ANGALIA SWAHABA MBUMBUMBU WA ASKOF HAMZA ALIVYOUMBULIWA NA DK KIMWERI.SEHEMU YA TATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ค. 2018

ความคิดเห็น • 206

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah shekh kimweri Allah akulinde

  • @aminland8167
    @aminland8167 5 ปีที่แล้ว +3

    HUYO HAMZA ANAFATA MASLAHI UROHO WA PESA TU MTASUMBUKA NAYE BURE HAKI ANAIJUA SANA

  • @fatmarashim6353
    @fatmarashim6353 5 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakah lauh kher Dr kimweri Allah akuongeze umri na akustiri Leo na kesho akhera

  • @allymuhammad325
    @allymuhammad325 6 ปีที่แล้ว +14

    Maalim kimweri,sina shaka nae, kawiva pande zote maa shaa Allah!

  • @shabnamanoormohamed5120
    @shabnamanoormohamed5120 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah! MashaAllah Sheikh Dr. Kimweri uko vizuri sanaaa...

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 ปีที่แล้ว +19

    SHEIKH Kimweli Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Manufaa.

  • @kabasileissaya8786
    @kabasileissaya8786 6 ปีที่แล้ว +16

    Hawa jamaa jamani wanamatatizo kweli hii tafsiri wanayo tafsiri kwa akili zao wananiudhi kweli inshaallah mungu ataongoa

  • @mwaswa1899
    @mwaswa1899 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakunasiku hata moja Ambayo Itatokea Yesu akashindwa yeye atakuwa mshindi milele ,dini zote zinamtegemea yeye aje na anakuja mtaelewa somo

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 6 ปีที่แล้ว

    Jazakallah Allahu khair dr kimweri upo vizuriii hadi raha kufutilia mdaalo

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 5 ปีที่แล้ว +6

    Laanatullah hamza and all groups

  • @mudiinasser4303
    @mudiinasser4303 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah kweri Allah akupe kila LA kher upo fiti wafahamishe hao watoto wadogo pao kimweri

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 6 ปีที่แล้ว +2

    Zamahiz tutaona na kusikia meng, Tunamuomba Allah atupe mwisho mwema inshaallah

  • @navabusabimana5485
    @navabusabimana5485 4 ปีที่แล้ว

    Allah awabarikini sana maulamaa wetu wa kiislamu mmee ainisha kila kitu kikawa wazi 📖📖hamza na wengine ni budhabi dhabina wanawo mfuuta hamza allah awajaliye wafuate muongozo wallah 🤲🤲hamza ni mjinga sana allah amnusuru

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 5 ปีที่แล้ว +1

    Kimweri allah akupe umri mkubwa inshallah

  • @omarymasoudykisondo389
    @omarymasoudykisondo389 6 ปีที่แล้ว +4

    Uyo swahaba wa hamza anaongea nini cjajua point yake kasimamia nini makafili tupu hao izi ni laana uwezi kuichalenge Qur'an maana Allah kashamaliza kila kitu akuna kipya

  • @njokaawadhi3154
    @njokaawadhi3154 6 ปีที่แล้ว +4

    Hawa jamaa tunawaacha sana Waislam, huyu Hamza angekuwepo enzi za Sayidina Umar r.a angeendelea kuishi kweli???!

  • @neemaabdul9553
    @neemaabdul9553 6 ปีที่แล้ว +3

    Kweli liamza linatumia hizo falsafa za trump tu .hajui hata hiyo kur an ibilis huyu

  • @kautharmarik8904
    @kautharmarik8904 6 ปีที่แล้ว +7

    Hii midaharo naona km kuna watu watapotoka kwa hzo tafsir zao,tuwe kitu ki1,huyu jamaa tumuondoe asipate mahala pa kusemea jaman tuandamane!!!,

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah is greatest

  • @shariffkhaleed3021
    @shariffkhaleed3021 5 ปีที่แล้ว +1

    hamza pole sana umeuacha mwislaam Ali yakuwa unaona tambua kuwa kudai unabii SAA HIV nikufru kwasababu anaona kuwa maneno ya alla yanagongana kwasabab Allah amesrma kuwa mtume Muhamad ndowamwisho ñahakuna nabii baada yake