Tazama Simba ilivyopgishwa 'gwaride' na Tanzania Prisons (1-1) | Highlights - VPL 10/03/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2021
  • SIMBA vs PRISONS: Luis Miquissone ameinusuru Simba na kichapo cha Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi Tanzania Bara kwa bao ya kusawazisha la dakika ya 90+5, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya Salum Kimenya kuitanguliza Prisons dakika ya 56.
    Katika mchezo huo Simba walikosa penati iliyopigwa na Chris Mugalu na kupanguliwa na Jeremiah Kisubi lakini pia wakapata pigo kwa beki wao Jumanne Elifadhili kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
    Haya hapa magoli, kadi nyekundu na mkwaju wa penati
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 299

  • @simontchaz5272
    @simontchaz5272 3 ปีที่แล้ว +20

    Ndo mara yangu ya kwanza kumsikia Baraka Mpenja akisema tumsifu yesu Kristu

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 3 ปีที่แล้ว +11

    PRISONS HAWAJUI MPIRA BALI JUDOOOO

  • @eriqemarson2362
    @eriqemarson2362 3 ปีที่แล้ว +11

    ila simba tunapigwa vita kweli....sasa Gwaride gani na sisi ndo tumewashambulia mwanzo mwisho 😂😂😂

  • @jaladollar7745
    @jaladollar7745 3 ปีที่แล้ว +15

    Hongera niwape wachezaji wetu kiukweli simba tumeucheza mpira mwingi sana sema bahati haikuwa yetu hii imekwisha pita sasa kilichobaki nikuangalia mchezo ujao.

  • @rahmakalumuna2899
    @rahmakalumuna2899 3 ปีที่แล้ว +5

    Daaa kagere angekuwepo hapo tungekuwa na magoli mengi sanaa

  • @marydominick920
    @marydominick920 3 ปีที่แล้ว +7

    Hamnaa mpira hukoo kwa prison wanacheza hvoo ili wasajiliwe simba sijuii😂😂😂🤣 goli la mugalu ni goli halali kabisa

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 3 ปีที่แล้ว +10

    SIMBA WANAKIPIGA BALAAAAA

  • @franciscynthia6506
    @franciscynthia6506 3 ปีที่แล้ว +8

    Coach asimuache morisson nje cz ni best kuliko chikwende

  • @paschalsamwel5921
    @paschalsamwel5921 3 ปีที่แล้ว +6

    Mpira kacheza simba,rafu kacheza prisons

  • @shijamakenzi3051
    @shijamakenzi3051 3 ปีที่แล้ว +3

    Kocha wa simba anazingua kagere ni bora kuliko huyo mgaru hata chikwende bado kwa Morrison tatizo makocha wetu uswahiba mwingi katika mechi mm binafsi kagere ni bora kuliko mgalu ila pale simba maigizo mengi sana

  • @user-ws9se3ve8u

    Was 🔥

  • @JAYCLASSICMEDIA

    Leo tarehe 13 naangalia hii,, nikisubiri African super cup

  • @user-vb5ev6sv2b

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-vb5ev6sv2b

    Simba bola🎉🎉❤

  • @zehe449
    @zehe449 ปีที่แล้ว +1

    Werr

  • @thomasnaibala6171
    @thomasnaibala6171 ปีที่แล้ว

    Ilikuwa mechi ya do or die

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 ปีที่แล้ว

    Makolo mpk leo bdo wanasumbuliwa na prison

  • @Mo_Blaze
    @Mo_Blaze 2 ปีที่แล้ว +1

    Miquissone

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii mechi bana

  • @donovalenatusidonovalenatu7780
    @donovalenatusidonovalenatu7780 2 ปีที่แล้ว

    Mpila