Nawe umeota ndevu unawatukana MABODYGUARD Nay wa Mitego Njoo hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2019
  • #NaywaMitego #BongoTouch
    Please subscribe now on our TH-cam channel to be the first to hear about the latest news and updates on time.

ความคิดเห็น • 428

  • @stephanomaswagaa4860
    @stephanomaswagaa4860 4 ปีที่แล้ว +31

    Kama unaamin bongo touch mafala gonga like here

  • @jonsonijemes1727
    @jonsonijemes1727 4 ปีที่แล้ว +2

    kataa naiyoo ney jembe kama unaamini ney haongop kima full like apo ndichi

  • @georgechibai2716
    @georgechibai2716 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwangu mimi sijui ugomvi ulitokea wapi bali napenda kusema tu tuheshimu kazi ya mtu coz hiyo ndiyo inalisha yeye na familia yake. Hata wewe Nay wa Mitego, sidhani utasikia vyema iwapo tutasema "wasanii ni wahuni, malaya, mateja na wanapenda kuishi fek life!!!!" Hiyo ni dharau kubwa kwa wasanii na hivyo basi hata wewe heshimu kazi ya mwenzako kama vile tu wewe ni kioo cha jamii. Nakuheshimu sana Nay kwa utunzi wako mzuri bali hapa ndugu yangu haukutendea binadamu mwenzako na mtafutaji kama wale wengine haki ili watoto wao wawe vizuri kwa maisha. Watoto ambao babazao ni mabodyguard watakuchukia bure na ni vyema utafakari sana kile ulichokisema, si kizuri. Hata anayefanya kazi ya chura na kulipwa $70 kwa mwezi ni bora tu kuliko kukaa nyumbani na kuwa mwizi ama changudoa. "Heshima ya mtu ni utu na hata yule mtukutu usimuone kiatu."

  • @manduvujege7747
    @manduvujege7747 4 ปีที่แล้ว +2

    Ongeraa saaana chibu dangotee unapenda maendeleo ya vijana wenzakoo Big Up saanaa

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว +19

    Hata.wanao.mlinda.rais
    Ni.mabossa.nay.vizuri.umeongea. true story about life

  • @user-hn4rq1mt4u
    @user-hn4rq1mt4u 6 หลายเดือนก่อน

    hongera sana kwako bro baunza unatambua umuimu wa mtu Mungu akusaidie

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 4 ปีที่แล้ว +4

    Like yako tafadhali .....kama umegundua jitu LA ni muoga ...

  • @MjusSlam
    @MjusSlam 4 ปีที่แล้ว +171

    kama unaamini ma bounce wote wanahongwa na bia gonga like.
    true boy

  • @isayakombe1057
    @isayakombe1057 4 ปีที่แล้ว +83

    Kama unaamini bongo Touch ni boya gonga like nyingi hapa

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond Mungu akubaliki xana brother kwa kuwa inua vjana

  • @maxfaida6237
    @maxfaida6237 4 ปีที่แล้ว +12

    Haya maisha mabaya sana,,,Mjue sana Mungu ili amani iingie

  • @dulaydulay4126
    @dulaydulay4126 4 ปีที่แล้ว +24

    We neema huna lolote. Kaondoka kwako, ndio unaongea ujinga huo. We nani mpaka umpige mkwala. Usimtishiye mwanaume mwenzako.

  • @yohanamollel988
    @yohanamollel988 4 ปีที่แล้ว +7

    Upuuzi tu unaongea mwanangu so big up Mr True boy

  • @Would436
    @Would436 4 ปีที่แล้ว +7

    Namukubali san jitu lakale ila siyo vizuri Ney wamitego 😭

  • @jumamohammedjumaa8741
    @jumamohammedjumaa8741 4 ปีที่แล้ว +7

    Saw kk

  • @isacoscar6777
    @isacoscar6777 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa linafurahisha sana kweli bia tamu sanaaaaa😂😂

  • @kakagonza8954
    @kakagonza8954 4 ปีที่แล้ว +1

    Goood jitu la kale

  • @maxozone3762
    @maxozone3762 4 ปีที่แล้ว +2

    Msema kweli ni kipemzi cha mungu ,,,na penda ukweli wako

  • @evaristlucas6338
    @evaristlucas6338 4 ปีที่แล้ว +1

    Na mm ni jitu la kale namba 2 i like that name

  • @sayikija400
    @sayikija400 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbona hii habari ni kama maji na mafuta haziendani na cover yake,tafuteni habari na muzitoe kiufasaha.

  • @leahmwaikenda2718
    @leahmwaikenda2718 4 ปีที่แล้ว

    kweli we we jitu LA kale umenena kwa busara nzuri sana

  • @mkwenyachristopher9310
    @mkwenyachristopher9310 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakubar xaaana Ney wa mitego
    Unaongea powaaah kabixa hahaha

  • @yusuphjonathan8592
    @yusuphjonathan8592 4 ปีที่แล้ว

    Kaz n kaz Tata pga kazi

  • @juliethjackson1047
    @juliethjackson1047 4 ปีที่แล้ว +153

    anaye muunga nay mkono gonga like

    • @evancswai6199
      @evancswai6199 4 ปีที่แล้ว +3

      Ney hajaongea vibaya kaongea point kubwa sana wanaomaindi hawajaelewa

    • @evancswai6199
      @evancswai6199 4 ปีที่แล้ว +1

      Kusema kweli hatuogop

    • @rkplatnumzplatnumz4603
      @rkplatnumzplatnumz4603 4 ปีที่แล้ว

      julieth jackson choko Tu

    • @butlermelia7955
      @butlermelia7955 4 ปีที่แล้ว

      Mimi binafsi simuungi mkono ney wa mitego,Amedhalilisha Mabaunsa!lugha alioitumia inaleta ukakasi!Nikweli tuna uhuru wa kuongea lkn tuweni nakini natunachokiongea au kukiposti"kwa maneno yako utaesabiwa HAKI na kwa maneno yako UTAHUKUMIWA"

    • @butlermelia7955
      @butlermelia7955 4 ปีที่แล้ว

      Ramadhan aldawiyya From Zanzibar. ..U super star usitupe Kibali cha kuongea UTAKACHO hata kama ni Udhalilishaji/upotoshaji...

  • @malekangunza8609
    @malekangunza8609 3 ปีที่แล้ว

    Good Sana ney ney Ana chukiwa kwa sababu Ana ongea ukwer ukwer una uma Sana ira kumbuka Kama umejisahau unakumbushwa arafu vilevile no faida kwao

  • @jeremialauden5710
    @jeremialauden5710 4 ปีที่แล้ว +1

    True boy

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 4 ปีที่แล้ว +25

    Kaka mstarabu anaongea vizuri Kwa utulivu. bila jazba pamoja na kashifa zote.

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 4 ปีที่แล้ว +8

    Achen ufala bongo lalaaaa nyie picha ya rais na bordguard wake imehusikaje apo 🙄

  • @evodiusmbilla
    @evodiusmbilla 4 ปีที่แล้ว +6

    Mabaunsa nao wanatafuta rizki, si vyema kuwabeza katika njia zao za utafutaji. Sote hatuwezi kuwa na njia moja ya kuipata rizki. Diamond help them so that they can support their family

  • @lucasgasper5235
    @lucasgasper5235 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama umemuelewa bausa Chibu analipa mkwanja na

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 4 ปีที่แล้ว +1

    Ji2 la Kale 2ko pamoja brother

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha nay bhana!!

  • @andrewmaganga704
    @andrewmaganga704 4 ปีที่แล้ว +3

    Masasi mwaka 2011 nilikuepe br bar na eneo jingine ilikuwa ni jibo bar.

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว

    THE BIGGEST BOSS NASRI TV

  • @mkamambusi1319
    @mkamambusi1319 4 ปีที่แล้ว +43

    nyie siku zote mtakuwa wasenge ney hana kosa mbali yuko tetea kimbalua chenu ila we uko na bifu na mr nay

    • @muhidiningamba6662
      @muhidiningamba6662 4 ปีที่แล้ว +2

      Sasa uyo unayesema anatetea yey ndo mnyonyaji anamzungusha mtu anamlipa elfu10 wabongo bhana kwa kutetea ujinga tuko vizuri

    • @laurentiprochesi1197
      @laurentiprochesi1197 4 ปีที่แล้ว

      Gd

  • @jamesnangachi1411
    @jamesnangachi1411 4 ปีที่แล้ว +114

    mafala nyie yaani mnatuwekea picha ya rais kuwa anamfokea ney, kumbe ni huo ujinga wenu huo, shenzi zenu mnatupotezea muda

  • @jacksonkabaata6011
    @jacksonkabaata6011 4 ปีที่แล้ว +11

    Kama umesikia baunsa kasema sio hela ndoro gonga like 😂

  • @josephatkital8163
    @josephatkital8163 4 ปีที่แล้ว +2

    Mabausna gan wanalinda kwabia

  • @kyenseclarence7866
    @kyenseclarence7866 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa kaongea ukweli m2pu, ni wachache wanaoweka wazi uhalisia wao, big up @ jitu la kale

  • @norbertmapesa6296
    @norbertmapesa6296 4 ปีที่แล้ว +27

    Team Ney Tugonge

  • @westsidetv6837
    @westsidetv6837 4 ปีที่แล้ว +5

    The true boy in the building

  • @ystv8283
    @ystv8283 4 ปีที่แล้ว +2

    We fala

  • @munamajid2327
    @munamajid2327 4 ปีที่แล้ว +7

    ney we boya san

  • @allyemmanuel6512
    @allyemmanuel6512 4 ปีที่แล้ว +9

    Kaka nay kufanikiwa kwako isiwe fimbo kwa wenzio Angalia jinsi anavyo Ongea mwenzio jilekebishe kaka one day Aya maisha yana mwisho wake

    • @geofreymsengi9971
      @geofreymsengi9971 4 ปีที่แล้ว

      Kweli jamaa huyu Ni mstaarabu Mno hajapanic

    • @manasetandu4680
      @manasetandu4680 4 ปีที่แล้ว

      Ally Emmanuel acha ufala akili ndogo ndomaana huwezi kumwelewa nay

  • @helmankafuka6507
    @helmankafuka6507 4 ปีที่แล้ว +4

    Mm narud nyumbani saa 9

  • @divaifrank633
    @divaifrank633 4 ปีที่แล้ว +3

    Boby gady unaakili sana mi nimependa unavyo mthamini mtu

  • @mzeekhery2376
    @mzeekhery2376 4 ปีที่แล้ว +3

    Picha ya mweshimiwa nayo mnazingua

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 4 ปีที่แล้ว +20

    Basi mtafute kazi nyingine ya kufanya, maana hata mwarabu nae alisema wakati anafanyakazi kwa Diamond hajawahi kuwa na pesa Bank. Sasa yanini kujitutumua bila malipo.

    • @sospetersiame906
      @sospetersiame906 4 ปีที่แล้ว

      Hongereni kumtambua anaewajari

    • @ernestkimati9762
      @ernestkimati9762 4 ปีที่แล้ว

      Hawa wapumbafu sana,munatumia picha za rais kwa mambo yenu ya kipuuzi acheni ujinga wenu wa kibange wapuuzi nyie

  • @shafiiali6617
    @shafiiali6617 4 ปีที่แล้ว +2

    Mim maoni yngu sis binaadamu tunatofautiana kimipango na kimaisha kwahyo unacho kiona kiko sawa na kinaweza kukuletea ugali ulio halali ni vzur. Ila si vyema kujidhalisha kwa kitu

  • @ahmedrashid1625
    @ahmedrashid1625 4 ปีที่แล้ว +1

    Gonga like uyo jitu mwoga hahaha😁😁😁😂😂😭😨😨😨😅

  • @norbertmapesa6296
    @norbertmapesa6296 4 ปีที่แล้ว +32

    Kama Unaamini Saa Kumi sio Usiku Gonga Baunsa Huwez kulud Saa Kumi Nyumbn

    • @bantwagordon8362
      @bantwagordon8362 4 ปีที่แล้ว

      Kawaida maneno kwa binadamu ukifanya zuri watasema na baya ndio zaidi.

    • @asedimakame3106
      @asedimakame3106 4 ปีที่แล้ว

      Huyo baunsa bhana awez ogopa

  • @bernardmwangapile4045
    @bernardmwangapile4045 4 ปีที่แล้ว

    aha ahaa sema unataka diamond akwajili ndo maan unamfagilia

  • @rambetladisraus5317
    @rambetladisraus5317 3 ปีที่แล้ว

    Neyy noma

  • @geofreymsengi9971
    @geofreymsengi9971 4 ปีที่แล้ว +13

    Bounca anaongea vzuri Mno Ni mstaarabu

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 4 ปีที่แล้ว +25

    Kwa anaefaham kiswahili vzr, nay aliongea vzr sn, Ila ninyi mabaunsa mlitafsiri vibaya, yatawakuta

    • @matondomakela2905
      @matondomakela2905 4 ปีที่แล้ว

      Fuba Njenjele ney amekosea sana kumwambia mwenzko anafny kaz kw ofa ya bia c sahih kuna kaul za kuheshim ut

  • @regneralex819
    @regneralex819 4 ปีที่แล้ว +20

    Ney kaongea point yn

  • @ismailmdemu221
    @ismailmdemu221 4 ปีที่แล้ว +1

    mavi yenu mkome kumtumia rais kwenye usenge wenu hana muda n upuzi

  • @barakashayo2020
    @barakashayo2020 4 ปีที่แล้ว

    Noma Sana'a😂🤣

  • @hamisimapalala7709
    @hamisimapalala7709 4 ปีที่แล้ว +4

    Ney mshamba Sana , acha kuwaza maisha ya watu

  • @mugishazhefania2615
    @mugishazhefania2615 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe dh Ney fanya kwer

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 4 ปีที่แล้ว +2

    Ongeaa Md muhimuu sio unamsifia diamond tuu vipii

    • @adirikiharuna2236
      @adirikiharuna2236 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna asiependa kumsifu anaemjali.utakua uchoyo wafadhila.

  • @danielmachange964
    @danielmachange964 4 ปีที่แล้ว +1

    Ifike mahali tujitambue...Hiki mkifanyacho ni ujinga ulio pitiliza tena mnastahili hukumu kwa ujinga huu

  • @issazakaria9704
    @issazakaria9704 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama unaamin na unsubscribe bongo touch media gonga like hapa

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +3

    Asa police inafanya kazi gani??

  • @yohanandidi3373
    @yohanandidi3373 4 ปีที่แล้ว +1

    Acheni ujinga kuweka picha hausiki kikihizo zakishamba ney apewe pongezi samin kaziyenu

  • @wakalitanzaniawtzsivamusic6738
    @wakalitanzaniawtzsivamusic6738 4 ปีที่แล้ว +2

    Duu we nay

  • @cobabavaluu3795
    @cobabavaluu3795 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnayumba Sana lakni kuweni na msimamo boy

  • @fadhilidkadogokadogo2908
    @fadhilidkadogokadogo2908 4 ปีที่แล้ว

    Best naso

  • @kingsonkantona9753
    @kingsonkantona9753 4 ปีที่แล้ว +1

    Ugu gu channel ni mafalla ote

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 ปีที่แล้ว

    Bouncer amefurahi kupanda ndege

  • @tibonmbingi1082
    @tibonmbingi1082 ปีที่แล้ว

    Nay songa mbele fanya kazi achana na wakaanga chumvi km pesa ni zako na unajua umepataje anayetaka heshima akadai kwa familia yake,km fedha nae atafute zake km anaweza

  • @chrisjr4639
    @chrisjr4639 4 ปีที่แล้ว +2

    Baunsa kaingia ubaridi hahahaha

  • @kwetuarts
    @kwetuarts 4 ปีที่แล้ว +3

    Manina

  • @jumasaidi5760
    @jumasaidi5760 4 ปีที่แล้ว +1

    Aiwezekani kwa ney kuwahomba msamaa mmehadaliwa nyinyi

  • @frankkimario1999
    @frankkimario1999 4 ปีที่แล้ว +3

    Broo cjakuelewa.sanamu tenah.

  • @ramaninaujenzitz9395
    @ramaninaujenzitz9395 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa hana hasira na Nay wala matusi ya kurudisha kwa sababu moyo umejaza mengi mazuri ya Diamond, kwa kifupi Ney kaabika sana katika hili...

  • @philmonsylvanus3927
    @philmonsylvanus3927 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatari

  • @luckylazaro5374
    @luckylazaro5374 4 ปีที่แล้ว

    Kweli baba

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ata mm naweza kumiliki mabaunsa na kuwalipa posho zuri tu na wakafurahia maisha.

  • @salumnassoro7634
    @salumnassoro7634 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro unataka kuingia mziki wa true boy kama utamshinda basi tutakuchangia we jitu la kale alafu hao wana personal conflict wala hakuna kingine

  • @mussajumanne1694
    @mussajumanne1694 4 ปีที่แล้ว

    Ukisikia ujinga ndio huo huo ujinga sasa hata mkauweka kwenye midia unasaidia nini jamii zaidi ya ufala wenu

  • @user-xp4ll3ce1u
    @user-xp4ll3ce1u 4 ปีที่แล้ว

    Huyu nei wa mitego anachoyo sanaa yani sijui kaubwa vip

  • @hemedcassey6884
    @hemedcassey6884 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi mbwa wewe unamueka rais wa nchi kwa ishu ya kishoga..mamamayo

  • @lainoshababi7500
    @lainoshababi7500 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂ilo jmaaa limeishia ngumbalo yaani bia tuu linakesha hadi asubuhi

  • @juniorfulgence2469
    @juniorfulgence2469 4 ปีที่แล้ว

    True

  • @user-et4gu5xf2f
    @user-et4gu5xf2f 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo bouncer anaonekana ni bongo la mshamba,harafu kama anatafuta ajira hivi wasafi!!

  • @johnmaguchi7880
    @johnmaguchi7880 4 ปีที่แล้ว

    Nay uko vzr

  • @yasinimasimba2568
    @yasinimasimba2568 4 ปีที่แล้ว +7

    pumbavu zenu nyie mmenimalizia mb zangu bure mm nilijua muheshimiwa anamfokea ney kumbe bure kabisa sasa picha mmeweka ya nn sasa

    • @dullahbarca3279
      @dullahbarca3279 4 ปีที่แล้ว

      Wasenge kweli hawa

    • @emilydominick3123
      @emilydominick3123 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaha mwenyewe nilijua ivo makuma haya asee

    • @mudymudila6569
      @mudymudila6569 3 ปีที่แล้ว

      Omba kaz kwa jeshi harmoniz wana lipa cash siyo maneno

  • @edwardmagori6630
    @edwardmagori6630 4 ปีที่แล้ว +1

    Msimuunganishe mhe Rais kwenye upuuzi wenu.

    • @abdallahsaidi3709
      @abdallahsaidi3709 4 ปีที่แล้ว

      Wapuuz nyie mnaweka picha ya rais kujipandisha wekeni masura yenu ya jitu jeusu sio ya rais

  • @bonabonala8253
    @bonabonala8253 4 ปีที่แล้ว +25

    Ney yupo sahihi kuomgea hivyo

    • @reecemweneb6077
      @reecemweneb6077 4 ปีที่แล้ว

      Mabaunza msimchukiye ney anawateteya ninyi msichukuliwe powa.

    • @edsonbaitholomeo7414
      @edsonbaitholomeo7414 3 ปีที่แล้ว

      Nyie niwapumbav mnaweka mataila kwenye picha yalais

  • @babayao3791
    @babayao3791 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnatafunwa

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 ปีที่แล้ว +1

    HAWO MA BAUNSA WAMEKOSA KAZI ZA KUFANYA KWANI HILO NI JAMBO LA KUFATILIA MWAPENDA KUBAFILISHA MANENO SANA KAMA WANA WAKE AMA MUMEKOSA KAZI ZA KUWA LINDA WATU MJE MNILINDE MIMI NA SINA PESA KABISA BUREEE🇰🇪🇨🇿

    • @titteezj1907
      @titteezj1907 4 ปีที่แล้ว

      Jeshi lingewatumia hawa jamaa ili wapate kipato cha uhakika

  • @maranathaniko5650
    @maranathaniko5650 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kija

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 4 ปีที่แล้ว

    Ney wa mitego ni shogaaa kwelikweli

  • @braytonkilongosi4760
    @braytonkilongosi4760 4 ปีที่แล้ว +2

    Ney umewakosea sana mabaunsa

  • @hamisijuma294
    @hamisijuma294 4 ปีที่แล้ว +2

    Baunsa anasema ameshyne...sijui na ww umeskia!!!🙄...kama umeskia gonga like twende nalo...🤸‍♂️🏃‍♂️

  • @omarogog2480
    @omarogog2480 4 ปีที่แล้ว

    Lakini kweri mnakamata watu wanaogombania Mapombe kwenye Baaa Munawafananisha na Raisi wa inchi kweri nyie Mafara tu

  • @edgarosmund5798
    @edgarosmund5798 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaha

  • @bilaliadam1586
    @bilaliadam1586 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyie ma k