Vaileth Mwaisumo - Unajua Yote (Official Music Video )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024
- Mema na mabaya yote yanakusudi jema la MUNGU wimbo huu ukupe kumuamini MUNGU wakati wa magumu, machozi na maumivu maana nyakati ngumu hazidumu yeye ni MUNGU atutoaye salama kwenye mapito yetu. Yeye Anajua yote kabla magumu hayajaja anakuwa ameshafanya mlango wa kutokea. #VailethMwaisumo #UnajuaYote #hatasielewi #OfficialMusicAudio
- เพลง
Kenya 🇰🇪 wapi like zangu
Barikiwa sana mum. Wimbo huu umeniguza sana. Hata sielewi kwani yanipate Mimi... God bless you mama.
Amen
God if my lips can't talk anymore listen to my heart 🙏🙏🙏 I'm going through a lot ,,, by faith I claim financial breakthrough 🙏🙏🙏
Tuangazie macho yetu msalabani, yesu atatushindania. 1 peter 1÷6-7
Yeye anajua yote
Amina mtumishi wa Mungu,huu niwimbo wangu kwanini haya ..unajua yote baba, mapenzi yako yatimizwe kwangu Kwa maana najua unaniwazia mema🎉🎉
Amen
Barikiwa Sana Mummy Huu Wimbo Ni wa Baraka Yale Ninayoyapitia Mungu Anajua Yote
Amen
Barikiwa mtumishi wa Mungu wimbo mzuri umenitia moyo muno anajuwa yote Mungu wangu 🙏🙏
Amina
Kazi nzuri sana❤🎉mungu ndiye anayajua yote
Amen
barikiwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏mtumishi , always expression song
Nimekata tamaa kabisaa ila wimbo huu umenitia nguvu ❤
Amen
Hongera saana kipenzi Hakika Mungu anajua 🙏🏻🙏🏻
Amina 🙏🏼
Finally I still have hope....am from crying ten times.. but who is God 🙏🙏🙏😭😭😭
Barikiwa mum nyimbo zako zimenibadisha na kunitia nguvu kwenye maisha
Amina
Wwweh dada nyimbo zako zina nihimiza sana mungu akuinue sana
Amen
Penda ww sana dada yangu good job
Shukrani sana
God bless u mum kweli mungu anajua I may not know the way but I know who leads me
Hallelujah 🙏 barikiwa sana Mtumishi wa Mungu,am proud of you be blessed 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
Amina
Love from kenya
My best song. I can't wait. Napenda sana nyimbo zako mama yangu. Mungu azidi kukutumia
Amen 🙏🏼
Waaoh❤❤❤wimbo mzuri pamoja na video.Unajua yote
Amen shukrani sana
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU Kazi nzuri Sana ❤❤
Shukrani sana
We n mwandishi bora unaimba kutoka ndani ya roho vyema with the current situation God knows
Amen
Kweli Mungu anajua Yote kuna mahali nilipita Bila Mkono wa MUNGU sijui ingekuwaje wimbo huu umekuwa faraja sana kwangu Hongera Mtumishi wa MUNGU Vailet Mwaisumo Kazi nzuri Video nzuri Sana ❤❤❤❤❤
Amina Shukrani sana
🔥🔥🔥🔥🔥 Barikiwa sana Mtumishi kazi ni njema sana
Amen
My best artist another hit again barikiwa saana momna
Amen
KAzi nzuri dadetu🎉🎉 congratulations
Thanks
Wow, thanks mum you bless me with your songs, may GOD bless you and keep you safe in JESUS name 🙏🙏
Amina
Barikiwa sana unapo tubariki na sisi ❤❤❤❤
Amina
❤❤❤❤❤God knows everything amen
Hongera sana dada wa mie 🎉
Amen
Love the song,,,,,,,nakupenda sanaaa
Shukrani sana
Very encouraging,naipenda sana,inazidi kunitia nguvu
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥ujumbe mzuri
Amen
My ccy Vai😌🤝🙏🙏
Wimbo unabariki, Asante sana mama ubarikiwe ❤❤
Amina
mama Mungu azidi kukuinua juu na akubariki sana.
Amina
AM REALY BLESSED WITH THIS SONG & ALL GLORY BE TO GOD ALMIGHTY ALL THE BEST SISTER IN CHRIST JESUS🇩🇪🇩🇪🇩🇪
Amen
Kazi nzuri Wimbo unabariki sana Video pia nzuri ❤❤
@@RehemaAmbokile Amina
@@RehemaAmbokile Amina
Kazi nzuri Sana ❤❤
Amen
Unajua yote Mungu ❤❤❤
Amen
🎉good song mum,hakika Mungu anajua yote,I feel encouraged ❤
Amen
Congratulation,dear sister 🙏🙏🙏
Thanks
Mbona mbona haya maneno moyo unaumia. 😭😭 yale nayapitia mungu sielewi. Maneno ya Wimbo direct to knees. Barikiwa ❤🙏🙏
MUNGU anajua yote mpendwa wangu utavuka
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
Amen
@@vailethmwaisumo I wish siku moja mtumishi nitafanya kazi ya Mungu pamoja na we Kama Director kutokea kanisa la EAGT Nzivi kwa mchungaji onesmo jacob masasi. Kwa maana ulipokuwa ukija nilikuwa mpiga vyombo na Sasa Ni director wa video.
Be blessed woman of the Most High God
Amen
Congrats mamii,love u mwaah
Thanks much 🙏🏼
Hallelujah,, more blessings to you mtumishi ❤️
Amen thanks much
@@vailethmwaisumo Always welcome 🙏🙏
Hallelujah
Amen 🙏🏼
Woow, very blessing song ❤❤
Amen
Mungu mkubwa sana unajuwa yote yesu kristo asante 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amen
Ubarikiwe mum
Amen
Very encouraging song more grace mum
Amen
Amen sana❤❤❤
Amina
Glory to mighty Lord 🙏
Amina
Wow nice song ❤
Thanks
Nice song be blessed
Amen
❤❤❤❤wooow nice song madam Mwaisumo.....nilipoteza mtoto wangu 29th March but mungu unajua yote😢
Pole hakika MUNGU anajua yote
Waoooo Upako huuu wimbo Mzurii Video nzuri Sana nabarikiwa Mimi🎉🎉🎉
Amina🙏🏼
Watching from Zambia... I love your music 🎉🎉
Be blessed
Wonderful 🙏🙏 blessed sabbath to each and everyone 🙏🙏
Blessings
Amen
Kazi Kubwa sana hii Ubarikiwe Wimbo huu umekuwa faraja kwangu kila siku nasikiza Video safi kabisa❤❤
Amen
Be blessed dear 🙏🙏
Amen
Glory to God
Amen
God bless you mum💕
Amen
Kazini kwangu napitia mangumu lakini mungu unajua yate
Amen
Amen🙏🙏
Amen
wow! nilisubili kwa hamu sana hii video ❤❤
Amen
Amen
Amen
Ameeeen, ❤❤❤❤
Amen
👏
❤
🙏🔥
Amen
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Be blessed
Very nice song 🎉❤❤ pitia yangu pia
Kweli Mungu hakuna usilo lijuwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
Barikiwa sanaaa Mama angu kwa Wimbo mzur ulio jaa Uvuvio wa Roho mtakatifu MUNGU anajua yote
Amen