MFANYABIASHARA MKUBWA ARUSHA ATOFAUTIANA NA GAVANA MKUTANONI "HAWATAKI KUONA DOLA YAKO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 788

  • @raphaelbadili5578
    @raphaelbadili5578 5 หลายเดือนก่อน +727

    Huyu mtu anaakili sana.kama umemuelewa gonga like👍

    • @user-gy5en6cy8o
      @user-gy5en6cy8o 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nimemuelewa vinzur mno

    • @MauFundiElectronics
      @MauFundiElectronics 5 หลายเดือนก่อน +4

      Genius huyu jamaa.

    • @mimisalama7473
      @mimisalama7473 5 หลายเดือนก่อน +2

      Nyiye mkienda nje mtakubali kufanyiwa hivyo

    • @humphreybilly7437
      @humphreybilly7437 5 หลายเดือนก่อน +1

      MFANO MZURI KWA WASOMI WASIO JITAMBUA KILA JAMBO MAWAZO OVYO.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hamna kitu wezi tu hao

  • @katematv7529
    @katematv7529 5 หลายเดือนก่อน +163

    Genius Chambulo, Nimefanya biashara na huyu jamaa muda mfupi sana.. lakini kwake Confident is game Changer...

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 5 หลายเดือนก่อน +201

    Mr Wilbard lectured the BOT governor on how to run the bank. What an amazing fact.

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 5 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂

    • @daniellaizer1
      @daniellaizer1 5 หลายเดือนก่อน

      Assholes wearing suits and ties and only thing they know kupata hela za haraka haraka usizovujia jasho lame ppl

    • @zanzibarsnorkeling5766
      @zanzibarsnorkeling5766 5 หลายเดือนก่อน

      All facts are reality that we cannot ignore, the government itself wants dollar, if they want people to use Tshs, then they the government must stop taking dollars to make things fair

    • @africangirls482
      @africangirls482 5 หลายเดือนก่อน +3

      Hawa ndio wanafaa kuwa viongozi governor hajui kitu yani achukue madini hayo

    • @joshuamacha8751
      @joshuamacha8751 5 หลายเดือนก่อน +7

      He lectured him in a very simple language with vivid examples. .......asipoelewa tena apo basi

  • @JimTv001
    @JimTv001 5 หลายเดือนก่อน +171

    I used to think I know something about Business until I listened to this man.

  • @martinamahenge4476
    @martinamahenge4476 5 หลายเดือนก่อน +48

    Tatizo mifumo ya Tanzania inaendeshwa na siasa sio professionalism imagine mtu kama huyu anaingia kwenye mfumo na anaakili kubwa ivi 👏 he reminds me of my dad

    • @issalesson8292
      @issalesson8292 5 หลายเดือนก่อน +2

      Best comment ever

    • @user-cx7uz3ri6v
      @user-cx7uz3ri6v 5 หลายเดือนก่อน +2

      Glad to see someone acknowledging her dad!

    • @Sylvester1993
      @Sylvester1993 4 หลายเดือนก่อน +1

      Is your dad still alive?

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 4 หลายเดือนก่อน

      Hakika

  • @paspgroup
    @paspgroup 5 หลายเดือนก่อน +142

    Jamaa yupo smart sana anastahili kuwa mwenyekiti👏👏

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 5 หลายเดือนก่อน

      Hamna kitu hapo anachokiongea ni bla bla haiwezekani anachokisema

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 5 หลายเดือนก่อน

      we boya kweli eti mwenyekiti 😅😅

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni mwenyekiti wa TATO. Chama Cha WAMILIKI WA kampuni za utalii. Na anachokiongea kina mantiki. Ulienda nchi nyingine hawapokei dollar kwenye mauzi yoyote, badilisha dollar zako lipa in local currency​@@zuheorsalim7759

    • @lightnessmarwa1755
      @lightnessmarwa1755 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli nafasi yake ya Mwenyekiti anaitumia vizuri....Mungu amjalie Afya njema!!

  • @wariobamussa2462
    @wariobamussa2462 5 หลายเดือนก่อน +42

    This man is very smart kiukweli serikali yetu inapaswa kubadilisha mfumo.... Big Up Mr Man

  • @ukweli255
    @ukweli255 5 หลายเดือนก่อน +103

    Bora huu mkutano alienda GAVANA...angeenda yule Wazir Mvaa Skafu ya 🇹🇿🇹🇿 sijui kama angeruhusu hata recoding ya haya na kuelewa pia

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @dilludillu2747
      @dilludillu2747 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😅

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 5 หลายเดือนก่อน +5

      Bila shakq ni Mwigulu huyo unaemzungumzia😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@barakakusa7606kuna mwingine 😅😅😅😅😅

    • @musicheals1545
      @musicheals1545 5 หลายเดือนก่อน +1

      hamna kitu mulee😂

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 5 หลายเดือนก่อน +120

    Mama Samia hao ndiyo wakuwatumia maarifa yao yanaweza tufikisha mbali

    • @archbordygodfrey2614
      @archbordygodfrey2614 5 หลายเดือนก่อน +15

      Kweli but unfortunately huyo huwezi mpa kazi serikalini ni mjasiriamali mkubwa.... ana hotel zaidi ya 30 Arusha mjini,ngorongoro,Serengeti ,tarangire na anazo land cruiser siyo chini ya 500,yaani ni BOSS.

    • @anwaryabdallah7782
      @anwaryabdallah7782 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@archbordygodfrey2614Awe hata mshauri waserekali ktk sekta yautalii

    • @abdangembe4339
      @abdangembe4339 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@archbordygodfrey2614 siyo lazima amwajiri anaweza mtumia kama mshauri kwenye mambo ya utalii

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@archbordygodfrey2614Nani huyu kwa jina mbona Mali nyingi

    • @seemanishekiao
      @seemanishekiao 5 หลายเดือนก่อน +2

      Ushauri wake mzuri,
      Serikali ikiamua yaweza utumia

  • @silverman6930
    @silverman6930 5 หลายเดือนก่อน +69

    That dude should be the governor… very intelligent man 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

    • @koskeyella-ww6bd
      @koskeyella-ww6bd 5 หลายเดือนก่อน +5

      This man is Owner of KIBO SAFARI in tanzania Arusha

  • @BLUBEENICE
    @BLUBEENICE 5 หลายเดือนก่อน +96

    Huyu bwana ameongea point,tumpe maua yake

    • @koskeyella-ww6bd
      @koskeyella-ww6bd 5 หลายเดือนก่อน +1

      huyo ndo mwenye KIBO SAFARI

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 5 หลายเดือนก่อน

      Kila kitu uchawa tu, wewe una maoni gani?

    • @BLUBEENICE
      @BLUBEENICE 5 หลายเดือนก่อน

      @@ezekieljacob5795 kwani unataka kua chawa wangu ama

    • @AminaRamadhan-mg9lj
      @AminaRamadhan-mg9lj 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@BLUBEENICEetii chawa wanguu😂😂😂😂🤔

  • @liboriusbabile1197
    @liboriusbabile1197 5 หลายเดือนก่อน +46

    Hakuna hata siku moja serikali ikakubali kufanya Kazi na watu wenye akili kama hawa , itashindwa kuwaburuza, serikali huwa inawapa cheo ma mburura na machawa tuu. Huyu mtu anajua anacho ongea na confidence yake inamuelezea vizuri.

    • @nickmoshi8243
      @nickmoshi8243 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @sigorijoseph4977
      @sigorijoseph4977 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 5 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu kaishia la Saba tu. Tizama alivyo na akili. Ndo ujue akili sio lazima uende shule. Huyu la Saba ana akili kuliko PhD holders

    • @liboriusbabile1197
      @liboriusbabile1197 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@Josephineexsuper na watu kama hawa tunao wengi Sana wangeweza kusaidia mambo kibao, tatizo huo mfumooo😄😄😄😄

    • @faithjonathan3845
      @faithjonathan3845 5 หลายเดือนก่อน

      Umeongea fact kabisa. Ofisi za serikali maboss hawataki kabisa mfanyakazi mwenye akili maana anajua hawezi kukuburuza...na wakati wao hawataki kufanya kazi kwa kufata utaratibu so wanataka wachukue wajinga tu wawe machawa...Watu wenye akili hata kwenye vikao maboss huwa hawataki uongee kabisa na wanasema eti ni wabishi. Bongo ukiwa na akili tu watu wanakutungia jina la MBISHI/ MCHOCHEZI/ MGOMVI. Ili wakufanye ukubaliane na upuuzi wao wakati deep down wanajua kabisa huna baya ila wanakutungia hayo majina kukumanipulate usiwachallenge. Na kamwe hatutaendelea kwa sababu watu wenye akili kama hawa hawatakiwi kuongea....

  • @sugashTv
    @sugashTv 5 หลายเดือนก่อน +43

    Governor amefunzwa kwamba politicians are only trusted with power by people but wisdom is inborn. Governor kageuzwa kuwa maembe kabisa

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 5 หลายเดือนก่อน +1

      nyanya bhn

    • @paulpsyche6381
      @paulpsyche6381 5 หลายเดือนก่อน

      Wisdom is learnt not inborn

    • @zanzibarsnorkeling5766
      @zanzibarsnorkeling5766 5 หลายเดือนก่อน

      Samahani niache nicheke 🤣🤣🤣

    • @sugashTv
      @sugashTv 5 หลายเดือนก่อน +2

      @@DavalsonMarlony no knowledge is a acquired (learned) but not in born but wisdom is inborn. Unless if u are responding as a Tanzanian^^😂😂😂

    • @davidf.j.m6284
      @davidf.j.m6284 5 หลายเดือนก่อน +3

      you don't have to say governor kageuzwa maembe. badala yake unapaswa kumpongeza kwa kutenga muda wakupokea maoni kutoka kwa hao wafanya biashara...this thing is very rare kwa office bearers wengi, na nijambo lenye werevu na busara ndani yake...otherwise mzungumzaji kanena vyema.

  • @thedeo472
    @thedeo472 5 หลายเดือนก่อน +41

    Serikali imeshindwa ku control na hawataweza ku control. Rushwa na ubadhirifu umezidi. Very sad🙁🙁

    • @Reginaldpeter2
      @Reginaldpeter2 5 หลายเดือนก่อน +2

      Hapo ndo shida kuna watu wananufaika na mfumo

  • @igwe21
    @igwe21 5 หลายเดือนก่อน +4

    I am so impressed! well done Mr. Chambulo. Genius explanation!

  • @nathanpallangyo5244
    @nathanpallangyo5244 5 หลายเดือนก่อน +68

    HEBU NCHI YETU IFUKE MAHALI SERIKALI IFANYE KAZI KWA WELEDI ZAIDI HAPA INAONESHA MFABIASHARA ANAVYOPATA SHIDA BILA SERIKALI KULIONA HILO. UPGRADE YOUR SYSTEM MY COUNTRY.

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 5 หลายเดือนก่อน +4

      Serikali inajua inachokifanya, wana create confusion ili wao wanufaike. Hawataki kuweka mfumo unaoeleweka maake watakosa rushwa zao. Shh 😊

    • @fauzibinzoo6563
      @fauzibinzoo6563 5 หลายเดือนก่อน +2

      Hii nchi mfanyabiashara mzawa ananyanyasika Sana tofauti akienda nchi zingine

    • @jamesriwatuvana9561
      @jamesriwatuvana9561 5 หลายเดือนก่อน

      Lets wait and see

    • @daniellaizer1
      @daniellaizer1 5 หลายเดือนก่อน +1

      Pure failure ndio maana hatukui sekta ya utalii pamoja na potential tuliyo nayo

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 5 หลายเดือนก่อน

      Tulia Dawa ikuingie......

  • @fallykitwara1192
    @fallykitwara1192 5 หลายเดือนก่อน +47

    Smart guy,Smart points 👌

  • @Worldunite
    @Worldunite 5 หลายเดือนก่อน +81

    Huyu anazungumxia uzoefu alio nao, lkn walioko banki kuu wanaanzisha mifumo,ambapo labda mingine haiendani na hali halisi

    • @Onlyfacts0224
      @Onlyfacts0224 5 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k 5 หลายเดือนก่อน

      👍👍

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 5 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona comment Kali sana hii.Ukweli ndo huo uliopo.

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 5 หลายเดือนก่อน +5

      Less cash kwenye mzunguko ndio inatakiwa. Unadhani Dealers wa Utalii hawana Dollar Acct benki? Wanazo. Anachosema Industry ipate credit card.. hata mgeni akija Kama mfumo wetu hausomi zao wapate za hapa ili watumie dollars zao kupitia credit card zetu badala ya kuanzisha bureau de change kila hoteli. Badala yake hoteli ziwe na epayment machine tu. Wananzengo wao walipe cash Kama kawaida. Hapo hata wananzengo siku hz tunawekewa Lipa Namba... Lakini hela yetu tunayo mkononi zaidi. Hufuma zetu nyingi hamna Lipa Namba. Ana exposure na Industry

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huwezi endesha dolla kwa uzoefu au kwa maneno😂

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Baba unafaa kuwa Mwenyekiti wa maisha. Unaongea kiukweli na uhakika tena kwa kujiamini.
    Shukran asante endeleza mapambano ya kujenga taifa letu Tanzania!
    Mungu akupe nguvu na afya njema!

  • @josephmatemu4278
    @josephmatemu4278 5 หลายเดือนก่อน +4

    Chambulo excellent clarification. Serikali ione huu ni mfano mzuri na wachukue.wizara zote ziwe na wazoefu walioko kwenye field kwa ushauri.nchi itasonga siasa ikae pembeni.

  • @norahmaxwell6853
    @norahmaxwell6853 5 หลายเดือนก่อน +42

    Akili kubwa ndio hizi sasa 👏well said 👌

    • @Onlyfacts0224
      @Onlyfacts0224 5 หลายเดือนก่อน +1

      YES

    • @piuskira7124
      @piuskira7124 5 หลายเดือนก่อน

      Mchaga uyu c bure tulinyimwa nchi😅😅

    • @betricemainoya4176
      @betricemainoya4176 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu sii masai kweli

  • @barakapaschal2530
    @barakapaschal2530 5 หลายเดือนก่อน +44

    Hawa ndio wanatakiwa kukabidhiwa wizara ya utalii👏👏👏

    • @daniellaizer1
      @daniellaizer1 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yep ana knowledge na uzoefu from the field

  • @lmdos4382
    @lmdos4382 5 หลายเดือนก่อน +22

    Safi sana, Serikali imefaili moja kwa moja kwenye masaula mazima ya utalii

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 5 หลายเดือนก่อน +3

      Si vile wengi hawaju watu wanaona cruises zimepangana barabarani wanasema e nchi ina ela sasa watu biashara zetu zizunguke kumbe tunaliwa

    • @jumakessy7560
      @jumakessy7560 5 หลายเดือนก่อน +2

      Tanzania ukiacha kwamba tuna vivutio vingi vya asili, wanyama, mlima kilimanjaro fukwe nzuri za bahari lakini mwaka 2023 wameingia watalii milioni 1.2 tu wakti misri wameingiza watalii milioni 13, halafu unaanza kusikia wanaleta sheria za namna hii

    • @lmdos4382
      @lmdos4382 5 หลายเดือนก่อน

      @@jumakessy7560 Hii nchi ni ya ovyo sana

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 5 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu jamaa alianza biashara kwa shida sana mwanzoni. Usimwone hapo anaongea ni mpambanaji kwelix2. Usikate tamaa kwenye kila unachofanya,ongeza juhudi na maarifa zaidi

  • @MUSK_HARMONY
    @MUSK_HARMONY 5 หลายเดือนก่อน +18

    Huyo Governersi ndye aliyesema maisha hayjawahi kuwa mepesi ...
    No wonder he is outsmarted by this man

    • @rlmtok6629
      @rlmtok6629 5 หลายเดือนก่อน

      The only governor in Tanzania without a high education : Doctorate(PhD).
      Mwepesi sana kuongea compared na waliopita kabla yake kwakuwa Hana credentials

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 5 หลายเดือนก่อน +53

    Kweli kaskazini hakunaga fala . 🔥🔥🔥🔥

    • @user-kk7re2jl8y
      @user-kk7re2jl8y 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 5 หลายเดือนก่อน

      Wengi wao ni mapunga 😊😊

    • @RafikimediaTZ
      @RafikimediaTZ 5 หลายเดือนก่อน

      True watu wa kaskazini wametutangulia wapo Bright sana.

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 5 หลายเดือนก่อน

      @@RafikimediaTZ umetanguliwa ww na wazazi wako wasio jitambua na huenda ni mapunga chele 🤣🤣

    • @RafikimediaTZ
      @RafikimediaTZ 4 หลายเดือนก่อน

      @@shinipapaya846 asante kwa kunitukana ndugu yangu.. sasa kama jirani yako anafanya vizuri zaidi yako kwani ni mbaya kumpa pongezi zake. Wewe unatoka mkoa gani? Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa kuwa mbele kimaendelea na hata kwa kuwa na shule nyingi za secondary pia. Niambie wewe unatoka mkoa gani?

  • @pabliz_
    @pabliz_ 5 หลายเดือนก่อน +61

    Jamaa yuko vizuri... sijui kama anaeleweka.

    • @csato9415
      @csato9415 5 หลายเดือนก่อน +5

      Ni kweli gavana kama amemwelewa aanze kusafisha ndani kwanza halafu aje kwa wafanyabiasha, ubaya wanakurupuka bila kufanya utafiti.

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 5 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @vero57
    @vero57 5 หลายเดือนก่อน +31

    Very smart uncle 👍👌🔥🇹🇿

  • @ulimbombonaulindi5088
    @ulimbombonaulindi5088 4 หลายเดือนก่อน +1

    Very smart, narudia Tena VERY SMART. Maskini wa Mungu Governor imebidi atulie tubaskize. Tatizo lipo serikalini, kama ana mawazo maana ameelewa.

  • @rashidally7285
    @rashidally7285 5 หลายเดือนก่อน +18

    Soo smart Hawa ndio wanaojielewa

  • @richardmbasha1411
    @richardmbasha1411 5 หลายเดือนก่อน +17

    Well done KABURU,... wafanyie kazi basi

    • @abdulymaeda2697
      @abdulymaeda2697 5 หลายเดือนก่อน +3

      Mchaga uyu kaburu wap

    • @user-pr7wj1nm1g
      @user-pr7wj1nm1g 5 หลายเดือนก่อน

      KABuRu @ a k a Hilo jina ndio anajikana zaid​@@abdulymaeda2697

  • @ismailmuna1604
    @ismailmuna1604 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu Wafunguke Kama Hivi Afanyavyo Huyu Jamaa Hiyo Haliinatupa Taabu Sana Inchi Nzima Asante Sana Kwa Kazi Nzuri Kama Hiyo👍👍👍

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 5 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani watu kama hawa tunawahitaji mno kwa mafanikio ya taifa letu la TANZANIA 🇹🇿 aisee daa anaakili balaa!!❤❤❤

  • @minboytz3575
    @minboytz3575 5 หลายเดือนก่อน +23

    Ata kama ujaenda shule Kwa uyu mzee lazma utamuelewa

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 5 หลายเดือนก่อน +5

    This man is very bright 🎉

  • @juliusngowi952
    @juliusngowi952 5 หลายเดือนก่อน +3

    Very interesting to listen to this Man

  • @kundaelikilewo7176
    @kundaelikilewo7176 5 หลายเดือนก่อน +15

    jamaa ana akili kuliko Gavana,huyu mtu mama anatakiwa kumpa uwaziri wa utaliii ,very smart Man

    • @mussamhando22
      @mussamhando22 5 หลายเดือนก่อน

      Aliyekwambia Serikali yetu Inawahitaji watu kama hawa nani?

    • @milley7185
      @milley7185 5 หลายเดือนก่อน

      Unaffiliated wote serikalini ni smart vilaza tu ..Pampa na maphd ..jiulize mganga anaonaje siri zao za ndani na yuko kwa nyasi ..

    • @ElieshiMaphie-tw7rl
      @ElieshiMaphie-tw7rl 4 หลายเดือนก่อน +1

      Abaki hapohapo ndo vizuri ajue madudu yaliyopo.Akitoka hatakuwepo wa kuongelea hayo maana hatayajua

  • @user-jh4hg2ev9s
    @user-jh4hg2ev9s 5 หลายเดือนก่อน +18

    Serikali ikishauriwa mara nyingi inafanya the opposite. Hii inadumaza biashara.

  • @farijala1
    @farijala1 5 หลายเดือนก่อน +10

    Hili suala limeshazungumzwa miaka nenda Rudi. Kuna Pahala Ukiuliza bei unaletewa Dola. Mahoteli hivyo.. unajiuliza kwani Marekani ukiuliza Bei wanakwambia Bei kwa Currency ya Wapi?

  • @davidsillo916
    @davidsillo916 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kaburu very Smart lecture

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 5 หลายเดือนก่อน +23

    😢wafundishe hso wanafanya kazi certificate hawajui kitu hao wanakaa tu ndani hawana uzoefu hawamiliki hata kibanda cha mboga na matunda wafundisheni hawajui jaman wanajua kushusha hesabu bila kujua inaanzia wapi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mr wilbard lectured the BOTgovanor on how torun the bank what is amazing fact this country.

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 5 หลายเดือนก่อน +5

    MiMi mfanya biashala south nikitoka nje ya South nimeuza mzigo nikienda na dola Hakuna anaenipokea Hawataki kuiona dollar wanataka Rand Tuu ivyo nabalianae kabisa mkuu

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 5 หลายเดือนก่อน +1

    Very very logic and smart congrats bro chambulo.....

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 5 หลายเดือนก่อน +19

    Nyie serikali litumie hili jamaa lina akili sana sijawahi kuona.

    • @simonrusigwa3024
      @simonrusigwa3024 5 หลายเดือนก่อน

      Wao wanamtukia bashite

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 5 หลายเดือนก่อน

      Wanaogopa watu Wenye akili mingi

  • @didasmswete678
    @didasmswete678 5 หลายเดือนก่อน +59

    KUNA WATU WAPO NJE YA MFUMO WANA KITU KULIKO WALIOKO KWENYE MFUMO

  • @estermndeme1255
    @estermndeme1255 5 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂😂 my people wa kaskazini . Akili zetu zinafanyaga kazi vizuri sana.

  • @kichuu981
    @kichuu981 5 หลายเดือนก่อน +37

    Wamebaki wameduwaa jinsi jamaa anavyotema nondo😂😂😂

    • @AugustKisaka-qy7kl
      @AugustKisaka-qy7kl 5 หลายเดือนก่อน +3

      Kakutana na nondo ya funga kinywa kimiaaa

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna tofauti ya mtu alieko field na alieko ofisini, hapa ndio inaonekana

  • @winniemakundi6279
    @winniemakundi6279 5 หลายเดือนก่อน +11

    Real fact💯 akili kubwaa hii

  • @mammukaratu2084
    @mammukaratu2084 5 หลายเดือนก่อน +14

    Hakuna Mchaga mjinga...The man is very smart

    • @user-yz3zi6ht3j
      @user-yz3zi6ht3j 4 หลายเดือนก่อน +3

      Wapo wapumbavu but this man is very smart (bravo)

    • @kiulajoseph9194
      @kiulajoseph9194 4 หลายเดือนก่อน +3

      Mbona wapo mamangulo wengi tu vilaza😅😅😅😅😅

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@kiulajoseph9194😂😂😂😂😂😂

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 5 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa kaongea mpaka Gavana kapiga na Makofi. Huyu ni Big Brain Business Man

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 5 หลายเดือนก่อน

      Hawa ndio watu gavana awaweke karibu sio wana siasa

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 5 หลายเดือนก่อน +8

    Hii nchi ya bangi ndio maana Tanzania pamoja na sehemu muhimu za utali na haina nusu milion ya watali Morocco hakuna urasimu watali wanao kwennda Morocco NI milion 30

  • @russia1253
    @russia1253 5 หลายเดือนก่อน +14

    Bongo mfanya biashara unapata tabu 😢 tatizo uongozi unatamka vitu wasivyovijua

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 หลายเดือนก่อน +2

      Na wanatumia nguvu kuweka sheria zisizo endana na hali halisi

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 5 หลายเดือนก่อน +11

    very smart guy

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 5 หลายเดือนก่อน +55

    Jamaa genius kuliko waliopo kwny Hy sctr

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 หลายเดือนก่อน +10

      Tz wasomi wanasuti kubwa kichwani weupe wamejaa nadharia theorist tu hao wafanyabiashara wako field wanafanya huwezi wafananisha na hao wavivu.

    • @user-it7ih1it3m
      @user-it7ih1it3m 5 หลายเดือนก่อน +4

      Yupo saiti

    • @archbordygodfrey2614
      @archbordygodfrey2614 5 หลายเดือนก่อน +8

      Hao ndo wanajua dollars kuliko hata benki kuu,since 1990s jamaa ni Boss mkubwa kwenye sector ya utalii nchini

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 5 หลายเดือนก่อน +2

      haaaaaaa haaaaaaa kweli ni wasomi kichwani kweupe kama theruji..​@@FahadAbubakari

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 หลายเดือนก่อน

      @@festohaule9716 tz usomi hauna maana tena watu wanaelimu ya umiliki wa mahudhurio ya darasani ni wasomi wachache mnoo labda unaweza waelewa wengi machawa na wavaa suti ila kichwani hamna jambo watu wakushangilia na kushabikia ila si watu wenye mawazo ya maana

  • @jimmychengs1338
    @jimmychengs1338 5 หลายเดือนก่อน +2

    Absolutely genius 🎉

  • @AbdalaBlackford
    @AbdalaBlackford 5 หลายเดือนก่อน +7

    Genius kabisa 💯

  • @denssimon5585
    @denssimon5585 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hizi brain zipo nyingi sana hii nchi tukiamua zitumia tutasogea mbali sana👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 5 หลายเดือนก่อน

      Imagine, wanatumia kigezi Cha elimu na wasomi wao ni tia maji tia maji😊😊.

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee anaongea point sana,hao hawajui kama hela zinazotembea mkononi (Cash) nyingi hawalipii hata kodi na kama nchi hawawezi hata kujua mzunguko wa hela. Kikubwa hela itumike huko kwenye mabenki ( mzunguko uwe wa bank).

  • @boniphace1
    @boniphace1 5 หลายเดือนก่อน +24

    Pale serikali inapopewa darasa.

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 5 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka😂😂😂

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 5 หลายเดือนก่อน +3

      Wameyakanyaga 😂😂

    • @Hajer-be2kh
      @Hajer-be2kh 5 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂yani wanapewa somo na mwanachi 😂nimependa

    • @janethpallangyo3855
      @janethpallangyo3855 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 5 หลายเดือนก่อน +10

    Ndio mana hamtaki warusha kubwa viongozi akili nyingi mnooo kwenye pesaa mazee

  • @Sangaadam
    @Sangaadam 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ilitakiwa Gavana afanye research yake ya kina before ya ku- implement hizo sheria zake....Ninacho kiona hapo Gavana inaonekana amekurupuka....... This is money game haipaswi kwenda kwa Mihemko........

  • @kathrynmfm4801
    @kathrynmfm4801 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hao wazee wa suti nyeusi ndio black market yenyewe ndio maana they are acting stupid hapa wanajua sana kinachoendelea ndani ya nchi kifupi pale kwenye towers mbili pamejaaa uozooo

  • @jamesngowi675
    @jamesngowi675 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo anaitwa Kaburu, he is smart

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 5 หลายเดือนก่อน +7

    Tatizo ni hao hao wanaongoza kwa money laundering! Ndo maana wanajifanya wehu! Hawataki kufunga mifereji yao ya kuiba.

  • @user-qv8qo3ff3q
    @user-qv8qo3ff3q 5 หลายเดือนก่อน +2

    Umeangea kwa akili huko ndani safisheni kwanza ndo mje kwa wapiga kura, kumaanisha nyumba ni chafu inaitaji usafi, safi sana kaka Akili yako imekqmilika.

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 5 หลายเดือนก่อน +10

    Anaongea thru Experience sio vyeti fubafu

  • @user-bl4sy5ei1k
    @user-bl4sy5ei1k 5 หลายเดือนก่อน +22

    Upungufu wa dola uangazie kwenye import business biashara ya utalii inaingiza dola. Inabidi uangaze macho katika biashara amabazo zinatumia dola na sio zinazoingiza dola. Biashara ya kuagiza mbolea, mafuta na bidhaa ambazo hazipo Tanzania. Hizi biashara zinaendeshwa na watanzania wasio na asili ya Tanzania. Hawa ndio wanatumia dola za nchi. Ukiwabana watalii unapoteza nguvu maana kuna watalii wanalipa hadi chai kwa kadi. Ninaweza kutafuta benki yenye mazingira mazuri nje ya nchi hayo malipo yakafika huko na yasifike hapa nchini. Yote haya yanafanyika ili biashara yangu ikue maana ndioninayoitegemea. Gavana rudi nyuma na ujiulize kwa nini wazungu wanakimbilia kenya wakati sisi tuna mbuga na mito mingi kuliko wao.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo tumezaliwa na kukulia fikra za kijamaa, hapo ndo shida iliopo Kuna limit ya kiwango Cha ww kuwa millionaires to billionaires.

    • @user-lq6kr2gl7n
      @user-lq6kr2gl7n 5 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisaa

    • @suleimanmansour7732
      @suleimanmansour7732 5 หลายเดือนก่อน +2

      Sahihi Mkuu,Wanaohitaji Dollar Exactl ndo Tatizo,naona Serikali inageuza kibao kwa Waletaji

  • @alexikim7005
    @alexikim7005 5 หลายเดือนก่อน +1

    Knowledge and wisdom kwa mpigo moja

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu gavana wa Tanzania ni ufisadi tu,wanaendeleza,ni ufisadi tu nchi hii kila siku, RIP JPM

  • @vanytag1413
    @vanytag1413 5 หลายเดือนก่อน +20

    Msengee anamwaga madini2, wauni wanatoa toa macho2😂😂

    • @CANIVATZ
      @CANIVATZ 5 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂we msee sanaa

  • @francisfreddy6599
    @francisfreddy6599 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyekiti WA UTALII unafaa kuwa Gavana WA BOT

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 หลายเดือนก่อน

    Duh,mifumo ya tanzania inahitaji maboresho ya hali juu.
    Ifike tu mahali vijana wasomi,narudia wasomi waliovuka mipaka na kujifunza mambo na mifumo mipya ya duniani waingie madarakani ili mifumo iboreshwe..
    Kutembea kwenye nchi za wenzetu kunatanua akili na kupata experience mpya za kupush maendeleo yetu..
    Tumeganda muda mrefu,tubadilike tuendane na mifumo mipya

  • @agreyminja9412
    @agreyminja9412 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anaongea point sana nadhani Bank kuu iwashirikishe wadau wa sekta mbalimbali kama hawa kabla ya Kutunga sera

  • @jacksonkendavis8689
    @jacksonkendavis8689 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mr. Chambulo yuko sahihi sana..huwa anamawazo mazuri sana kwenye mikutano makini kama hii. Nmewahi kuhudhuria mkutano naye wa wawekezaji he's a help in different aspects for real

  • @abanraumi8234
    @abanraumi8234 4 หลายเดือนก่อน

    Jamaa yuko vizuri sana 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @user-ek3rm1gz4b
    @user-ek3rm1gz4b 4 หลายเดือนก่อน

    Mwarim wangu Babu hongera

  • @njemamehuna9821
    @njemamehuna9821 5 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu jamaa anajua sana

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ahaa😂 mimi naisi Kuna shida kwenye mfumo wa nchi hii, uyu mzee anaelewa anachokiongea.

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 5 หลายเดือนก่อน +8

    Sasa uyu si angechukua nafasi ya waziri wa fedha

  • @danielryobawaitara5352
    @danielryobawaitara5352 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yuko sahihi kwani hii ni inchi hulu na sio kipande cha US pesa ya kigeni iachwe Bank kuu huku chini mgeni aje na aijue shiring yetu

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 5 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu jamaa anaakili mno

  • @user-hy3en6vk5f
    @user-hy3en6vk5f 4 หลายเดือนก่อน

    Chambulo you are so bright 👍👍👍

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 5 หลายเดือนก่อน +7

    Shule ya kukariri za Bure hupati akili hizo ng'ooo elimu gjarama

  • @bornkilla6173
    @bornkilla6173 5 หลายเดือนก่อน +4

    Genius 🔥

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 5 หลายเดือนก่อน +18

    Brain hazina ndo hizi sasa🔥

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tunaongozwa kijinga sana

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bureu de change zilivyofungwa ndo zimesababisha watu kuwa na dola na kubadilisha kwenye black market.

  • @jakyjacqueline9198
    @jakyjacqueline9198 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maarufu kwa jina la kaburu A TOWN ,amenyooshaga mambo sana

  • @DM_15
    @DM_15 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu JAMAA YUKO VZUR SANA ANA TOA MFAFANUO ULONYOOKA that's why Magufuli alifunga hizo maduka yakubadili pesa he was a genius, R.I.P MAGUFULI

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 5 หลายเดือนก่อน +1

    This guy have to be chairman 20 years more to come

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 5 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea point sana mzee wangu pokea🌹💐🥀

  • @ayoubbenta4499
    @ayoubbenta4499 4 หลายเดือนก่อน

    Mh wiliam chambulo,maarufu(kaburu) kaka upo vizuri sana you have got highest knowledge!! Hebu Toa somo kwa serekali,that’s true story’mama nadhani unasikia😂gavana sasa umepata mwanga

  • @jimmychengs1338
    @jimmychengs1338 5 หลายเดือนก่อน

    Hili jamaa ni chotara Moja bishi sana.. smjui ila anaonekana mtata sana anaijua shilling hatari that was super fun 😅😅😅😂😂

  • @warrenkilimber4013
    @warrenkilimber4013 4 หลายเดือนก่อน

    Very professional

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 5 หลายเดือนก่อน +7

    Jamahaaa anaakili sana

  • @Freedom_fighters898
    @Freedom_fighters898 5 หลายเดือนก่อน

    Tanzania ni nchi ya hivyo sanaa. Hatuna competent leadership

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 5 หลายเดือนก่อน +12

    Woyooooo jamaa yuko vizuri kinyama

  • @MrCasmiri
    @MrCasmiri 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania tumepata changamoto nyingi za upatikanaji wa USD. Huyu mzee ametoa wazo zuri sana. Tupunguze utitiri wa dolarisation hapa nchini. Tuwe na mfumo unaowezekana na mzuri kama nchi nyingine zinavyofanya

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba yuko vizur nashauli awe mwenyekiti wenu wa kudumu😅😅😅😅😅🏆🔥🔥👏👏♥️♥️♥️

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 5 หลายเดือนก่อน +2

    This man, the so called Mwenyekiti anajua Sana. Tuna wafanyabiashara potential sanaa ila wasimamia Sera Wengi zero sanaa. Nepotism