Huwa unanifurahisha sana jinsi inavyodadavua uchambuzi wako. Safari sana. Asante. Kwako nyeusi ni nyeusi. Na nyeupe ni nyeupe. Kaka Mbwaduke unapochambua huwa Huna upendeleo. Jingine ni kwamba unauzalendo wa kuzipenda timu zako za TZ na Afrika. Hongera sana Mchambuzi wetu wa football Data.
Nakukubali sana na huwa ninakufuatilia kwa uzuri mno kwenye udadavuzi na uchambuzi wako mzuri kwenye idara hii ya Soka,wajina,Ramadhani Mbwaduke. Hongera sana na endelea kutupa elimu ya kisoka kila unapostahili kufanya hivyo. Tuko pa1 sana,kaka mkubwa!
bila shaka kukuchagua kama mchambuzi wangu number moja TZ 🇹🇿 sijakosea kaka Mbwanduke
Tanzanians are proud to have the best football commentators
Tusisahau kuna kufa yeyote alie muislamu humu, usighafirike na ukaacha ibada, kwani maisha ni mafupi
Hapa ni mpira pekee, hayo peleka misikitini, makanisani na
kwenye masinagogi brother. Tuache tuburudike na soka bwana.
Swadakta@@DeusdeditBimbalirwa-js6dk
Tinatakiwa kuyakumbuka mauti masaa yote @@DeusdeditBimbalirwa-js6dk
@@DeusdeditBimbalirwa-js6dkSafi
Tuna mshukuru Mungu kwa mengi na tunamtukuza daima. Amina.
amina
Amena❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
ameni ameni ameni
Kahubili manisani ebu tuache kaungane na kiboko ya wachawi huko
Huwa unanifurahisha sana jinsi inavyodadavua uchambuzi wako. Safari sana. Asante. Kwako nyeusi ni nyeusi. Na nyeupe ni nyeupe. Kaka Mbwaduke unapochambua huwa Huna upendeleo. Jingine ni kwamba unauzalendo wa kuzipenda timu zako za TZ na Afrika. Hongera sana Mchambuzi wetu wa football Data.
Gorge ambangile &mbwaduke nyie mna dunia yenu kwenye uchambuzi na enjoy sana kuwaskiliza
Nimemuonea huruma huyo binti alivyochoka mkono kushikilia Mic.
Mngekaa na kutumia meza na wireless mic isingemchosha
pamoja na Chisano Jr wa Bongo fm
Hongera sana Master of statistician …
Hao chuo cha CBE walete
Mchambuzi wa maana sana
Kila la heri Yanga 🙏🏻🔰💛💚
Hakika mbwaduke ww ni mwamb haunaga mbambamba kwenye uchambuz wa kabumbu respect kwako kak huwa sipit bila kukusikiliz kbsaaaaa
Nakukubali sana na huwa ninakufuatilia kwa uzuri mno kwenye udadavuzi na uchambuzi wako mzuri kwenye idara hii ya Soka,wajina,Ramadhani Mbwaduke. Hongera sana na endelea kutupa elimu ya kisoka kila unapostahili kufanya hivyo. Tuko pa1 sana,kaka mkubwa!
Kazi inakukupenda kaka God bless you
ameni ameni ameni
insha'Allah tutashinda wanayanga 💚🖤💛🙏
Akuna mchambuzi mkubwa Kama baba yangu huyu hapo 🇹🇿❤❤❤
best interview kuwahi kutokea na mchambuzi bora sana tz
Uko viziri kaka unachambua viziri sana
We ndo mwambaaaa😊
UBAYA UBWELA BABA 😂😅😅😅....WE HUOGOPI 😢🐐🐐☢
Hakuna mchambuzi km wew bongo
Mbwaduke nakukubali sana Mzee Wa tathimini
Hivi Huwa unasoma au ni kichwani tyu maana umh huo uwezo sidhani kama utakuwa na mpinzani
Mchambuzi namba moja Tanzania na East Africa
Respect bro
Nakubali maneno yako mkuu
Ase huyu jamaaa ni terabyte million
Best of the best
Dah, Mbwaduke umetisha Broo, hakika Wwe ni mchambuzi Bora Sana
*KONGOLE SANA KWAKO*
@@hajisupasuka7072 ahsante Kwa niaba
Chukua Maua Yako kaka mbwaduke.🎉🎉🎉🎉uchambuzi usio na mbambamba
Uyo ndo mchambuzi bora in tz
Kabisa yan hana unafiki ndani yake anaongea jinc mpira unavyotaka kuongelewa big up mbwaduke
bilashaka mchambuzi nambali moja
Uko vizuri ubao usiusahau
Anaweza kbs
Hili jamaa linajua na kujua sana
Mwaduke uko sana Uncle Mwaduke
Safi sana
Was waiting for this
Mwaduke umchukue jemedari said umsaidie kujua kuchambua😊
Yanga weeee ni unkupigikable
Kwel
Kwel
Wanaojitia ukiherehere kufunguka tunawataka
Mzee anajua kuongea uyu
Chukua maua yako father your the best
Mungu awafanyie wepesi yanga Leo jamani
Awa wa kupiga pass ndo tunawatakaaa😂😂😂😂
Nampenda bure bila malipo mchambuzi bora kwangu barikiwa
Mbwaduke Maya yako ❤🎉❤🎉
Mauyayako hayoooo🎉❤🎉
Mshkaji anajua sana
Ujakosea kaka
🎉🎉🎉unatisha sana mwamba❤❤
Nakukubali nakwauchambuzi wako
Tuko wengi ndugu yangu
Hao wanachuo mbona niwetu mchambuz
Big up
Yanga nuksi🎉🎉
Jamaa yuko sawa cio wale wengine wana ushabiki kwenye uchambuzi😂
KAKA HONGERA TUNATAMANI WAKATI UNACHAMBUA UNATUWEKEA SOME HILIGHTS
196 Anderson Plaza
Hata mimi wewe ninamba moja mchambuzi wangu tanzania sio wachongo
Moja kati ya wachambuzi Bora kabsa wa Soka ni huyuu kaka mkubwa namkubali Sanaa Katka tasnia yake ya uchambuzi wa soka
unafaa kuwa mchambuzi mbwaduke we so mwanasiasa bali mchambuzi ongera sana
TUNAJENGA VYOO VYA KISASA VISIVYO JAAA
Nitareee ngapi
Na kukubali sana mambo mengi tunayafahamu kupitia uchambuz wako
Hao watakula goli nyingi tu😂😂😂
Hiyo mechi itakuwa saa ngapi?
Saa 9 alasir
Ila umesahau kumtaja Max mpia nzeger Kaka mkuu
Mbwaduke ww ni mtu wa mpila Huwa unachambua ukweli
Unafurahidha sana kwa uchambuzi wako
Mimi kwangu wewe nibigwa wakufatilia Michezo yote naunatupa kilicho bora kwangu mimi wewe nimchambuzi wa wachumbuzi nakukubali sana kaka mkubwa
Daima mbelee
Mb zangu zinaenda kwa halali
Jamaa anajua sio wale wengine
Wapili hapa
Ninaitakia kila rakheri YANGA YANGA
Yanga yangu
mathematician og
Kuliko MAGWAYAA😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mchambuzi anae ujue uchambuzi
Kaka unajua
Bonge la mchambuzi
Uchabuzi unafanya watu waone mambo mepesi ila uhalisia mpira sio maneno , dak90 ztaamua hatima ya yte
nongwa izo
Inacheza lini
13-09-2024
14
14/9/2024 jumamosi saa1 usiku
Hivi inacheza tr ngp
13 had 15 mwez wa 9 huu
@@ligangmo2525confirmed tarehe 14/09/024
wewe ni baba wa wachambuzi wa soka