KWAYA YA MT YUDA THADEI TUSALI PAMOJA 02

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 25

  • @csato9415
    @csato9415 8 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa wana wa Yuda thadei, kanisa litajengwa na waamini wa rika zote.Mungu awabariki sana muendelee kutuijilisha kwa njia ya nyimbo.

  • @claramwanyalila328
    @claramwanyalila328 10 ปีที่แล้ว

    Hongera, hongera, hongera sana jamani nyimbo zenu nimezipenda sana sana Mungu awabariki sana kwa uimbaji mzuri. Sr. Mwanyalila

  • @paulonkundi9831
    @paulonkundi9831 8 ปีที่แล้ว

    Thank you for fantastic work may God bless you.......Sing...Sing....Sing...Sing....Sing....all the time when you are alife

  • @claramwanyalila328
    @claramwanyalila328 10 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wana Yuda Thadei Mbeya. Mungu awabariki kwa uinjilishaji

  • @evaristkomba8498
    @evaristkomba8498 6 ปีที่แล้ว

    Naikumbuka hii nyimbo tumeimba sana kwaya tycs madibira high school mbarali mbarikiwe sana

  • @wabulegrace6335
    @wabulegrace6335 2 ปีที่แล้ว

    You are welcome to Uganda.

  • @kerubocynthia8750
    @kerubocynthia8750 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo mtaamu kweli ahsanteni tumebarikiwa

  • @annamallya8108
    @annamallya8108 8 ปีที่แล้ว

    mbarikiwe sana yudathadei kwa uinjilishaji wa njia za nyimbo

  • @norbethekitosi5354
    @norbethekitosi5354 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina san

  • @MussaLepani-fk9yj
    @MussaLepani-fk9yj 9 หลายเดือนก่อน

    Amina san❤

  • @annamallya8108
    @annamallya8108 8 ปีที่แล้ว

    familia ndio msingi wa kila kitu, wazaz na walezi yatubidi tuiangalie kwa umakini na jinsi ya kumpendeza Mungu

  • @juliuskinunda3452
    @juliuskinunda3452 8 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kuwatia nguvu nawapenda sana

    • @wissajossecarito8031
      @wissajossecarito8031 8 ปีที่แล้ว

      nyimbo ziko vyema

    • @Rosette8474
      @Rosette8474 6 ปีที่แล้ว

      Weweeeeeeeeeee👪👬💃👮 tunaenda jumuia tume👂

  • @evaristmathias4662
    @evaristmathias4662 8 ปีที่แล้ว +2

    tumsifu yesu kristu

  • @gudyankermunissy4721
    @gudyankermunissy4721 10 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwabariki

  • @yasintampete255
    @yasintampete255 7 ปีที่แล้ว +1

    mbeya ,mpo juu kweli
    &&@@&&
    #

  • @eliamhamilawa2296
    @eliamhamilawa2296 9 ปีที่แล้ว +1

    mko vizr

  • @elizabethkifwewe7875
    @elizabethkifwewe7875 8 ปีที่แล้ว

    mko vizuri xNa

    • @albinamwasi7765
      @albinamwasi7765 6 ปีที่แล้ว

      Jamani nitapataje hizo kanda zenu?

  • @jacksonnzinza1071
    @jacksonnzinza1071 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni

  • @vanesamlay1907
    @vanesamlay1907 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @evaristkomba8498
    @evaristkomba8498 5 ปีที่แล้ว +1

    any one 2019

  • @ojomuse2664
    @ojomuse2664 9 ปีที่แล้ว +2

    SAAAAAAAAFIIIIIIII