol x 🔥🔥

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi Anania

    • @mahmoudally5236
      @mahmoudally5236 5 ปีที่แล้ว

      Kweli watu wazuri huwa hawadumu mda mrefu

  • @shabanomary6781
    @shabanomary6781 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @reinhardtedeye5083
    @reinhardtedeye5083 4 ปีที่แล้ว

    historia ni tamu na pia inafunza mno

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 5 ปีที่แล้ว +3

    Hapa ndipo huwa nawaona wapumbavu watu wanaowashabikia wazungu kuwa ndio watetezi wa waafrika leo

  • @kilengawanamwinyikambihuss5730
    @kilengawanamwinyikambihuss5730 5 ปีที่แล้ว +4

    Kaka Ananias tuletee stori ya vita vya kwanzavya dunia

  • @leonardjonas6986
    @leonardjonas6986 5 ปีที่แล้ว

    Nce

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 ปีที่แล้ว

    Watu hawa tungekua nao leyo asingetusumbua mtu waislam hawa ndio watu majabar bawana wanao fata ukweli na wakaufatendea haki

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 5 ปีที่แล้ว +1

    Alafu tunaambiwa sisi eti waarabu magaidi nakataa kata kata waarabu wanauwa wazungu kwa sababu kama hizi

    • @francodesus9519
      @francodesus9519 5 ปีที่แล้ว

      Aliyemuua malcolm ni Nation of Islam kama ulivyosikia nimemaliza

  • @geofreyurio5
    @geofreyurio5 5 ปีที่แล้ว

    Kutoka ukaya adi Africa akuna watu kama kina malcomx

  • @swalehngaina7404
    @swalehngaina7404 5 ปีที่แล้ว +1

    Naomba historia ya martin luther

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 ปีที่แล้ว +1

    Haki haiji kwa kugonga like FB,

  • @beldenndubi8641
    @beldenndubi8641 5 ปีที่แล้ว +9

    kama bado watazama nipe like

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 5 ปีที่แล้ว +3

    Wazungu nawachukia mm sijui walitoka sayari gani

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว

      Zuley Vendor Mimi nawachukia zahidi!😡

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว

      Usiwachukie wazungu, bali wayahudi ndiyo wanaoleta machafuko yote haya ktk dunia kwa kutekeleza kile alichoahidi shetani kwa mungu

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว

      Mohamed Othman unaonekana kama uwajuw wazungu vizuli kwani unadhani ukoloni na slavery nikitu jamchezo? Mpaka leo france ingaliki na koloni nchi 20 za Africa afu unaongea nini na mungu wakutuokowa sasa yuko wapi Ama atakuja lini

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว

      @@jp1780 namaanisha sio kila mzungu ni mbaya, hata mtu mweusi pia anaweza kushiriki ubaya huo. Uliza rais wa 35 wa marekani JF Kennedy alikuwaje na aliuawa kwa sbb gani huenda ukaelewa namaanisha nn

  • @othmanhamad7941
    @othmanhamad7941 4 ปีที่แล้ว

    .ndio duniani Dhulma

  • @jp1780
    @jp1780 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwamabaya yote yenye wazungu wamesha tufanyia nakuhendelea kutufanyia watayalipaga tu siku moja😡

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว +2

    Muislamu kaua Muislamu apo ndo ujue Allah anapokupa nguvu anakutafutia atakae kukuangusha ..... fv€religion

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 5 ปีที่แล้ว

      Hapana sio kweli mwisho amekosea msimuliaji,malcom x ameuwa na makachero wazungu sio waislam wenzake coz alikuwa anatetea watu weusi wazungu ndo walikuwa na uhasama nae ndo maana waligonga cheers baada ya kifo chake

    • @zaharahasan1912
      @zaharahasan1912 5 ปีที่แล้ว

      @@husseinissa7118
      Kwan wazungu hakuna waislamu?

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 5 ปีที่แล้ว

      Zahara hasan Wazungu wapo waislam lkn ni kwa asilimia ndogo sana na kwa kipindi hicho alipokuwa anaishi Malcom X kulikuwa na asilimia 0.2 ya wazungu marekani kwa hio 99.8% walikuwa wakristo na waliomuua walikuwa ni watu wanaompinga mtu mweusi najua unawajua

    • @zaharahasan1912
      @zaharahasan1912 5 ปีที่แล้ว

      @@husseinissa7118
      Hapo nimekuelewa

  • @salumzefania9590
    @salumzefania9590 4 ปีที่แล้ว

    Kila nafsi itaonja mauti hao wote kazi wanayo mbele ya haki yamli kiama

  • @salimuyusuph1818
    @salimuyusuph1818 5 ปีที่แล้ว +1

    Nilitaman saaaana kumjua huyuu jamaa maana jna lakee ni maaruf maskioni kwangu kila day

  • @brokenigga2842
    @brokenigga2842 5 ปีที่แล้ว +16

    Waliotuuza utumwani ndo walituletea dini ushenzi mtupu mi saivi natambika tu😎😎

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว

    ANANIAS EDGAAAAAA

  • @hamaddady4862
    @hamaddady4862 5 ปีที่แล้ว +1

    Nilicho gunduwa huyu jamaa alikuwa mwislamu wa ukweli

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 5 ปีที่แล้ว

    Naomba haki itendwe

  • @mtlafrika2546
    @mtlafrika2546 5 ปีที่แล้ว +1

    Historia ya John Garang wa South Sudan

  • @salehematata6820
    @salehematata6820 5 ปีที่แล้ว +1

    Saf sana

  • @jaymoo29
    @jaymoo29 5 ปีที่แล้ว

    Big up 👊

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

    Good thing no ever longer exists.

  • @ahmadsleman5856
    @ahmadsleman5856 5 ปีที่แล้ว

    Kaka hebu jaribu kufanya uta fiti kwa kina ni nani walio muua na lengo la kuuliwa kwake kwa nini walitumwa watu weusi wenzake wamuuwe na aliye tumiwa kumua Malcom X alikuwa ana husika na biashara gani mpaka kupewa zima ya kumuuwa mal.

    • @Thuon_
      @Thuon_ 5 ปีที่แล้ว

      Aliuawa na kundi la kiislamu linalojiita the nation of Islam lililoongozwa na bwana aitwae Elijah Muhammad. Serikali ya America pia ilitaka kumuuwa lakini walituliza wakati walipoona hilo kundi likiwamalizia kazi. Mengi zaidi kumhusu tembelea chanel yangu.

    • @zahorsuleiman5679
      @zahorsuleiman5679 5 ปีที่แล้ว

      g

  • @asiaseif7229
    @asiaseif7229 5 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P Alhajj

    • @ethanemil286
      @ethanemil286 5 ปีที่แล้ว

      cx%$'" sszz,,$% $%" $$' ##***"'_"\\©©€•••

    • @ethanemil286
      @ethanemil286 5 ปีที่แล้ว

      Cffddxcfcxhjjlkjuhhhhhhuuujjjjjjmnn8ugdjooohhhhjmnh

    • @ethanemil286
      @ethanemil286 5 ปีที่แล้ว

      Ghhyhhhhkjyuujknnbn. .mmnntdglljnjnnnjnvbj

    • @alihajimatata1354
      @alihajimatata1354 5 ปีที่แล้ว

      R.l.PAlhajj

  • @salummzee8908
    @salummzee8908 3 ปีที่แล้ว

    msema ukweli ni adui wa mabebari ni shujaaa kwa wanyonge

  • @yusuphmussa554
    @yusuphmussa554 5 ปีที่แล้ว +1

    Taften kuna movie yake n

  • @enriquestephen5323
    @enriquestephen5323 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee ya Benjamin Franklin

  • @MoMo-wx2vx
    @MoMo-wx2vx 5 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania 🇹🇿 alikuja mwaka gani ??

    • @Nakasinge_Mugarula
      @Nakasinge_Mugarula 5 ปีที่แล้ว

      Hakuja

    • @jayjay_sonyboyjamal82
      @jayjay_sonyboyjamal82 5 ปีที่แล้ว +1

      The African American leader Malcolm X and Che Guevera came to Tanganyika and Zanzibar within five months of each other in the end of 1964 and beginning of 1965. Malcolm came to Tanzania first in October of 1964. The country was then known as Tanganyika and Zanzibar. The new name Tanzania was adopted in November, about a month after Malcolm left the country.

    • @jayjay_sonyboyjamal82
      @jayjay_sonyboyjamal82 5 ปีที่แล้ว

      @@Nakasinge_Mugarula Alitembelea Tanzania first in October of 1964.

  • @manonimshindikwa1974
    @manonimshindikwa1974 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka😱

  • @jasirimkombozi4926
    @jasirimkombozi4926 5 ปีที่แล้ว +3

    Fupi sana mbona Kaka?

  • @jumabakarijamtamba7563
    @jumabakarijamtamba7563 4 ปีที่แล้ว

    Iko poa kabisa

  • @timotheohongera356
    @timotheohongera356 5 ปีที่แล้ว +1

    Lol! Miaka 39 watoto 7?? Kumbe ninatania

  • @kigambonimpyatv8076
    @kigambonimpyatv8076 5 ปีที่แล้ว

    Tuwahishie hii!!!!!

  • @danielelinest1237
    @danielelinest1237 5 ปีที่แล้ว

    Ukijiunga na Kundi la shetani lazima akuuwe,UISLAM ni dini ya Shetani,wakajifanya wanampenda kumbe akiwapa kisogo wanamng'ong'a,mwisho wakamuua

    • @imacapela8426
      @imacapela8426 5 ปีที่แล้ว

      Daniel Elinest una uthibisho gani kama Uislam ni dini ya shetani..Allah akusamehe hujui uongeacho

    • @danielelinest1237
      @danielelinest1237 5 ปีที่แล้ว

      Allah ni shetani

    • @ulamaashaban4452
      @ulamaashaban4452 10 หลายเดือนก่อน

      Hpn fanya uchunguz vzr waliomuua malcom sio waislam huyu mwandish ndy aliekosea kusimulia