Namkumbuka sana Baba yangu nikisikia huu wimbo..alipokua akiumwa tuliuimba sana pamoja nae..Lakini Mungu alimpenda zaidi,Baba angu uendelee kupumzika kwa amani
For the I have listened to your music It is really gospel.stay together for the lord and let each and everyone of you be blessed.those juniors also may almighty God see them through in life.
Why is this song underrated,,,let's push to 3 million
Hii nmeimba kipindi nafanya mahafali ya kidato cha sita 2021 Kasoma ,hakika Mungu ni tabibu wa ukweli 🙏🙏
Tunajifunza mengi juu ya kazi hii ya mtuzi nguri
Namkumbuka sana Baba yangu nikisikia huu wimbo..alipokua akiumwa tuliuimba sana pamoja nae..Lakini Mungu alimpenda zaidi,Baba angu uendelee kupumzika kwa amani
Pole sana
Wimbo bora kabisa
Hakika mnaimba vizuri sana, napenda kazi zenu sana. MUNGU awabariki ktk utume huu 🙏🙏🤔
Wimbo wakutia mtu moyo asanteni sana
Thank you doctor.we love you so much
Wimbo mzuru sana
Waoooooh very nice najifunia kuwa mkatorikii kaz nzur
Watu wote Turuke juu,Tumsifu Mungu Wetu
The best choir ( vocal) in Tz
OGod strengthen faith of your people.
I wish you were in Kenya
Hakika nabarikiwa sana. Tabibu wa kweli ni Bwana Yesu
ako na mimi 10-10-2020 like hapa
Catholic forever
Jamani hiyo step ya mwanza hatariii...
Ujumbe ndo balaa
Kiukwl hii nyimbo ni nzuri sana yan mshobozi kaka upo vizur nataka nije unifundishe na Mimi kupiga kinanda
mbarikiwe sana Mimi mwanakwaya naombeni kopi ya ni wewe nipo dare salaam
A wonnderful message and a very beautiful performance.
Thank you St Jude Thadeous Choir , Mbeya.
Am always being encouraged by this song when am down with stress
Waaao am admired to be here congrats Choir wenzangu
Tabibu WA kweli...ujumbe mzuri
This choir is the best
may God bless and see those juniors through.... they really inspire me, you're the best mbeya barikiweni sana
Siyo siri kwaya ya Katoliki kutoka Mbeya mnanipa amani ya moyo. Mbarikiwe sanasanaaa
Hii kwaya si ndo walikuwa wanakimbizana na makuburi? Mbona kama wamepotea.
For the I have listened to your music It is really gospel.stay together for the lord and let each and everyone of you be blessed.those juniors also may almighty God see them through in life.
those juniors really inspire me, I really love them they inspire me, may God see them through
Beautiful voices
Heri wa mwabudu Mungu katika roho na kweli
Mungu ndo tabibu wa kweli
Mbarikiwe sana kwa nyimbo mnaimba ya kubendesa maulana swathakta
Nimependa sana kazi yenu mme nibariki kwa kweli mungu awalinde
Mmelendenza sana wimbo unafariji na kuleta amani semeni amina
asante sana kwautume mwema mungu azidi kuwatia nguvu
"Nitasimulia" hakika nitasimulia matendo yako kwao... watching since 2016
Mbarikiwe sana wanakwaya, hakika nimebarikiwa sana na wimbo huu
Ubarikiwe pia nawe
Wana Mbeya mnajtahid xana inavutia hata kuxkiliza gd song
kaz nzur barikiwa sana
Bariwa sana
dah! ayo mastep yanatisha
tabibu mzuri mungu ni mwema
mshobozi hujawai nilet down... u do inspire me!!
Rafiki wa mkebezi
Mastep hayo yapendeza kweli..
❤❤❤❤❤
mm Paulo mwanakwaya uko poa sana hongereni kwa utume wenu naomba kopi ya tumshangilie
namba yangu 0767034843 paul
safi Sana kazi nzuri
Judethadeus, Thumbs up for the song "Ametamalaki" Well composed and choreographed.
Naombeni huu wimbo Kwa whatssp naupenda kweli 0786813575
Ametamalaki
Kazi nzuri sana!
I have liked the moves..thumbs up..may you continue to deliver the message to all Nations..Blessed.
Mbarikiwe kwa kuinjilisha kwa njia ya uimbaji
Safi sana
Amen mbalikiwr nabwana
+e mungu wabariki watumishi hawa.
kwanza th kids.. moto sana!
nilisubiri wimbo kwa hamu hatimaye nimeuona nawashukuruni wanakwaya wote kwa ushirikiwenu mzuri hakika mnaimba vizuri mbalikiwe sana
Mko good
Wimbo mzuri na unaujumbe mzuri meupenda
yani mpo vizuri mmepangilia sauti yani du
Mbarikiwe sana
mmetsha sana
Nic song
am in love With this song
Mbarikiwe sana, Mbeya yetu
p
wow,I have seen this the very moment I needed consolation due to my condition...mbarikiwe sana
mmetisha sana
Nice be blessed
sokwamastaili haya
you Will become more better
great music
I love this song but i don’t understand anything…
Amen
🙏🙏
M bet
AMINA
mshobozi at 3:36
aiseeeeeeee du hilo piece noma la hatari naweza kupata kopi yake du ntumieni kwa namba 0766587179
kama ulitumiwa nitumie pia tafadhali 0798142708
Nashukuru kwa uinjirishaji mzuri naomva wimbo wassap 0782005071
❤❤❤❤❤
Amen
🙏🙏