Serekali itoe TAMKO kwamba hii tasnia SIO PROFESSIONAL, maana imejaa watu ambao ni wavivu kufikiria na hawataki kufanya kazi ya utafiti, ili kujua jambo kiundani. Wao mbele za watu wanakuja na DHANA, mitazamo ya gizani.. hii ni hatari kwa wasikilizaji maana tunachanganywa sana na hawa watu.
Hance nawewe unatumia au huelewi unachozungumza Kinacho one kana ni kwamba yanga walikwama hawakuwa sahihi walitumia ushawashi bila utaratibu sasa imegundulika wanatumia siasa wasionekane ni wakosaji kuweni na uelewa
Hans wewe sio leval huyo mtangazaji!! Yeye Kila mara huo anaonyesha si mweredi! Wacha taarifa ya mwigulu. Mwambie asome taarifa ya menejiment ya Magoma yaleo. Hivi hapo inahitaji elimu ya chuo kweli?
Hans usich kijua sis wengin tunafuatilia hii media kwa sababu ni mashabik wa king's lakin unak elekea kutuharibia Simba yet kwa sabab ya ushabik wak wa Yanga hii media itakushind achan na Simba yet uchambuz naon so fani yak
Jamaaa Hana taarifa sahihi. Huwezi kusema nani alikuwa na haki na mchezaji bila kujua kilichoomo kwemye agreement zao. Kama bado Kagoma alikuwa na mkataba na Timu yake wapi makubaliano ya Vilabu hivo?
Mr. Nchemba kama ni suala la busara alifaa amwombe Hersi amwache Mzize akacheze timu kubwa yenye kulipa pakubwa zaidi ambapo wao hawawezi kumlipa hata nusu ya mshahara alioahidiwa nchini Morocco
@@storyzakitaachannel6791 alisema Manara akitolewa babaake na Mh. Jk waliobaki ni hamnazo ndio hii sasa hapo kuna sababu gani ya kutumia bando lako kutukana matusi badala ya kuleta hoja ndugu?😂
Hans anatumia mapenzi yake na yanga. Hili jambo lipo wazi , yanga hawakutoa pesa yote km walivyokubaliana. Ndio chanzo cha yusuph kusain simba na mpungq mrefu
Ndo unavyofikiria? ukweli ni kwamba simba hawana uwezo wa kusajiri wachezaji kwa kufuata taratibu na miongozo so wamebaki kuiba wachezaji na ndo maana tunasikia malalamiko mengi kuhusu usajiri wao na bado tutaona mengi
@@mrishoshabani8390 cooments za kizaman sana, soma wenzio wanatoa hoja , we unaleta matusi. Kwamba uwezo wa kufikiri ni mdogo au ukoje? Toa hoja kijana twende sawa
Yanga hawawezi kuwa na busara tena haswa kwa suala la wachezaji kutoka kwao kwenda Simba kama wameshindwa kutumia busara kujua wakati sahihi wa kumwachia Clement Mzize akapate malisho bora zaidi aliyekuwa aende Wydad kwa maslahi ya mchezaji wakafanye busara kwa Kagoma sio kweli chupri chupri tu hapo😂
Uyu Ayo mjinga mjinga sana. Swala la Fei limeisha aje ? Wakati swali lake lilikuwa kwenye mambo ya Sheriya. Wapi uliona baruwa ya kamati ? Prince Dube kuna baruwa ? Mbona Ayo mjinga saaaana?? Upara mkubwa, kuliko akili???
Daaaaah ila wamiliki wa radio muwe makini ndio maaana radio ni moja tu Clouds Fm yaaani inawatangazaji wanaojielewa ila uku wengine wananunulika vizuri sanaaa yaaani mchezaji kapewa ruhusa ya kucheza na TFF ,Mwigulu yeye nani kwenye TFF daaaah hiii Inchi ngumu
Tatizo la Hans hakubali kushindwa kwa kuwa anajifanya ana taarifa fulani kuhusu jambo hili na kutoa tafsiri ya taarifa kinyume na uhalisia. Sasa kama Yanga ilikuwa na pre-contract na Kagoma ambayo haitambuliwi na TFF wala Fountain Gate nini kingewazuia Simba kumsajili Kagoma?
@@johnmwasilu7087 kama mambo yangekua hayatambuliwi basi isngekua ni contract na wala manajment isingetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwashukuru yanga wangesema limeisha kwakua hatukua tumesaini nao mkataba wowote lakini sikiliza au kausome ulivyoandikwa utaelewa kwa undani
Waandishi wa abari mnatusangaza sana samahani kwa luha nitayo itumiya ivi kama kweli nyiye mmesoma mchezaji kasaini kwenye timu 2 ukweli wamambo UPI mkataba unakaye vunja mkataba uliyo tanguliya.
Hans mpumbavu ungea kiakili usilopoke tuuu huyu mchezaji kagoma alikuwa na singida lkn singida wanasemaje mjinga ww elezea maelezo vizuri mpuuuzi hiyo ni awali au ni contract
Hakuna cha busara acheni kupepesa macho kwasasa Yanga wanatumia nguvu Ili waweze kupata ubingwa pia viongozi wengi na waandishi wa habari na wachambuzi ni wanafiki sana Ila ipo siku kuna vichwa vilivyo pamba moto vitawavurugwa sana.
Yanga hawana haki na mchezaji Kwa sababu Simba imemalizana na timu yake ya zamani na yanga hawajamalizana na timu ya zamani ya kagoma Kwa mfumo huo yanga hawawezi kusema kuwa ni mchezaji wao
We mtangazaji acha uongo baada ya pingamizi Kagoma hakucheza hadi suala lake lilipoisha akashinda. Hivi hamna hata kumbukumbu, tokeni mnachafua tasnia ya utangazaji na mnajishusha hadhi. Acheni mara moja kujadili matapishi ili muonekane mnafanyakazi.
Ebu mtuache ss hayo maneno kagoma ni simba mengine hatuyajui
Serekali itoe TAMKO kwamba hii tasnia SIO PROFESSIONAL, maana imejaa watu ambao ni wavivu kufikiria na hawataki kufanya kazi ya utafiti, ili kujua jambo kiundani. Wao mbele za watu wanakuja na DHANA, mitazamo ya gizani.. hii ni hatari kwa wasikilizaji maana tunachanganywa sana na hawa watu.
Shida nikwamba hata wachambuzi hawaelewi namna ya kuzungumzia jambo lelote
Hance nawewe unatumia au huelewi unachozungumza
Kinacho one kana ni kwamba yanga walikwama hawakuwa sahihi walitumia ushawashi bila utaratibu sasa imegundulika wanatumia siasa wasionekane ni wakosaji kuweni na uelewa
Uyo ni mamruki kama hamjui mtu ata hajui anachokizungumza sjui ata aliyemuajili aliona nn kwake maana hamna kitu humo
Simba nguvu moja😂😂😂💪💪❤❤
Hans acha uongo Yanga hawakuwa na haki yoyote katika sakata hili labda kurudishiwa pesa yao
Hans wewe sio leval huyo mtangazaji!! Yeye Kila mara huo anaonyesha si mweredi! Wacha taarifa ya mwigulu. Mwambie asome taarifa ya menejiment ya Magoma yaleo. Hivi hapo inahitaji elimu ya chuo kweli?
Magoma tena😢
@@johnmalley4887KURUJUWANI ISHA WAPIGA HAO 😂😂😂😂😂 MZEE MAGOMA OYEEEEEE 😂😂
@@salimmalaka256 🤣
@@johnmalley4887Magoma anawakorofisha😂
Magoma +Kagoma=KURUJUANI
Hans ujuaji unamponza, kagoma alichukua pesa ya yanga kama mkataba wa awali na hiyo haimfanyi mchezaji kutopokea ofa zingine.
What if alisign contract??
Hans usich kijua sis wengin tunafuatilia hii media kwa sababu ni mashabik wa king's lakin unak elekea kutuharibia Simba yet kwa sabab ya ushabik wak wa Yanga hii media itakushind achan na Simba yet uchambuz naon so fani yak
Jamaaa Hana taarifa sahihi. Huwezi kusema nani alikuwa na haki na mchezaji bila kujua kilichoomo kwemye agreement zao. Kama bado Kagoma alikuwa na mkataba na Timu yake wapi makubaliano ya Vilabu hivo?
Sure kabsa
Uyo Hans nae achee uyanga Sana duuh 😅😅😅
Management ya Kagoma kwanini iiombe Yanga kuyamaliza na Yanga ikiwa Kagoma alikuwa hana mkataba na Yanga? Hivi huwa hamsikilizi au ni mihemko
Hans anakurupuka sana, hafikirii akiwa anazungumza, Hans yupo kishabiki sanaaaaaaaaa
Hujui mpira wew hansi sikiliza anavyo jua
Hivi huyo anayepingana na Hans alipataje hiyo nafasi? Kamati ya TFF, Ikiwa vilabu Kwa maslahi ya uchezaji vimekubaliana wao unataka wagome?
kwan TFF ndio imetoa tamko au mwigulu ndio kaomba, au mwigulu ndio TFF
Hajielewi huyo Khaji katoka ngomani alfajir bado ana usingizi@@arjunaking5595
Hans hajibu Maswali! Hana facts.
Huyu jamaa kiazi sanaaaa
Ayo umeongea points
We mwenye kipara shati jeupe la shule Senge sana chambuzi la Mchongo 😊
Hizi media za Tanzania zinaelekeza sana kwenye fitna na kuleta mambo ambayo hayawahusi kwenda ndani sana acheni tabia na khuluka za kiyahudi
Yanga wachezaj weng tu..
Warudishe mzigo wetu shugur uendeleee🔥🔥
Mzigo wenu ni mobeto chukueni
Ayo unauliza maswali ya msingi sana.
Hans????
TFF ya tz dah😂😂😂
Simba na yanga kagoma hakuekewa pingamizi ila alikuwa na majeraha ambay tangu pre season
Mr. Nchemba kama ni suala la busara alifaa amwombe Hersi amwache Mzize akacheze timu kubwa yenye kulipa pakubwa zaidi ambapo wao hawawezi kumlipa hata nusu ya mshahara alioahidiwa nchini Morocco
Mbona umeandika ujinga tu
@@RashidySaidy-yf7gg soma tena tafakari utaelewa kama unataka kuelewa unless uwe unataka ubishani na ushabiki tu.
Katombwe sasa
@@storyzakitaachannel6791 alisema Manara akitolewa babaake na Mh. Jk waliobaki ni hamnazo ndio hii sasa hapo kuna sababu gani ya kutumia bando lako kutukana matusi badala ya kuleta hoja ndugu?😂
Uchambuz maandazi hujui kitu 😢😢😢😢😢acheni Uchambuz usio ujua
Huyo Ayo huwa anaoenda kupinga Hans ao ndo aliendelea ile ishu kama Hans hakutaka Ayo aje Crouwn
Hans anatumia mapenzi yake na yanga. Hili jambo lipo wazi , yanga hawakutoa pesa yote km walivyokubaliana. Ndio chanzo cha yusuph kusain simba na mpungq mrefu
Kumbe we chizi
Ndo unavyofikiria? ukweli ni kwamba simba hawana uwezo wa kusajiri wachezaji kwa kufuata taratibu na miongozo so wamebaki kuiba wachezaji na ndo maana tunasikia malalamiko mengi kuhusu usajiri wao na bado tutaona mengi
@@msemakweli...Kagoma yupo Lybia
@@mrishoshabani8390 cooments za kizaman sana, soma wenzio wanatoa hoja , we unaleta matusi. Kwamba uwezo wa kufikiri ni mdogo au ukoje? Toa hoja kijana twende sawa
Nani ni mkuu wa idara ya production hapo. U need to pull up ur sock. Hans ana mambo ya dada zake. Always talkative know when to pull back
Unakuta mtu mchambuzi mzuri ila ikifika kwenye mambo ya simba na yanga ndiyo anaamua kuweka kichwa flight mode na kuwa na IQ ya parachichi
Management ya Kagoma kwanini iiombe Yanga kuyamaliza na Yanga ikiwa Kagoma alikuwa hana mkataba na Yanga? Hivi huwa hamsikilizi au ni mihemko
Mimi ni mshabiki wa simba ila natamani sana yanga na simba zife.
Kwani Mwigulu yeye yuko kamati ya sheria?
Yaap
Yanga hawawezi kuwa na busara tena haswa kwa suala la wachezaji kutoka kwao kwenda Simba kama wameshindwa kutumia busara kujua wakati sahihi wa kumwachia Clement Mzize akapate malisho bora zaidi aliyekuwa aende Wydad kwa maslahi ya mchezaji wakafanye busara kwa Kagoma sio kweli chupri chupri tu hapo😂
😂😂😂😂😂sure
Hans aache uyanga unamhalibia sana mm nilikua namkubali sana kwahaya aliyonayo aaaa
Kwani mbona account ilionyesha wamelipa fountain gat kijana magoma ana account yake mbona
Media inayoaminika hapa Tanzania ni Miladi Ayo wengine wafitinishaji
Kwani tff imemwidhinisha wapi?
Hawa wachezaji wa namna hii km kweli kasahili timu mbili c wafungiwe tuu busara za nini hapo? Ifuatwe Sheria tu maana wapi wengi na wwnafanya kusudi
Huyu Hans alisema kibu atacheza yanga imekuaje
HANS hua anamapenzi yake na UTOPOLO
Hata AZIZI Ki alikua anaenda Simba na akaishia Yanga
Hansi utoporo hakuna kitu namwigulu wako huna madini yoyote
Kagoma alishalimaliza mwenyewe msipoteze muda.
Muongo huyo hans.....kagoma ali sight pre contract not a full contract...acha unazi
Shabiki la utopolo hilo Anapenda kuongelea hisia sijui kajifunza Academy gani kuongea
Uyo hans ni yanga
Hans unajua sana koliko hao wote amna kitu
Uyo hans nae kunamichezo alikuwa anafanya sili tubazo yaibu sana kwann sijui watoto wakiume wanapenda kufanya ngoja tufichie siri
Huyu wa kati ni mshabiki wa Yanga kwenda
Uyu Ayo mjinga mjinga sana.
Swala la Fei limeisha aje ? Wakati swali lake lilikuwa kwenye mambo ya Sheriya. Wapi uliona baruwa ya kamati ? Prince Dube kuna baruwa ? Mbona Ayo mjinga saaaana?? Upara mkubwa, kuliko akili???
Busara ni mhimu sana kuliko Sheria acheni ushabiki
Wao yanga wanaona wanaenda kuangukia pua ndio maana wameona wajiwahi na busala busala wapi
Nyie wote hapo hakuna kitu mnabishana tu shauri ya pande mbili. Usimba na Uyanga
Yaani watoto wa moo madunduka haswaa😅😅😅😅😅
Ni ujinga wa kupitiliza kutumia busara kwenye swala linalohitaji kutumia sheria ili haki itendeke.
Hata mm nashangaa kwa mfano ile red card ya lameck Lawi kufutwa halafu YANGA hakupikonywa point
@@silvesterrichardhelenya1319nyie mlipokonywa lini
Inakua kama mnaongea kahawa vile kagoma alipewa shingapi na mkataba uje mezani hapo acheni hizo amewekewa pesa vipi haki mpeni yanga sasa hapo
Hiyo Hela ya yanga ilipokelewa na Kagoma?
Daaaaah ila wamiliki wa radio muwe makini ndio maaana radio ni moja tu Clouds Fm yaaani inawatangazaji wanaojielewa ila uku wengine wananunulika vizuri sanaaa yaaani mchezaji kapewa ruhusa ya kucheza na TFF ,Mwigulu yeye nani kwenye TFF daaaah hiii Inchi ngumu
Wachambuzi wote nimewaelewa Hans amekaa ki yanga yanga
Hans unakumbuka ya Mbuyu Twite
Mwigulu sio mwisho
Muulize Hans mwigulu ni Nani je kamati utasemaje MTU aje ni Nani kamati inasemaje
Bora ni amini ww mjinga wa mwisho maneno yako. Busara na hela za watu. Acha point za ki mama. Acheni kuchafua ligi yetu kisa ushenzi wako
KUNA MMOJA HAPO NI UTOPOLO NGURUWE MLA MIHOGO ANA JAMBA JAMBA TU 😂😂😂 KURUJUWANI HAIKUACHI SALAMA 😂😂😂
Management ya Kagoma kwanini iiombe Yanga kuyamaliza na Yanga ikiwa Kagoma alikuwa hana mkataba na Yanga? Hivi huwa hamsikilizi au ni mihemko?
Huyo Hans ni wa hovyo sana,anajaribu kuleta ushabiki ktk fact. Nini maana ya TMS?
Ukinunuliwa kichwan huwa kama huna kitu 😢😢😢😢😢
Jamani kumbe tff nisimba kwann kwanini Simba isikatwe ☝️☝️☝️
Hapo hakuna double contact....Amepataje liseni
Sasa msituchoshe majibu ni haya kwamba kagoma kagoma anachojua yeye ni ubaya ubwela ni msimbazi mpaka nywele 😅
Yanga kiviluge ansua soka la Tanzania
Usitongelee vitu vya kuhisi nyie mnasikilizwa na watu wenye akili Timamu
Tatizo la Hans hakubali kushindwa kwa kuwa anajifanya ana taarifa fulani kuhusu jambo hili na kutoa tafsiri ya taarifa kinyume na uhalisia. Sasa kama Yanga ilikuwa na pre-contract na Kagoma ambayo haitambuliwi na TFF wala Fountain Gate nini kingewazuia Simba kumsajili Kagoma?
@@johnmwasilu7087 kama mambo yangekua hayatambuliwi basi isngekua ni contract na wala manajment isingetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwashukuru yanga wangesema limeisha kwakua hatukua tumesaini nao mkataba wowote lakini sikiliza au kausome ulivyoandikwa utaelewa kwa undani
Waandishi wa abari mnatusangaza sana samahani kwa luha nitayo itumiya ivi kama kweli nyiye mmesoma mchezaji kasaini kwenye timu 2 ukweli wamambo UPI mkataba unakaye vunja mkataba uliyo tanguliya.
Hans mpumbavu ungea kiakili usilopoke tuuu huyu mchezaji kagoma alikuwa na singida lkn singida wanasemaje mjinga ww elezea maelezo vizuri mpuuuzi hiyo ni awali au ni contract
Wewe anaeuza mchezaji ni singida fountain waliruhusu vip lesen
Juma ayo kaka una akili sanaaaaa
Wewe Hansi acha unazi mwenye haki ni singida fonteniget sio yanga au yanga alimnunua wapi mchezaji?
Kuna kasoro TFF katika uweledi wao katika uendeshaji wa soccer Tanzania
Leseni inatolea Kwa wanaostahili hawezi Kuwa na leseni za timu zaidi ya Moja
Kwan kua mtangazaji wanaangalia nn 😂
Unapokuja kwenye mahojiano kama haya basi jiandae kwa kusoma mambo ya contract law ili uongeze uelewa wako.
Wewe ni mpambe wa yanga na unaharibu karia Yako ya uchambuzi
Duh! We mtangazaji rudi shule aisee 😂😂😂 hadi unaboa
Yani mnapiga story za kahawa
Kagoma aliumia Akiwa ISMALIA HANS UNADANGANYA
Hakuna cha busara acheni kupepesa macho kwasasa Yanga wanatumia nguvu Ili waweze kupata ubingwa pia viongozi wengi na waandishi wa habari na wachambuzi ni wanafiki sana Ila ipo siku kuna vichwa vilivyo pamba moto vitawavurugwa sana.
Mulizeni kuwa kagoma leseni yake kagoma inasoma wapi
Tafuteni taarifa jamani, kama hamna data za ukweli acheni kuunga unga maneno😂😂😂
Hans we kichwa maji
Uyo hance anakichwa cha panz awez kuelewa ata kidogo
Kaka muombe akuerewe tatizo hajui kua kirashida inamarizwa pesa sio maneno
Yanga hawana haki na mchezaji Kwa sababu Simba imemalizana na timu yake ya zamani na yanga hawajamalizana na timu ya zamani ya kagoma Kwa mfumo huo yanga hawawezi kusema kuwa ni mchezaji wao
Simba nguvu moja
huyo hance anatakiwa kukubali kuna muda anatoa taarifa sisizo sahihi yeye sio Mungu asikosee
Sasa ivi kila mtu mchambizi 😂😂 kunawatuwanaongea ubwegeee kabisa
HANS unanichanganya na haujibu chochote UNAJITEKENYA
Hans ni fucken na kupoteza muda kuongeza mengine
We mtangazaji acha uongo baada ya pingamizi Kagoma hakucheza hadi suala lake lilipoisha akashinda.
Hivi hamna hata kumbukumbu, tokeni mnachafua tasnia ya utangazaji na mnajishusha hadhi.
Acheni mara moja kujadili matapishi ili muonekane mnafanyakazi.
Wewe hans ni yanga mpuuzi wewe tena Acha kuvaa nguo nyekundu
Hans unapoteza mwelekeo kama mchanbuzi. Kamati haijatoa tamko la kuiomba Yanga imwamchie Kagoma
Sasa huyo kagoma agecheza namba ya nani hapo yanga jameni
Kumbe ni fala hans ukweli haupo mdomoni mwako ww huo ni ushabiki kama wa mwigulu
We bwe kagoma ni yanga
Jamaa utopolo uyo