Fatma bint Rasul alikufa hali ya kuwa amewakasirikia Abubakar na Omar,na hakuzungumza nao mpaka amekufa na akaacha wosia akifa azikwe kwa siri bila ya hao aliowakasirikia wasishiriki na Ali ibn Abu Talib alitekeleza wosia huo...! Kutokana na tukio hili tunaona jinsi gani hao waliokasirikiwa na Fatma jinsi walivyomkasirisha Mtume wa Allah