USALAFINI KWETU ONLINE TV
USALAFINI KWETU ONLINE TV
  • 325
  • 163 311

วีดีโอ

13 beti 104 A. NUNIYYA AL IMAMUL QAHTWANI رحمه الله تعال|Sheikh Qasim Mafuta Allah Amuhifadhi
มุมมอง 4
13 beti 104 A. NUNIYYA AL IMAMUL QAHTWANI رحمه الله تعال|Sheikh Qasim Mafuta Allah Amuhifadhi
FITINA WAKATI WA KIFO|Abuu Fauzaan Abuu ruduud Fadhili Abd Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 152 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FITINA WAKATI WA KIFO|Abuu Fauzaan Abuu ruduud Fadhili Abd Allaah Amuhifadhi
SIFA NA NAMNA YA KUMUOSHA MAITI| Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 165 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SIFA NA NAMNA YA KUMUOSHA MAITI| Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
TA'ALIQ ZOTE KWA SUMMARY YAKE JUU YA MUHAMMAD BACHU KUELEA RADDI YA SHEIKH JAMADA
มุมมอง 25911 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Playlist nzima th-cam.com/play/PL9dpfAzLEIckYOteAwdDeiBYDVfLnlDHY.html&si=7dm8gjkkMjqLgunE
RADDI KWA KHURAF: THEIR NOT SERIOUS WITH THEIR LIFE`Sheikh Abdallah Humeid Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 7574 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RADDI KWA KHURAF: THEIR NOT SERIOUS WITH THEIR LIFE`Sheikh Abdallah Humeid Allaah Amuhifadhi
VIPAZA SAUTI MISIKITINI MATUMIZI NA ADABU ZAKE| Sheikh Abuu Hashim Abdul-qaadir Al-musaawa حفظه الله
มุมมอง 51412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
VIPAZA SAUTI MISIKITINI MATUMIZI NA ADABU ZAKE| Sheikh Abuu Hashim Abdul-qaadir Al-musaawa حفظه الله
RADDI KWA ZAINUL ABIIDIIN WATAHARISHE MAHIZBI HAPO KAMA WEWE MKWELI sheikh Abdallah Humeid حفظه الله
มุมมอง 2.4K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RADDI KWA ZAINUL ABIIDIIN WATAHARISHE MAHIZBI HAPO KAMA WEWE MKWELI sheikh Abdallah Humeid حفظه الله
RADDI|USIKU WA MAZAZI YA MTUME ﷺ NI BORA KULIKO LAILATUL QADR|sheikh Abdallah Humeid Allah Amuhifadh
มุมมอง 87614 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RADDI|USIKU WA MAZAZI YA MTUME ﷺ NI BORA KULIKO LAILATUL QADR|sheikh Abdallah Humeid Allah Amuhifadh
JE WAZIJUA SUNNA ZA MTUME ﷺ? UMEHIFADHI HADITHI NGAPI?
มุมมอง 10414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JE WAZIJUA SUNNA ZA MTUME ﷺ? UMEHIFADHI HADITHI NGAPI?
JE QUR'AAN WAIJUAA? KITABU PEKEE DUNIANI UKIKISOMA WAPATA UJIRA KWA ALLAAH.
มุมมอง 21514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JE QUR'AAN WAIJUAA? KITABU PEKEE DUNIANI UKIKISOMA WAPATA UJIRA KWA ALLAAH.
KALIMA FUPI BAADA YA MAZISHA|Sheikh Abul Fadhili Kassim Mafuta Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 49314 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KALIMA FUPI BAADA YA MAZISHA|Sheikh Abul Fadhili Kassim Mafuta Allaah Amuhifadhi
RADDI SHEIKH IZZUDIIN| SISI TUNAMPENDA MTUME KULIKO MASWAHABA| JAMAICA NI BORA KULIKO SAUDIA ARABIA
มุมมอง 1.2K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RADDI SHEIKH IZZUDIIN| SISI TUNAMPENDA MTUME KULIKO MASWAHABA| JAMAICA NI BORA KULIKO SAUDIA ARABIA
KUMREJESHA KATIKA USAWA MWENYE KUKOSEA NI KATIKA DINI|Sheikh Abuu Ayman Al Ashraazy
มุมมอง 4914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KUMREJESHA KATIKA USAWA MWENYE KUKOSEA NI KATIKA DINI|Sheikh Abuu Ayman Al Ashraazy
RADDI KWA SHEIKH SHAHARANI KWA MANENO YAKE JUU YA MCHI YA SAUDIA ARABIA
มุมมอง 59114 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RADDI KWA SHEIKH SHAHARANI KWA MANENO YAKE JUU YA MCHI YA SAUDIA ARABIA
RADDI KWA IZZUDDIIN KWA KUIPONDA SAUDIA ARABIA
มุมมอง 19714 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RADDI KWA IZZUDDIIN KWA KUIPONDA SAUDIA ARABIA
KILA MJA ATAFUFULIWA JUU YA LILE ALILOKUFA KWALO|Sheikh Abuu Arqam Abdallah Muhsin Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 9316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KILA MJA ATAFUFULIWA JUU YA LILE ALILOKUFA KWALO|Sheikh Abuu Arqam Abdallah Muhsin Allaah Amuhifadhi
KUNYOA NDEVU NI UKAFIRI|KUJIFANANISHA NA MAYAHUDI NA MANASWARA
มุมมอง 4516 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KUNYOA NDEVU NI UKAFIRI|KUJIFANANISHA NA MAYAHUDI NA MANASWARA
MAANA HALISI YA BIDAA| JE KUNA BIDAA NZURI?
มุมมอง 4716 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAANA HALISI YA BIDAA| JE KUNA BIDAA NZURI?
BIDAA INAPENDEZA ZAIDI KWA SHAITWAANI KULIKO MAASIA
มุมมอง 1916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BIDAA INAPENDEZA ZAIDI KWA SHAITWAANI KULIKO MAASIA
NYUNDO KWA WATU WA KUZUSHA (Bidaa) KATIKA DINI| Ustaadhi Abuu Shaakir Sharifu Ally Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 23916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NYUNDO KWA WATU WA KUZUSHA (Bidaa) KATIKA DINI| Ustaadhi Abuu Shaakir Sharifu Ally Allaah Amuhifadhi
MIONGONI MWA MADHARA YA UCHAWI|Sheikh Abul khatwaab Abdallah Humeid Allaah amuhifadhi
มุมมอง 10116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MIONGONI MWA MADHARA YA UCHAWI|Sheikh Abul khatwaab Abdallah Humeid Allaah amuhifadhi
UHAKIKA WA MAISHA YA DUNIA|Sheikh Abuu Fauzaan abuu Ruduud Fadhili Abd Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 7616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
UHAKIKA WA MAISHA YA DUNIA|Sheikh Abuu Fauzaan abuu Ruduud Fadhili Abd Allaah Amuhifadhi
6B. SIIRA|KUCHAGULIWA KWA ABUUBAKRI SUDIC ALLAAH AMRIDHIE KUWA KHALIFA
มุมมอง 15716 ชั่วโมงที่ผ่านมา
6B. SIIRA|KUCHAGULIWA KWA ABUUBAKRI SUDIC ALLAAH AMRIDHIE KUWA KHALIFA
6A. SIIRA|KUCHAGULIWA KWA ABUUBAKRI SUDIC ALLAAH AMRIDHIE KUWA KHALIFA
มุมมอง 40916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
6A. SIIRA|KUCHAGULIWA KWA ABUUBAKRI SUDIC ALLAAH AMRIDHIE KUWA KHALIFA
USIKAE MBELE YA WATU UKIWA UCHI|sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 7519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USIKAE MBELE YA WATU UKIWA UCHI|sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
07. KABLA YA KUOSHA MAITI FANYA YAFUATAYO| Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 8019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
07. KABLA YA KUOSHA MAITI FANYA YAFUATAYO| Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
06. HAKI YA KUOSHA MAITI NI YA NANI?|SIFA YA MAJI YA KUOSHA MAITI
มุมมอง 4019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
06. HAKI YA KUOSHA MAITI NI YA NANI?|SIFA YA MAJI YA KUOSHA MAITI
05. HUKUMU YA KUOSHA MAITI NA MASHARTI YAKE| Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
มุมมอง 5419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
05. HUKUMU YA KUOSHA MAITI NA MASHARTI YAKE| Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allaah Amuhifadhi
4B. USALAFI NI NINI! NI UPI USALAFI? MUHADHARA
มุมมอง 2619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
4B. USALAFI NI NINI! NI UPI USALAFI? MUHADHARA

ความคิดเห็น

  • @MusaMahanyu
    @MusaMahanyu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wote wawili mwafanyautt

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwahiyo zimefika mwisho ta'aliq au zinaendelea au zimefika mwisho?

  • @hassanmzandy1421
    @hassanmzandy1421 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah ndo anemjua nan anae mcha Allah punguz ukali wamaneno unamuit mtu HIZB wakat anapigania Haq

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndugu yangu jadidah acha kushabikia ujadidah, ebu eka ufupisho wa majibu yote ya hoja za ujadidah zilizoelekezwa kwenu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tulizana kijana

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sindano imemuingia huyu Dozi inafanya kazi vizuri

  • @NurdeenMuhina
    @NurdeenMuhina 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    { یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱجۡتَنِبُوا۟ كَثِیرࣰا مِّنَ ٱلظَّنِّ إِنَّ بَعۡضَ ٱلظَّنِّ إِثۡمࣱۖ وَلَا تَجَسَّسُوا۟ وَلَا یَغۡتَب بَّعۡضُكُم بَعۡضًاۚ أَیُحِبُّ أَحَدُكُمۡ أَن یَأۡكُلَ لَحۡمَ أَخِیهِ مَیۡتࣰا فَكَرِهۡتُمُوهُۚ وَٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَۚ إِنَّ ٱللَّهَ تَوَّابࣱ رَّحِیمࣱ } [Surah Al-Ḥujurāt: 12]

  • @JafariMohamed-b6w
    @JafariMohamed-b6w 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    جزاءكم الله خير

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bwanzi ni nani hapo ushateleza ولا تنابزوا بالألقاب

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah awahifadhi shekh Abdulqadir na shekh kishk ❤❤❤❤❤ bimaan kuna wat wanaish kutafuta kasoro za wa2

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa วันที่ผ่านมา

    Allah amhifadhi shekh Nurdeen kishk ili tuzid kupata faida kutoka kwake Ya Rabb mjaalie shekh kishk jannat firdaus pamoja na mtume Muhammad s.a.w

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa วันที่ผ่านมา

    Wanakz ya kutafuta makosa ya watu 2 mema hawayaon,hlf wanao kosoa hatuwasikii mkihubiria watu bal mna sikika kwenye kurad 2

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa วันที่ผ่านมา

    Tatizo ndo hilo sasa mtu badala akapinge ukiristu anapinga dini yao wenyew,we shekh w mwenyew umekosea kumkosoa mtu hadharan dini inaamrisha umfate na kumwamby kwamb kwenye hili umekosea kwa sabb yeye pia ni binadam na binadam tumeumbiwa makosa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 วันที่ผ่านมา

    Abdallah mwana wa Humeid yupo ktk jihadi ta kupambana na watu wa BID'A!! Alllah akuhifadhwi

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi huwa nsemaga kuketi na watu wa bidaah makhurafi bora uketi na nguruwe au mbwa untawafundisha watakuelewa kuliko awoo watu

  • @MusaSuleimanNassorAl-Amry
    @MusaSuleimanNassorAl-Amry 2 วันที่ผ่านมา

    Wapuuzi nyinyi

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 วันที่ผ่านมา

    Wallaahi miongoni mwa neema kubwa kwa muislamu ni kule kuafikishwa na Allaah Mtukufu, kutoka kwenye upumbavu na uvundo wa masufi, ukafiri nusu, uzindii nusu, Uislamujee una asilimia ngapi hapa?

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 วันที่ผ่านมา

    Mi nawashangaa watu hawa, Uislam huu wenye upumbavu na mambo ya kigonjwa kama haya wameutoa wapi? Khalafu hivi kweli hawa ndio watu wa kuusaidia Uislamu kwa umwehu huu walio nao na namna wanavyo wakomanza akili watoto wao na wanao waskiliza? Hii misufi ni mishia imekwisha kazi, wanacho fanya ni kuikosoa Sheria ya Uislamu na kumtia kasoro Mtume wetu Rahma za Allaah na Amani zimfikie, na kuingiza ukafiri ndani ya maisha ya waislamu, hawa jamaa ni wasaidizi wakubwa wa ibilis laana za Allaah zimfikie

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 วันที่ผ่านมา

    Imam Shaafi kesha maliza maneno, huwezi kua sufi mwanzo wa mchana ispokua jioni ikifika wewe kushakua mwehu vunge la taka.

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 2 วันที่ผ่านมา

    Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Allah azidi kuiyanyu . Allah atongz kti hki n kutupa mwasho mwema

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 2 วันที่ผ่านมา

    Hajavuta bangi kweli huyu MAMBRUI

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 2 วันที่ผ่านมา

    Subhnllah huu mtihan ss walai dha eti KIZAZI Cha mtume. Rehma na amani zimfikie hhh kweli huyo ni chinzi kabisaaa BarakAllah dheikh

  • @ellyndaprincess3235
    @ellyndaprincess3235 2 วันที่ผ่านมา

    We jamaa unakimdomo kichafu kama chupi yako wewe unaonekana unawashwa dawwa yako ni ya haki lakini unatumia maneno machafu hadi tunaonekana masalafi wote sisi ni modomo michafu koma na kicheko chako cha kikahaba rekebisha dawwa yako 😂😂😂

    • @AsampiMpili
      @AsampiMpili 2 วันที่ผ่านมา

      Angalia ya muhimu chukua hakuna mkamilifu kama midomo michafu basi masufi wanaongoza Tena kutukana ulamaa na unavyosema anakamdomo kachafu kama chupi yake kuwa na adabu na chupi huenda kipindi anaanza kuitafuta elimu wewe ulikua ndani ya hiyo chupi unayoitaja.Mwisho wa kunukuu

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 วันที่ผ่านมา

      Msiwe ivo maneno mengine msitumie katika maongezi yenu,,,, mtu anaefuata madhehebu salafy anatakikana awe anafuata maamrisho katika maongezi yake,,,,

    • @NassifSuleiman
      @NassifSuleiman 2 วันที่ผ่านมา

      Subhanallah tuseme ana mdomo mchafu weye hapo ulipoandika ndio unaonekana msafi na hayo maneno yako yakinyaa??! Hebu km huna la kuandika humu baki nalo moyoni, weye unamtupia mwenzako lawama wakati unatakiwa kwanza ujirekebishe weye kwanza.

    • @AbuuSaad-e3i
      @AbuuSaad-e3i 2 วันที่ผ่านมา

      Mimi sikuoni wewe ispokua ni mtu wa bada'a Kua na adabu unapo andika coment zako

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 2 วันที่ผ่านมา

      Usiwe muong kitendo ch kutumia maneno makali tu yaonesh wew umeumia juu y sheikh wako l kisufy

  • @RashidShela-w8n
    @RashidShela-w8n 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani unakosa gani kumpenda Mtume kuliko Maswahaba unachokikosow ww nn hpo au ww imani yko ni dhaifu?

  • @AthumaniAmiri-fv5zp
    @AthumaniAmiri-fv5zp 3 วันที่ผ่านมา

    Maswahaba walimpenda mtume wakiwa wamemuona sisi tunampenda na hatuja muona tumeaminishwa tu na lillahlhamdu tukaamini na tukampenda sana nikweli sisi tunampenda sana mtume sasa wayapingaje mapenzi ya mtu ilhal mapenz ya mtu yapo moyoni

  • @fay9687
    @fay9687 3 วันที่ผ่านมา

    Izzudin ogopa Allah unapoteza watu na kuwatia chuki waislaam na Saudia jamani huyu sheikh anapoteza waislaam utaenda kuulizwa izzudin kasomea wapi jamani

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 3 วันที่ผ่านมา

    Kwahakika Watu wa MAULIDI wamefikia kubaya sana. Leo hii wanapingana na AYA ZA QURAN kisa ni MAULIDI taka taka ambazo hazikufunzwa katka UISLAMU

  • @Fatmasistar
    @Fatmasistar 3 วันที่ผ่านมา

    Assalaam Alykum Allah atujalie tuwe miongon mwawenye kujuw kusoma ktabu cha Allah Inshaallah

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 4 วันที่ผ่านมา

    KWANI LINI SAUD ILIONGELEWA KWA UZURI NA MTUME SAW?😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 วันที่ผ่านมา

      MAWAHABI MNASHANGAZA SANA 😂😂😂. YAANI LEO KULALA MAITY SAUD NDO IMEKUWA TUKUFU. BASI TUKAWAOMBE HAO MAITY AU VIPI?. KWANI MJI UNAKUWA MTUKUFU KUMBE KWA MAKABURI AHLU LKUBURI 😂😂😂. MAWAHABI MBONA LEO MMECHANGANYIKIWA

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 4 วันที่ผ่านมา

    Saudia haifai kuwaombea dua wapelastine kwenye miskiti, hapo mwasemaje, saudia ya sasa sio ya zamani, kesho kutwa Kuna wasani kutoka marekani wanakuja kuimba Riyadh, juzi mtoto wa mfalme kasema.hajali.wapalastine kufa yeye haimuhusu Wala hajali, anacho jali yeye ni nchi yake na watu wake, kwa ufupi saudia ni nchi ya waislamu sio nchi ya kiislamu

  • @ramadhanmulunga9643
    @ramadhanmulunga9643 4 วันที่ผ่านมา

    Mashallah maombi mazuri hayo naimani mashekh wetu wameupata ujumbe

  • @AsampiMpili
    @AsampiMpili 5 วันที่ผ่านมา

    Baarakallah fiik,masheikh tunaomba msichoke kuwapa nasaha vijana ambao wanaonekna wamepind katika daawa wakati mkiwa mnawapiga radd basi pie wapewe nsaha private,kuna mda sio wote wanaopigwa radd ni kwmb hawana elimu hapana huend ikawa wana elimu lakini kama hawapo katik misingi sahihi basi elimu yao inakua haina manufaa ila pindi Allah akiwaongoza wakaifuata haqq basi kheri kubwa itapatikana

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 5 วันที่ผ่านมา

    MNAKWENDA KUIGAWA DINI VIPANDE VIPANDE SASA, SIJUI KAMA MUNAZINGATIA MADHARA YAKE, AU NDO MUNATUMIKA KAMA VIBARAKA WENGINE, MAANA HAMNA KITU KIBAYA KAMA UKIBARAKA

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe ABDALLAH humeid umesikiya hata kidogo zainul abdini ameongeya ku Abu hashimu ama unamzuliya kwa kumzaniya

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 4 วันที่ผ่านมา

      bado hujui soma utajua wanao faham wanaelewa vzr

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 5 วันที่ผ่านมา

    Jambo lengine ikiwa mtu amejiita yeye nisalafi wewe kama nani kumtowa kwa manihaji ama mpaka mtu aje aji andikishe na kitabu chenu ndiyo mumukubali

    • @UmmuHaneefahChikomele
      @UmmuHaneefahChikomele 5 วันที่ผ่านมา

      Mnakoandikishana ni huko uhizbiyani wanachama hai na wafu amma kwenye manhaj salaf hayo unayoyasema hatuko nayo kabisa. Mnapata tabu mno kuwatetea masheikh zenu wa batwil hali ya kuwa wenyew wapo hai ila wameshindwa hoja ndio maana siku zote wakigongwa hunyamaaa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 วันที่ผ่านมา

      Kujiita salafy haitoshi wewe kuwa Salafy...!!! Kwo inabidi ukijiita basi uufuate huo usalafy! Nowadays hadi masufi wanajiita Ahlusunnah wal jamaa,,, je ni kweli wao ni Ahlusunnah wal jamaa???!!!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xtoa dalili hatutaki mipasho

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 วันที่ผ่านมา

      @@hafidhwajina6718 Dalili gani wahitaji mbona sikuelewi...???!!!

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 5 วันที่ผ่านมา

    Shekh ABDALLAH humeidi mbona unadhana mbaya na ndugu yako zainuliabidini yani aliposema jamiya wewe unadhani amekusudiya abu hashimu ama abdul fadhili umekaa naye ukamuuliza alikuwa anakusudiya nini

    • @UmmuHaneefahChikomele
      @UmmuHaneefahChikomele 5 วันที่ผ่านมา

      Acha kuropokwa anza kutafuta asri ya mazungumzo alafu ujue mtiririko sahihi wa haya mazungumzo. Wataka azungumze nae kando cha ajabu wewe hujaanza kumwambia hilo sheikh lako kuwa hajamuita sheikh Humeid

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa Abuu hashim alipokataa kuomba msamaha Lamu akasema afadhali kuvua samaki kuliko kuomba msamaha kwa Nurein ndio tawadhuu? ikabidi muende visiwani?

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 วันที่ผ่านมา

    Chakushangaza wale wanaitolewa kwenye manhaj Baadhi yao hufa wanatamaka kalimatu Twayyiba ya shahada Allah ni mjuzi zaidi

    • @UmmuHaneefahChikomele
      @UmmuHaneefahChikomele 5 วันที่ผ่านมา

      Ndio nini yaani unachoashilia

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 วันที่ผ่านมา

      Hata masufi wapo wanaokufa na shahada.... hapo vipi!

    • @swalehmohamed4849
      @swalehmohamed4849 4 วันที่ผ่านมา

      Kwamba mtume swallalahu Aleihi wasallam asema atakaekuwa maneno yake ya mwisho ni Lailah Illa Allah ameingia Jannah ni sirahisi kutamka wala si ujanja ni Taufiq ya Allah na Rahma zake na huthibitisha mwisho wako na sisi na mashuhadaa katika Ardhi

    • @swalehmohamed4849
      @swalehmohamed4849 4 วันที่ผ่านมา

      Hata sufi siri ya taubah anaejua ni Allah kwani Abuu hanifa si alikataa kumswalia mlevi akamuota jannah kumbe usiku wake alitubia

  • @AlihamadSaid
    @AlihamadSaid 5 วันที่ผ่านมา

    Je mtume alifanya raddy au mawsahaba walifanya raddi naona mashekh Kwa mashekh munfany ivo niharam

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01 5 วันที่ผ่านมา

      @@AlihamadSaid Naam! Walifanya raddi

    • @UmmuHaneefahChikomele
      @UmmuHaneefahChikomele 5 วันที่ผ่านมา

      Allahu mustaan hivi unajua kama umeharamisha ambacho Allah amehalarisha na huko ni kuchumpa mipaka linakuponza bandle lako kwa kuandika batwil kwenye mitandao Allah akuongoe kwenye huo upofu

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@UsalafiniKWETU01tupe hadithi 1 tu kuwa mtume alihalalisha radd na kunamaswahaba aliwaradi au tupeni maneno ya maswahaba mtuoneshe sehemu gani maswahaba waliradiana

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@YaziduIddy-u7p Allah mwenyew kamradd Abuu Lahab kweny Quran! Hapo vipi....!!!

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 4 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x hahahaha kwahiyo nanyie mmekuwa Allah mnamjua huyu amepotea huyu hajapotea kazi ya Allah munaifanya nyie mawahabi mmeacha kazi ya kulingania kama Allah alivyotuamurisha tuwalinganie watu kwa maneno mazuri na laini mnafanya kazi ya Allah ya kuhukumu

  • @salehkhamis6567
    @salehkhamis6567 5 วันที่ผ่านมา

    Sisi tunaotafuta elimu mnatuchanganya tu

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 5 วันที่ผ่านมา

      Km hutangulizi kitabu na sunna ktk kutafuta kwako elimu kuchanganyikiwa lazima maana wasomi wengi wanaongea kulingana na vile walivyoamka kutoka usingizini siku hiyo

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 4 วันที่ผ่านมา

      Mtachanganywa sana Yaani lailatul qadr ifananisshwe na mazazi ya mtume., halafu uchanganyikiwe?

  • @salehkhamis6567
    @salehkhamis6567 5 วันที่ผ่านมา

    Hakuna elimu hapa

    • @Dawah99
      @Dawah99 4 วันที่ผ่านมา

      Elimu ipo wapi?

  • @JumaMpingo-x5b
    @JumaMpingo-x5b 5 วันที่ผ่านมา

    Kwa akika kwss vjan tusome na tumuombe allaha atuonyshe njia y hakki

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 5 วันที่ผ่านมา

    Total approved failure Daawa. Akhiy AbdAllah huna akhlaqi nnjema jirekebishe acha khusuma. Acha kuitukuza nafsi yako. Madai' ni watu anapatia na wanakosea,pia hata wewe kadhalika. Mara nyingi tunakusikilizeni kwa kupata faida.Lakini tunakuta Usulubu unaotumia ni mbovu ambao unakhalifu Manhaj Daawat Salafiya. Mnukuu mzungumzaji kisha ndo ueleze mafhum yako. Na siko kutoa mafhum yako moja kwa moja kutoka kauli ya mzungumzaji. Pia tambua hamna hati miliki Usalafi.Rekebisha tabia zako.

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 5 วันที่ผ่านมา

    Duuuh subuhana llah nyi watu hatari katika safu za masalafi hamjawahi muacha mtu salama, hata huko saudia hamjawaacha salama baadhi ya kibali ulamaa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe nshakujua huna Elimu ya dini... kaa usome kwanza! halafu baada ya hapo ndo uparamie mambo ya Jarhu na Taadil...!!!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 5 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x ww nawe mwathirika wa hii man hajji mbovu enye mapito ya kikhawariji huna jipya hawa washashutukiwa ulimwenguni saivi pote potofu lililojificha katika usalafi kwa unaona lawama za ulamaa mbali mbali wakililaumu pote hili kwa jina la usalafi mkauchafuwa salafi jiunge usikilize fatuwa mbali mbali za maulamaa wakubwa unaishia kuwasikiliza kina humeid na mafuta ndo waona umeongoka kumbe mpotevu ambae upo karibu na hakki

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@AbdulIssa-o7e Pote limejificha kwenye usalafy wakati wao ndo wameutangaza usalafy???!!! 😂😂😂... Hivi hata hujishtukii maneno yako! Yani hawa mnaowaita Majadida ndo walioutangaza usalafy Tanzania hadi saiv wafahamika na watu wanazidi kuelewa... kipindi ambacho nyie maanswar mlikuwa mnapiga vita usalafy na hamkutaka kujiita salafy kabsa! sasa leo muje mseme nyie ndo masalafy halafu sisi sio... MAAJABU 😂😂😂

  • @AllyFeruz-ed4yn
    @AllyFeruz-ed4yn 5 วันที่ผ่านมา

    Allah

  • @AsampiMpili
    @AsampiMpili 5 วันที่ผ่านมา

    Ila kwanini sheikh Abdallah unamdhania vibaya ndugu yetu huyo katika imaan mnasihini tena kwamba aendelee kuwaambia watu kuwa hakuna Salafy jadida kabla ya kuanza kuapa hawezi kuzungumza au ndo tabia yake kung'atang'ata maneno?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 วันที่ผ่านมา

      Hiyo Taaliyq ni ya muda kidogo... kama 4yrs ago kama sijakosea! Kuhusu hayo maneno ya Zeinul Aabidiin sijajua kama ni ya muda ule au ni ya sasa!

    • @mahatmohamed8392
      @mahatmohamed8392 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x maneno ya kwanza ni ya sasa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 วันที่ผ่านมา

      @@mahatmohamed8392 Mmmmh! mbona mzungumzaji kasema tarehe kuwa ni Rajab 1442H ?

    • @mahatmohamed8392
      @mahatmohamed8392 5 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x namaanisha maneno ya zeinul abidin

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 วันที่ผ่านมา

      @@mahatmohamed8392 Anhaaa! hapo sawa

  • @Mustapha2024Kawanda
    @Mustapha2024Kawanda 5 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadh sheikh ubainishe watu wanaoleta talbisi kwenye safu.... Mahizbiya.

  • @abuuabdillahtv8457
    @abuuabdillahtv8457 5 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭