Judethadeus Mbeya Choir Asante Yesu Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @PhilbertPhlorianRutasingwa
    @PhilbertPhlorianRutasingwa ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mbarikiwe

  • @Maahjames-jm5lc
    @Maahjames-jm5lc ปีที่แล้ว +1

    Xtaili mnaziwezeaah kwakweli
    Xjaona kwingne mbeya mko juu jude

  • @jacquelinemassawe2200
    @jacquelinemassawe2200 ปีที่แล้ว +2

    2023 proudly catholic nyimbo nzuri sana

  • @NiccaSaua
    @NiccaSaua 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda snaaa na nyimbo zenuu mungu awalinde daima

  • @Gladysalbinus
    @Gladysalbinus 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana proud to be Catholic

  • @bendettamutisya5628
    @bendettamutisya5628 ปีที่แล้ว +3

    Very nice song waimbaji 🥰 Tanzania choirs munaeza fanya mtu ahame nchi yake acome kwenu kuimba tu 🥰🥰🥰

  • @renaldamaiwa7266
    @renaldamaiwa7266 ปีที่แล้ว

    Nice song, proud to be a catholic ,God bless you

  • @emmanuelnguwa6175
    @emmanuelnguwa6175 2 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe Sana choir iko juu n kucheza mko juu zaidi

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 ปีที่แล้ว +1

    Good music God bless you

  • @everadamoche8889
    @everadamoche8889 4 ปีที่แล้ว

    Najivunia kuwa mkatoliki, hii nyimbo kwny bufa had raha

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 ปีที่แล้ว +1

    Good amd Nice song family of Mbeya God bless you❤

  • @christianmagehema3471
    @christianmagehema3471 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu awazidishie

  • @milesccyber6681
    @milesccyber6681 ปีที่แล้ว

    Nice Song, May God always Bless you for your convincing voices

  • @MatridaLinus
    @MatridaLinus 2 หลายเดือนก่อน

    Kinanda hicho jamani utukufu juu ya utukufu

  • @rewaldkatesh6488
    @rewaldkatesh6488 9 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzur xana lakn tatizo hwez ku dowlod

  • @josephinekessy1994
    @josephinekessy1994 ปีที่แล้ว

    Hakika hii nyimbo imenibariki sana proudly Catholic forever 🙏🙏🙏

  • @wabulegrace6335
    @wabulegrace6335 2 ปีที่แล้ว

    Ametamalaki you are so wonderful.

  • @Maahjames-jm5lc
    @Maahjames-jm5lc ปีที่แล้ว

    Napenda mlivo wachangAmfu
    Mnajiamni xana xauti kumbe pia nzur mko proud jmn God bless ur choir

  • @caromule3944
    @caromule3944 11 หลายเดือนก่อน

    Nice song

  • @ManyinsaChristine
    @ManyinsaChristine หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @gidongailo4514
    @gidongailo4514 3 ปีที่แล้ว

    Mko wapi jamani Judas Thadeus Choir jamani. Tunawamisi sana

  • @marthaemmanuel3323
    @marthaemmanuel3323 4 ปีที่แล้ว +1

    kuimba raha jaman

  • @salomebernado4498
    @salomebernado4498 4 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri.mungu awe pamoja nanyi

  • @johnmartin1927
    @johnmartin1927 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki wainjilishaji hawa

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 4 ปีที่แล้ว

    Amina...Wimbo mzuri

  • @paulmarco3126
    @paulmarco3126 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman najaribu kudownload nyimbo zenu zinanigomea audio

  • @mathiasm.3217
    @mathiasm.3217 5 ปีที่แล้ว

    So nice song. Kweli Bwana ataichukua sala.

  • @ceciliaangelo128
    @ceciliaangelo128 5 ปีที่แล้ว

    Nawapenda bure%

  • @theresemaina1020
    @theresemaina1020 7 ปีที่แล้ว +2

    waaah. nimetafuta huu wimbo Sana....so glad nimepata.

  • @martinjrnyakarare3378
    @martinjrnyakarare3378 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mnajua kuimba, mwenyezi MUNGU awabariki xana,
    Nyimbo zenu zinanibariki xana.

  • @isaackgabrieltv5514
    @isaackgabrieltv5514 3 ปีที่แล้ว

    Wako wapi hawa watu jamanii

  • @JosephMwangenda
    @JosephMwangenda 4 หลายเดือนก่อน

    Mko vzr,ila Kwa nn mmezuia kuzidownlod?

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 ปีที่แล้ว

    The dance is killing me very lovely,🍇🍇

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana mbarikiwe

  • @charleskibasa4992
    @charleskibasa4992 7 ปีที่แล้ว

    Asanteni Choir St Judethadeus, nabarikiwa na uimbaji wenu

  • @Nagabona
    @Nagabona 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kuwainua...

  • @andreasmtita7084
    @andreasmtita7084 7 ปีที่แล้ว +2

    Imetulia vizuri sana hii. Nyimbo yenyewe, uimbaji wake, vyombo, uchezaji wake na kila kitu. Hongereni sana.

  • @antusympogole8002
    @antusympogole8002 7 ปีที่แล้ว +2

    nyimbo nzuri sana hii

  • @ipyanawillson9356
    @ipyanawillson9356 3 ปีที่แล้ว

    Niceee songs

  • @makwayaemmanuel2327
    @makwayaemmanuel2327 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiweee

  • @lucyalbert6161
    @lucyalbert6161 6 ปีที่แล้ว +4

    nakupenda Sana dadaangu unavyoniinjilisha kwa nyimbo. Sada Louis maganga

  • @lucyalbert6161
    @lucyalbert6161 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana wimbo unabariki sana

  • @fransiscabahati7743
    @fransiscabahati7743 6 ปีที่แล้ว +1

    wooow mpaka nasisimuka mnaimbaaa mpaka nawatamani my god .....nitakuja mbeya

  • @edwinmakokha430
    @edwinmakokha430 6 ปีที่แล้ว +1

    nimebarikiwa sana na Huu mzuki.... mungu awajalie baraka ili muimbe na zaidi.... watu wengi pia wabarikiwe

  • @janekanini5331
    @janekanini5331 5 ปีที่แล้ว +3

    I love this song with one heart. It really blesses my soul

  • @fabioraalex270
    @fabioraalex270 7 ปีที่แล้ว +1

    Jaman duu !!! Wapedwa nimewatafta sana hatimae nimewafanikisha Mungu awabark nyimbo zen nzr sana kila mwenye kipaj naakitumie vzr love so much

  • @liliammalisa338
    @liliammalisa338 6 ปีที่แล้ว +3

    my favourite choir all the time. mbarikiwe sana

  • @eggypeter4687
    @eggypeter4687 6 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kusikiliza nyimbo zenu, mnaimba vzr sana Mungu awabarik kwa vipaji vyenu

  • @veronicahsylivester7426
    @veronicahsylivester7426 6 ปีที่แล้ว

    nawapenda bure katk Bwana aiseee...big up kwenuu

  • @engineermjanja9434
    @engineermjanja9434 6 ปีที่แล้ว +1

    hatri iyo ngoma tuliimba jpil hii kwaya ya vijana mt.Dominic savio ni hatrr

  • @robertombongi9089
    @robertombongi9089 6 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana Kwa Kazi zuri. Nyimbo safi na Kazi yake imefanyika Kwa mpangilio sana. Mbarikiwe sana.

  • @jeremiahmokua8737
    @jeremiahmokua8737 6 ปีที่แล้ว

    Blessing song I like it very very much........ singers God bless you abundantly.

  • @cosmasfeston5670
    @cosmasfeston5670 7 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana na wimbo wa asante yesu.hongereni sana wanakwaya wa mt.yuda thadei

    • @maselinamassawe858
      @maselinamassawe858 7 ปีที่แล้ว

      mko vizuri hsmjawahi kukosea

    • @minhtutv3014
      @minhtutv3014 7 ปีที่แล้ว

      Jamn nimetafut hii kway hatimae nimepat naipenda sanaaaa mungu azid kuwapa uwezo jamn

  • @fransiscabahati7743
    @fransiscabahati7743 6 ปีที่แล้ว

    mushobozi na bendi zote mpo vizuriii....... duh mnapiga vifaa vizuri

  • @emanuelmasanja8575
    @emanuelmasanja8575 6 ปีที่แล้ว

    Huwa nabarikiwa sana na huu wimbo

  • @robertmwenyegoha7463
    @robertmwenyegoha7463 6 ปีที่แล้ว

    Wooow wonderful be blessed

  • @dennismalima5365
    @dennismalima5365 6 ปีที่แล้ว

    Vocal yake balaaa organ ndo shda zaidi

    • @janekanini5331
      @janekanini5331 5 ปีที่แล้ว

      Dennis Malima
      Hope balaa kwako inamaana wameimba poa ndugu

  • @robertombongi9089
    @robertombongi9089 6 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana Kwa Kazi zuri. Nyimbo safi na Kazi yake imefanyika Kwa mpangilio sana. Mbarikiwe sana.

  • @antusympogole8002
    @antusympogole8002 7 ปีที่แล้ว

    nyimbo nzuri sana hii

  • @antusympogole8002
    @antusympogole8002 7 ปีที่แล้ว

    nyimbo nzuri sana hii