Nay Wa Mitego - Wapi Huko (Official Music Video Lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 4.4K

  • @Tipaptz
    @Tipaptz 3 หลายเดือนก่อน +26

    Duuh kama unamkubali huyu mwamba gonga like 😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤ wangap tunataka nay awakikishe bunge mwaka 2025

  • @Mukomariboy
    @Mukomariboy 11 หลายเดือนก่อน +294

    Kenya wale wanamkubali Ney please likes hapa tuone

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 หลายเดือนก่อน +5

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      aimbe Ney like upewe wewe.
      acha ushamba wewe 😏

    • @malikaAmina-o8s
      @malikaAmina-o8s 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@officialkamdudu Siku hizi watu wamevumbua njia haramu za kupata likes😂

    • @Sasaka254
      @Sasaka254 10 หลายเดือนก่อน

      @officialkamdudu 😂😂😂 aimbe Ney like zipewe yeye.. haki yamungu 😅

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 10 หลายเดือนก่อน

      @@Sasaka254 wana chembechembe za ushoga hawa watoto

    • @Trixie03
      @Trixie03 9 หลายเดือนก่อน

      @@malikaAmina-o8s very true

  • @FlorahSelemani
    @FlorahSelemani 8 หลายเดือนก่อน +12

    Mambo magumu nchi hii😅

  • @RahelPetro-ro3yn
    @RahelPetro-ro3yn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wasanii muigeni ney maana tunajifunza kitu ❤❤ mungu akulinde naakuepushe na maadui wasije wakakufanyia baya 😘

  • @ndabhiloleyesamwel9945
    @ndabhiloleyesamwel9945 11 หลายเดือนก่อน +292

    Ukimtongoza demu leo na gesi inaisha leo,,,na kabra haujakaa vizur na Kodi inaisha leo,,,,😂 nipeni like zangu

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 หลายเดือนก่อน +6

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      aimbe Ney like upewe wewe.
      acha ushamba wewe 😏

    • @petronillamocheche9826
      @petronillamocheche9826 11 หลายเดือนก่อน +4

      Sura nzuri lakini tabia paka shume😢

    • @magzeeee
      @magzeeee 11 หลายเดือนก่อน +2

      I relate asee

    • @earthishardtv
      @earthishardtv 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😅😅😅😮😮

    • @tembarooney7899
      @tembarooney7899 11 หลายเดือนก่อน +2

      Kenyan

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 11 หลายเดือนก่อน +164

    KAMA NAWE UNAAMINI KUWA HUU NI WIMBO WA MWAKA 2024,NIKUONE KWA LIKE.

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 หลายเดือนก่อน +1

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      aimbe Ney like upewe wewe.
      acha ushamba wewe 😏

    • @michomichael4111
      @michomichael4111 9 หลายเดือนก่อน

      Ni bonge la wimbo

    • @ErnestNgoye-bx9td
      @ErnestNgoye-bx9td 8 หลายเดือนก่อน

      Nyimbo Kali sana

  • @adedechrisgone4792
    @adedechrisgone4792 11 หลายเดือนก่อน +137

    Our Tanzanian friends. You have delivered this to us in Kenya. Hot and cold at the same time.

    • @felisterwilson9259
      @felisterwilson9259 11 หลายเดือนก่อน +4

      This is what is happening in Tanzania right now!!

    • @kibetkeiyo
      @kibetkeiyo 11 หลายเดือนก่อน +1

      Nyinyi ndio wale mlipata E Kiswahili

    • @adedechrisgone4792
      @adedechrisgone4792 11 หลายเดือนก่อน

      @@kibetkeiyo I wonder why you imagine so, but if it pleases you, Yes!

    • @kibetkeiyo
      @kibetkeiyo 11 หลายเดือนก่อน

      @@adedechrisgone4792 kwa sababu huelewi matumizi ya kinaya

    • @petronillahosoro4828
      @petronillahosoro4828 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@kibetkeiyowacha makasiriko na msanii,yeye tu ni ujumbe anaputisha

  • @WemaMohammed-e9x
    @WemaMohammed-e9x 3 หลายเดือนก่อน +8

    Bro mungu akupe maisha marefu ni kweli akunaga chozi la mnyonge linalodondoka Bure mungu atawalipa watanuka laana

  • @Wakulimahub
    @Wakulimahub 11 หลายเดือนก่อน +100

    Hii song kali sana aisee, jamaa kampiga nyoka kichwani moja kwa moja
    Kila atakaye like hii comment atakuwa ananikumbusha nije kuitazama tena👀

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 au cyo

    • @OnesmoMpangwa
      @OnesmoMpangwa 11 หลายเดือนก่อน

      ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ ᴋᴋ

    • @OnesmoMpangwa
      @OnesmoMpangwa 11 หลายเดือนก่อน

      ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ sᴀɴᴀ

    • @abeddyjuma4103
      @abeddyjuma4103 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio nyoka umepigwa kichwani

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 11 หลายเดือนก่อน +66

    Wapi uko from Kenya Moore 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿🇹🇿 naomba like Za ney wa nitego

  • @Kiyanmoyzer
    @Kiyanmoyzer 11 หลายเดือนก่อน +83

    Hizi ndio nyimbo sasa zakusikiliza watu wenye akili timamu

    • @TumainiKisoma
      @TumainiKisoma 11 หลายเดือนก่อน +3

      Sio we zombie😂

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂​@@TumainiKisoma

    • @daglasmomanyi7631
      @daglasmomanyi7631 11 หลายเดือนก่อน

      Kenya my country

  • @Aksantimulirifreddy
    @Aksantimulirifreddy 5 หลายเดือนก่อน +11

    Nyimbo hii ninge penda wana wa RDcongo waufate vizuri. Congo wezi ni wengi sana tena ni viongozi. Hiyo inaleta utata kwenye maisha ya mkongomani. Wa dada wengi wanajiuza, vijana hawana makazi Na tena wasomi ni wengi bila makazi.ooooooh Congo RDC😭😭😭🥳🥳😭😭😭

    • @mligosandrah7851
      @mligosandrah7851 3 หลายเดือนก่อน

      Walivyo wabishi sasa si tunajionea mengi🤣🤣 dollar n kupanda tu Fc Haina mana

  • @clkangwengwe7942
    @clkangwengwe7942 11 หลายเดือนก่อน +16

    90% positive comments and mostly from kenya

  • @BaronKavashia
    @BaronKavashia 11 หลายเดือนก่อน +422

    As a Kenyan this is the truth and its bitter but he spoke the mind of 53 million Kenyans #inauma
    Also I understand the insults from my fellow Kenyans. Hio yaonyesha ukweli wauma sio? #amani

    • @newtonmutea
      @newtonmutea 11 หลายเดือนก่อน +24

      He spoke nothing. We are good in kenya. Speak for yourself not the 53 million you allude to

    • @MidahRosa
      @MidahRosa 11 หลายเดือนก่อน +6

      Stop being delulu😏

    • @rashidibrahim4083
      @rashidibrahim4083 11 หลายเดือนก่อน +12

      as a kenyan, you should be ashamed of yourself.

    • @undergroundgoat4717
      @undergroundgoat4717 11 หลายเดือนก่อน +4

      speak for yourself.uselss man

    • @BaronKavashia
      @BaronKavashia 11 หลายเดือนก่อน +20

      @@rashidibrahim4083 I am ashamed of being a Kenyan at this point. You are right on that one atleast

  • @collinskenya3630
    @collinskenya3630 11 หลายเดือนก่อน +61

    Wasanii wote ni chawa wa serikali kasoro Nay wa Mitego🔥🔥🔥, Kenya tupo locked hapa,touch💪💪💪💪💪

    • @ramadhankwilasa2371
      @ramadhankwilasa2371 11 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅 Wewe umeamua kuweka wazi sasa

    • @mohakitsao1918
      @mohakitsao1918 11 หลายเดือนก่อน +1

      Waunguza kaka iyo ni siri

    • @DennisMuti-ls3ys
      @DennisMuti-ls3ys 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ile kitu hamjui ni kuwa huu jamaa anatusi si wakenya

    • @collinskenya3630
      @collinskenya3630 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@DennisMuti-ls3ys matusi vitu kawaida ,sisi hatuabudu viogozi wasipofanya walioahidi,tunawatusi vilivyo

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 11 หลายเดือนก่อน +1

      Na roma2

  • @LizyDavoice
    @LizyDavoice 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sana ney bungen Kuna kuhusu mtetez Wa watanzania mpaza saut wetu mungu akuweke

  • @JameswisdomBanda
    @JameswisdomBanda 11 หลายเดือนก่อน +231

    Walia rudia hii nyimbo tujuwane kwa likes 👍

    • @hassanbaruti4017
      @hassanbaruti4017 11 หลายเดือนก่อน +2

      Mara ya 5 naisikiliza

    • @Lumegilemukata
      @Lumegilemukata 11 หลายเดือนก่อน +3

      Mara ya 10 sasa

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 หลายเดือนก่อน +2

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      aimbe Ney like upewe wewe.
      acha ushamba wewe 😏

    • @LucasGabriel-o3p7v
      @LucasGabriel-o3p7v 11 หลายเดือนก่อน

      Mm mara 20

    • @ngambikomsu64
      @ngambikomsu64 11 หลายเดือนก่อน

      Nimemsikiliza mara 9 Ney anajua, anajua, anajua tena

  • @igiranezablaise4399
    @igiranezablaise4399 11 หลายเดือนก่อน +94

    Ma fans wa Nay kutoka burundi🇧🇮 dondosha like tujuane

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 หลายเดือนก่อน

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      aimbe Ney like upewe wewe.
      acha ushamba wewe 😏

    • @aboubakarirakoze7611
      @aboubakarirakoze7611 11 หลายเดือนก่อน

      Pamoja
      Sana

    • @jenahando2747
      @jenahando2747 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@officialkamdudu kwani kulikuwa na haja ya kumtukana mwenzio. Kama hutaki kumpa like si usepe kimya kimya!

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 หลายเดือนก่อน

      @@jenahando2747 sometimes inabidi utukanwe ili uache ushamba

    • @igiranezablaise4399
      @igiranezablaise4399 11 หลายเดือนก่อน

      @@jenahando2747 achananae mwanangu👊 watu kama hao sio frexh kujibizana nao. pingine sio wazima🧠

  • @shaniceshijedi8083
    @shaniceshijedi8083 11 หลายเดือนก่อน +32

    Hahaha wakenya pigeni like hapa tumepigwa kitu kizitoooo waaah

  • @WolfBoy-u3c
    @WolfBoy-u3c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahah wambie mr Nay napenda vitu vyako sana ila na mimi natamani kuwa kama wewe naomba connection

  • @mikearon2666
    @mikearon2666 11 หลายเดือนก่อน +27

    Zile shida waTZ wanapitia ni sawa na zetu huku Kenya.

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 10 หลายเดือนก่อน

      Ujuaje wallai nikweli 😢mateso yamezidi

  • @nicholasmuli775
    @nicholasmuli775 11 หลายเดือนก่อน +7

    Asante Nay kwa huu wimbo maana huku Kenya 🇰🇪 tunavumilia kua Wakenya Ruto you have made us a laughing stock to our neighbours with your Taxes on everything umezidi bwana Zakayo na ni mwaka tu umemaliza tunaumia hivi je iyo miaka mitano au kumi Kenya yetu utakua umeifanya iko vipi

  • @bagdonenoch5088
    @bagdonenoch5088 11 หลายเดือนก่อน +84

    Naaminia kamanda 😎, huyu mwamba kweli🫂. Kama waikubali nipe LIKE mzee 😂 😂

  • @KhabilMtumwa
    @KhabilMtumwa 8 หลายเดือนก่อน +6

    Gonga like

  • @exsonmwakalobo8865
    @exsonmwakalobo8865 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nakubali sana kaka mkubwa mimi tu ombi langu mungu asikupungukie kukulinda bro sisi watu wako tunakupenda sana

  • @mondigugo4392
    @mondigugo4392 11 หลายเดือนก่อน +15

    Mwanetu wewe roho yako inatakiwa ukaishi TALEBAN maana uwogop kabisa tusemeeee mzeee big up

  • @eddieoduor
    @eddieoduor 11 หลายเดือนก่อน +8

    Kenya nchi yangu....aibu ya Jumuia kweli !!!
    Nay umegonga ndipo!!! Ipo siku....ipo siku...

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 10 หลายเดือนก่อน +10

    Hiyo nchi wasanii wotee ni machawa wa serikali isipokuwa mmoja tu🤣🤣🤣🤣 nipeni like Kwa hili jamani

  • @digitalworld5577
    @digitalworld5577 11 หลายเดือนก่อน +10

    Nani amesikia “kuna mabinti wasomi na wanategemea uchi”🙌🏽🙌🏽

    • @Create-d6i
      @Create-d6i 11 หลายเดือนก่อน

      Masocialite and university girls chasing wazee sponsors such a sad country our 254. Air bnb ndio zao kuchinjwa kila siku.

  • @besteva499
    @besteva499 11 หลายเดือนก่อน +35

    Mziki kama huu nikuwupa sapotii kwamusani anaye imba vyakuereweka kama huu mwamba ney wamitego big up ney hapa bongo nawa kubari ww na roma ❤😂😂❤❤❤❤ wana manzese show love here❤❤❤❤

  • @malikaAmina-o8s
    @malikaAmina-o8s 11 หลายเดือนก่อน +25

    "Wananchi hawasikilizwi wanalia na Mungu wao💀."Men that hits hard

  • @TynaKabuka-w8i
    @TynaKabuka-w8i 3 หลายเดือนก่อน

    Munguu akuongezee ujasilii uwee na msimamoo wakusemaa na zaid y hayoo..pengen tutailinda nchi yet

  • @ansigar1997
    @ansigar1997 11 หลายเดือนก่อน +16

    Hongera sana Nay Wa Mitego kwa utunzi mzuri wenye uhalisia ktk maisha tunayoishi.

  • @richardagama6862
    @richardagama6862 11 หลายเดือนก่อน +5

    mwamba kadondosha dude tena,,,yaani hapo nchi inayoitaja braza ni tz tu hamna ingine,asante sana #Nay kwa kuendelea kuwasemea wanyonge🔥🔥🔥🔥

  • @lengoniankid7149
    @lengoniankid7149 11 หลายเดือนก่อน +174

    Jamaaa kaimba kinaya kama ushamuelewa nipe like😂😂😂😂

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu jamaa 😂😂😂

    • @SalumMfaume-on2ks
      @SalumMfaume-on2ks 11 หลายเดือนก่อน +2

      unajiamin kinyama

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 หลายเดือนก่อน +2

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      aimbe Ney like upewe wewe.
      acha ushamba wewe 😏

    • @lengoniankid7149
      @lengoniankid7149 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@SalumMfaume-on2kskabisa

    • @lengoniankid7149
      @lengoniankid7149 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@officialkamdudukenge tena haya pole boss

  • @elishapeter6887
    @elishapeter6887 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur brow ney wamitego wew Ni jasiri Sana mungu akulinde uishii zaidi ya uzee itabidi miaka kadhaa mbele ugombee uraisi Tanzania

  • @Princekivufiesta
    @Princekivufiesta 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo nchi ni Congo 🇨🇩, " wana inchi wana lala Mika na raisi ana lala mika, wote mwizi wana mjua, ila wanaogopa Ku mshika" Vraiment rien que la vérité, courage mon artiste préféré .

  • @SindarubazaCherejiyo
    @SindarubazaCherejiyo 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nay pa moja sana

  • @omaribrahim8900
    @omaribrahim8900 11 หลายเดือนก่อน +94

    This song talks about real things that society is suffering from. Kenyans should understand their real situation

  • @amosjulius7935
    @amosjulius7935 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yap!.. ORIGINAL VOICE OF NATION
    Yani Goma halichoshiii kisikikiza Bana...NY..Tupia Maweeee hata wakikataa kutoaa Shoooooow TH-cam Ipooooooo🎉🎉🎉🎉🎉...Yani Ni Utataaaaaaaa#

  • @kevinkyalo9331
    @kevinkyalo9331 11 หลายเดือนก่อน +38

    Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya our country

    • @siddyoneonlinesi5433
      @siddyoneonlinesi5433 11 หลายเดือนก่อน

      Tanzania ndio wanatabia hii Kenya raha mnakula

    • @NGAWIPA24
      @NGAWIPA24 8 หลายเดือนก่อน

      Daaaaahh japo nimekuwa wa mwisho kuiona hii nyimbo ila basi NAWAOMBA mnipe basi japo like kumi tu jamani

  • @emmanuelryoba5697
    @emmanuelryoba5697 11 หลายเดือนก่อน +12

    ni hapa hapa bongo wasanii wote ni chawa kasoro TRUE BOY❤‍🔥❤‍🔥💪

  • @alexmathias6620
    @alexmathias6620 11 หลายเดือนก่อน +9

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 oya true boy lete Mambo mda umepita sasa tunataka nyundo nyingine Lin itatoka najua basata kwa sasa macho kwa you tube kumsubilia True boy kua anakuja na lipi 😂😂😂😂😂😂😂 sihami bongo kwa sitahili hii aise

  • @TumboMaka-y9d
    @TumboMaka-y9d 3 หลายเดือนก่อน

    True boy ndo msanii ambae niliapa pindi nikija dar lazima nionane nae lakn bado sjamuona ww ni mwamba big up

  • @rqquotes9574
    @rqquotes9574 11 หลายเดือนก่อน +10

    Huwezi kuielew kama utaisikiliza mara moja, ubunifu mkubwa sana umefanyika🎉💯

    • @ramadhankwilasa2371
      @ramadhankwilasa2371 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa unatakiwa umakini mkubwa sana

    • @AnuarySuleymani
      @AnuarySuleymani 11 หลายเดือนก่อน

      Sahihi kabsaa hii n tz baba

    • @ShabaniNtegwa
      @ShabaniNtegwa 11 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 11 หลายเดือนก่อน +7

    Hii imeendaaa kabisa! Ileeee number 1 trending... 🎉🎉

  • @tithomhagama
    @tithomhagama 11 หลายเดือนก่อน +37

    Hii ngoma ngumu sana ina kila Kitu🔥 na ujumbe umewafikia walengwa pamoja sana #Nay

  • @KideliMalanda
    @KideliMalanda 3 หลายเดือนก่อน +2

    Itakua tanzania aiseee

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 11 หลายเดือนก่อน +22

    HUYU Jamaa ni hatari sana yaani mrithi Bora wa Professor JAY Tanzania... NAY unafaaa SANA.

  • @danielmauti2180
    @danielmauti2180 11 หลายเดือนก่อน +142

    Kenyana give Nay 57m likes the guy is a gem,pure literature.

    • @margaretmwajuma9253
      @margaretmwajuma9253 11 หลายเดือนก่อน

      Hiyo nchi kupata kazi ni utata....kuna matata kibao! I love the lyrics🎉🎉

  • @quintinmbwaiki1268
    @quintinmbwaiki1268 9 หลายเดือนก่อน +6

    kaka saluti kwako umetumia akili nyingi sana kwenye huu wimbo

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 3 หลายเดือนก่อน

    Duh big up sana rais wa kitaa toa like yako hapa chini kama umeguswa na wimbo wa mwamba

  • @patrickambale4582
    @patrickambale4582 11 หลายเดือนก่อน +40

    This is what differentiate Nay from others. Everyone can listen and understand the message. Your songs will inspire many generations to come. Keep on speaking on our behalf Big bros. Big up and much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nakurutoday
    @nakurutoday 11 หลายเดือนก่อน +128

    as Kenyans , we received this song with both hands. It's speaking on our behalf. Thanks.
    (Unfortunately, I don't know how to express myself in Swahili for you people to understand. I know kingereza kwenu ni kizungumkuti)

    • @nakurutoday
      @nakurutoday 11 หลายเดือนก่อน +9

      @@AK-op1oz you have a very low sense of humor

    • @shekinahrwabyo8150
      @shekinahrwabyo8150 11 หลายเดือนก่อน +4

      Wewe ni mtata kama wimbo wenyewe.
      😂😂😂

    • @peterliseche7687
      @peterliseche7687 11 หลายเดือนก่อน

      Hii ni utata kizungumkuti

    • @DanielChaula
      @DanielChaula 11 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ni kiswahili mtupu😂😂😂

    • @derrickmutuma7185
      @derrickmutuma7185 11 หลายเดือนก่อน

      We did not. This song better reflects Tz than Kenya.

  • @kuluthumuzalari
    @kuluthumuzalari 11 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤❤❤, Magu tutakukumbuka sana,Maana siku hizi Nchi yetu kila kitu O.

  • @hassansemwali8470
    @hassansemwali8470 3 หลายเดือนก่อน +1

    kaka ney mungu yupamoja na ww imba muziki

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nisipokoment kwa ndugu yangu ntakuw mnafiki Asante kwa massage! Tunaijua hyoo!

  • @NGABO-f3q
    @NGABO-f3q 11 หลายเดือนก่อน +7

    Kutoka Burundi🇧🇮 nakuamini sana Mr. Nay. Heshima yako juuu. Hauimbii Tanzania tu Bali East na Africa nzimaaa🎉🎉

  • @margaretmwajuma9253
    @margaretmwajuma9253 11 หลายเดือนก่อน +3

    I cant stop replaying this song! Hongera sana kwa ngoma kali tena sana

  • @FlorahSelemani
    @FlorahSelemani 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hiii noma wadau

  • @holyjoemusiq3805
    @holyjoemusiq3805 11 หลายเดือนก่อน +67

    Am a Kenyan but this is the bitter truth......Nay you are on point

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 11 หลายเดือนก่อน +4

    mr nay big up Sana 💪 broo ukiimbaga za kbembeleza nono iz ndyo kia dikoo

  • @riskey1999
    @riskey1999 11 หลายเดือนก่อน +17

    hii ni ukweli twamjua mwizi ila twamwogopa...makosa ni sisi wenyewe....nasema nakuballi usemayo NAY....kenyans believing me nipeeni likes

  • @saidbabaali9082
    @saidbabaali9082 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nay hiyo inchi naona ni hii yetu +254 n dis track bt ni moto sana tumekubali mzee baba bigup

  • @Karolk-wt8ib
    @Karolk-wt8ib 11 หลายเดือนก่อน +13

    Mi ni mkenya na huu ni ukweli . Lakini hapo Kwa single mothers umekosea nobody wants to be a single mother but mambo mingi inachangia yenye huwezi ukaelewa . Asante sana Nay kwa kuona shida zetu .Tuombeeni 😢

    • @youngmasta5444
      @youngmasta5444 11 หลายเดือนก่อน

      Nay kaisema tz naco kenya nyie hamjui fasihi???

    • @PeterMgonja-u1m
      @PeterMgonja-u1m 11 หลายเดือนก่อน

      Tatzo wakenya muelewag kiswahili wala mafumbo mjasemwa

    • @Kuzarmusic
      @Kuzarmusic 11 หลายเดือนก่อน

      ​​@@youngmasta5444 hizi shida hazipo huku tu, ndo maana ya sanaa inagusa kote

  • @richardntelika7571
    @richardntelika7571 11 หลายเดือนก่อน +64

    Pure Truth, Kenya is the whole story, Appreciated Mr Nay for speaking this 😢

    • @salimkheri
      @salimkheri 11 หลายเดือนก่อน +3

      ametunasa hapa😅

    • @echoesOfCreation-f2w
      @echoesOfCreation-f2w 11 หลายเดือนก่อน +4

      I also think this is kenya

    • @aliceogeto9240
      @aliceogeto9240 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@echoesOfCreation-f2w ni tz govt

    • @josephlyakurwa
      @josephlyakurwa 11 หลายเดือนก่อน +4

      I think it's a story of entire Africa

    • @254AfterDark
      @254AfterDark 11 หลายเดือนก่อน +1

      this is not even about kenya

  • @spiritedroamer
    @spiritedroamer 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nimepata jibu! Huko ni Kenya.

  • @FabianEric-i8c
    @FabianEric-i8c 3 หลายเดือนก่อน

    True boy ...... Rais wa kitaaa amesema kweli safi @The street President. Hongera kwa ili chupa. Umeongea kwa niaba yetu Wananchi

  • @Blaq-i
    @Blaq-i 11 หลายเดือนก่อน +5

    Napenda tz hiphop wanavyo angazia maswala yanayo athiri jamii. Kenya tujifunze. Much respek Nay

    • @eunicejune5849
      @eunicejune5849 11 หลายเดือนก่อน +1

      Nani ukasema wewe ni mkenya hata kiswahili yako Ina onyesha tu wewe ni m bongo my friend hiyo rispek yako ni respect not that one you are addressing us with I'm sorry I rest my case😊😊

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@eunicejune5849acha ujuaji na wewe kwan Mombasa hawaongei kiswahili kizuri? Hata hivyo Mombasa ilikuwa pwani ya Tanzania ndomana wanaongea kiswahili kizuri sio kama yale makenya ya sheng kutoka Nairobi

  • @hotnewsprovider254
    @hotnewsprovider254 8 หลายเดือนก่อน +14

    Mwanangu Hio Nchi ni yetu, Kenya

    • @yamungungendu4839
      @yamungungendu4839 7 หลายเดือนก่อน

      Ata Kwetu Tanzania ni hayo hayo..ndiomana Ney kaamua kuimba

  • @RobaahKauruo
    @RobaahKauruo 11 หลายเดือนก่อน +51

    True Boy in the Building.Mr Nay salute ma bradda.Love and Respect from MERU KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Wameru wenzangu Muugeni.Nay to the World.Alafu MR T TOUCH drilled the BEAT

    • @vi3ayo1622
      @vi3ayo1622 11 หลายเดือนก่อน +5

      Meru si ipo arusha na Kenya inapatikana😂

    • @RobaahKauruo
      @RobaahKauruo 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@vi3ayo1622 Wameru Wa Tz wanazungumza lugha ganii? Wameru Wa Kenya Ni Kimeru

    • @iangitonga8927
      @iangitonga8927 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ikwega Master

    • @mauricejuma1468
      @mauricejuma1468 11 หลายเดือนก่อน

      Fala hii ambia babako na watu wa kwenu wamsupport mimi hapa namskia Bien nikiwa jaba

    • @MisifaNelly
      @MisifaNelly 11 หลายเดือนก่อน

      ʙʀᴏ ᴡᴇᴘᴜᴍᴜᴀ ᴛᴜ sᴇᴍᴀ ɴɴ ɴᴀᴏᴍʙᴀ ɴᴀᴍʙᴀ ᴍᴍ ᴘɪᴀ ɴɪ ᴍᴘɪɢᴀ ᴘᴀsɪ ᴢɪʀɪᴢᴏ ᴋᴜғᴀ ʏᴀɴɪ ғᴀᴜʟᴏ🎤🎧🎤🎤🎤😀😀😀

  • @BrightnessMangowi-tb9xk
    @BrightnessMangowi-tb9xk 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pls don't ever change Nay....we need more people lyk you

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hiii Kali Kenya respect rais wa mitaa ney wa mitego go baba

  • @Zadig_Le_Juste
    @Zadig_Le_Juste 11 หลายเดือนก่อน +60

    I'm not Tanzanian but this guy is very intelligent.He has a critical spirit .Love you from 🇧🇮

  • @dianawangechi101
    @dianawangechi101 11 หลายเดือนก่อน +134

    Ruto has made Kenya the punching bag among our neighbors

    • @GabrielJuma-h2d
      @GabrielJuma-h2d 11 หลายเดือนก่อน

      Stop your lies here it’s not only ruto, he is doing what the other big thief has been doing the Uhuru Kenyatta the con, tribal, corrupt, the thief and murderer, so close you big baggy mouth and once in your life talk the truth they the kalenjins and the Kikuyus have made Kenya the worst country ever in the planet and that’s the truth and you will never agree, you will say am racist. Remove Kikuyus and kalenjins in all sectors of public service and Kenya will be great

    • @maryamhussein4227
      @maryamhussein4227 11 หลายเดือนก่อน +8

      Shame on him, he has failed us

    • @ramadhanmkoka444
      @ramadhanmkoka444 11 หลายเดือนก่อน +2

      Huyo msanii ambae yuko against others ni nani?

    • @lenardkatundu1906
      @lenardkatundu1906 11 หลายเดือนก่อน +14

      I really wish you understood Nay's song coz he's not singing about Kenya. Unfortunately most african countries are governed the same.

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 11 หลายเดือนก่อน +9

      NOT KENYA, HE ALWAYS SINGS WELL ABOUT OUR COUNTRY,,,, HE TALKS FOR THE WHOLE NATION OF TZ 💪🏿💪🏿

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu utabaki kwenye mioyo ya Watanzania vizazi na vizazi hongera sana Ney umeuachia kwenye wakati muafaka.

  • @Jenniejws
    @Jenniejws 11 หลายเดือนก่อน +7

    Rais wa kitaa haujawahi kuzingua ila salute kwako na ujumbe umefikaa✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 11 หลายเดือนก่อน +17

    Rais wa Kitaa, hujawahi kutuangusha wananchi wako wa mtaa. #TrueBoy

    • @vinyoxy5057
      @vinyoxy5057 3 หลายเดือนก่อน

      🔥

  • @khassimjumanne3813
    @khassimjumanne3813 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka sisi hatukupingi aseee🔥🔥🥶🔥🔥🔥🔥

  • @MashakaLumwecha
    @MashakaLumwecha 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan wakizingua. Kuwachana kawaida tena hapo umewasamehe saaaan!

  • @TEYGA_DON
    @TEYGA_DON 11 หลายเดือนก่อน +21

    Aliorejea huu winbo mara mbili like tujuwane

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 11 หลายเดือนก่อน +8

    Message delivered to KENYAAAaaa

    • @henemwamboja5749
      @henemwamboja5749 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo watu wanaelewa kupitiliza. Nchi yoyote yaweza kuwa. Sio Kenya Tu. So hawaongelei wakenya pekee.

  • @nasarostudio2008
    @nasarostudio2008 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nimesikiliza nyimbo zangu nyingi hii umetisha saanaaaaa, hii ndo inaitwa fasihi, Ngoma Kali kuliko zote ulizowahi kutoa, big up sana, ufundi mwingi mnooooooo🎉🎉🎉🎉

  • @Usam.Ally01
    @Usam.Ally01 2 หลายเดือนก่อน

    Nchi gani hiyo. Jamani . Mbone kama nchi hiyo ni 🇨🇩. Any Congolese here.

  • @muddytzmk3339
    @muddytzmk3339 10 หลายเดือนก่อน +78

    Umetumia akili nyingi Sana ila hio inchi nimeshaijua na wewe Kama umeijua gonga like hapa👎

    • @stanleymanya438
      @stanleymanya438 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @giftladis
      @giftladis 9 หลายเดือนก่อน

      Nchi yngu jamanii imeanzwa kuchekwa 😭 MUNGU angalia nchi yanguu 🇨🇩

    • @THE-HIGHWAY-VOICE
      @THE-HIGHWAY-VOICE 9 หลายเดือนก่อน +2

      si siri tena io inchi ni yangu..kenya na siogopi kusema io inchi ni kenya..

    • @AbuodSeleman
      @AbuodSeleman 3 หลายเดือนก่อน

      😅kwa kisimu kazi😂😂😂😂😂

    • @Peter-hb5cn
      @Peter-hb5cn 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅daaa

  • @moamed1238
    @moamed1238 11 หลายเดือนก่อน +38

    2024 level made it congratulations 🎊 👏

  • @johnbekker7819
    @johnbekker7819 11 หลายเดือนก่อน +26

    Big up for spitting out the truth about our Kenya. Only the big guys are deaf, can't hear a thing

    • @weizsymo6257
      @weizsymo6257 11 หลายเดือนก่อน

      Wakenya mnamatatizo ya hakiri,hii nyimbo haiwahusu. Mmesikia anaongelea nchi jiran mkajiweka hapo? Hiyo inaitwa tafusida.jifunzen kiswahili

  • @Lanesra049
    @Lanesra049 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wasanii wote ni chawa wa serikali kasoro mmoja naye anapigwa vita vikali
    As a Kenyan I confirm this is Erickaa Amondiiiiii

  • @Sarakasiworld
    @Sarakasiworld 11 หลายเดือนก่อน +67

    Khaligraph Jones look at what you did .. you don’t throw stones and you live in a glass house .. we need an artist in Kenya like fuckin Nay .. pure genius .. pure truth .. Kenya in the abyss ..

    • @rexxsimba
      @rexxsimba 11 หลายเดือนก่อน +4

      We have him already ...
      His name is **King Kaka** ...
      Go and listen to track ... "WAJINGA NYINYI" ...

    • @mghendipato
      @mghendipato 11 หลายเดือนก่อน +4

      Trust me this has nothing to do with the OG, Nay has been doing this ever since, he has mastered the art of painting the status quo in his musical lyrics, his message is about what is currently happening in most of the African Countries Kenya & TZ included

    • @newtonmutea
      @newtonmutea 11 หลายเดือนก่อน

      Stop simping

    • @GabrielJuma-h2d
      @GabrielJuma-h2d 11 หลายเดือนก่อน

      Kenyan artist are fake cowards pussies tribal thick in head no nothing but to sleep in bed with the corrupt politicians.

    • @Create-d6i
      @Create-d6i 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@rexxsimbathank you. Wajinga sisi i remember it so well.

  • @josephwairimu6222
    @josephwairimu6222 11 หลายเดือนก่อน +15

    Bonge la music... umeongea Ukweli hapa Kenya sio mchezo

    • @martohzack6491
      @martohzack6491 11 หลายเดือนก่อน

      lazima connection bana

  • @wainainawangai2539
    @wainainawangai2539 11 หลายเดือนก่อน +4

    Just crying for my country Kenya, truth hit right. Thanks Nay.

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks mr true boy,tulihitaji huduma yako muda huu🫶🏼god bless you

  • @dieumesikuli5124
    @dieumesikuli5124 11 หลายเดือนก่อน +4

    Iyo inchi ni Drc 🇨🇩, nay iii ni hit ya kweli 🎉❤

  • @DanielMbaulaBenjamin
    @DanielMbaulaBenjamin 11 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤Nimechelewa ila nmesika aawe wapi huko🔥🔥Nay kama Nay.

  • @Evaristibahati2004
    @Evaristibahati2004 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nakukubali sana bro uko vizuri🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HassaniUlenge-j5j
    @HassaniUlenge-j5j 4 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri nay endelea kusemea wananchi kwa njia ya muziki uenda nchi ikapona

  • @kilatyaerick
    @kilatyaerick 11 หลายเดือนก่อน +67

    This guy never dissapoints....he delivers msg..

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 11 หลายเดือนก่อน +10

    Alie rudia mara 10 gonga like hapaa

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 11 หลายเดือนก่อน +34

    Together we can This is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 3 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo imenitoa machozi. Ney umetisha