Highlights: Yanga na Simba wapiga soka la kiume na kutoka sare ya 1-1 (VPL 07/11/2020)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2020
- YANGA 1-1 SIMBA: Watani wa Jadi katika soka la Tanzania, Yanga na Simba leo wametoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yamefungwa na Michael Sarpong na Joash Onyango.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz - กีฬา
Best East African derby....much love from🇰🇪 #Yanga#Simba
👏👏👏
Up to do
Like za Simba Wekeni hapa wote tuseme This is Simba
Like mnyamaaaaaaaaaaa
This is simba
Nani anaangalia hii kabla ya derby ya tarehe 8 may 2021
Mimi hapa
Nipo hapa najalibu kuvuta picha itavyokuwa
Me apa
mimi nipo hapa
Bupina
It's amazing how Tanzanians love their home team ,Football is not just a game
Safi nimekua wakwanza simba mmenifurahisha naomba like jaman
Mnyama atabaki kuwa mnyama tu siku zote
Nawapongeza @AZAMTV kwa uwezo wao mkubwa wa kuwa na kamera za HD
Kama nawewe unawakual @AZAMTV gonga like
Kama umemuona zimbwe nkama kawambia njoeni haraka tutapata goal lingine wakati wakishangilia pale na onyango gonga like bc jmn🤔🤔
Mashabiki wa simba tujuane
Dam dam scc
@@barenakirahuri5441 😁😁
Mzee Onyango anafunga gori,wachezaji wote 11 wa Yanga wapo gorini,walipaki basi
Baracka mpenja alikuleta Tanzania moja kwa moja mbingun bro Najua kucheza na maic 🎤🎤🎤
Mwanaume atachelew kula lkn c kulala na njaa this is cmbaaaaa
Tuachane utani, overall Yanga waliingia kiume sana kwenye mechi hii....high pressing, high intensity, high speed!! Ukiacha porojo za unazi bado ilikuwa mechi ngumu sana kwa Simba... A wake up call kwa mechi za kiume za Champions League.
Ila kubali kwenye penalty refa kawabeba
Simba goli 1
Yanga 0
Refa 1
Mungu kawaumbua utopolo kwa dhurumaaa mxiuuuuuuuuuuuuu asante sana simbaaa👌👌👌👌
Unajaribu kutulizA maumivu ulionayo
@@onesmojustice2348 mm na nyinyi nanii ana maumivu nyinyi si mlijua mmeshinda kwa kupewa penat sisi tumechomoa tena bao la haliri kabisaaaaaa
@@rayfaakim1920 Leo mmebaki sharubu tu uwanjani
Yani refa nyongo kweli kwa simba asnt... Siiiiimbaaaaaa oyeeeeee
@@onesmojustice2348 we unachekesha wewe wakati nyinyi ndio Mme umbuka 😂😂😂😂😂 yaniii mlikua mmejua mmesha chukua point 3 ndio mjue kwamba Leo tumewakatisha ndoto zenu za kulipiza kisasi 😂😂😂😂😂😂 kiboko yenu onyango tu mbereko nyinyi mnabebwa mpakaa basiiiiii daaah
Asante Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂😂😂
Sifa za mashabiki wa bongo
1.kuingia na motokeo
2.kila mtu kocha
Hahahahaha true
Hahaaaa umeonaeee
Ni kwel utasikia kocha huyu hana plan B kwann asibdilishe mfumo aaah uyo anaesema hvy ajui chcht ukimuuliza nan alibd atoke anaemtaja unbk mdomo wazi
@@priscatwaha6982 ndio mrembo
Man wa mechi aristaria mwamedi huseni uyo mwingine Mme mpata tu
Kama unamini yanga watakufa like comment hii
Yan hii iko namba 5 on trending ni nomaa
Duhh kwa marefa hawa tanzania ye2 itabaki nyuma kisoka
zimbwe man of the mechi
Àq1
Asante yanga
Hizi timu mbili zapendwa sana Tz.
Ndio uko wap
Goli la Yanga limetengenezwa maabara refa ni yanga halafu pia sisi simba huyu kocha ana uwezo mdogo sana huyu sven
Kama unaungana na mie kuwa onyango alistahil umeme na yanga kunyimwa penalty kpnd cha kwanza kwa kumchezea gwarde sapoooo na refa akaamru kona gonga like
Umeme gani yondani mbona hakupewa umeme alivyomshika kagere
Naipenda Sana yanga
🤣🤣🤣🤣🤣kwenye penaty nimesogeza mbele jamani leo mpaka nimeumwa na kutapika juu Simba baba lao
Mshukuru kuumia beki
Yanga tamu
Bodi ya ligi hata muweke waamuzi 10 bado uwezo wawamuzi wetu ni mdogo mno baadhi ya hukumu wanazotoa sio sahihi mchezaji kafanyiwa faulu nje ya 18 lakini mkwaju wa penati unatengwa waongeze umakini
Kama Ile ya kagere na yondani siku ile watoka 2-2 alishikwa nje akaangukia ndani jonisia rukya akatoa penalty yanga hawakusema kitu wakarudisha magoli yote na tangu siku ile Simba haijaifunga Tena yanga kwenye ligi ni droo au kufungwa Simba na Morrison
Kama Ile ya kagere na yondani siku ile watoka 2-2 alishikwa nje akaangukia ndani jonisia rukya akatoa penalty yanga hawakusema kitu wakarudisha magoli yote na tangu siku ile Simba haijaifunga Tena yanga kwenye ligi ni droo au kufungwa Simba na Morrison
The commentator is the man of the match. Just Wow!!!
Marefa wa Tanzania mungu anawaona nikweli Onyango amemfanyia faul lkn ilikua nnje ya box marefa kueni makini
Asante sanaaaa yanga
Mpenja upo vizuri sana
Yaani huyu ni fala sijawahi kuona.
Uyu chama anastahiki kucheza ulaya s. Tanzania. Simba oyeee onyangoooo
Kwakipi alichokifanya
@@nyamuraomary9939 sio lazim afunge kila siku lakin anajua kuuchezea mpira 💯
Chama Jana alikuwa bado anaumwa maana jumatano alianguka
Hatari sana
SIMBA sports club big Team Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Duh siamini mikia wametokaje next game mutalokota ku nyavu 🔰💪🏿💨
❤🎉 wewe utaniuwa
I really felt for the referee here. Both sets of players feigning injury from the first whistle really. A shame.
UKHALIFA KATIKA AFRICA
👇👇👇
th-cam.com/video/MEeKSu9LG9Y/w-d-xo.html
Siku moja pamoja na Kalifa wa Islam
👇👇
th-cam.com/video/MXdLdioOGtk/w-d-xo.html
Siku moja ya Maisha ya Khalifa Mtukufu
👇👇👇
th-cam.com/video/oUIDfEf8vQE/w-d-xo.html
Yule Mfalme kaja
👇👇
th-cam.com/video/gXk7RkH0Lts/w-d-xo.html
Sikilizeni Sauti ya Mbingu
👇👇
th-cam.com/video/DhF8TvfC_OU/w-d-xo.html
Waahmadiyya (MAQADIANI) wanaamini ...
👇👇
th-cam.com/video/QzR_LHZsXTM/w-d-xo.html
REHEMA YA UKHALIFA
👇👇👇
th-cam.com/video/XseIWMMwRbY/w-d-xo.html
Ukhalifa na Jukumu Letu
👇👇👇
th-cam.com/video/R3u41dner4g/w-d-xo.html
UKHALIFA NA MAJUKUMU YETU
👇👇👇
th-cam.com/video/Bqqq2_k7ybg/w-d-xo.html
Mpenja uko vizuri kaka.
Pila birian naona mmeliona watu wamepigiwa mbungi la hatariii This is Simba
Super mpenja
Simba Ni fire🔥🦁❤️✨
Man of the match ni refa hiii leo simba oyeee Tanzania hatuna marefa kabisa
Nakubali mwanangu
Safi sanaaaa
Venance Chapaulinge.Arusha City.@azamtv Ninaomba mechi kubwa kama hii muwe mnaongeza muda wa highlights iwe japo dk 30 ili turudie kuona mchezo kwa upana kidogo.Asanteni sana kwa burudani mnayotupatia cc tulio mbali na Dar.
Fantastic
Mmeongea sana kwa kuumia beki yetu tulieni mtaona around ya2
Yes
KARIBU KUFATILIA MUBASHARA IBADA YA JUMAPILI YA LEO 15.11.2020 KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS ,KWA MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA - MBEZI BEACH AFRICANA , GUSA LINK HII KUTAZAMA KARIBU
th-cam.com/video/hrH6slKm3bs/w-d-xo.html
Asanteee Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂😂😂
Usije na clips kwenye mpira😂😂baraka shikamo💪🔴
Waliokuja kucheki hii game baada ya #MapinduziCup tujuane 😋
Me pia 🤣🤣🤣
Hakika Mungu umeonyesha kwamba wewe ni mkuu Sanaa. Kulikoni hao nyau🙏🙏🙏 Yanga oyeee .
Yang ipi
@@smartboy-cd3qn smba ipi
I love you, ssc
Like za Simba na yanga
Man of the mech huseni zibwe
Yanga baba Lao,tk master baba laooooo
daah nikiitazama hii mechi simba ingekula 3-0 kama wachezaji wayanga wangekuwa bora kati ka ufungaji
Marefa wanazingua sana niupuuz mtupu mpira mkar ila marefa washenzi kabisa sijui mwalimu wao nani
Kaxomee ww
Safi
It is best daby ever
Tunaoirudia leo sku ya simba day 2023 tujuane kwa like 👍
Team 254 but yanga mmecheza Chelsea yanga ni 🔥
Kwasu kwasu fc tz
Aseeh zibwe junior siyo mchezo,
Daaaah iv itakua iv kwel
Wana inci ni amani form Rwanda not bad
Uongozi wa Simba wasiishie kulalamika kila baada ya mchezo, ni vema hili lifanyiwe kazi kisheria, ona Miquison alivyochezewa rafu nyingi bila hata kuwaonya Wachezaji wa Yanga. Ni mipango ya kutunyima ubingwa mara ya nne mfululizo.
Good game
Baraka Edson mpenja n bonge la mtangazaj for real
Msim a che kisinda
💥💥💥💥
Penat mumewa kuongeza goli lingine mmeshndwa mnatakaje
Big up
naanza na azam tv lazima mjifinze kuwa wakweli
referee blunder ndio imeipa yanga goli
yanga leo soo many controversial decision zimewa beba yanga.
ki kweli leo referee kaharibu pambano lwa kiwango kikubwa.
Finally simba juu ya kua na too many injuries wameonesha ubora wa hali ya juu
Atimae babu kawafunga wajukuu zakee😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha
No penalty ile n nje ya box ...........
Mchezo mtamu kweli kweli love you from Kenya
Vp huwa mnaweza kutazama derby ya Simba na Yanga mkiwa Kenya?
@@abbyadams8691 Highlights za Azam sports
hii clip mbona haipo clear
Yanga daima
Simba wameujaza uwanja
I don’t understand what the commentator is saying but I love it. Love from Somalia 🇸🇴🙌🏽
Speaking kiswahili language
You love simba 😀 we love you from somalia🇸🇴
😁😁😁😁😁
Kama unahisi mpenzi wako anakusaliti na unahitaji kusoma meseji zake kwa siri bila kushika simu yake na pasipo mpenzi wako kujua kama unaziona meseji zake, ingia PLAYSTORE kisha tafuta Application inayoitwa KASNETA download kwenye simu yako unganisha namba ya mpenzi wako kwenye hiyo Application utaweza kunasa meseji zake zote anazotuma na anazotumiwa kwa kutumia hii App ya KASNETA inapatikana PLAYSTORE
Was nice game
Young African
Yanga ilikuwa washinde huu mchezo lakini kwa kuwa Kocha ni mchezo wake wa kwanza akaharibu alipowarudisha Wachezaji nyuma kulinda goli moja hakuwa na habari kuwa Simba ni wazuri sana safu ya mbele. Yanga wangecheza kama mwanzo Simba ingelala lakini Tuisila Kisinda mchoyo sana. Kocha Kaze mfundishe Tuisila kutoa pasi akiwa impossible engles. Metacha Mnata anatoka golini bila kuhakikisha ataukuta mpira ndio tatizo lake kubwa lakini ni golikipa anayejua kumkatisha tamaa forward yeyote. Mwisho niliwaambia Yanga hakuna mzee kwenye michezo kama mtu anafanya mazoezi. Angalia kitu amefanya Onyango kasahihisha makosa yake na kuisawazashia bao Simba.
hakuna makosa aliyoyafanya onyango yale ni makosa ya REFA ambaye ni mshabiki mkubwa wa yanga Refa kaibeba yanga
Uliwanga bana wachezaji wetu waliona nyota kipindi cha kwanza,nadhani uliona tulivyorudi baada ya kugundua uchawi wenu mambo yakawa hatari kwenu na soka likaonekana,pia usione simba mbovu mambo bado kikosi kitakaa sawa soon maana kunawatu pale watahakikisha timu inarejea kwenye moto wake.
Mama
Daah
Hapa yanga ill kuwa icheze 6🤣😄😍🥰😄😃😀
Mungu ibariki Dar YANGA African Oyeeeeeeee
Smb mtanteseka san
Mungu silinde yanga
Kwahiyo Jimmy Kindoki ameiweka wapi button ya Babu Onyango? Yanga mnafungwa na beki wakati kikosi chote kimerudi kulinda goli...
Nyie wenye washambuliaji mbona hakuna aliyefunga
Aliekwambia beki hawez kufunga nani?
Washukulu mungu hao mijusi
Kazi ilikua nzur hii hatariiiii 🔥✊ tarehe 30 yanga afe
Azam pls Tuwekeeni FULL MATCH
daima mbele
Yanga na refa wanajuana maana hii sio penati
safi simba
Keeptap
Farid ktk ubora wake👏👏👏👏👏
Diamond wimbo mpya
Noma Sana simba