Daah mzee kikwete tutamkumbuka Sana zaman kwenda kufanya kazi nje ya nchi haikuwa kosa sa hiz tunazuiwa hata kwenda kufanya kazi tunaambiwa tumetoroka! Sasa mnataka tufe njaa Kama nyinyi riziki yenu Iko ndani ya nchi siye riziki yetu Iko nje ya nchi viongozi kwanini hamtambui Kama mnaongoza watu mbali mbali ktk nchi hii jaman
Tatizo kubwa WaTanzania mawezarau Elimu/kiingereza ambayo ni lugha ya kimataifa na inawezesha mtu kupata mafanikio kiurahisi hususan ukitaka kuzamia nchi za wenyewe.....
Hii dunia kuna mambo jamani ni hatar Sana broo we umeandika historian💪
Yule mama aliona unaroho nzuri ndio maana aliamua kukuombea kisemo chako.pole kwa mkasa
Big up dar 24 media kwa vipindi vya kuelimisha…
Daah mzee kikwete tutamkumbuka Sana zaman kwenda kufanya kazi nje ya nchi haikuwa kosa sa hiz tunazuiwa hata kwenda kufanya kazi tunaambiwa tumetoroka! Sasa mnataka tufe njaa Kama nyinyi riziki yenu Iko ndani ya nchi siye riziki yetu Iko nje ya nchi viongozi kwanini hamtambui Kama mnaongoza watu mbali mbali ktk nchi hii jaman
Tunajifundisha mambo meng kwa kupitia mbanga. Mungu awabariki sana
Kali sanaa mzee baba
Nice documentary
Tatizo kubwa WaTanzania mawezarau Elimu/kiingereza ambayo ni lugha ya kimataifa na inawezesha mtu kupata mafanikio kiurahisi hususan ukitaka kuzamia nchi za wenyewe.....
Mwenyezi Mungu, seen him???, anywhere around, I am lost!
Big up,,,,
Ubalikiwe san kwa story nzur
Et wik tatu tu dah 😂😂😂😂
Swa swa kaka
stori ni nzuri ila haijapangiliwa kwa namba ili upate muendelezo mzuri wa simulizi hii
Is True yanini uzamie au ujilipue Kenya na Tanzania ni visa stamp at arrival
Dzonga ninomaa
Nilikuwa naisubr sana
Omary upon wapi
Mmmmmm kaka usiseme wiki 3 mm nakaa ata miaka 4 na zaidi
Ningekuomba urejeshe ile tone ya nyuma simulizi ilikua inafanya simulizi kukua tamu zaidi ile ya background tone
Tupo pamoja mwanzo mwisho
Akufafanua vzur kuusu jail ya uku SA wanafunga watu ma saa 12 kwa cku instead ya kufungwa ma saa 24 ndo mana kafunguliwa nusu ya miaka mi 7
O
Ivi yule jamaa wakigamboni hanaitwa nani
Fala sana dupa eti wiki tatu tu
He is not telling us the truth, his story has too many gaps!!
I agree with you.
tell us your true story
He is a fool, no education etc,