Yanga 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 04/12/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Goli pekee la dakika ya 89 kutoka kwa Feisal Salum limeipa Yanga pointi tatu muhimu wakiipiga Tanzania Prisons 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Kwenye goli lenyewe wamehusika pia Djuma Shaban, Bernard Morrison, Khalid Aucho na Farid Mussa.

ความคิดเห็น • 203

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 ปีที่แล้ว +12

    Wanzanzibar oyeeeeee #FEI TOTO 💚💚💚💚💚💚

  • @aishaahmed9102
    @aishaahmed9102 ปีที่แล้ว +6

    Alhamdulillah kwa point 3💚💛💚💛💚

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 ปีที่แล้ว +11

    Ilaa Aziz anajuwa sanaa jamani ebu tizameni anavyo tesa watoto wa wenzake uwiiii🤗🤗😂😂😂

    • @hassanmasoud4425
      @hassanmasoud4425 ปีที่แล้ว

      Kiiii n hatar kalambisha mtu nyasiii🤣🤣🤣🤣

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +17

    Tume amua kutengeneza unbeaten nyingine msije sema hatukuwaambia

  • @rehemaconeriocostance9011
    @rehemaconeriocostance9011 ปีที่แล้ว +9

    Ahsante Mungu kwa kutupatia alama 3💚💛🙏

    • @christianedward4249
      @christianedward4249 ปีที่แล้ว +1

      Kwakwel

    • @longidamollel1552
      @longidamollel1552 ปีที่แล้ว +2

      Asante Sana Mungu kwa nafas nyingne ya Ushindi, Azizi Ki we noma saa umeupga mwingi

    • @edsoneliah2802
      @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว +1

      Maana kidogo iwe sare

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 ปีที่แล้ว +1

      @@edsoneliah2802 yahn we acha tu

    • @edsoneliah2802
      @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว

      @@rehemaconeriocostance9011 hapo kwenye forward line kuna kazi ya kufanya...hapakuwa vizuri kabisa

  • @rogersiddy
    @rogersiddy ปีที่แล้ว +88

    Aliewaona wachezaji wa PRISONS wanajipiga chini kwenye goli lao kwa kujiraumu baada ya Feisal kuwafunga wakiiwazia milioni.20 drow m.10 like yako mdau🤣🤣🤣🤣

    • @deonisileonard9044
      @deonisileonard9044 ปีที่แล้ว +2

      Vina muda basii vina mudaaaa🤣🤣🤣

    • @geofreylogathe4256
      @geofreylogathe4256 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +1

      @@deonisileonard9044 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +1

      @@geofreylogathe4256 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @thehunter5920
      @thehunter5920 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa wakifungwa wana 30mil,hizo ni mbwembwe tu

  • @prriya507
    @prriya507 ปีที่แล้ว +8

    No Pro Nabi No Mayele No Problem💪😆💚💛👋

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 ปีที่แล้ว +7

    duuuh imepigwa kamsake kamsake mpaka wametoa prison point tatu si mchezo 👏🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +2

      Nomaaaa sanaaa🤣🤣🤣🤣

  • @emmanuelmaziku2018
    @emmanuelmaziku2018 ปีที่แล้ว +6

    💚🧡💚🧡💚💚💚💚 love you yanga

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 ปีที่แล้ว +6

    Wameumia sana prisons Yani wamejigonga kwenye nyasi😁😁

  • @kulwa01
    @kulwa01 ปีที่แล้ว +7

    farid mussa kiboko🔥🔥🔥🔥

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว +11

    Mpenja akitangaza mpira wa Yanga tunapata tabu wa magori yote was your Asante Mungu🙏💛💚💛💚

    • @christianedward4249
      @christianedward4249 ปีที่แล้ว

      Hahahahahhahahaha

    • @iddisaidi2090
      @iddisaidi2090 ปีที่แล้ว +1

      Sijui kwa Nini???

    • @ramadhanmapunda2062
      @ramadhanmapunda2062 ปีที่แล้ว

      Kwasababu yeye anacheza uwanjani?

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmapunda2062 Sijakwambia anacheza nimekwambia Yanga wanapata tabu kufunga wakifunga Sanaa ni mbili

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว

      @@iddisaidi2090 Yaan Mimi sielew sijuh kwa nin jaman

  • @winfridantandu2870
    @winfridantandu2870 ปีที่แล้ว +8

    Walio kuwa wanafikiria sare makasiriko yameanza🤣🤣🤣 mpenja anaongea kwa kujikaza 2 hna namuna 🤣🤣🤣🤣

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 ปีที่แล้ว +9

    Wewe Baraka Mpenja unanogesha sana eti kuna MTU alipigwa tobo pale ooh vile vilee safi sana mpenja.

  • @amanjoseph5356
    @amanjoseph5356 ปีที่แล้ว +7

    Akiwepo Feisal tu hua na aman sana

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 ปีที่แล้ว +7

    Ambundo niliwaza atafika mbali anarudi nyuma ajifunze kupiga Cross ,v pass na kulenga lango yeye niliwaza ninsiman zaidi ya kisinda

  • @clementgondwe7116
    @clementgondwe7116 ปีที่แล้ว +2

    Hii game ilikuwa tafu sana lkn Mungu alisaidia tukashinda

  • @paulmjungu3297
    @paulmjungu3297 ปีที่แล้ว +5

    Wachezaji kwenye benchi wamekosa nidhamu
    Wanaongea sana.

  • @bnttv8955
    @bnttv8955 ปีที่แล้ว +3

    Napenda Aziz k anavyocheza ana tuvituvitu twenye radha

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว +5

    Yanga tumepoteza nafasi nyingi sana.

  • @joejux1380
    @joejux1380 ปีที่แล้ว +9

    Feisal kawafanya watu wapewe afutatu badala ya milion 20😂😂😂 mpemba ana dhabi huyu

  • @mohamedyally570
    @mohamedyally570 ปีที่แล้ว +6

    Master k aziz unajua sana

    • @christianedward4249
      @christianedward4249 ปีที่แล้ว

      Sanaaaa

    • @sammotv6920
      @sammotv6920 ปีที่แล้ว

      Aziz ki anafanya kila kitu ila wanamuangusha tuu ila jamaa fund sana

    • @mohamedyally570
      @mohamedyally570 ปีที่แล้ว

      @@sammotv6920 fundi haswa ni kama anaanza kujipata sasa Yule Aziz mwenyewe tofauti na game za nyuma

  • @hindisaid2413
    @hindisaid2413 ปีที่แล้ว +5

    Nchi imejiinamia redio zote ziezimwa TV hazioneshi Ila WANANCHI TUUUUUU

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 ปีที่แล้ว +5

    Ambundo vinywele hiv vinakuzinga jaman Usione mpira mbele😃

  • @gracemwambene5233
    @gracemwambene5233 ปีที่แล้ว +6

    wakabana weeeeee mwisho wakaachia🤣🤣🤣🤣

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide ปีที่แล้ว +3

    Faisal ni azizi k wa3

  • @djmuddrahmubebeh7995
    @djmuddrahmubebeh7995 ปีที่แล้ว +4

    prisoner wamejitahid kutetea air precision lakini Hali ya hewa ikawagomea

  • @innocentmakala6542
    @innocentmakala6542 ปีที่แล้ว +4

    Aziz Kii 😌🤔

  • @tinalucas6284
    @tinalucas6284 ปีที่แล้ว +5

    Farid mussa ni mchezaji na nusu angekua tuisila hpa ange piga shoot menyew

  • @kihandasayi7691
    @kihandasayi7691 ปีที่แล้ว +6

    Acha nicheke kabisa kiingilishi hahahaaa

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 ปีที่แล้ว +2

    Eti ukute hata boss anatabasam bana, nani atoe milion 20😂😂😂 mpenja🙌🏾

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +7

    Daah hawa jamaa walikaza saana jamani,ila Mkubwa ni mkubwa tuu,ahsante MUNGU

    • @allenmlelwa7950
      @allenmlelwa7950 ปีที่แล้ว

      Wewe acha tufurahi..wewe ungelia?

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 ปีที่แล้ว

      @@allenmlelwa7950 Nimekua nimeshaanza kulia

  • @nurungole3961
    @nurungole3961 ปีที่แล้ว +7

    Huyo ndio mkombozi wetu wanayanga. Msikubari kumtoa huyo

  • @barakamrwafu9249
    @barakamrwafu9249 ปีที่แล้ว +5

    Azizi ki hatari 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 ปีที่แล้ว +4

    Hao wachezaji wa Prison wanaopigapiga ardhi wanamapepoo eeeee

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 ปีที่แล้ว +5

    Basi vina mudaaaaaa😂😂😂

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 ปีที่แล้ว +4

    Prisons wako vizuri

    • @fatmahussein6085
      @fatmahussein6085 ปีที่แล้ว

      Kuahidiwa malipo nayo imechangia wao kua vizur

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว

      Ball posission 63 kwa 37

    • @daudkhatib4678
      @daudkhatib4678 ปีที่แล้ว

      Matobo. Haya. Hatia. Kiwewe. Yanapatikana. Wagadugu. Tuu

    • @daudkhatib4678
      @daudkhatib4678 ปีที่แล้ว

      Kazi. Za magereza. Kuchunga. Wafungwa. Tuu. Sio mpira

    • @daudkhatib4678
      @daudkhatib4678 ปีที่แล้ว

      Nyie. Macomedian. Mzaramo. P. Milioni. Key. Mziwanda. Salim. Malaka. Bambo. Cuomo. Cuomo.

  • @maharusimedia8310
    @maharusimedia8310 ปีที่แล้ว +1

    I Love Young African 4ever 💚💚💛

  • @Veni584
    @Veni584 ปีที่แล้ว +3

    Golikipa kalia kwa uchungu kwelikweli

  • @josej9888
    @josej9888 ปีที่แล้ว +6

    Imepigwa mbungi hatari.

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว +5

    Yanga hata mechi ya ihefu hawakutakiwa kupoteza
    Wewe unamwachaje mtu kama morison nje hakina faridi musa hakina juma shabani. Na hapa mlitakiwa kudroo kwa kuwaacha nje wachezaji muhimu

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 ปีที่แล้ว +3

      Fuatilia mpira ndo utajua kwa nn walikuwa nje na kwann hata mechii hii walianza benchi acha kubwata

  • @suzancharles1639
    @suzancharles1639 ปีที่แล้ว +9

    Azizi ki anajua kuturn

  • @dianajeremiah1547
    @dianajeremiah1547 ปีที่แล้ว +2

    💚💚💚

  • @africaendlesscruising
    @africaendlesscruising ปีที่แล้ว +4

    Hizi fedha wanazoahidiwa wapinzani wa Yanga zitawaua wenyewe...!

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 ปีที่แล้ว +7

    Asie fungwa na yanga katika uwanja huu anyoshe mikino juu

    • @tysongodfrey2753
      @tysongodfrey2753 ปีที่แล้ว

      Na asiefungwa na simba uwanja huo anyoshe mikono

  • @rophinarona1103
    @rophinarona1103 ปีที่แล้ว +6

    Yanga sihami 🥰🥰🥰

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 ปีที่แล้ว +2

    😂😂👍asie fungwa na yanga uwanja huu anyooshe mkono juu

  • @burudanitiv324
    @burudanitiv324 ปีที่แล้ว +3

    Uchawi wao uliferi ndio maana walikuwa wanapiga ardhi

  • @hassanmasoud4425
    @hassanmasoud4425 ปีที่แล้ว +7

    Aiseeeeeee wamejipigapiga chini kwa kukosa million 20🤣🤣🤣🤣

  • @hamlansula9099
    @hamlansula9099 ปีที่แล้ว

    Hamulani sula matwi ilove you yanga

  • @raymondshirima1143
    @raymondshirima1143 ปีที่แล้ว +4

    Hawaku Amin wot Had simba sment

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 ปีที่แล้ว +7

    Aziz ki atar xana mmemuona

  • @seyfullahonlinetv
    @seyfullahonlinetv ปีที่แล้ว +3

    Mechi dume timu zote zimepambana

  • @godfreymakau3932
    @godfreymakau3932 ปีที่แล้ว +2

    I love yanga

  • @saimonijonas1471
    @saimonijonas1471 ปีที่แล้ว +1

    Prison wangekuwa wanacheza mechi zote hivi!!!? Wangekuwa mbali Sana.Wamecheza vizuri hata kama nikwa kuahidiwa kitu wamecheza vizuri sana.

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 2 หลายเดือนก่อน

    Ila mpenja dah

  • @evalinekaaya8305
    @evalinekaaya8305 ปีที่แล้ว +3

    Ww unaesema yanga ikicheza na timu ambayo aipokei bahasha kazi tunayo, ww ni mpumbavu bahasha ninyi ndo mmewapa prison ili watufunge ila imekula kwenu

  • @ismailhassan2687
    @ismailhassan2687 ปีที่แล้ว +5

    Mbon azam highlights yao skuiz haielewek au ni sim yang inasumbua

  • @gracemwambene5233
    @gracemwambene5233 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 chukueni aftatu tatu

  • @selemanicheliga562
    @selemanicheliga562 ปีที่แล้ว +4

    Makolo bhana

  • @danifordmanase4056
    @danifordmanase4056 ปีที่แล้ว +5

    Tunazid kunenepa tu

  • @mohamedyOmary-mm1bp
    @mohamedyOmary-mm1bp 11 หลายเดือนก่อน +1

    Na hii ndo mechi feisal alianza kuleta dharau na kujiona yy mkubwa

  • @mwamedypwemu6117
    @mwamedypwemu6117 ปีที่แล้ว +1

    jamani eeeh saw fei kafanya kosa kwa uongozi ila bado mapema san

  • @lydiadaniely4433
    @lydiadaniely4433 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ki azizi noma bhn

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 ปีที่แล้ว +2

    C haba wamekosa izo mill20 na kum ila wameambulia Lak 5️⃣ za kupambn uwanjan!!🤣

  • @wemasimon2206
    @wemasimon2206 ปีที่แล้ว +2

    GOAL KEEPER WA TZ PRISON ANAVYOPIGA CHNI HAHAHAHHAHAHAH

  • @simonshija2476
    @simonshija2476 ปีที่แล้ว +2

    "vina muda basi"

  • @asnatimwidin5443
    @asnatimwidin5443 ปีที่แล้ว +3

    Atuna Mba Mba mbaaaaa yanga oyeeeeeeee

  • @conscious2555
    @conscious2555 ปีที่แล้ว +3

    Hawa team pinzani wanao waahidi zawadi wachezaji wa timu zao watawafanya hao vijana wao wafe uwanjani,kwa kuwa wanatumia nguvu ambazo si za kawaida,imagine kila timu wanaongea juu ya hilo kisha wachezaji wao wanatumia nguvu kubwa sana kupambana na mabingwa,nafkiri sasa ni kuwaacha wacheze kwa nguvu zao tu za kawaida maana hapo wachezaji wao lazima wengine waumie na nawahikikishia mechi ijayo wanapotea tena hawa Tz prison's,ni wakati sasa wa kuacha hayo mambo ya ahadi

  • @arizonamagoma535
    @arizonamagoma535 ปีที่แล้ว +4

    Wamebana wameachi

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 ปีที่แล้ว +3

    Mpenja unapotangaza mechi za Yanga jitahidi uwe na furaha hata Yakujilazimisha tu. Yani unaonekana unakitu ikipendi hata ikitokea Yanga imefunga goal sauti yako inatoka kama umeshtukizwa.

    • @winfridantandu2870
      @winfridantandu2870 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 umeona eee afungue moyo tu 🤣🤣

  • @catherineabery6992
    @catherineabery6992 ปีที่แล้ว

    💚💛💚💛

  • @gracerobert5271
    @gracerobert5271 ปีที่แล้ว +3

    Vina muda basi hahahhahaa sisi ndio Yanga hahahha

  • @mariammichael5870
    @mariammichael5870 ปีที่แล้ว +2

    Miliooo20

  • @maikokapelo5508
    @maikokapelo5508 ปีที่แล้ว +2

    Kweri.yanga.tamuuu

  • @kingidrisaathumani48
    @kingidrisaathumani48 ปีที่แล้ว +8

    Mpenja anasema wajinga wanapigwa Tobo na eneo lile lile 😂😂

    • @rajabkiliaki4671
      @rajabkiliaki4671 ปีที่แล้ว +1

      Na kama vilevile imejirudia tena😀

  • @paskalchembe9497
    @paskalchembe9497 ปีที่แล้ว +3

    Yanga daima

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +6

    Mpenja bhana,eti kuna mtu alie wahi kupigwa tobo maeneo hayo🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sleymohamed3825
      @sleymohamed3825 ปีที่แล้ว

      hahhaaa na kweli imejirudia baba

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 ปีที่แล้ว

      @@sleymohamed3825 yaani hadi raha hahahahahahh

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt ปีที่แล้ว +5

    Yanga wasitegemee striker Mmoja ni hatari sana ,pia wafanye training ya 3rd pieces ambazo zilifanya wafungwe na Ihefu.

  • @tryphonefriday6010
    @tryphonefriday6010 ปีที่แล้ว +2

    Mkubwa ni mkubwa tu

  • @alikiloko1974
    @alikiloko1974 ปีที่แล้ว +2

    Naskia bodaboda alopewa hela arejeshe kaingia nazo mitini

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 ปีที่แล้ว +4

    Namungo FC atusamehe point 3 znahtajka jangwani, naamini nae atalala na viatu

  • @revocatussholoma
    @revocatussholoma ปีที่แล้ว

    Feisal ni mwamba sanaaaaa huy jamaa

  • @alimustwafa9832
    @alimustwafa9832 ปีที่แล้ว +1

    Makaro kazi munayoooo

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว +4

    Kuna watu walikua wanatuombea Mabaya
    Tufungwe au droo!
    Wananchi muwe makini tuna maadui wengi sana

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 ปีที่แล้ว +1

    Kosa la prison ni muda wote kuruhusu kumilikiwa na yanga pia pass zao hazina umakini hazifiki ni ovyo ovyo

  • @aronjonathan3297
    @aronjonathan3297 ปีที่แล้ว +5

    Watu wapo chapu jamani kufuatilia soka but daima mbele nyuma mwiko

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 ปีที่แล้ว +1

    ila mpenja dah.... hahaha

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 ปีที่แล้ว +3

    Fei toto anasema bado yupoYanga

  • @catherineabery6992
    @catherineabery6992 ปีที่แล้ว

    Hii mechi nilikuwepo Taifa sitasahau🤣🤣🤣🤣

  • @mathewssilungwe7692
    @mathewssilungwe7692 ปีที่แล้ว

    Mayere yuko wapi jamani?

  • @modycadabra8721
    @modycadabra8721 ปีที่แล้ว +2

    Mi ni Yanga

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga6338 ปีที่แล้ว +3

    Aziz Matoboo 😂😂

    • @gemandorobo1536
      @gemandorobo1536 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaaa 🤣🤣🤣🤣mim yangaaaaaaaaa

  • @solomonlucas4112
    @solomonlucas4112 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mtoto wa wagadugu hichi kitabia chake cha kuramba watu doba

  • @AbubakarRajabu-cj7bg
    @AbubakarRajabu-cj7bg ปีที่แล้ว

    Mkombozi wa ng 'ambo roho yanga kuna watu wamekuja na madege makubwa makubwa 😁😂😂😂

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe ปีที่แล้ว +2

    Kuna mtu aliwah kupigwa tobo pale pale mpenja buwn hahhahqhqah Halfu Azam mlikuwa mmechelewa kuweka Hii au mmeumia kwa ushindi wa yangaa😂😂😂😂

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว +5

    Acha nilale sasa🤪🤪

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 ปีที่แล้ว +2

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @eckysanga8978
    @eckysanga8978 ปีที่แล้ว +2

    🔰🔰🔥🔥🙏🙏✌️✌️👌👌

  • @jastjuma5513
    @jastjuma5513 ปีที่แล้ว

    magoli Simba vs yanga