Nay wa Mitego Ft Raydiace - Nitasema(Official Music Lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025
  • เพลง

ความคิดเห็น • 8K

  • @NayWaMiteg
    @NayWaMiteg  3 หลายเดือนก่อน +3300

    Nitasema 💯✅

    • @IbrahimEmmanuel-y9g
      @IbrahimEmmanuel-y9g 3 หลายเดือนก่อน +29

      👑👑👑👑 tusemee laiss wetyu ney

    • @BenjaminTz-fg1lu
      @BenjaminTz-fg1lu 3 หลายเดือนก่อน +25

      Kaka nakubali sana wew ni bingwa lama bingwa🌹

    • @zodiacmmbaga9237
      @zodiacmmbaga9237 3 หลายเดือนก่อน +16

      Salute sana bro

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 3 หลายเดือนก่อน +7

      ❤❤❤❤❤❤

    • @KBOY-255
      @KBOY-255 3 หลายเดือนก่อน +10

      Sema baba 🫡🫡🫡🫡

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 3 หลายเดือนก่อน +588

    Ney nisipo sema wewe ni msanii bora tanzania,,takuwa sijakutendea haki,,wimbo nimeupenda

    • @JonasMbuyah
      @JonasMbuyah 3 หลายเดือนก่อน +4

      Wengi walio baki ni machawa tu.

    • @Rumaysaikrima
      @Rumaysaikrima 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisaa

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 3 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/cZWpOMWMJgw/w-d-xo.htmlsi=aBsnLbq63iO8DNXE

    • @goodluckkiget6359
      @goodluckkiget6359 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa 1000% nakubaliana na ww.

    • @sylaschamba1562
      @sylaschamba1562 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tumsapoti basi

  • @itsgghanib5718
    @itsgghanib5718 3 หลายเดือนก่อน +151

    Kama wakenya 🇰🇪 mme verify hii ni mbonge la anthem, gonga like.

  • @justinlusambo9454
    @justinlusambo9454 3 หลายเดือนก่อน +118

    😭😭😭😭nalia kwasabu tumekuwa bize kuwasaport mademu wa p didy na kumsahau msanii wetu hii ndo kitu inaniuma sana

    • @Dee_Karisa
      @Dee_Karisa 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kweli mrembo wa p ddy anaimba komasava inapiga mamilioni lakini mwenyewe kutunga nyimbo za maana hatumsapoti

    • @jackiefredrick586
      @jackiefredrick586 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe pia ni muuaji kwa kumsemea hivyo mwanaume mwenzio

    • @NasraJuma-zt7vj
      @NasraJuma-zt7vj 3 หลายเดือนก่อน

      @@justinlusambo9454 poleni

    • @stanleymwanga911
      @stanleymwanga911 หลายเดือนก่อน

      ​@@jackiefredrick586rhvygvig

  • @sissionenekiroway3301
    @sissionenekiroway3301 3 หลายเดือนก่อน +438

    Wao ney anafaa kuwa msanii aneye ongoza kwa subscription all platforms in Tanzania hii ndio shukrani pekee tunyaweza kumpa huyu shujaa wetu

    • @ShedrackTunje
      @ShedrackTunje 3 หลายเดือนก่อน +2

      True

    • @bigsister2567
      @bigsister2567 3 หลายเดือนก่อน +3

      Watanzania hawahawa wapenda mpira na upumbavu

    • @jacksonuraxa7875
      @jacksonuraxa7875 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@bigsister2567hahahahaha😂😂😂

    • @ezekielerick511
      @ezekielerick511 3 หลายเดือนก่อน +2

      We zombie haujui😂😂😂😂😂

    • @PaulMtalimbo
      @PaulMtalimbo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabxaaaaaaaaaaa Yan watu wanateseka et wanafuraia ela zinazotolewa kwa kila gori wakat sehm kibao miundombinu mibov hospital dawa hakuna Alf mijitu hata haijielewi et inafuraia kwa kila gor milion tano izooo hela zinatoka wap km sio kod zetu ujinga mtupu tz tubadilike tusiwe vchwa panzi

  • @AllyShaban-ei9fj
    @AllyShaban-ei9fj 3 หลายเดือนก่อน +228

    hii ndio sanaa
    Na ndio maana halisi ya kiooo Cha jamiii
    ujumbe umefika umetuwakilisha

  • @ntawangacharles
    @ntawangacharles 3 หลายเดือนก่อน +49

    Wao ney anafaa kuwa msanii aneye ongoza kwa subscription all platforms in Tanzania hii ndio shukrani pekee tunyaweza kumpa huyu shujaa wetu kama umeguswa na nay gonga like apa

  • @MaeJackline-nm3eg
    @MaeJackline-nm3eg 3 หลายเดือนก่อน +24

    hizi ndizo nyimbo sihao wanao imba porojo❤❤❤ from kenya🇰🇪

  • @J74251
    @J74251 3 หลายเดือนก่อน +214

    hii nyimbo nimeirudia zaidi ya mara kumi tokea jana ilipotokea ebu wenye tulitazama zaidi toeni hongera kwa nay🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤

    • @SarhaSaid
      @SarhaSaid 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mm 😢 kwaukweli

    • @leoncebenjamin8107
      @leoncebenjamin8107 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi zaidi ya mara 10

    • @mwendokasmacheya6692
      @mwendokasmacheya6692 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kama unataka nay asiwe raisi wa kitaa awe raisi wa taifa gonga like

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 3 หลายเดือนก่อน +632

    Hebu tuifanye hii ngoma itrend milele na iwe juu kote,tuachane na wasanii mashoga wakata viuno na waremba lips

    • @Charsonrecovery
      @Charsonrecovery 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅

    • @MR.DIESEL-i7z
      @MR.DIESEL-i7z 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @neemaneychricious6493
      @neemaneychricious6493 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @DaudFataki
      @DaudFataki 3 หลายเดือนก่อน +3

      Tuachane nawavaa heren nawatoboa pua

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 3 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/cZWpOMWMJgw/w-d-xo.htmlsi=aBsnLbq63iO8DNXE❤

  • @AliIbrahim-x7k
    @AliIbrahim-x7k 3 หลายเดือนก่อน +223

    Nitasema first class kama unakubali hii kazi nipe like from Kenya 🇰🇪

  • @EnockZepha
    @EnockZepha 3 หลายเดือนก่อน +9

    Msema kweli huchukiwa daima ,lakini siku yakiwashinda ndipo huunga mkono❤❤

  • @MelikiMborio
    @MelikiMborio 3 หลายเดือนก่อน +1085

    Walio Rudia hiii ngomaa zaidii na zaidii naomba like Brother unajua sana

    • @ivo2125
      @ivo2125 3 หลายเดือนก่อน +6

      Mi nmeamua tu nidownload kabsa😢

    • @salmaabdallah9598
      @salmaabdallah9598 3 หลายเดือนก่อน +6

      Mara ya Tano hii na Bado naendelea ❤

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 3 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/cZWpOMWMJgw/w-d-xo.htmlsi=aBsnLbq63iO8DNXE

    • @Wamoyothenumberone
      @Wamoyothenumberone 3 หลายเดือนก่อน +2

      Bongo kikubwa niuzima tu😭

    • @JescaNaga
      @JescaNaga 3 หลายเดือนก่อน +1

      kuna mm naamka nayo kila siku😂😂 ametisha kaka mkubwa

  • @mcfabian2190
    @mcfabian2190 3 หลายเดือนก่อน +283

    From Kenya nipe likes za Nay wa mitigo Ako na sauti yetu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @primostemba
    @primostemba 3 หลายเดือนก่อน +214

    Tupambane isitoke hapo juu makamanda Gonga like hapa chap

  • @chachamachera2804
    @chachamachera2804 3 หลายเดือนก่อน +13

    Tuendelee kuuweka number Moja wimbo huu

  • @EliaMwampamba-h3n
    @EliaMwampamba-h3n 3 หลายเดือนก่อน +13

    Wasanii wanao jielewa hapa tz wachache sana mungu awalinde msipotee kuliko julikanaaa

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 หลายเดือนก่อน +69

    Wew ndio msanii na hii ndio sanaa ya kweli inayogusa mioyo ya jamii na uhalisia wa maisha yetu in reality kongore san kwako ney unafaa kuwa kiongozi katika taifa hili.

  • @TheKiddy_Mx
    @TheKiddy_Mx 3 หลายเดือนก่อน +107

    Ukigombea tunakupa uraisi wa nchi Father unajali sana Wananchi🙏

  • @faustinojoaquimromao1489
    @faustinojoaquimromao1489 3 หลายเดือนก่อน +14

    Sasa kwanini tusapot ujinga wakati WA sanii wApo.!! Mimi upande wangu nasimama na nay wewe jeee!!!?

    • @ajoomusic3860
      @ajoomusic3860 3 หลายเดือนก่อน +2

      mimi pia nipo na ney mpaka wamuuweee

  • @CaissenguiraCaisse
    @CaissenguiraCaisse 3 หลายเดือนก่อน +23

    Ongera sana Mr Nay mungu akupe maisha marefu naomba like jamani 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 3 หลายเดือนก่อน +103

    Yule Wa Tiptop sio Rais wetu wewe ndio Rais wetu, NITASEMA 🔥

  • @KrmulahOmary
    @KrmulahOmary 3 หลายเดือนก่อน +9

    sema mwanangu umebaki peke yako nakubali kwa uzalendo ww kioo Cha jamiii wengine wanawakee tuuu ❤

  • @jafaribori5428
    @jafaribori5428 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna baya wala la uchochezi katika wimbo huu, kaongea na ndio hali halisi niukweli nami namuunga mkono.

  • @bockerNyarusahi
    @bockerNyarusahi 3 หลายเดือนก่อน +292

    Mtu kama huyu ndiyo wakumfollow na kumuinua zaidi,lakini nashangaa wachache wasiojielewa hawajui hilo,wanamfollow Mtu asiyewasemea Wananchi shida au madhira wanayopitia kama ya haya matukio ya ajabu,Watu kutekwa,kupotezwa au kuuwawa,hili ni janga la Kitaifa kwa sasa,wenye utimamu wa akili wanajua hilo,ahsante sana NEY na sisi jamii iliyostaarabika,inayopenda Amani na Upendo inakuambia mema MUNGU akuepushe na watesi,maana huwa unaamua kujilipua kwa kuwasemea Wananchi pasipo kujali baya gani litakupata.

    • @SoudyVocal
      @SoudyVocal 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli

    • @Wakiomiss.78
      @Wakiomiss.78 3 หลายเดือนก่อน +1

      That's very true 😢😢

    • @bigc5729
      @bigc5729 3 หลายเดือนก่อน +1

      Shida tunapenda ujibga kuliko vitu vya msingi

    • @imraniside4327
      @imraniside4327 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kunywa ntalipia

    • @heriethezekiel902
      @heriethezekiel902 3 หลายเดือนก่อน +1

      Dah kabisa sasa watu tunatakiwa tupambane kuwa unfollow wasanii wote wasio weza kusimama na sisi

  • @emanuelvintan9395
    @emanuelvintan9395 3 หลายเดือนก่อน +3024

    Binafsi nakutegemea kukuona bungeni 2025... kama siko peke yangu gonga like tumpeleke bungeni rais wa kitaa...

    • @lugikoenterpriseslugiko3050
      @lugikoenterpriseslugiko3050 3 หลายเดือนก่อน +20

      Hajui siasa😅😅

    • @DanielChaula
      @DanielChaula 3 หลายเดือนก่อน +12

      Inshallah 🎉🎉🎉

    • @abigailbabalwatyatyeka1816
      @abigailbabalwatyatyeka1816 3 หลายเดือนก่อน +4

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @gracejames798
      @gracejames798 3 หลายเดือนก่อน +19

      Huyu anafaa kuwa bungeni kutusemea

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 3 หลายเดือนก่อน +31

      Akienda bungen hatoikosoa serikal atanyamazishwa

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 3 หลายเดือนก่อน +157

    Hivi Kuna watu wameridia maranyingi kama Mimi kama umerudia gonga like asant rais wa kitaa

    • @benitorichard1520
      @benitorichard1520 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi sio kurudia tu nishadownload mana hawachelewi kuufuta TH-cam 👊👊👊✊

    • @aishabakari8040
      @aishabakari8040 3 หลายเดือนก่อน

      Mm apa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MarygraceJohn
    @MarygraceJohn 3 หลายเดือนก่อน +3

    👏👏👏👏👏kazi nzuri sana Ney wa mitego huakika tukipata watu kama kumi wa hivi taifa letu laweza kuvuna kitu💪

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo 3 หลายเดือนก่อน +251

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪 Watanzania sisi tunawapea Sapport sana kwenye harakati zenu. Mungu Ibariki Tanzania🇹🇿 Mungu ibariki Afrika

    • @AishaAbeid-v8m
      @AishaAbeid-v8m 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ameeen 🙏❤❤

    • @anetkileo2461
      @anetkileo2461 3 หลายเดือนก่อน +2

      Amen♥️♥️♥️♥️

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +3

      Asante baba. Salaam Alaekyum, Bwana Yesu Atukuzwe. Tunawaombea Kenya Mungu Awape Amani.. a peaceful Kenya is a peaceful E.A bloc. Again thanks Hamisi. Unakaribishwa TZ

    • @samexleader
      @samexleader 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @justinemollel5038
      @justinemollel5038 3 หลายเดือนก่อน +2

      Asee nay mungu akulinde pengine wengine hatujui kufikiria viziri, hii ngoma inani choma moyowangu

  • @AmaniNasoni
    @AmaniNasoni 3 หลายเดือนก่อน +379

    Police wanapewa Kazi wamtafte police kama unakubaliana. Na Nay tujuane hapa kwa like

    • @merrynancesimon1562
      @merrynancesimon1562 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂hatariiii 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

    • @AltoThadei
      @AltoThadei 3 หลายเดือนก่อน +3

      Shamba limeliwa na ng'ombe hafu mwenye ng'ombe ndie balozi unaenda kumshitak pancakes hapo?

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 3 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/cZWpOMWMJgw/w-d-xo.htmlsi=aBsnLbq63iO8DNXE

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 3 หลายเดือนก่อน +1912

    Mimi sio wa kwanza na wala sio wapili, Lakini nataka Likes za wale walioelewa hiLi goma. Ni huzuni jamani 😢😢😢

    • @happykashindi2662
      @happykashindi2662 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa 👌🏿💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥

    • @MnyamisiChejo-lk4je
      @MnyamisiChejo-lk4je 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwamba sijawahi mpinga .na mwanae roma

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 3 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/cZWpOMWMJgw/w-d-xo.htmlsi=aBsnLbq63iO8DNXE

    • @abrahimfathery8126
      @abrahimfathery8126 3 หลายเดือนก่อน +5

      Nyie mafala like zinawasaidia nini

    • @abrahimfathery8126
      @abrahimfathery8126 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kwan like zinakusaidia nn

  • @LuhanuzaTifurukwa
    @LuhanuzaTifurukwa 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba ni msema kweli,,sasa wenye masikio naimani wamesikia lkn pia Wameona....Long life Nay wa Mitego

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 3 หลายเดือนก่อน +40

    Hii inchi sio ya Amani Bali ni kisiwa Cha wavumilivu....Big Up ✊🏼✊🏼.... street president ❤

  • @kiddyadams
    @kiddyadams 3 หลายเดือนก่อน +79

    Movie wa staring wa Chato part two limeamia kizimkaziii.. rais wa kitaaa 😅😅😅 umeua fire 🔥🔥🔥🇹🇿❤️✌🏽NITASEMA.

    • @LeilaKeni
      @LeilaKeni 3 หลายเดือนก่อน

      Hakikaaaaa

  • @richardangasisyemwakalasya6159
    @richardangasisyemwakalasya6159 3 หลายเดือนก่อน +70

    basata wakiufungia mm ninao tayari asante saaana ney🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @shijangosha7509
    @shijangosha7509 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kuonesha ni jinsi gani nyimbo imekubarka iko on trending namba moja wiki ya pili sasa Kaka mungu akusimamie kila hatua ni Dua akuna koro yeyote wa kutushusha hapo kaka❤❤😂😂😂

  • @athumanimwalembe7210
    @athumanimwalembe7210 3 หลายเดือนก่อน +28

    Nyimbo inaujumbe mzuri kesho utasikia njoo basata nyimbo yako niyakichochezi hii nchi mipira imetuharibu mpaka tunaacha mambo ya msingi

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 3 หลายเดือนก่อน

      Kbisa mipira ndo inawasahaulisha matatizo ya nchi yao

    • @athumanimwalembe7210
      @athumanimwalembe7210 3 หลายเดือนก่อน

      @@WiselightOfficial kabsa yani ✊

  • @ImmanuelyBoniphace
    @ImmanuelyBoniphace 3 หลายเดือนก่อน +96

    Nipo na ww mpaka watuuwe wote hatuachi kuusema ukweli ❤❤❤❤❤❤ nitasemaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @JovianBrighton
      @JovianBrighton 3 หลายเดือนก่อน

      We muongo

    • @edendean220
      @edendean220 3 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉❤​@@JovianBrighton

  • @Nihranmzumeni
    @Nihranmzumeni 3 หลายเดือนก่อน +19

    Uyu jamaa hakuna kama yeye anajua mpka basi na aogopi yoyote jamaa mungu amlinde anaongea ukwel tupu❤❤

  • @Nicolasmulumbilwakipimo
    @Nicolasmulumbilwakipimo 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nita sema Ila bado naji réserver tuh Kipimo from RD Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kaizambagwa5128
    @kaizambagwa5128 3 หลายเดือนก่อน +37

    Wimbo huu uimbwe kabla ya watoto kuingia darasani na vyuo vyote na kwenye paredi zote hata wao waimbe

  • @HalimaBakari-g7x
    @HalimaBakari-g7x 3 หลายเดือนก่อน +124

    Lucky Dube wa Tz.Mamaye nimerudia zaidi ya mara kumi ❤❤nyimbo ndy hizi sasa

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 หลายเดือนก่อน +49

    Umeuvaa ujasili .. Ukisema ukweli unakufa, ukisema uongo unakufa, ukikaa kimya bado unakufa, nachagua kusema ukweli halafu halafu ufe

  • @AmusedFencing-mj9wx
    @AmusedFencing-mj9wx 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu nay mungu akulinde na taifa lako like zangu nikiwa kenya wachane kabisa waumie na wafe ney congratulations 🎉 kwa songs nice

  • @BALOZIWAGHETTO
    @BALOZIWAGHETTO 3 หลายเดือนก่อน +67

    Wapi likes za Nay,,All the way from kapedo ciry Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @davidmwamelo6525
    @davidmwamelo6525 3 หลายเดือนก่อน +35

    Zombie ajichanganye kutoa nyimbo leo hiii ngoma watu zaidi ya 35000 wanaongezeka wa 30 minutes,, nay tishaaa 🔥🔥🔥

  • @Robbymabangoprinting
    @Robbymabangoprinting 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hii ni mashine ya mwanaume!! Wote tusimame na RAIS WA KITAA, TRUE BOY🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @WenceslausNgonyani
    @WenceslausNgonyani 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndio msanii na hii ndio Sanaa sio kusifia tu

  • @georgegerald4153
    @georgegerald4153 3 หลายเดือนก่อน +43

    Wewe ndo msanii unae jielewa...big up true boy.

  • @JoyceMichael-bm9yw
    @JoyceMichael-bm9yw 3 หลายเดือนก่อน +14

    Ata farao alikuwa mbishi sana kuwaruhusu wana wa israel kutoka misri pamoja na mapigo yote kumi la mwisho la mzaliwa wa kwanxa kufa lilimuuama akawaachia wana wa israel kuondoka na baada ya kuwaachia kuondoka bado aliwafatilia nyuma lkn Mungu wetu alivyomzuri halali wala hasinzii alimfuta farao na jeshi lake kwenye bahari ya shamu kwa siku moja n dk moja.Mungu yupo na anayaona mateso yote ya watu wake anayaona ila ipo siku moja ipo siku moja atayanyamazisha aya mateso ipo siku atawafuta wote wanaofanya ubaya kuleta kilio na mateso haya.MUNGU YUPO.

  • @mistahkeytvkenya4211
    @mistahkeytvkenya4211 3 หลายเดือนก่อน +12

    Nampenda sana ney, Roma,na chidbenzi huwa wanagonga ndipo ukweli kabisa

  • @AnethKalemela
    @AnethKalemela หลายเดือนก่อน +1

    Mhhh mungu azidi kukupa maisha malefu sana akika wewe ni raisi wa kitaa tunakukubali sana

  • @emmanuelmutebu4432
    @emmanuelmutebu4432 3 หลายเดือนก่อน +41

    Umetusemea kweli sisi wakenya 👏👏 kama wewe mkenya unampenda Nay pinga like tukisonga

  • @NyaparaNyamera
    @NyaparaNyamera 3 หลายเดือนก่อน +39

    Kama umerudia hii ngoma zaidi ya mara 2 gonga like dude la kwenda hili

  • @Privacepaschal28
    @Privacepaschal28 3 หลายเดือนก่อน +48

    Huu wimbo unatakiwa kukaa no.1 mpaka miez mitano 💪
    #Raiswakitaa

    • @SadaKimomwe
      @SadaKimomwe 3 หลายเดือนก่อน +4

      mwenyew nimerud tena leo nimeshangaa bado uko 1

    • @Debora-j2j
      @Debora-j2j 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mimi nimeshangaa​@@SadaKimomwe

    • @mfalmewanyika.
      @mfalmewanyika. 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@SadaKimomwe bado upo no 1

    • @Privacepaschal28
      @Privacepaschal28 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@SadaKimomwe wimbo bora sana aisee

    • @djnotoriuz
      @djnotoriuz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tufanyinke hamna kitu kinashindwa

  • @IbrahimMussa-b9k
    @IbrahimMussa-b9k 3 หลายเดือนก่อน +3

    Raisi tunahitaji ikulu na katiba yetu wananchi wako,km uraisi tumekupa bila ya uchaguzi baba❤❤

  • @bravoremy
    @bravoremy 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wiki yapili raisi anaongoza trending na hutoshuka hapo mpaka TH-cam ibadilishwe jina

  • @ayubkasirani8344
    @ayubkasirani8344 3 หลายเดือนก่อน +16

    Kaka Nay salute yako nakupa wewe ndio sauti yetu sisi wanyonge tunaokandamizwa na hawa mabepari

  • @johnondego9943
    @johnondego9943 3 หลายเดือนก่อน +11

    Wanao kuja kukuteka wanakuja kama polisi , unatafutwa hupatikana vituo zote za polisi ,unaokotwa umekufa upelelezi uko polisi.Mbona nikama waongelea polisi jasusi wa kenya😊

  • @directormickydadymickyente8073
    @directormickydadymickyente8073 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni hisia za kweli za watanzania au ney umeroga kaka siku 13 #1 trending dah!!

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 3 หลายเดือนก่อน +42

    Hiii nyimbo ikiwekwa kone maandamano... Naamini hakuna raia mzalendo atakae ogopa polisi Wala bunduki

  • @seniorsabibi8439
    @seniorsabibi8439 3 หลายเดือนก่อน +690

    Walio iludia hiii ngoma zaid ya mara kumi honga like hapa

    • @AishaAbeid-v8m
      @AishaAbeid-v8m 3 หลายเดือนก่อน +3

      Tena zaid ya mara10😢😢

    • @helencheyo9262
      @helencheyo9262 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli Jamaq anajua sana tumpe Jamani like zake

    • @gabrielprocess6922
      @gabrielprocess6922 3 หลายเดือนก่อน +2

      Bado nairudiaaa

    • @mariammajallah7934
      @mariammajallah7934 3 หลายเดือนก่อน

      Our country 😢

    • @AbdullatifShafii
      @AbdullatifShafii 3 หลายเดือนก่อน

      Tupo 😅😅 Wengi bro

  • @barikimmary9042
    @barikimmary9042 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nay wa mitego na Roma hawa ndio wasani wa kweli wanaotetea wananchi.

  • @mash3775
    @mash3775 3 หลายเดือนก่อน +1

    Just watcing from Kenya, tunangoja wa kufanyie kitu kibaya,, what our brother's from Tz are is the same to other countries in Africa, usichoke Nay

  • @georgelusaku7902
    @georgelusaku7902 3 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu azidi kukulinda na kukupa nguvu ya kutusemea japo ni ngumu kusema ila Mungu anakupa nguvu ya kutusemea. God blessing my president.

  • @EmanuelMongitech
    @EmanuelMongitech 3 หลายเดือนก่อน +19

    Nakubali Huyu na Roma mkatoliki ndo wasanii pekee tz wanaopigania wananchi na siyo watawala

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nakupenda nay unaongea kweri..sio hao wasani vilaza wa kusifia viongozi na wapo kmya nchii hii aisee inauma sana

  • @monnahmouzny6020
    @monnahmouzny6020 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba noma walojiita masimba mna aweziii kukutoa treng

  • @manasenoel6582
    @manasenoel6582 3 หลายเดือนก่อน +20

    Tanzania, Congo, Rwanda, and Burundi ni vita tu eeee mungu tusaidie sisi watanganyika

  • @MartinCiza
    @MartinCiza 3 หลายเดือนก่อน +27

    weye ni msemaji n'a mtetezi wa wanyonge Nay Big saluti brø,wa Congo wenzangu wekeni like zenu hapo🤜🤛

  • @J74251
    @J74251 3 หลายเดือนก่อน +282

    huyu mwamba anasema ukweli wenye mnakubali nay surport tuonyeshe kwa like mana anasema ukweli nani anapinga ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @robinthuku7391
    @robinthuku7391 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kama Ney..True Boy....mtetezi wa watu🎉🎉East Africa tunajivunia Raisi wa mitaa..

  • @Oman-h9k
    @Oman-h9k 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nategemea siku moja usimame bungeni in shaaAllah 👏

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 3 หลายเดือนก่อน +6

    B levo Uniangusha...Kuna vitu vingi vyakuongelea kwenye Nchi yako...Unasifia kwa Wengine....America!

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Sijui kwann umenikumbush America

  • @ramadhanihassani5542
    @ramadhanihassani5542 3 หลายเดือนก่อน +42

    Nay ni bonge la msanii saluti kwa huyu mwamba nakubali sana kazi zako

  • @CeciliaDaniel-l4p
    @CeciliaDaniel-l4p 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kwa wimbo mzuri umetuokoa

  • @praygodlema5633
    @praygodlema5633 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wote tukisema kweli tuta pona leo kwangu kesho kwako

  • @mkulisuMussa
    @mkulisuMussa 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nay nakukubali san🎉🎉🎉

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 3 หลายเดือนก่อน +23

    Mwakilishi wa wanyonge ...hajatuangusha..much love from 🇧🇭

  • @estonsmart
    @estonsmart 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nahii ni Moja ya Kazi Kubwa ya Sanaa, Kuwasemea Wengine🔥🔥🔥

  • @eunho9529
    @eunho9529 3 หลายเดือนก่อน +37

    Wewe ndiye msanii pekee TANZANIA, waliobaki ni washehereshaji tu. Mungu wa Isaka,Mungu wa Yacob, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Tundu Lissu na Mungu wa watu wengine akupe maisha marefu.

  • @HamiduMaulidi
    @HamiduMaulidi 3 หลายเดือนก่อน +12

    Brother Nay endelea kutu pambania sisi wananchi wako usichoke kusema ingawa kuna wasanii wengine wanakunja juu yako ongea brother. Mi nipo nyuma yako kwa kila jambo mungu akupe maisha marefu PRESIDENT FROM STREET.

    • @emmanuelandrew9941
      @emmanuelandrew9941 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa blaza aendelee kukupambania ww una kazi gani kijipambania?
      Tujipambanie japo sio kazi rahisi

  • @mauajonelo8675
    @mauajonelo8675 3 หลายเดือนก่อน +15

    Wallah i wish ungekua raisi wetu wa nchi siku zote unajua na unateseka kwako ajil ya taifa

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo mkifungia Tz huku Kenya🇰🇪 tutapiga tu❤🔥

  • @zistykecc
    @zistykecc 3 หลายเดือนก่อน +68

    Huu ndio wimbo wa kufungia mwaka, wimbo umebeba sauti za watanzania🙌🏾🔥

    • @ThomasMmary-r7w
      @ThomasMmary-r7w 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli broh huu ndio wa kufungia mwaka yani bonge la ngoma limebeba machozi ya watanzania 😢

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa yn😢

    • @zenajustus5731
      @zenajustus5731 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hii imetufaa mpka sisi wakenya

  • @4gmusictz
    @4gmusictz 3 หลายเดือนก่อน +74

    Tungepata wasanii ata watano wa hivi ukijumlisha na wananchi tungefika mbal

    • @ChettaFlyee
      @ChettaFlyee 3 หลายเดือนก่อน

      Mwingine mimi hapa

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yn

    • @HusnaSalum-p1q
      @HusnaSalum-p1q 3 หลายเดือนก่อน

      Utawapata wapi wakata viuno hajulikani mwanamme wala mwanamke

  • @josephmbirize3134
    @josephmbirize3134 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ongera sana kaka yangu nay mtetezi

  • @LilianiMeena
    @LilianiMeena 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie bado tuko no 1 on trending ❤❤❤❤whoz kashindwa kututoa tuombe Mungu nandy nae ashindwe 😂😂😂❤❤❤

  • @niyonzimamaurice5570
    @niyonzimamaurice5570 3 หลายเดือนก่อน +5

    Natwe turagukunda cyane ❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼💪💪 big energy

  • @SophiaMwinge-zg1yt
    @SophiaMwinge-zg1yt 3 หลายเดือนก่อน +13

    Vijana viva tusilale tupambanie jahazi lisizame tuache woga kwenye haki tusimame hakuna watetezi tujitetee

  • @gaspardimani917
    @gaspardimani917 3 หลายเดือนก่อน +24

    Kali saana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kuja kwetu congo tuna ku penda saana

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya tunakupenda wakumbushe uyo mama yenu samia nitaila

  • @justinkasuku1460
    @justinkasuku1460 3 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu jamaa ni mwiba kumamake salute mbwa hii imepigaje hapo

  • @theeoutlaws
    @theeoutlaws 3 หลายเดือนก่อน +4

    watanzania fungukeni macho mnanyanyaswa na hamusemi na hamuoni #morara kebaso

  • @SHY-e3f
    @SHY-e3f 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nakupenda ney na Leo nimeangalia video zako nyingi keep streaming ney songs❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 3 หลายเดือนก่อน +13

    We jamaaa ❤❤❤❤🎉🎉🎉nashindwa hata niandike nini ila ndo nishaandika.

  • @mromalais900
    @mromalais900 3 หลายเดือนก่อน +23

    Ney wamitego na Roma watetezi walio jitoa😢❤🙏

  • @SambuloKhumalo-q3t
    @SambuloKhumalo-q3t 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hatuna watetezi tujiteteeee

  • @RojaKiss_tz
    @RojaKiss_tz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubari kaka

  • @stephenkabani822
    @stephenkabani822 3 หลายเดือนก่อน +26

    Mzee wa busara lazima kama ibadi kuiskiza hii❤🎉