Abainishe kuhusu nn km picha siyamafuta au abainishe nn labda ili mkubali ,, maana naona km mnajitekenya tu wenyewe,, na mnajua mwenye majibu ya hizo picha ila mnaogopa kumuuliza kwasbb ni nabii wenu atawafukuza ktk manhaji,, picha ni zamafuta hamna shaka mwataka nn ,,
@@WakaliFashionTz kijana acha kuzungumza usichokijua Sheikh Qasim sio maasum na si nabii kwetu sio huo ni uongo na uzushi uliowazi bali shekh Qasim kwetu ni Sheikh aliebeba haqqi na hatuwezi kumtii ktk baatwil hata sku moja. Kisha picha ni yake kwel ila aliyeisambaza aseme alipoitoa maana Sheikh Qasim hakuisambaza yeye na yeye msimamo wake kupiga picha ni haram ila kwa dharura sasa imebainika hiyo pasport size yake sasa imefikaje kwa huyo kijana anaeisambaza mtandaoni baada ya kuiedit sasa ndio aeleze ilikuaje picha ya sheikh anayo yeye na mpka kuisambaza mtandaoni laa hana sababu za kisheria ila kumkejeli mwenzake basi aombe msamaha kwa sheikh na kwa masalafi wote maana pia katoa maneno mabovu dhidi yao.
Picha ni ya sheikh lakin alieieneza ni huo MWENYE kudai akaweka na maneno ya fitna juu ya sheikh wetu Tunahitaji atuambie huo MWENYE kueneza khabari hizi amezipata wapi Picha hii kaipata wap
Yaani katika masheikh ambao wamepoa sana katika kuzungumza basi mmojawapo ni huyu Wallah yeye hutoa dalili2 hamsemi mtu binafsi sio vibaya masheikh wengine wa kisalafy ambao kuna mda ulimi unawatangulia kumuiga.
Tatzo lenu huyo mafuta wenu munampa nafasi ya utume hii ni laana itamitafuna wenyewe Maana mumekuja kama ccm na cuf hii shida sana ila waliopo kwa ajili ya din bado wana endelea na hamtaweza kuwaangusha
Mpka kieleweke either Abuu Nuaym aombe msamaha jambo liishe au anyamaze kimya lkn pia si salama kwake kwasababu amefanya jambo kubwa ambalo halitaisha hiv hvi bali ataenda kuulizwa mbele ya Allah
Sis tumezoea kwnu nynyi kukataa ukweli:usibitisho gn minao taka au yule kwnye picha si yey,jbu n yy kpga pcha hkuna hja y ubainifu midamu ykua ndio yy kwnye pcha..
unajua kufanyia kitu hata km swa si jamb la dhamb lakin wew mtu hatak kuenezewa wew ukaeneza kwa kusud yye pekee ndo aloeneza hatumjue mtu yyte ktk mashekh zetu mwenye pic hiz ispokua kazipata yeye na kaeneza kwaiyo itakua ni dhamb kuenez aibu za mtu bila kuridhia kwa we wkubal kuenezewa jamb usilolitaka
Mtihani sana watu washakwambia hiyo ni passport sasa akitaja ametoa pahala fulani anaogopa kuambiwa anachunguza watu na mmbea yaan njia ya muongo ni fupi sana na Allah atawadhihirisha ikiwa wamfanyia dhulma Sheikh Qassim😁😁😁
@omarabdullah-k8j Kwani nani alosema Qassim Mafuta ni hakosei(maasuum)? Huyo huteleza kama binadamu lakini kwahilo Salafy wanakataa sasa nyie leteni uthibitisho katika hiyo picha mmetoa wapi na nani kampiga hiyo picha? Ikiwezekana hata kiapo leteni kama nyie wakweli halafu sheikh Qassim aje aseme.Yaani wewe umemfumania mkeo mmeenda kwa Qadhi halafu watka yeye ndo athibitishe kweli kafumaniwa hivi inaingia akilini??
Lazima athibitishe kwa umma wa kiisilamu kama hiyo picha kupiga shekh kasimu mwenyewe ama kapigwa na mtu yote yanawezekana sasa alio sambaza picha ndio anatakiwa abainishe ikiwa yeye yupo ktk haki
Kweli akili kila kila mtu anazake,, Kwahyo wewe kutaka kujua picha kapatia wapi ndo iweje? Ndo ukubali kuwa nikweli nimafuta kapiga,, au ndo uamini kweli mafuta anaficha ,, ukweli mnaotaka kuupata hamtoupata paka watu wawe wamuogope allah kisha waseme ukweli, na je mafuta anaweza sema kweli kuhus hizo picha,, kwasbb nifitina kwake ikiwa atasema ukweli,, kwahyo ili asihusike niakatae ili asalimike lkni atakuwa amemuas Allah kwa kuficha uhalisia,, kwasbb yeye ndo anajua zaid hiyo picha aliipiga wapi,, ila masalaf wengi wanaataasub sana ktk haki,, ndo mana wameelemea upande mmoja,, ilikuwa km huwez sema uadilif, bas unyamaze,, mbona ktk nyinyi hakuna alietoa clip kumuomba mafuta aweke bayana watu wajue mmekazana tu thibitisha,, ili iweje sasa akituma zingine itakuwaje,,
mmejipa kazi ya kutetea ujinga! nyinyi manvyowashtumu watu wanaabudu makaburi mliwahi kwenda pale makaburini mkawaona wanasjudu?mmekashif watu kwa miaka sasa ni zamu yenu kukashiwa. kama utakavyokopa ndio utakavyolipwa!
Kwan unavoona weye picha ni ya nani na nani kasema picha si yake hilo ni si ktk sehemu ya mzozo fatilia mzizi wa mzozo ni nn ukishajua huwez kuuliza jambo hili lisilo na maana
Kwa hiyo umekubali kuwa Picha amepiga ziko kwenye simu yake ? ila unataka sasa kujua zimesambaajee?? Alafu kweli akili zenu zinamafuta ya Taa, Maana Muhusika Amekubaoi lkn Chawa mnahangaıka wakat muhusıka amekaa Kımyaa!! 😊😊😊😊
Acha chuki fuatilia jambo kwa uadilifu sio ushabiki na matusi ukisema akili za watu zinamafuta ya taa wewe unaona ni sawa?mambo ya dini msiyapokee kishabiki sisi tunaitafuta haki sio kudhalilishana na kuitana chawa na eti akili zetu zinamafuta ya taa haya ni matusi ya wazi na Allah ataibaisha haki inshaallah.
@@AlmasAbdallah-r3g akili za watu aliopinda hazina akili 🤣 jahili hivi ww umemfania mkeo kisha umpeleke kwa kadhi nani anae takiwa athibitishe jambo hilo ? hii ndo tofaut ya mahizbi na masalafi alhamdulillah 🤣🤣
@jumanneissa8226 😁😁😁Yaani unalazimisha kwa Qadhi kwamba mkeo aseme kweli nimefumaniwa!! Aanze yeye kwanza ikiwezekana hata kiapo kuthibitisha hilo analodai.
Mimi ninachoshangaa sheikh qaasim mafuta siyupo hizi tuhuma nizake binafsi kwa siazijibu tu kuondosha mizozo mtatafuta huku na kule ila solution ni sheikh qassim kutoa ubainifu kuweni wachamungu nduguzangun sio ikiwa mtu fulan dhaifu ndo mumuandame ila ilitokea kwa wakubwa mnawakingia kifua huo sio uislam uislam unataka uadilifu
HIZO picha zinaenezwa na nan? Kwa idhini ya nan? Rudini KATKA DINI je yafaa kueneza picha ya mtu bila ridhaa yake? Au ni kwamba Kuna chuki au Kuna FAIDA gani wataka ILI umfedheheshe mtu ? Je hivo ndivo DINI anavosema au vip?
Sisi tunajua msimamo wa hao masheikh ZETU Bila shaka picha haifai kwa hadithi Mbali mbali za mtume swala na salamu ziwe juu yake Lakin TATIZO ni hili jambo la kueneza fitna juu ya WAISLAMU Je hii NDIO DINI inavosema
una ushahid gan km kad ile katengeza yeye hali yakua mwenyew kasema katengezewa moja kt ya ushahid bas hakuna hat sain yake bali wamekosea hata mtaa anaokaa wameandika mtaa mwengin wa mbali sas kaz yen ndug ni kuchkua maneno ya madasiq wanaoenza uoaz bila kuchunguza mpeta on the spot mnaeneza bas endeleeni
Ukweli unauma.... Kama ni mkweli Atubainishie madai yake
لَوْ يُعْطَى النَّاسُ بِدَعْواهُمْ، لاَدَّعَى رِجَا 1:30 لٌ أَمْوَالَ قَوْمٍ وَدِمَاءَهُمْ، لَكِنِ الْبَيِّنَةُ عَلَى الْمُدَّعِي وَالْيَمِينُ عَلَى مَنْ أَنْكَرَ}.
Abainishe kuhusu nn km picha siyamafuta au abainishe nn labda ili mkubali ,, maana naona km mnajitekenya tu wenyewe,, na mnajua mwenye majibu ya hizo picha ila mnaogopa kumuuliza kwasbb ni nabii wenu atawafukuza ktk manhaji,, picha ni zamafuta hamna shaka mwataka nn ,,
@@WakaliFashionTz kijana acha kuzungumza usichokijua Sheikh Qasim sio maasum na si nabii kwetu sio huo ni uongo na uzushi uliowazi bali shekh Qasim kwetu ni Sheikh aliebeba haqqi na hatuwezi kumtii ktk baatwil hata sku moja.
Kisha picha ni yake kwel ila aliyeisambaza aseme alipoitoa maana Sheikh Qasim hakuisambaza yeye na yeye msimamo wake kupiga picha ni haram ila kwa dharura sasa imebainika hiyo pasport size yake sasa imefikaje kwa huyo kijana anaeisambaza mtandaoni baada ya kuiedit sasa ndio aeleze ilikuaje picha ya sheikh anayo yeye na mpka kuisambaza mtandaoni laa hana sababu za kisheria ila kumkejeli mwenzake basi aombe msamaha kwa sheikh na kwa masalafi wote maana pia katoa maneno mabovu dhidi yao.
Majibu yako yakijinga mno hujaelewa tuu izi hadithi mashabiki nyinyi mna shida@@WakaliFashionTz
Picha ni ya sheikh lakin alieieneza ni huo MWENYE kudai akaweka na maneno ya fitna juu ya sheikh wetu
Tunahitaji atuambie huo MWENYE kueneza khabari hizi amezipata wapi
Picha hii kaipata wap
MashaALLAAH umeelezea vema ALLAAH awahifadhi masheikh wakisalafi
@@saadallah6287 Amiiin na akuepusheni na uhizibiya
SAUTI KAMA YA DR ISLAM WA KENYA MASHALLAH
Allah amuhifdh shekh
Allah akuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na ampe mwisho mwema
Elimu ukweli ubainifu uko kwa watu wa sunnah tu, hawa wengine ni waongo na wababaishaji kwa uchache wao wa elimu na kutawaliwa na matamanio
Yaani katika masheikh ambao wamepoa sana katika kuzungumza basi mmojawapo ni huyu Wallah yeye hutoa dalili2 hamsemi mtu binafsi sio vibaya masheikh wengine wa kisalafy ambao kuna mda ulimi unawatangulia kumuiga.
Ma shaa Allah barakAllah fiikum sheikh Allah akuifadhi na amifadhi sheik Qasim mafuta ju ya maadui amiyn
Mashaallah baaraqllahu fyk,lakn naona abuu nuaaym ni wakupuuzwa naona kumjibu ni kumpa nguvu ya kutoa porojo zake,lakin pia mchache wa ilmu
@@BilaliIloko ata kassim alipuuzw na dokta Islam alitaka kumparamia
Wazushi hawatakoma mpk......
Tuachien sheikh wetu tunampenda huyo Nuaym tunamuona km vile hayuko sawa kia......
Akiwa hawaheshim wenzake hawezi akaheshimiwa Hilo ondoa, yy awaradd wenzake ovyo ovyo
Tatzo lenu huyo mafuta wenu munampa nafasi ya utume hii ni laana itamitafuna wenyewe
Maana mumekuja kama ccm na cuf hii shida sana ila waliopo kwa ajili ya din bado wana endelea na hamtaweza kuwaangusha
Aseme tu amezitoa wap na aliyempa amezipata kutoka kwa nani
Masuf wanashida sana, mmetafuta kasoro mmeshindwa sasa mmeamua kuzua mengne
Shekh qasim aje aweke bayana katik hili
Hebu nyinyi mashehena msituchanganyeeeeeeee cc picha inawahusu nn ss nyinyi washehenaaaaa tunawadharau sn hamna jipyaaaaaa
msimtetee shekhe wenu mnafiki
unajua maana ya unfki
Mche allah ww unajua unafiki maana yake au ndio kusema tu bora kusema
Wewe na hiko kishee chako sio mchamungu
@@mafiatv5479 uchamung maana yak nini
Waalimu wetu embu tufundisheni ilmu hayo mambo ya picha si kitu
Mpka kieleweke either Abuu Nuaym aombe msamaha jambo liishe au anyamaze kimya lkn pia si salama kwake kwasababu amefanya jambo kubwa ambalo halitaisha hiv hvi bali ataenda kuulizwa mbele ya Allah
@@NassifSuleiman wa kuomba msamaha kassim kw kuwakashifu watu sasa awaombe msamaha kabla hajafaaa
@@NassifSuleiman hat kassim taulizwa mbel ya Allah kw kuwa kusema vibaya watu vibaya na kutoa aibu zao
Naona watu wanavyo mpambania sheikh lao ila cyo vibaya kumpambania sheikh lako
Kwanipicha niza abuu nuaym au za abulfadhil
Sis tumezoea kwnu nynyi kukataa ukweli:usibitisho gn minao taka au yule kwnye picha si yey,jbu n yy kpga pcha hkuna hja y ubainifu midamu ykua ndio yy kwnye pcha..
Je unasema kuhusu dini ya Allaah yale msiyo yajua? Au unafanya nn?
Mimi nauliza swali,, kwahiy wanao piga picha wote wanapata madhambi?
unajua kufanyia kitu hata km swa si jamb la dhamb lakin wew mtu hatak kuenezewa wew ukaeneza kwa kusud yye pekee ndo aloeneza hatumjue mtu yyte ktk mashekh zetu mwenye pic hiz ispokua kazipata yeye na kaeneza kwaiyo itakua ni dhamb kuenez aibu za mtu bila kuridhia kwa we wkubal kuenezewa jamb usilolitaka
Naam wanaopiga picha wote bila haja wala dharura wanapata dhambi
Mtihani sana watu washakwambia hiyo ni passport sasa akitaja ametoa pahala fulani anaogopa kuambiwa anachunguza watu na mmbea yaan njia ya muongo ni fupi sana na Allah atawadhihirisha ikiwa wamfanyia dhulma Sheikh Qassim😁😁😁
Alipata ruhusa ya kuzisambaza?
kwan yeye hupewa ruhusa ya kuwatukanawatu na kuwadhalilisha na kutoa mpaka aibu.zao kapewa.ruhusa mafuta nambie hapo
@omarabdullah-k8j Kwani nani alosema Qassim Mafuta ni hakosei(maasuum)? Huyo huteleza kama binadamu lakini kwahilo Salafy wanakataa sasa nyie leteni uthibitisho katika hiyo picha mmetoa wapi na nani kampiga hiyo picha? Ikiwezekana hata kiapo leteni kama nyie wakweli halafu sheikh Qassim aje aseme.Yaani wewe umemfumania mkeo mmeenda kwa Qadhi halafu watka yeye ndo athibitishe kweli kafumaniwa hivi inaingia akilini??
@@UsalafiniKWETU01 kwani yeye mafuta hawazalilishi wenzake yeye akizalilishwa ameonewa???
@@UsalafiniKWETU01 aliyempa mafuta ruhusa ya kuzalilisha wenzio ndo kampa Abu nuaym naye amdhalilishe mafuta na Bado paka mtalia ni malipo hayo,,
😂😂mawahab bhana wapumbavu sana
Masufi ndo wajinga namba moja
Cha kuzingatia sio kapata wapi picha, mjadala kufaa au kutofaa picha,.
Hii ni passport???cy picha
@@SameerMdumbemalongo hata ingekuwa video hahahahha
Lazima athibitishe kwa umma wa kiisilamu kama hiyo picha kupiga shekh kasimu mwenyewe ama kapigwa na mtu yote yanawezekana sasa alio sambaza picha ndio anatakiwa abainishe ikiwa yeye yupo ktk haki
@hajikatanje5961 siyo moja anayo zip mingi,,
Kweli akili kila kila mtu anazake,,
Kwahyo wewe kutaka kujua picha kapatia wapi ndo iweje? Ndo ukubali kuwa nikweli nimafuta kapiga,, au ndo uamini kweli mafuta anaficha ,, ukweli mnaotaka kuupata hamtoupata paka watu wawe wamuogope allah kisha waseme ukweli, na je mafuta anaweza sema kweli kuhus hizo picha,, kwasbb nifitina kwake ikiwa atasema ukweli,, kwahyo ili asihusike niakatae ili asalimike lkni atakuwa amemuas Allah kwa kuficha uhalisia,, kwasbb yeye ndo anajua zaid hiyo picha aliipiga wapi,, ila masalaf wengi wanaataasub sana ktk haki,, ndo mana wameelemea upande mmoja,, ilikuwa km huwez sema uadilif, bas unyamaze,, mbona ktk nyinyi hakuna alietoa clip kumuomba mafuta aweke bayana watu wajue mmekazana tu thibitisha,, ili iweje sasa akituma zingine itakuwaje,,
@@WakaliFashionTz ....Gazeti hili...
@UsalafiniKWETU01 tunawajua ndo kejeli zenu mkishindwa hoja
mmejipa kazi ya kutetea ujinga! nyinyi manvyowashtumu watu wanaabudu makaburi mliwahi kwenda pale makaburini mkawaona wanasjudu?mmekashif watu kwa miaka sasa ni zamu yenu kukashiwa. kama utakavyokopa ndio utakavyolipwa!
NANI ALIE SHUTUMIWA KAABUDU KABURI WEKA WAZI KAKA TUPATE FAIDA
Mawahabi niwanafik na الله hamfichi mnaafik
Unafiki wa qauli au wa kimatendo??
Mkishamaliza kutoa dalili, kauli za wanachuoni
Kisha aje aseme
Picha ni zake au si zake
Kwan unavoona weye picha ni ya nani na nani kasema picha si yake hilo ni si ktk sehemu ya mzozo fatilia mzizi wa mzozo ni nn ukishajua huwez kuuliza jambo hili lisilo na maana
Unamaanisha nini
@@NassifSuleiman Akhiy Kuna watu wewe wapuuze tu majina yao yanaakisi uhalisia wao si watu wa dini
Kwa hiyo umekubali kuwa Picha amepiga ziko kwenye simu yake ? ila unataka sasa kujua zimesambaajee??
Alafu kweli akili zenu zinamafuta ya Taa, Maana Muhusika Amekubaoi lkn Chawa mnahangaıka wakat muhusıka amekaa Kımyaa!! 😊😊😊😊
mazingatio kwa mwenye akili timam sio mbumbu wenyeakili wanaelewa sio lazima dalili uzipende wewe 😂😂
Athibitishe madai yake kama ni kweli😁😁😁
Acha chuki fuatilia jambo kwa uadilifu sio ushabiki na matusi ukisema akili za watu zinamafuta ya taa wewe unaona ni sawa?mambo ya dini msiyapokee kishabiki sisi tunaitafuta haki sio kudhalilishana na kuitana chawa na eti akili zetu zinamafuta ya taa haya ni matusi ya wazi na Allah ataibaisha haki inshaallah.
@@AlmasAbdallah-r3g akili za watu aliopinda hazina akili 🤣 jahili hivi ww umemfania mkeo kisha umpeleke kwa kadhi nani anae takiwa athibitishe jambo hilo ? hii ndo tofaut ya mahizbi na masalafi alhamdulillah 🤣🤣
@jumanneissa8226 😁😁😁Yaani unalazimisha kwa Qadhi kwamba mkeo aseme kweli nimefumaniwa!! Aanze yeye kwanza ikiwezekana hata kiapo kuthibitisha hilo analodai.
Mimi ninachoshangaa sheikh qaasim mafuta siyupo hizi tuhuma nizake binafsi kwa siazijibu tu kuondosha mizozo mtatafuta huku na kule ila solution ni sheikh qassim kutoa ubainifu kuweni wachamungu nduguzangun sio ikiwa mtu fulan dhaifu ndo mumuandame ila ilitokea kwa wakubwa mnawakingia kifua huo sio uislam uislam unataka uadilifu
Je! Una ilimu yoyote ili ututolee au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli..!
Sis hatuon ajab y yy kua n picha mn muna mpka kadi za za vyama nyny mpka kura mwapiga kwaiy sis tumewazoea uongo wenu...
@@MahirLim
Ahahaha, nyie mna mpaka madiwani na wabunge
@@UsalafiniKWETU01 huo ushabiki,, kwani SI kweli Muhammad Mafuta SI mwana ccm au ni uongo,??
HIZO picha zinaenezwa na nan? Kwa idhini ya nan?
Rudini KATKA DINI
je yafaa kueneza picha ya mtu bila ridhaa yake?
Au ni kwamba Kuna chuki au Kuna FAIDA gani wataka ILI umfedheheshe mtu ?
Je hivo ndivo DINI anavosema au vip?
Sisi tunajua msimamo wa hao masheikh ZETU
Bila shaka picha haifai kwa hadithi
Mbali mbali za mtume swala na salamu ziwe juu yake
Lakin TATIZO ni hili jambo la kueneza fitna juu ya WAISLAMU
Je hii NDIO DINI inavosema
una ushahid gan km kad ile katengeza yeye hali yakua mwenyew kasema katengezewa moja kt ya ushahid bas hakuna hat sain yake bali wamekosea hata mtaa anaokaa wameandika mtaa mwengin wa mbali sas kaz yen ndug ni kuchkua maneno ya madasiq wanaoenza uoaz bila kuchunguza mpeta on the spot mnaeneza bas endeleeni
Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na ampe mwisho mwema
Amiiin amuhifadhi na batili zake
Amiin kwa waislam wote sio yeye tu
@@NassorHassan-no1cr mbn kama unachuki ww
@@HajiDibwa-n2f
Kijana @NassorHassan ana msongo wa mawazo. Maskini!
Msg zake zinajionesha
Aamiin