ASKOF HAMZA SASA AOMBA MSAADA KWA SHEKH DIWANI ..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 5 ปีที่แล้ว +20

    Waallahy shekh yusuf nimekuelewa vizuri sanaaa mashaallah mungu akuzidishie hikima zaidi uwailimishe hao murtad

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Diwani Jazaakallahu khaira Allah akujaalie kilalakheri nduguyangu nakupenda kwa ajili ya Mwenyezimungu

  • @nassirmohamed8114
    @nassirmohamed8114 4 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah hahahaha kakoma huyo firauni hana elimu mpeni dawa huyo mwenye wazo km mm gonga like hapo

    • @hamzansengiyumva4590
      @hamzansengiyumva4590 4 ปีที่แล้ว

      Wewe mzee chunga sana ulimi wako njaa yako usitake kuupotasha uisilam angalia usije ukachomwa moto kwanza wewe inajiita Nabil wewe uounabii umeupata wapi

    • @hamzansengiyumva4590
      @hamzansengiyumva4590 4 ปีที่แล้ว

      Mwalimisheni huyo kafir muraliba 😂😂😂😂

    • @hamzansengiyumva4590
      @hamzansengiyumva4590 4 ปีที่แล้ว

      Mwalimisheni huyo kafir muraliba 😂😂😂😂

  • @ernestthomas9689
    @ernestthomas9689 6 ปีที่แล้ว +12

    Hamza yuko vizuri kwa kweli. Yesu ndo mwokozi wa ulimwengu na lazima kila ulimi ukiri kuwa ndiye mwokozi na saa ndiyo hii. Barikiwa sana Hamza/Eliya

    • @mussahamisi1191
      @mussahamisi1191 5 ปีที่แล้ว

      Yesu ni muokozi WA wale waliomkataa mwenyezi MUNGU
      Kwa maana wakristo wamemkataa mwenyezi MUNGU na kumuabudu Yesu

    • @ifruitx2096
      @ifruitx2096 5 ปีที่แล้ว

      Ernest Thomas kwaiyo munakubali yesu hajasulubiwa sindio??? Ama munakubali kizembekizembe

    • @magambokasheke1914
      @magambokasheke1914 5 ปีที่แล้ว

      Hamza mm nimekuelewa kusema

  • @pettermasika9120
    @pettermasika9120 6 ปีที่แล้ว +38

    Mungumuweza wa kila kitu Hamza akuwezeshe kutamgaza injili Duniani kote, Mungu yuko na Wewe daima

    • @betinalupembe4366
      @betinalupembe4366 4 ปีที่แล้ว +1

      Safiii mungu atakusaidia hamza

    • @lilianmvungi9737
      @lilianmvungi9737 4 ปีที่แล้ว +2

      Hamza uko vizuriiii

    • @komboabdallah5317
      @komboabdallah5317 4 ปีที่แล้ว

      Hamza sio mkristo wala muislam yeye nimpinga old dini

    • @hassanhaji5247
      @hassanhaji5247 4 ปีที่แล้ว

      Kafirj tu uyo

    • @shifaazawadi4438
      @shifaazawadi4438 4 ปีที่แล้ว

      Hivi naakilizako huyu hamza ukimiangalia yuko upandegani kafiri huyu hajulikani u slim wala ukristo laana tupu alizo nazo

  • @faysalmussa5593
    @faysalmussa5593 4 ปีที่แล้ว +1

    huyu Mgonjwa wa akili haitwi hamza anaitwa nabii elias huyu ni mjinga na wala si muislamu gonga like km uko sawa na diwani

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe jazza ya moyo wako uko vizuri sana shekhe diwan mashaallah

  • @veronicanestory1662
    @veronicanestory1662 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda saaana hamza yesu akutunze kwa ajili yetu tunaomuamini yesu kipenzi cha roho yangu

    • @MosesLewa
      @MosesLewa 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ila usitambue miungu mitatu.Hakuna mungu baba mungu mwana na mungu Roho mtakatifu...Hakuna kitu kama iyo, huo ni upagani....

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 5 หลายเดือนก่อน

      @@MosesLewa sikupingi inawezekana

  • @flowjowi8721
    @flowjowi8721 6 ปีที่แล้ว +21

    Hamza is telling the truth.. the truth is bitter to swallow... Hamza ameonyesha reality in the quran.. but muslims haa! ! Hamko wakweli! Sheikh waambie kweli.. bila yesu! Hamna lolote! Too much pride :D

    • @jimmuabdul6730
      @jimmuabdul6730 6 ปีที่แล้ว +1

      wewe huyo anayejiita HAMZA ni mkristo kumbe hujamsoma

    • @flowjowi8721
      @flowjowi8721 6 ปีที่แล้ว +1

      JIMMU Abdul we we utabaki kufungwa macho.. uki cram quran badala uisome kwa hekima na kumuomba mungu akufungue macho ueze kuielewa sio kuketi na kufanywa kufundishwa. Keti upige sujudi kwa Allah afungue macho na roho kisha uketi usome quran. Sio kusikiza kipofu utabaki kipofu anafuata kipofu!mwenzako amefunguka macho hivi unaniambia at mkristo? Kwani akiwa mkristo ndio? Hata ndani ya quran ni jumamosi karim wewe wafuata ijumaa. .. niendelee? Wacha tu! Sisi tuombeane sipendi kuteta sababu dini!tumungoje yesu wetu yuaja kwa nguvu na hekima hiyo siku ndio kila mtu ataijua! Utaita mtume mohammed na hatafika!

    • @moodykitete9476
      @moodykitete9476 5 ปีที่แล้ว

      Hujielewi ww upo gizan

  • @zuwenasalum6234
    @zuwenasalum6234 4 ปีที่แล้ว

    Ibrahim bakozi upo vzr mjukuu wangu hongera mungu akuzidishie ilmu

  • @africa7479
    @africa7479 5 ปีที่แล้ว +3

    wakrsto mtachomwa hiv hamuoni mnavyodangnywa kitabu chenu kila siku kinafanyiwa edition sijui mpo ,mungu wenu hajui hajayo au hana msimamo

    • @tiamo726
      @tiamo726 5 ปีที่แล้ว

      Kuran iko kwa kiharabu pekeyake ama kiswahili na kizungu pia

    • @africa7479
      @africa7479 5 ปีที่แล้ว

      tia mo ,ipo kwa kiswahili,kizungu, hata ukiingia online imetafriwa kwa lungha nyingi wew tu na lugha yako

    • @seifrajabu9511
      @seifrajabu9511 4 ปีที่แล้ว

      Biidhin llah watachomwa maana kila siku wanadanganywa kuwa yesu ameshuka wakat hajaonekana kushuka na wao wanakubar nakushangilia

    • @africa7479
      @africa7479 4 ปีที่แล้ว

      Seif Rajabu yan ukiwa muislam ni neema kubwa kuliko aliyepewa utajiri kama rwakatare halafu akawa kafiri.

    • @seifrajabu9511
      @seifrajabu9511 4 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Allah akuhifadh shekh maan kaum ya mtume Muhammad watu wanaleta habar za nabii alie pita nabii ambae ni binaadam kama Mimi na wewe wao wakamuita mungu hadi Leo kama sio udhwalim huo nnn?

  • @abdullahbizzo3342
    @abdullahbizzo3342 6 ปีที่แล้ว +2

    hamza wakristo wanakupenda sana kwa sababu unaudhalilisha uislamu wako kwa maslahi ya kidunia

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 5 ปีที่แล้ว +6

    Maasha Allah sheikh yusuph ma shafii mko vizuri sana

  • @AAl-xx8rh
    @AAl-xx8rh ปีที่แล้ว

    Allah akubarik Shaffy kwa kumueka Sawa huyo Hamza njaa tu inamsumbua

  • @mohamedmbarouk7482
    @mohamedmbarouk7482 5 ปีที่แล้ว +36

    gonga like kwa diwani twende sawa

  • @thembaphiri4523
    @thembaphiri4523 4 ปีที่แล้ว +3

    Yesu angekuwa kilakitu angemuomba mungu mungu wangu mungu wangu mbona umeniasha meme tumia akiri luka 4:7 welcome to muslim truth religion in the world mark 13:21 quran 3:19

  • @manbawazir5392
    @manbawazir5392 5 ปีที่แล้ว +20

    ASALAM ALEYKUM SHIEKH DIWANI WEWE NAKUPONGEZA NABADO KIJANA MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU UFIKEMBALI

  • @leonardgwimo4851
    @leonardgwimo4851 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi MUNGU , Mfalem wa majeshi atasimamia kila mwenye kuamini shekh. Hamza wasatahiri heshima katika mafundisho

  • @rabiministry2389
    @rabiministry2389 6 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda sana SHEIK Hamza. Nakuelewa sana sana sana hiyo Sheikh diwani achana naye.

  • @abdurashid2022
    @abdurashid2022 5 ปีที่แล้ว

    jazaka lahu kheir shekhe kwa kutuzindua Allah atakulipa badala

  • @abakuramaadan3788
    @abakuramaadan3788 6 ปีที่แล้ว +20

    Sheikh hamza ni mgonjwa ya rabb mpe shiffa

    • @mamymdogo4161
      @mamymdogo4161 5 ปีที่แล้ว

      Aamin yarrab

    • @shirikaniyonkuru6560
      @shirikaniyonkuru6560 4 ปีที่แล้ว

      Labda mgonjwa ni wewe kwani yeye anasoma maandi matakatifu!

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 4 ปีที่แล้ว

      Tena mgonjwa hasa wala MMungu amuoneshe njia ya haki

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 4 ปีที่แล้ว

      Wewe hamza mbona unakufuru

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 4 ปีที่แล้ว +1

      Inna Lilahi Waina Ilayhi Rajoun

  • @allishoni4542
    @allishoni4542 3 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah shekh Yusuf Allah akupe afya na umri mrefu ili tusome mengi kutoka kwako Alhamdulillah

  • @Spritualproffessor
    @Spritualproffessor 6 ปีที่แล้ว +12

    hallelujah hakika mawazo ya Mungu sio ya wanadamu hazuiliw na yeyote hatimaye Yesu anahubiriwa na mashehe tena wanavutana wenyew kwa wenyew ..hakika kila ulim utakir na kila goti litapigwa kuwa Yesu kristo ndio njia kwel na uzima

    • @nehmaabasi4214
      @nehmaabasi4214 5 ปีที่แล้ว +1

      MATUNDA YA UKOMBOZI WA DAMU YA YESU KRISTO mpuuzi wewe hujui utendalo

    • @mohamedAli-vf8hp
      @mohamedAli-vf8hp 5 ปีที่แล้ว

      Huyu hamza sio shekhe ni askofu ucmuone kavaa kanzu ukadhani nimuislam

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว

      @@mohamedAli-vf8hp mbona Alienda bakwata unasema sio shehe wkt anasoma Qran yenu Kwan yy anadanganya wkt anasoma kitabu iko iko bado mnakataa😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌👌👌👌kila goti litapigwa

    • @princeabbyjunior9640
      @princeabbyjunior9640 5 ปีที่แล้ว

      @@financialloan9818 kusoma Quran sio kwamba ndo muislam na kwenda bakwata sio ndo kua muislam....wapo mayahudi,wakristo na watu wa dini nyengine wanasoma quran na kuifatilia wengne wana lengo la kupotosha na wengine wanaweza wakawa wanapinga na kubisha kwa lengo la kutaka kujua zaid wa kile wanachokijua ....sasa itategemea ni njia gani anaitumia mtu....pengine ameamua kujifanya muislam ili iwe rahisi kwake kupotosha au iwe rahisi zaidi pia kutaka kujua zaidi maana kutokana na alivojifunza Quran kuisoma na kuilewa kwake kwa mtu ambaye hajui vzuri uislam ataamin kabsa kama huyo amza au askof amza ni muislam hvyo yeye na mungu wake ndo wanajua kama anapotosha au anataka kujfunza zaidi ...kwa haraka na kwa umakini ukiangalia ni kwamba anapotoshaa nionavo mimi

    • @princeabbyjunior9640
      @princeabbyjunior9640 5 ปีที่แล้ว

      @@financialloan9818 Na kusema anasoma kitabu iko iko ni kweli kwasababu Yesu amezungumziwa kwenye Quran na ndio mada zote zinatakiwa zitumie Quran ndomana lazma atumie hiko kitabu ila tatizo linakuja katika kutafsiri hiyo Quran kwa ufasaha....na nikujulishe vizuri tu Quran imetafsiriwa na mtume tu sio mtu mwengne yeyote hivyo ukitafsir Quran bila kufata mtume alivyotafsiri basi utakosea kwahyo hao mashekhe wote dunian wanatakiwa wasome tafsir ya mtume ya Quran ili kuelewa na kuwaelewesha waumin wanaowangoza sio kutafsiri jinsi wao wanavyoona wao....Sasa kuna maeneo huyo Hamza au sijui Askofu amza sijajua jina sahihi ni lipi apo ...ni kwamba anajaribu kutafsiri Quran kwa maono yake ukishatafsiri hvyo unakosea na hautokua sahihi....KWAHIYO UISLAM INA TARATIBU NA MISINGI YAKE SIO TU MTU UNAKURUPUKA NA KUWAZA UNACHOWAZA NA KUKIFANYIA MAAMUZI UNAYOTAKA WEWE....UHURU HUO KWA MUISLAM WA KWELI HAUPO ...Ndio tofauti ya uislam na dini nyengine anajifanya muislam ila hayupo katika misingi ya uislam...

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว +1

    M, mungu amsamehe hamza kwan ajui alisemalo... Bora akasome dini ya kiislam asije kupoteza waislam.. Si vizur kuongea vit ambavy una hirimu navyo... Allah atupe mwisho mwema

  • @zaharanihassan9013
    @zaharanihassan9013 6 ปีที่แล้ว +3

    msimamiz na mwongozaji Wa hicho kikao Upo making sana, nimependa sana Allah akuongoze kwanu una ( leadership skills))

  • @hassanmirambo5671
    @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว

    Hapo tuSheikh SHAFII huwa nakukubali akijitokeza tu mpumbavu yeyote kutaka kupotosha humuachi,ALLAH akujaalie INSHALLAH

  • @ramadhanrichmond5551
    @ramadhanrichmond5551 5 ปีที่แล้ว +3

    Kinacho nisumbuwa Nikuti Kuskia Kiswahili Vizuri Inge kuwa kirundi Ninge Ellewa Vizuri Sanaaa!Ila nwashukuru sanaa!!

  • @yusuphsimon8151
    @yusuphsimon8151 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema n mnavokua mnajadili neno lake vaeni vtu vya rohoni so kubishana ki mwili....Mungu ni kherii

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 6 ปีที่แล้ว +6

    Asalam Aalaykum wa rahmatullahi wa barakatuhu shukran ma sheikh wetu kwa juhudi yenu ya kum elimisha huyo Askof hamza issa yeye ni mnafiki amechanganyikiwa tu huyo ni wakutibiwa. Hakuna Haja ya kuhojiana nae kuhusu ukweli wa dini maana ana maskio haelewe.
    Sheikh Diwani ma sha Allah , Allah awalipe jema kwa hilo mlifanyalo.

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว

    Hamza ushindwe na uregee nguvu za mwenyezi mungu zikushukie Shekhe diwani mwenyezi akubariki akuzidishie kila la kheri na baraka hamza umenikera

  • @husseinbenson7965
    @husseinbenson7965 4 ปีที่แล้ว +3

    Km unasoma coment na unaona hao wote ni wasanii😂😂 gonga like.

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +2

    YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      Isa ni na bee na ni muislam atakuja kama mmungu alivyosema mmungu ni mmungu wa mitume wotee wote ni mmungu ila binadam wanawatenganisha waislam wanamkubali kama mmungu alivyo sema isa bin mariam ni na bee

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      Yesu ni na bee na alie mleta duniani mmungu ni mitume wake wote hata ukiangalia wote ni wamoja na ndugu mana bee ibrahim ndio baba yao kizazi cha ishac na esmael na wote ni mashariki ya kati sio kwa wazungu inamanisha mmungu dini ni moja na alikamilisha kwa muhamad saw

  • @charlesmwita4415
    @charlesmwita4415 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akutie nguvu shehe Hamza

    • @ambrosonesmo9281
      @ambrosonesmo9281 6 ปีที่แล้ว

      hata sisi tunaongalia na kusikia tunaangalia na tunaelewa mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. hamza juuuuuuuuu tuuuuuuuuuu

    • @abinelpascal8352
      @abinelpascal8352 6 ปีที่แล้ว +1

      Good shehe hamza,,,ukovizur sana,,,Yesu ndo atakae uhukum ulimwengu kkwa habar ya dhamb na hak,,,Yeye ni mtawala wa dunia yote

  • @bensonlangat640
    @bensonlangat640 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Yesu ni msindi.Bwana Hamsa Akili yako iko juu Sana.

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      Mnashimdana na mmungu mwenye mana bee wake isa ni muislam na Muhammad ni ndugu kwa ibrahim je wazungu hapo ni biashara na music kupiga hamna kitu Muhammad ndio alie kamilisha dini kwa Amir ya mmungu kumshishia gibriel na isa alimtabiri atakuja bada yangu Mfateni Kitabu cha isa wamekibadilisha cha ukweli na isa hajajenga kanisa you Brahmin ndio alie jenga alcaba kibla aliamrishwa na mmungu

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      Hata na bee sulaiman alijenga alagsa msikiti wa kwanza wa kislam

  • @ammonyalistides6638
    @ammonyalistides6638 6 ปีที่แล้ว +14

    Jesus is over all things

  • @MosesLewa
    @MosesLewa 5 หลายเดือนก่อน

    Shekhar Hamza is a truly man of God:
    1. Shekhar Hayek upended wowote anatafsiri ukweli wa dini,haswa mahali waislam wanapotea!
    Msisahau city vya dini viliandikwa kulingana na Marsha na Swallah za karne izo more than 600 years back.
    Kiukweli Maisha imebadilika unafaa utafsiri vitaly Vyadini kulingana na karne ama nyakati tulizo...

  • @philiposimon860
    @philiposimon860 5 ปีที่แล้ว +5

    daaaah kweli shekhee Hamza unaongea points tupu,

  • @JacksonMusyoka-s2y
    @JacksonMusyoka-s2y 6 หลายเดือนก่อน

    Finaly it is happening. Masihi anakuja na hukumu ya kweli na haki wapendwa. Hamza nakubaliana na wewe sio kwa Ukristo jina au Uislam jina tu masihi is coming back.
    "Abba Father"

  • @emmanuelmsigwa714
    @emmanuelmsigwa714 6 ปีที่แล้ว +5

    waisram aminn Yesu atakuja kuuhukum ulimwengu ,nakama ndio,bac aminn kuwa Yesu ni Mungu ,kwakuwa mtoto wa binadam ni binada wanyoka ni nyoka.Na Yesu ni mwana wa Mungu bac aminn kuwa mwana wa Mungu ni Mungu.

    • @ameknews2315
      @ameknews2315 5 ปีที่แล้ว +1

      Pia yy ni mtoto wa mariyam na maryam ni binaadamu basi naye ni binaadamu

  • @apostlesammymutachicfc.3744
    @apostlesammymutachicfc.3744 4 ปีที่แล้ว

    Huyo Yesu Kristo ndie nyinyi mumkubali kuwa mwokozi wenu, inatosha.

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 6 ปีที่แล้ว +26

    amza amka usiku uswali sunti tasbihi umuombe msamaha mungu 😂😂😂 duuuuh hyu pesa zinampotosha

    • @hajiabdalla3992
      @hajiabdalla3992 6 ปีที่แล้ว +1

      Huyu hamza nja inamsumbua kwaza ape we chakula

    • @samgchannel4547
      @samgchannel4547 6 ปีที่แล้ว +2

      muna seif Yesu ndiye njia na mwokozi wa ulimwengu

    • @hasnaa8868
      @hasnaa8868 6 ปีที่แล้ว

      Xubuhanaallah

    • @ramadhanmussa6318
      @ramadhanmussa6318 5 ปีที่แล้ว +1

      Hamza ni kafiri Tena dajaal miongoni mwa madajal 30

    • @hawagondwe2056
      @hawagondwe2056 5 ปีที่แล้ว +1

      Hamza amenunuliwa subhanallah tusomeshe watoto wetu wamjue Allah

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye Elimu Utamjuwa Ata Kwa Muonekano Tu. Sheikh Diwani Weye Ni Mwenye Elimu Kubwa Kuliko Huyo Mganga Njaa Hamza. Ufafanuzi Wako Tu Na Unavyoyapokea Maswali Ya Hamza Unaonyesha Kabisa Yakuwa Weye Ni Mwenye Elimu. Allah Akulipe Kheri.

  • @dennismataula293
    @dennismataula293 6 ปีที่แล้ว +4

    Hamza anauliza very critical ,maswali ,Hamza hawa watu hawatakuelewa elimu yao ndogo sana ,ndiyomaana hawana majibu ,

  • @jadilaraphael3668
    @jadilaraphael3668 6 ปีที่แล้ว

    asante sheikh, bora umtoe ujinga sheikh mwenzak

  • @isackbaton9759
    @isackbaton9759 6 ปีที่แล้ว +7

    Yesu kristo ndio mkombozi full stop

    • @nazonahdi9993
      @nazonahdi9993 5 ปีที่แล้ว

      Isack Baton ndungu yangu chambuwa qurani na bibilie usimzikile mtu wala askofu alafu utajuwa ukweli

  • @nancymvunyi4996
    @nancymvunyi4996 6 ปีที่แล้ว +1

    hamza songa mbele.. amin unachoamini wasioamini bdo Muda wao haujafika na wao IPO Siku mungu atawafungua watambue ukweli ni upi...

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 5 ปีที่แล้ว +6

    HUYU MSHENZI HAMZA KAMA HUJASOMA UNAHISI KAMA ANAONGEA POINT

  • @ahmedbaga26
    @ahmedbaga26 6 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti unatumia muda mwingi sana unarudia sana maneno punguza ufafanuzi

  • @kitotaabdillahi4609
    @kitotaabdillahi4609 6 ปีที่แล้ว +27

    We pumbavu Mtume siyo mwislam wa kwanza. Qur’an inasema Uislam ulianza tangu Adam. Qur’an, 22:78.

    • @habibamsabi2579
      @habibamsabi2579 6 ปีที่แล้ว

      Abdillahi Kitota X

    • @benueniinnov7855
      @benueniinnov7855 6 ปีที่แล้ว

      acha kujidanganya

    • @mwajumafadhily7712
      @mwajumafadhily7712 6 ปีที่แล้ว

      Kitota Abdillahi acha kupanik kwan ungesema umeanza tangu Adam!

    • @moseshaule7825
      @moseshaule7825 6 ปีที่แล้ว

      tupe aya

    • @flowjowi8721
      @flowjowi8721 6 ปีที่แล้ว +1

      Mwajuma Fadhily haha ati Adam hahaha uwiii! Nacheka. .. blind follow the blind.! Pharasee!

  • @alllyrics4835
    @alllyrics4835 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awaifazi ma Shekh wetu Allahum ameen 🙏

  • @kijuuborongo6405
    @kijuuborongo6405 5 ปีที่แล้ว +11

    Kati ya wote HAMZA ndio msomi kuliko wote

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Diwani umetisha sana Jazaakumullahu khairan 🙏

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 4 ปีที่แล้ว +9

    Allah alisema Qur'an atailinda yeye mwenyewe.

  • @ismailowino2866
    @ismailowino2866 6 ปีที่แล้ว +1

    issue moja nakubaliana na huyu bwana ni kwamba dhiki tulonayo waislam nikuondokewa na utukufu wetu ambayo ni Al-khilafah.Hii lazima tujikakamue kuirudisha ismamie maisha yetu!

  • @rabiministry2389
    @rabiministry2389 6 ปีที่แล้ว +4

    Bahati nzuri hapo hakuna mkristo hata mmoja ni ninyi kwa ninyi. Mtakuja kwa Yesu mmoja mmoja.

    • @uncledavitv6481
      @uncledavitv6481 6 ปีที่แล้ว

      YIRE TV Mwl Boniface Mwamafupa hahahahahahahahahaha kabisa

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 ปีที่แล้ว

      hiyo ni mada tu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      Nabado wanapata kumjua sawa sawa yesu kristo

    • @mohammedrajabumwamba1322
      @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว

      Utasubiri saana Uisilam ndo dini ya kweli kabisa

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 2 ปีที่แล้ว

    Nawasiwasi na tafsiri zetu sisi wanadamu. Mimi naimani ninachokiamini ambacho Mwenyezi Mungu ananifunulia nikifuate. Basi ninapokosa Yeye ndiye mwenye kunisamehe na ndio mwenye kunihukimu.

  • @nevillesitta9654
    @nevillesitta9654 5 ปีที่แล้ว +7

    yesu ni bwana ndiyo atakuja kukomboa ulimwengu

  • @abdulazizi6606
    @abdulazizi6606 5 ปีที่แล้ว +1

    innalilahi wainnailahi rajiuuni wakristo sio ummati Muhammad?????? we hamza achakuadanganya waikristo

  • @amoschacha1873
    @amoschacha1873 6 ปีที่แล้ว +6

    Tatizo la baadhi ya waisilamu wanapenda mashindano hawataki ukweli anaowaambia Hamza

  • @ccmmbweawajangwani3505
    @ccmmbweawajangwani3505 4 ปีที่แล้ว

    Amzaha yuko vzr hao wanachobishana nikukupinga kuwa ww sio nabii je mungu siku akija utamjuwa

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Hmn nabii kwa sasa musidanganyane kanisani na nguvu zenu za giza hizo

  • @japhetikongo453
    @japhetikongo453 4 ปีที่แล้ว

    Hapa Bahati Mbaya Mwenyekiti upeo wake Mdogo Sana.

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂 hamisi lee wanichekesha wallah yani sijui uyo amza anatafuta kiki au akilizake aziko sawa wallah mtihan

    • @khamislee9614
      @khamislee9614 6 ปีที่แล้ว +1

      Fatwima Makungu huyu mtu anaikili tena sana. Mi nadhani anatumiwa kukoroga waislamu kwasababu wamemuona yuko very INTELLIGENT. Kwasababu maneno anayoyaongea kama mtu hana ilmu ya QUR'AN vizuri Wallah anaeza kumkubali huyu jamaa. Lakini Alhamdulillah kuna masheikh wasomi ambao wako makini kabisa katika kukabiliana na watu kama HAWA.Insha Allah Mungu awaongoze na awape umri mrefu masheikh.

    • @burhanimahmoud8985
      @burhanimahmoud8985 6 ปีที่แล้ว +1

      Fatwima Makungu

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 ปีที่แล้ว +1

    Qur'an imejitosheleza mungu ameeleza haina shaka hamza umepotea rudi kwa allah subhanna

  • @fredrickfrancis7004
    @fredrickfrancis7004 5 ปีที่แล้ว +13

    Ukweli utabaki kuwa ukweli mm ndiyo nuru ya ulimwengu aniaminiye na kunifuata atapata uzima wa milele Yesu ndiye nuru na uzima

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว

      😐pole sana mbona nyinyi mloo na uzima wa milele mbona mwafaa?

    • @janetsemahimbo8083
      @janetsemahimbo8083 5 ปีที่แล้ว +3

      Uzima uelezwayo sio uzima wa hapa duniani. Wote tutakufa ila kule tutakakokwenda baada ya kufa ndiko kwenye uzima wa milele endapo utakuwa umempokea Yesu kama ni bwana na mwokozi wako.

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว

      Inna hillah wa innallilah hamna yesu atakae wapoke katika kabuki ndungu tulikuja kwa jalia na tutarudi kwa jalia utakayo yachuma ndio utakayo kwenda nayo hamna atakae kutetea wala ukifa hauonani na mtu yoyote isipokuwa malaika peke siku ya kukutana ni siku ya malipo na pia mola wetu mlezi hazidishii mtu dhambi yote utakayo yapata kwenye hesabu yako kumbuka umeachuma mwenyewe wala yesu haja watuma na atawakana madai munayo zusha kwa sasa

    • @salmaothman153
      @salmaothman153 5 ปีที่แล้ว

      @@janetsemahimbo8083 mungu pekee ndo atakupa uzima wa milele yesu hana uwezo huo hakuna musilaam utakaemdanganya upo yesu ni mtu kazaliwa kama ww waongo wakubwa nyie

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 5 ปีที่แล้ว

      Frederick ilikuaje sasa yesu akapigwa misumadi nanyundo ?
      Yesu alikua fala tu hata watu wake wakaamua kummaliza AMA issa yy aliku nabi wamungu

  • @natashakibale5557
    @natashakibale5557 3 ปีที่แล้ว +2

    Yesu ni JIBU na atarud duniani............ Tuwe tayari.........

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +1

      Atarudi kwa ajili ya wale walie muacha mmungu na kufata wasio kua mmungu na atakuja kuipinga ukristo kwankuwambia yy sio mmungu mmungu hajazaliwa yy ni nibaee na atakua na mana bee wenzake wa ukweli sio picha za mcheza cenema

  • @vuaimuhidin6321
    @vuaimuhidin6321 6 ปีที่แล้ว +4

    nampongeza sana askof hamza kwa kutaka tambua ukweli

  • @mwajabukusaka9974
    @mwajabukusaka9974 5 ปีที่แล้ว

    Innalilah waina illah raajiun, njaa mbaya jmn duuh! Shukran mashekhe mlotoa ufafanuz kwa hao watumikaj, ila nmetaman Ostadh Mazinge angekuwepo hapo.

  • @emmanuelmajele5812
    @emmanuelmajele5812 4 ปีที่แล้ว +4

    Amnza Yupo Safi namkubali Sana

  • @shaibushaaban1538
    @shaibushaaban1538 5 ปีที่แล้ว +1

    Wallahi dini yakiislamu ingekuwa yakukopi ingeshapotea zamani naona watuhawalali mpaka Quran, feki wanatoa lakini wapi kweli kafili nikafili tu

  • @perrykemmy9045
    @perrykemmy9045 6 ปีที่แล้ว +8

    Wachana nao !God will come to jugde !!!!were doomed

  • @mariammgimba6825
    @mariammgimba6825 6 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akutie nguvu na akusimamie Askof Hamza!!!

  • @galiezamtaganyirwa5366
    @galiezamtaganyirwa5366 6 ปีที่แล้ว

    Mungu alizungumza na manabii na baba zetu ktk agano LA kale ila zama hizi amezungumza nasi kupitia Yesu,hata mlimani alipogeuka sura,Mungu aliwambia wanafunzi wake wamsikilize Yesu,ndiye aliyepewa kutawala na kwa damu yake ametununua.Nabii Hamza Issa ana ujumbe wa kuwakoa waislaumu,msikilizeni msimpinge na hata kama unapinga,wewe unamjua Mungu alivyo? soma yohana 14:1

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว +8

    lengo la kuitwa Hamza ni kupigwa msasa unadhani atauchafua uislam atazamwe? sisi sio wakristo kila mmoja kaisoma dini

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 5 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @ramadhanihossenitv667
      @ramadhanihossenitv667 5 ปีที่แล้ว

      alah atupe njia ya kweli dini na viongoz wetu watatupoza kwakuupinga ukweli

    • @bernadethambilinyi8218
      @bernadethambilinyi8218 4 ปีที่แล้ว

      Haitaji kuchafua uislamu bali anahitaji kuitoa kweli iliyopo ili kila mtu awe huru nayo.

  • @wgsaempiretv864
    @wgsaempiretv864 5 ปีที่แล้ว

    Haaa!haaa!.Kweli hakika kwa Yesu kila goti litapigwa,Shehe Hamza Mungu atakubariki mpaka ushangae,Kwanza waisalam mna makosa makubwa mno,kwa kumtukuza Muhammad badala ya nabii Issa,,,Qur an yenyewe imethibitisha ukuu wa nabii Issa(yaani Yesu Kristo)Unaambiwa kwenye 3:45 Qur an Yesu kristo ana mamlaka mbinguni na Duniani,Waislam nini tena mnataka badala ya kuja kwa Yesu,Shehe Hamza Eliasa God bless u for explain afficil report of Jésus,.😀😊😀😊😄😁😊😂😇😄😁😀.

  • @akeem1221
    @akeem1221 5 ปีที่แล้ว +5

    Yesu alipokuwa matumboni mwa mamake , nani aliongoza dunia? Kama Yesu (mungu) alizaliwa je alikuwa akinya na kujikojolea ovyo ovyo.

    • @steventitus2174
      @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

      Je mtumewenu mzinf

    • @steventitus2174
      @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

      kila atakalo lifanya alikua anaongozwa namajini je atakua nimtume uyo au jin

    • @hamishasan7737
      @hamishasan7737 5 ปีที่แล้ว

      Hata daso alifungiwa alijinyea na kujikojolea kama mm hapa

    • @hansiselemani8025
      @hansiselemani8025 4 ปีที่แล้ว

      Steven Titus
      mtume hakuwa mshrikina nyiny mnafundishwa kuuchukia uislam ,,ndoman ulay wameujua ukweli kla kkicha wanaslim

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      @@hansiselemani8025 ulaya unapajua wewe ulaya ktk nchi gani ulaya ni bara .. nimeishi Austria ,Salzburg makanisa nimengi zaidi misikiti unaesabu kwa tochi labda Uturuki kwa ndugu zenu najua hiyo ulaya yako Amerika na Asia na maisha yangu nafanya japan auniambi kitu ... Baadhi ya nchi za ulaya wakimbizi ndio wanakuja na mambo ya kislamu unayumba wewe ... Mnayumba na majini kila kukicha

  • @eunicemganyizi4980
    @eunicemganyizi4980 6 ปีที่แล้ว

    kiu yangu natamani nyote mliokaa hapo mmkabidhi Yesu awe mwokozi wa maisha yenu maana hapana aliye muona Mungu pasipo ueye

  • @eliudimsey9667
    @eliudimsey9667 6 ปีที่แล้ว +3

    Mnamacho lakini hamuoni mna masikio lakini hamsikii kusema yesu Ndio Kristo iliwagarimu mitume kifo

  • @mussajerico6942
    @mussajerico6942 4 ปีที่แล้ว +2

    Hamza upo sahihi100%

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 6 ปีที่แล้ว +20

    mwenye kuelewa ameelewa ila Yesu atadumu Milele na Milele

  • @abdulazizmaiga9002
    @abdulazizmaiga9002 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah i love my religion

    • @saidmughery357
      @saidmughery357 2 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillah. But to be honest the chairman was not at all fair. The rest is ok. That false prophet can only fool Christians and some very weak Muslims.

  • @سليمانعمر-ع9ذ
    @سليمانعمر-ع9ذ 6 ปีที่แล้ว +4

    Mi kwa Rai yangu naona ndugu diwan unapoteza mda wako

    • @yassinm69
      @yassinm69 4 ปีที่แล้ว

      Haujamuelewa that's y

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 2 ปีที่แล้ว

    Amza yupo sahihi sana lazima utafakari neno ra Mungu kwamaarifa ario tujalia

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaburini mtu ikifa hajui lolote yupo amelala anamgoja hukumu siku ya kiama.

  • @lennygeorge9165
    @lennygeorge9165 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa nguvu ya Yesu inavyowapa taabu ad mnabishana niny kwa ninyi

    • @mnhamy749
      @mnhamy749 5 ปีที่แล้ว

      Kwanza huyo sio katika sisi, pili huyo ni tapeli tu. Search video hii: cWDMDx62DRI
      Copy hizo herufi halafu search kwenye TH-cam au Google.

  • @mosesoumaowiti3759
    @mosesoumaowiti3759 5 ปีที่แล้ว

    Rafiki Hamza unaufunuo nzuri sana lakini haitakufaidi kwasabu unahubiri Kristo lakini umekataa kutoka gizani (uislamu).Uislamu ni ushetani kwasabu tazama jinsi ibada hiyo ilivyo ya kidhambi, wanaua kwasabu ya imani hiyo ,wanapenda waislamu pekee nakuchukia wakristo,wanatukanana bila kuogopa mungu pamoja na mambo yaushirikina (majini).
    my friend believe in Christ and be saved .AMEN.

  • @superchadema2417
    @superchadema2417 5 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂😂nicheke na yesu wangu mm

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 5 ปีที่แล้ว

      Yuko wapi?
      Sialikimbia kicapo

    • @lucasgasper5235
      @lucasgasper5235 5 ปีที่แล้ว +2

      Huwezi kumuelewa yesu kama unaabudu mapepo

    • @thamiyuucute7098
      @thamiyuucute7098 4 ปีที่แล้ว +1

      @@lucasgasper5235 nawew huwezi kuwa naakili km unaabudu kiumbe mwenzio

    • @ironefacemsovela4504
      @ironefacemsovela4504 4 ปีที่แล้ว +1

      Mnapoteza muda kwa ujinga kama huo mungu wetu sote, yesu ni nabii tu

    • @AANFOOTBALL
      @AANFOOTBALL 4 ปีที่แล้ว +1

      Mnamtukuza na kumuabudu Yesu/ Issa na kumsahau aliyeumba mbingu na ardhi, aliyeumba viumbe vyote duniani. Unafikiri ni kwanini kulikuwa na Mitume tofauti, kazi Yao ilikuwa ni ipi? Ujumbe mkubwa ni kuacha kuabudu mnavo abudia ili Tumuabudu Mwenyezi Mungu pekee.

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Diwani upo sahihi kabisa na auwez kuwa na Iman thabiti bila mitihani

  • @mfaumeshabani7900
    @mfaumeshabani7900 6 ปีที่แล้ว +7

    mashekh uyu hamza katumwa sio bure

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว

    Na auwez kuwa muislam bila kuamini kwa moyo mmoja na hoja nyingi ndio alizowasihi mtume(s.a.w) maswahaba wake kuwa wanaweza kukufuru ka kaumu zilizopita. Waislam atupaswi kuhojihoji Sana

  • @mussajericko7365
    @mussajericko7365 5 ปีที่แล้ว +5

    Mwenye kuelewa ameelewa waislamu mkubaliane na ukweli jamani ukweli utabaki ukweli

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

    Ibrahim bakozi uko juu

  • @tommariam4393
    @tommariam4393 6 ปีที่แล้ว +8

    Mpaka hapo huyi Hamza hayuko sawa kwa sababu Elimu inayotolewa hapo hata mtt mdogo angeelewa yy hajijui masikini yuko dini gani lkn kwa mujibu wa imani yake sio muislamu tena. Itabidi akae tena upya atafakari.

    • @abeidabbas9398
      @abeidabbas9398 6 ปีที่แล้ว +1

      Tom Mariam huyu katumwa itakua si muislam kabisa

    • @tommariam4393
      @tommariam4393 6 ปีที่แล้ว +1

      Yaani sijui haoni huu utukufu wa ALLAH! Maana M'mungu anatisha ktk qudra zake yaani ni msiba Mkubwa sana.

    • @tommariam4393
      @tommariam4393 6 ปีที่แล้ว +1

      Abeid Abbas si ana vielementi vya kikafiri ktk wazazi wake mmoja si muislam lzm awe na wepesi wa kufanya machafu lkn kuna siku atajuta itakua ameshachelewa masikini!

    • @stevintitusmkoreaasijaribu6918
      @stevintitusmkoreaasijaribu6918 6 ปีที่แล้ว

      Tom Mariam mwenye kt apendelea mskilizen amnza sipia atoa kwenye msaafu nyie vp

    • @josephfrancis2075
      @josephfrancis2075 6 ปีที่แล้ว

      stevin titus mkorea asijaribu ataumia hayana kazi za kufanya haya kazi kuzaana tu ndio mana mungu kayanyima ufahamu badala yasome yanakazi yakutaficri lugha za wa2 zakiarabu manyumbu wakubwa hawa

  • @saidsalim2386
    @saidsalim2386 5 ปีที่แล้ว

    Huyu Kikofia hajui hata Nahau, la nafiya na la nahiya hajui, huyu hakuja kwa hoja, amekuja madrasa, Sh. Diwani mfunze huyu kijana ilmu yake ni pumba saana, yuwabobokwa tu Hana ilmu yoyote. Hamza rudi ukasome bro uache ubishi, utaenda motoni ww, Sh. Diwani Allah akujazi kheri!

  • @dennismataula293
    @dennismataula293 6 ปีที่แล้ว +16

    Yesu ni njia kweli na uzima ,alafu diwani anasema Yesu atarudi kama mtu ,hv kweli unaakili ,una tope ,alafu mwenyekiti simama kama mwenye kiti ,

    • @mawazoit8070
      @mawazoit8070 6 ปีที่แล้ว +1

      Dennis Mataula elewa msingi wa maandiko

    • @perrykemmy9045
      @perrykemmy9045 6 ปีที่แล้ว +1

      Yesu ndie njia!

    • @abeidabbas9398
      @abeidabbas9398 6 ปีที่แล้ว

      Ww si muislam hayakuhusu haya ww baki na yesu wako kumuona ni mengi

    • @florrakaneza4388
      @florrakaneza4388 6 ปีที่แล้ว

      Dennis Mataula Kweli uko

    • @salimhahahaha.kilanga2027
      @salimhahahaha.kilanga2027 6 ปีที่แล้ว +1

      Dennis Mataula.Kwani Yesu atarudi kama nani kimawazo yako? Duhh hatari!!!!!.

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyekiti nimbea avutia upande mmoja mkubalin Isa bn mariam

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 6 ปีที่แล้ว +4

    Hamza okoka umfuate Yesu, anakupenda sana.. Achana na usanii wa dini maana unaishi hapa tu. wala Mohammad si Mtume, ni mtu tu na mwenye dhambi anayesubiri hukumu. Yesu ndo atahukumu kila mmoja, wanaopinga watasaga meno

    • @happyarooun6037
      @happyarooun6037 6 ปีที่แล้ว

      atamfata vip nabii wa wana Israel makabila 12 hakuna kabila hta moja African miongon mwao

    • @mandianuhumuinatv9654
      @mandianuhumuinatv9654 5 ปีที่แล้ว

      Ww kafiri achana Na Muhammad .alaf angalia sana kwaza yesu nidudu gani

    • @almendhiryable
      @almendhiryable 5 ปีที่แล้ว

      Issa au yesu ni mtume wa Israel sasa ukristo sio dini maana wakatoliki wao Roma sijui wainglikana sijui marekani wasabato sijui uiengereza sasa hiyo dini gani na badala ya kukufuata Israel na sio Roma itali au marekani

  • @mariamuselemani153
    @mariamuselemani153 6 ปีที่แล้ว

    uyu si mwislam kabisa Wala asihangaike watu tunaimani uyo mwacheni iyo Vita niyake namwenyezi mungu Allah amnusuru Inshallah

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 6 ปีที่แล้ว +13

    TUMKIMBILIE YESU MAANA NDIO NJIA SAHIHI, TUIFUATE BIBILIA MAANA NDIO NENO LA MUNGU

    • @rashidabdallah3658
      @rashidabdallah3658 5 ปีที่แล้ว

      Njoo

    • @kaizanalysis9284
      @kaizanalysis9284 5 ปีที่แล้ว

      wewe mwenyewe huijui bibi lia unafata mkumbo tu naushabiki

    • @tomjuma7679
      @tomjuma7679 5 ปีที่แล้ว

      Yesu ndio njia ya uzima

    • @salmaothman153
      @salmaothman153 5 ปีที่แล้ว

      @@tomjuma7679 😂😂😂😂😂😂😂tumulize yesu eti ww njia ya kwenda wapi

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว

      @@salmaothman153 Yemeni 😅😅

  • @priscahbosire4340
    @priscahbosire4340 6 ปีที่แล้ว +1

    Yesu no mshindi

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 6 ปีที่แล้ว +43

    wallah waislam tusomeni tutapotezwa

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 6 ปีที่แล้ว +2

      asma binti kiwasha nyinyi waisilamu mtaenda motoni

    • @Amishjuma
      @Amishjuma 6 ปีที่แล้ว +4

      Evans Okemwa Ww mwenyewe waabudu mtu Yesu ndio utaenda motoni umesahau alie kuumba ww na huyo yesu bin mariam.

    • @azizaamry9167
      @azizaamry9167 6 ปีที่แล้ว

      haswaaaa

    • @samgchannel4547
      @samgchannel4547 6 ปีที่แล้ว +1

      Yesu ndiye njia na mwokozi wa ulimwengu

    • @waziriislam2455
      @waziriislam2455 5 ปีที่แล้ว

      asma binti kiwasha NIKWELI DADA YANGU