MZEE MAGOMA AINGILIA KATI SAKATA LA YUSUPH KAGOMA/UONGOZI WA YANGA UNAMAKOSA KWENYE USAJILI WAONGO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 92

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 7 วันที่ผ่านมา +8

    Magoma uko sahihi Sana tatizo mazuzu hawawezi kuelewa hayo. Ni WA kupiga makofi th

    • @AmryKakulu
      @AmryKakulu 5 วันที่ผ่านมา +1

      Inavyo onekana ww ndozuzu hauja muelewa

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe na magoma akili zenu ni sawa,na nina uhakika kuwa wewe ni kolo😂😂😂

    • @alexpanga5334
      @alexpanga5334 5 วันที่ผ่านมา

      huna akili wewe umejaza mavi kichwani hivi wewe huyu chizi analialia kwami mzee wa yanga ni yeye mwenyewe huyo ni njaa tu atatapika mwisho atanyamaza ngoja tumlipishe milioni 70 zetu akauze shamba lake la mihogo

    • @mrmbuyatv3727
      @mrmbuyatv3727 5 วันที่ผ่านมา

      Wew ndio hujui huyu mzee anahitaj elimu Sasa mwanachama ananunua hisa gan hisa zinauzwa kwa mwekezaji sio mwanachama

  • @kabazitv4293
    @kabazitv4293 5 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu Mzee anaongea point za msingi Sana ila uto mashabiki oyaoya wanambeza Bure ila watamuelewa badae baada ya kuwa washapigwa kichwan cz Bado waapumua

  • @relaxstarman
    @relaxstarman 5 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mzee kuna siku mtamuelewa tuu nyuma mwiko😂😂😂

  • @user-uq3dq7sr3l
    @user-uq3dq7sr3l 5 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu Mzee anajua sana sheliya ubaya ubwera

  • @IDDMABRUCK
    @IDDMABRUCK 4 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri Sana mzee Magoma,ila mazuzu hawaelewi kitu tatizo ni njaa za supu wanazokunywa kila siku.

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee magoma anaeleweka kuliko huyu anaejiita mwanasheria,

  • @gkwaV
    @gkwaV 3 วันที่ผ่านมา

    Genious💪💪

  • @wazirimagayuka9681
    @wazirimagayuka9681 5 วันที่ผ่านมา +1

    Makolo mchukueni Magoma awe kocha na mwanasheria wenu

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee Magoma anaonekana ana uelewa mkubwa wa Sheria kuliko Mwanasheria wa Yanga

  • @RamadhaniAlmasi
    @RamadhaniAlmasi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wanao kuoji wenyewe utoto mwingi hawana maswali ya msingi

  • @RamadhaniAlmasi
    @RamadhaniAlmasi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee magoma tumekuelewa wengi

  • @VitusiNgonyani-d4l
    @VitusiNgonyani-d4l 6 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe Mzee unanjaa kacheze bao huko kwenu

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 6 วันที่ผ่านมา

      Kila mtu mwenye tumbo yumkin kukosa njaa ha gsm ana njaa ndo maana anajishughulisha ww mchallange kwa hoja cyo utopolo wako

  • @lucianakweyunga8187
    @lucianakweyunga8187 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa huyu mzee yanga hatuvuki salama,

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe mzee basi waambie wanainchi wote waende bungeni ❤wakasimamie nchi yao. Acha unanja ujanja njaa itakuwa. Wakati wa yanga bakuli ulikuwa wapi? Hats baiskeli hauna Acha unababaishaji.

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 6 วันที่ผ่านมา +1

    Magoma tulia GSM afaidi😂😂😂😂😂

  • @BenedictMatete-t1l
    @BenedictMatete-t1l วันที่ผ่านมา

    Mzee wape nyundo vizuwi na vipofu wamejazana utoporo kuanzia mwanasheria wao sijui alisoma memkwa hakuna kes hata moja kashinda nae kaanza kuwa kama Ally komwe

  • @BakariSaid-k1g
    @BakariSaid-k1g 6 วันที่ผ่านมา

    YANGA HIP HOP

  • @RajabAbdallah-z5y
    @RajabAbdallah-z5y วันที่ผ่านมา

    Nani kweli yanga ni mazuzu

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 4 วันที่ผ่านมา

    Unakosaje kupigwa pesa kwanyodo izo😅😅

  • @omarykitapwa
    @omarykitapwa 3 วันที่ผ่านมา

    mzee hana point yeye pia ana njaa akae atulie apewe kitengo cha pesa

    • @SimonAmon-dr8xw
      @SimonAmon-dr8xw 2 วันที่ผ่านมา

      Kinyesi Fc 💩💩💩

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee Magoma ana akili nyingi mno lkn Uto wanamchakulia mwehu ipo cku watamuelewa

    • @ramadhanimpapalika7131
      @ramadhanimpapalika7131 7 วันที่ผ่านมา

      Yanga ina wanachama hai wanakaribia laki moja...chukulia wamekuja elfu 60 tu kwenye mkutano minz ni benjamin mkapa full house...ni mkutano gani utaendeshwa??? Yeye agombee kwenye tawi lake ashinde akusanye maoni na maswali aje aulize...hana hata point ya maana

    • @bahatimlingi491
      @bahatimlingi491 6 วันที่ผ่านมา

      Mpe familia yako akushauri

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 6 วันที่ผ่านมา

      Ww ni wa zamani sana..teknologia ndg hata kwa skype mtawasiliana tu ninyi utopolo

    • @NapeDkilia
      @NapeDkilia 5 วันที่ผ่านมา

      Sawa yuko sahihi lakn kumbuka hat. Samia alisema hizi timu zipate. Hela vzr amewapunguzia kodi wa miliki wa timu

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee ana akili sana.

  • @NdagoBotoli
    @NdagoBotoli 4 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi amuna swaga

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 วันที่ผ่านมา

    Muongo Yanga inakushitaki wew kwa jinai hawafanyi kosa nenda kashitaki

  • @MhangwaBunzal
    @MhangwaBunzal 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee huna kazi ya kufanya maana yanga inawashaboki wangap Tanzania zima wote waingia

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee anawazidi wasomi wote wa yanga

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu 5 วันที่ผ่านมา

    Hiyo katiba unayoikomalia haipo Magoma, kale mihogo.

  • @alisalim9483
    @alisalim9483 6 วันที่ผ่านมา

    Ila jamani mm sio yanga ila huyu mzee nyuma ya kagoma ana mzuka mwenzake anaongea yy ana manua mdomo😂😂😂😂😂😂😂

  • @SixBatani
    @SixBatani 3 วันที่ผ่านมา

    Katafute timu yako umukabizi huyo magoma wako kama anahakili aiongoze

  • @arielhansalbert5631
    @arielhansalbert5631 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee kumbe hana akili, wanachama wote wahudhurie Mkutano, watakaa wapi? Uwakilishi ni muhimu hatuwezi kwenda wote!

    • @SimonAmon-dr8xw
      @SimonAmon-dr8xw 2 วันที่ผ่านมา

      Mkundu Wewe hio kauli kawaambie makolo wenzako

  • @HajiJuma-oy1jy
    @HajiJuma-oy1jy 5 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tupo zaidi ya milioni 70 wanaoingia bungeni ni watu si zaidi ya 350 jee tukaingie bungeni watu wote

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu 5 วันที่ผ่านมา

    Magoma muda wa ninyi kula bila kufanya kazi umeisha.

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 6 วันที่ผ่านมา

    Hivyo yanga hawajielewi kabisa kesi ya mpira ni CAS hawana weledi kabisa MAGOMA PELEKA FIFA HAWANA LONGOLONGO

    • @Salum-t7b
      @Salum-t7b 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe Akili auna wataendaje cas na magoma kesi kaipeleka maakamani? Akurizika Akaenda maakama kuu?

    • @ElishaMwenga-ti7of
      @ElishaMwenga-ti7of 5 วันที่ผ่านมา

      Kwa iyo apo yeye Ndio Kasi hujielewi

    • @ElishaMwenga-ti7of
      @ElishaMwenga-ti7of 5 วันที่ผ่านมา

      We mzee acha njaaaaaa wewe ni Teja na huyo mkundu wa nyuma hovyoooo wewe kwanini hukwenda cash mkunduu wewe

  • @RizikiMbembela-b6h
    @RizikiMbembela-b6h 5 วันที่ผ่านมา

    Atakae ifungia yanga nan kwenye hii inch

  • @GodyMussa-sc9fj
    @GodyMussa-sc9fj 7 วันที่ผ่านมา

    Salehe jembe angalia mitambo yako mbona head phon inagoma lakin midia zingine inakubalu tena nyingi sana hili tafiza

  • @MajidMajid-ll8mf
    @MajidMajid-ll8mf 5 วันที่ผ่านมา

    Mzee magoma wewe ndio yanga kindakindaki haswa suala la mwenyekiti ni muhimu

  • @geraldndibinze6837
    @geraldndibinze6837 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee labda ila n kama anakitu chenye mantiki

  • @zeddymourice4249
    @zeddymourice4249 6 วันที่ผ่านมา

    Yaani nyie wazee mtamaliza viwanja na vibanda vya urithi😂😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu angekuwa Afrika kusini mpaka leo tungeshamsahau.

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 5 วันที่ผ่านมา

    Wee akili finyu Yanga inaenda sajiri mamilioni ya wanachama watakaa ukumbi gani

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 5 วันที่ผ่านมา

    Mzee zama zako zimeisha, mlishindwa kuifikisha yanga enzi zenu, waachieni vijana wafanye yao hata kama wanaiba mabadiliko yapo, wewe subiri kesi yako ya kugushi.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee ukimsikiliza sana utajua katumwa na wale, halafu muda wote anawaza maokoto tuu. Kuna ajabu gani wawekezaji wakiongezeka??

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 7 วันที่ผ่านมา

    Magoma hujafikia kuwa Mzee ni Mtoto wa Jana TU.

  • @OmarJoho
    @OmarJoho 6 วันที่ผ่านมา

    Simba hashindwagi jambo

  • @oscarkilangi1187
    @oscarkilangi1187 6 วันที่ผ่านมา

    Acheni udwanzi@Kagoma hakuwa mchezaji huru_timu yake Singida ndy answarable

  • @user-fg8hg9fe1w
    @user-fg8hg9fe1w 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzeè ni gaidi tuwe naye makini atavuruga Hali ya hewa ushuzi wake unanuka sana😢😢

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 6 วันที่ผ่านมา

      Ukila vizuri lazima ushuz unuke..ww endelea kula matembale

  • @mhinasemwambi1957
    @mhinasemwambi1957 6 วันที่ผ่านมา

    Mzee maliza kesi zako kwanza ndio tuendelee kukusikiliza!!!

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 6 วันที่ผ่านมา

    Magoma kwa hiyo na wewe unataka maokoto kama Azizi K sio wewe si ushasema ulikuwa unacheza Yanga B sio wewe wacha tamaa za bange. Magoma hapo umeangukia pua ujuwe hivyo Eng. Heris sio muhindi ujuwe hivyo. na una lolote unapoteza wakati wako bure

  • @msouthqualitymabati4657
    @msouthqualitymabati4657 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee Ana hitaji kukaa na muwekezaji na kamati zake wamueleze pesa ikiwekezwa ina simamiwa na alie iwekeza. Si vinginevyo

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 5 วันที่ผ่านมา

    Wazee wa hovyo kabisa 😀

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee wewe ni jinga sana .Achana naYanga si saizi yako kwa sasa.

  • @haidaris.kalunga9541
    @haidaris.kalunga9541 6 วันที่ผ่านมา

    Hata mwana sheria wao hajui kwamba Release letter na TMS ndo vitu vyenye kuamua huyu mchezaji acheze wapi? Kama kuna mpunga mlimpa mlimpaje wakati bado ana mkataba na Fountain Gate wa zaidi ya miezi 6? Ina maana kabla ya Kagoma kuvuta pesa,Yanga ndiye alieanza kutenda kosa kwa kuzungumza na mchezaj ambae ana mkataba

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 5 วันที่ผ่านมา

      @haidarris.kalunga9541 kabla ya ku post ulianza kuongea na nani?

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 5 วันที่ผ่านมา

    Hapa mwanashelia hakuna hajawai kushinda kesi hata moja kilaza huyu

  • @faqueabdala4099
    @faqueabdala4099 6 วันที่ผ่านมา

    Umeyatimba lipa pesa acha kulalamika kwenye mídia

  • @erastomwanamawe7322
    @erastomwanamawe7322 6 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu Mzee anajicho la tatu najua ni ngumu kumuelewa

  • @musamkembela1395
    @musamkembela1395 6 วันที่ผ่านมา

    Kaza baba kaza

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 6 วันที่ผ่านมา

    Hatuna waandishi

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 วันที่ผ่านมา

    We mzee utafungwa jera

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee Magoma, Mimi ni Mwanasheria na niko Mwanza hapa... Unaongea usivyo vijua wewee😂😂
    Wewe sio mwanachama wa FIFA ndo maana umekwenda kwenye mahakama za Kiraia, uko sahihi sana
    Yanga wanapokuwa na kesi na mtu au taasisi au timu isiyo mwanachama wa FIFA, unadhani watashitakiana wapi??
    Wakikushitaki wewe FIFA ili ulipe hizo milioni 70 za fidia na wewe sio mwanachama FIFA, Usipolipa FIFA wataku trit vipi??
    Usiwe mpotoshaji wewe bhana, na kama kuna mwanasheria anakufanganya basi mdai fedha yako anakupotosha na utaonekana huna akili...
    Yanga wako sahihi kwa 99.9% na ndio maana wanashinda kesi zako zote........
    Acha kujitoa akili kwa kuingilia taaruma za watu na kuzifanya ni kama za dalasa la saba...

    • @heimkon7236
      @heimkon7236 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂kama wewe kweli mwanasheria basi vyeti vyako vichunguzwe kwakweli!! Mbona magoma yuko clear kabisa, kawashtaki body of trustees wa Yanga ambao ni kina mama karume sasa hawa wanaoshinda now wa 2021 wanatoka wapi ambao hata katiba yao haijasajiliwa kuiongoza yanga!? Hebu jibu haya kama mwanasheria.

    • @alexandernyambo7739
      @alexandernyambo7739 5 วันที่ผ่านมา

      @@heimkon7236 Hii nikwa taarifa yako tu wewe usiye jua kitu...
      1.Sio kweli kwamba katiba ya Yanga haijasajiliwa. TFF hata BMT isingeweza kuruhusu hilo
      2.Soma vizuri huja yangu ili uelewe vizuri ndg
      🙄Nimezungumzia juu ya mzee Magoma kushtaki FIFA au kushtakiwa FIFA, kuwa ni jambo lisilo wezekana, kwa kuwa FIFA haitambui uana chama wa Magoma...
      So kama yeye mzee Magoma alivyokwenda Mahakama za kiraia, ndivyo naye anapaswa kuwajibishwa huko... Kwa hili Yanga wako sahihi

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 5 วันที่ผ่านมา

    Na nyie waandishi uchwara mnafanana tu na huyo mnaemhoji ---- " halafu atufafanulie " kazi ya kanisa maana yake nini "

  • @musamkembela1395
    @musamkembela1395 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa vyura watamwelewa wakianza kuharibu

  • @athumanhatibumkombolaguha
    @athumanhatibumkombolaguha 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wamemshindwa KAGOMA, Watamuweza MAGOMA,,,,???

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 วันที่ผ่านมา

    Nenda Pan africa

  • @WistoniMtewele
    @WistoniMtewele 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee mnapompa mapuvu siku ya mwisho mumsaidie

  • @Salum-t7b
    @Salum-t7b 6 วันที่ผ่านมา

    Kama viongozi wa yanga ni waongo mbona mchezaji mwenyewe anakubali kama alisaini mkataba na yanga? Wewe ni nani unakataa?

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 5 วันที่ผ่านมา

      Kagoma alisaini Yanga mkataba wa awali ambao Yanga walishindwa kutimiza masharti ya mchezaji pamoja na masharti ya timu ya Kagoma, hivyo baada ya Yanga kushindwa kutimiza masharti mkataba ukawa umekufa kifo cha mende

    • @Salum-t7b
      @Salum-t7b 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@saidsuleiman1753 ujui kitu wewe. Mkataba ambao viongozi wa singida wanadai ulikufa ni wa singida na yanga sio wa kagoma na yanga ilo ilijue na utofautishe. Pia mkataba wa singida na yanga aujafa bali viongozi walikua na Tamaa tu ya pesa

  • @IsmailMrisho-v1n
    @IsmailMrisho-v1n 6 วันที่ผ่านมา

    Mwanasheria ambaye huwa ana feli linapokuja suala la mikataba ya WACHEZAJI.

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 6 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi unapomhoji Magoma tuliza Kichwa.