Hakuna tafauti Kati yenu na Malaika Wa Mungu wenyi kutangaza UKUBWA Wa Baba Mungu. Kweli mubarikiwe na Mungu ju ya UTUKUFU wake munaotangaza. Asante sana. Baba awabariki. P. Alphonse Marie
jamani nyie kila mkitowacho nikitu hizo suti zenu mungu kawapendelea mbarikiwe imbeni sifa za mungu ambae vizuri husali x2 mungu awajaliyeni nayarohon kamamlivyojaliwa saut
Nyimbo isiyochoshaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow KAZI safi yaani hizi nyimbo hunifanya kutaka kujua mziki kama kijana na kuendelea kuimba siku zote
Im enjoying this from Namibia❤❤❤❤❤❤
Hakuna tafauti Kati yenu na Malaika Wa Mungu wenyi kutangaza UKUBWA Wa Baba Mungu. Kweli mubarikiwe na Mungu ju ya UTUKUFU wake munaotangaza. Asante sana. Baba awabariki. P. Alphonse Marie
hongereni sana kwa uimbaji mzuri huu wimbo unanitia hamasa kubwa ya kuzidi kumtukuza mungu wa kweli,,mbarikiwe sana
Napata raha sana kusikiliza nyimbo za kikatoliki. Kupitia kuimba tunabarikiwa na kumrudia Mungu wa kweli.
These wordings ,melodies ziko level ingine❤
Nyimbo zenu zenye ujumbe Mzuri na zigeuze nyoyo za watu ili wamrudie mungu
Hakika nawapenda mno
Mungu atukuzwe kweli kuimba ni kusali Mara mbili
Wimbo huu siusahau,niliimbiwa harusi yangu,be blssd
Mungu awabariki.
master piece, it will always echo beyond ages
waatu,wanyama,samaki,wadudu,mimea kaviumba munguuuu "" wao hi kwaya naipenda txana
Jmn hii kwaya naipenda sana
Hakika naupenda sana huu wimbo
Safi sana ila namba mu update huu wimbo n8 mzuri sana
Kwaya itakayokuja kufafunika bado haijaanzishwa duh
Saf saanaa
nahao watoto wenu wanahisia kama wakubwa jaman mbona mmejaliwa vyote suti yabesi nibest naipenda hiyo duh
Amen
I really like this,thanks to the most high for wonderful talents
Wonderful be blessed nice song I really appreciate you guys
Mko vizur
jamani nyie kila mkitowacho nikitu hizo suti zenu mungu kawapendelea mbarikiwe imbeni sifa za mungu ambae vizuri husali x2 mungu awajaliyeni nayarohon kamamlivyojaliwa saut
kiukweli uimbaji wenu mzuri Mungu awajalie maradufu
nimekubal saut ya kinanda
Nawapenda jamni
Nawapenda buree
Hongera sana.
so nice song
A GOOD JOB
🙏✊🙌😍🥰🤩
Mbarikiwe Sana
Nimechelewa sana kuujua huu wimbo ,unanibariki sana.mmeuimba kiufundi sana🙏
wonderful
Amen
perfect
Iko poa
Nota Zake nazipataje??
Nenda Swahili notes utaipata ni ya nyanza IMBA SIFA
John stuart uwezi imba huo muziki ni mgumu kinoma
Napata raha sana kusikiliza nyimbo za kikatoliki. Kupitia kuimba tunabarikiwa na kumrudia Mungu wa kweli.
Mbarikiwe Sana