Mimi ningependa kujua kuhusu hizi dufu, Makka na Madina ni miji mitukufu na ni miji inayofuata suna za mtume(S A W) sasa je huko Makka na Madina kunapigwa dufu?
@@DozzoSalim Hata kama zikipigwa au hazijapigwa! Ardhi/nasabu haimtakasi mtu, ispokuwa matendo!! Kwahiyo, kama wanapiga, kupiga kwao hakufungamani na utulifu wa Ardhi ya Makka na madina.
Masufi bwana,majuhala sana😅😅😅😅
Vituko tu
Mm ni mtu wa madufu ila kuanza leo Allah aniongoze na aniweke mbali na dhambi ya dufu
@@omarmohammed2697
Allah akuzidishie Elimu yenye manufaa kwa ufahamu wa wema waliotangulia
Mm ni mtu wa kupinga dufu lkn kwa ufahamu huu alio utoa mafuta kwanzia Leo naenda kwenye maulidi in sha Allaah
@@omarmohammed2697
Allaha akubaarik, na akuzidishie katika ufahamu wako wa mambo katika njia ya wema waliotangulia
@@GhulamJeylanww tng mwanzo t mtu wa ubwabwa 😂😂
@@GhulamJeylan Nenda ukawehuke
Mimi ningependa kujua kuhusu hizi dufu, Makka na Madina ni miji mitukufu na ni miji inayofuata suna za mtume(S A W) sasa je huko Makka na Madina kunapigwa dufu?
@@DozzoSalim
Hata kama zikipigwa au hazijapigwa! Ardhi/nasabu haimtakasi mtu, ispokuwa matendo!! Kwahiyo, kama wanapiga, kupiga kwao hakufungamani na utulifu wa Ardhi ya Makka na madina.
Hata picha mulisema hivyo hivyo kisha jamaa kapiga picha huku awacheka.