Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2021
  • Haijalishi nini unapitia sasa, ni gumu kibinadamu, halina majibu, yamkini limekufanya machozi yasikauke acha nikwambie MUNGU wetu anaweza yote na kwahakika ATAFANYA NJIA.
    #VailethMwaisumo#AtafanyaNjia#OfficialVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital
  • เพลง

ความคิดเห็น • 3.8K

  • @florianminja1127
    @florianminja1127 ปีที่แล้ว +759

    Kama bado unaamini baba atafany njia yako gonga like hapa tubarikiwe wote😘😘😘😘

    • @lucympanda6752
      @lucympanda6752 ปีที่แล้ว +7

      Baba yangu atafanya njia kwa mwanangu

    • @lucympanda6752
      @lucympanda6752 ปีที่แล้ว +5

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Nyarmigori
      @Nyarmigori ปีที่แล้ว +8

      Namini atafanya njia ndugu yangu ameteseka Kwa kuanguka na SI kifafa maana anaona nyoka zinamtembelea Kwa mwili ila siku Moja baba atafanya njia

    • @samwelinkindwa9662
      @samwelinkindwa9662 ปีที่แล้ว +1

      Aminaaaaaaa

    • @florianminja1127
      @florianminja1127 ปีที่แล้ว

      Pole sana kaka

  • @Fashionanddesign894
    @Fashionanddesign894 2 หลายเดือนก่อน +28

    Namini mungu ata Fanya njia nimalize contract salama na nirudi kwa nchi yangu salama ,salamini ,protect all gulf maids God 😢😢😢.

  • @erickthuo5833
    @erickthuo5833 หลายเดือนก่อน +7

    Unaenda job asubuhi kama kawaida,unakuta desk yako iko na mtu mwingine,unauliza kwani what's happening wanakwambia uende utafute job place ingine😢😢,baba najua utafanya njia

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  หลายเดือนก่อน

      Akufanyie njia

    • @annnaserian
      @annnaserian หลายเดือนก่อน

      Atafanya njia kweli sababu huwa anafanya yeye ni baba yetu

  • @munyaomutinda9253
    @munyaomutinda9253 ปีที่แล้ว +389

    My father passed i way when i was in form 2 ,my mum akawa msick ,tukapagiwa tufukuzwe kutoka mahali tulikukua tumezega,my brothers and sisters walikua watoi wakanililia yao yote hadi kalibu nirukwe na akil but mungu anaedelea kufanya njia

    • @josephinajoseph9361
      @josephinajoseph9361 ปีที่แล้ว +4

      Mungu Ni mwema tutapata na sisi

    • @emmalyod9813
      @emmalyod9813 ปีที่แล้ว +9

      Munyao Mutinda, I hope wherever you are God made a way out for you and your siblings. 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @japhetlagat9960
      @japhetlagat9960 ปีที่แล้ว +3

      Amen

    • @japhetlagat9960
      @japhetlagat9960 ปีที่แล้ว +2

      God will provide

    • @mcdonaldbulala9646
      @mcdonaldbulala9646 ปีที่แล้ว +12

      What language is this and from which country

  • @kennethkipkorir8315
    @kennethkipkorir8315 ปีที่แล้ว +256

    Kama unaamini mungu atafanya njia ebu gonga like apo🙏🙏

    • @esthervidonyi8704
      @esthervidonyi8704 ปีที่แล้ว +2

      Kweli napitia magumu na watoto wangu lakini nikiskiza huu wimbo najua mungu atatenda katika maisha yangu,haijalishi itachukua muda gani.

    • @EdwinIndeche
      @EdwinIndeche ปีที่แล้ว

      Amen

    • @EuniceKhamuya
      @EuniceKhamuya ปีที่แล้ว

      I really like the song iko na message kwa mzito I love it❤

    • @kithekasammy309
      @kithekasammy309 ปีที่แล้ว

      Hi

    • @FaustaPili
      @FaustaPili หลายเดือนก่อน

      Amima

  • @roslynseries
    @roslynseries ปีที่แล้ว +237

    Much love from Kenya. Kenyans drop your likes here.

  • @sarahongwae9047
    @sarahongwae9047 2 หลายเดือนก่อน +13

    Aibu ni ya mda tu,baba yangu atafanya njia ya kipekee ile mwanadamu hawezi funga 🙏

  • @lindakhayange8075
    @lindakhayange8075 ปีที่แล้ว +6

    Ninapo sikiliza Hu wimbo ata nikiwa mgonjwa ninapata nguvu uku huwarabuni ata ukiwa mgonjwa upelekwi hospital so nikiwa mthaifu niskilize yesu ufanya njia ninapata nguvu na kwendelea

  • @MiddyMaryline
    @MiddyMaryline 2 หลายเดือนก่อน +10

    Huu wimbo hukuza imani yangu barikiwa dads

  • @ShazieBrown-ij3eq
    @ShazieBrown-ij3eq ปีที่แล้ว +49

    With this song my mum will be healed for the hard time of sickness she is in be blessed my brethren those who are still praying with me

  • @erastomwapinga769
    @erastomwapinga769 4 หลายเดือนก่อน +10

    pita na like zakutosha kama unaikubali gosper kweri baba atafanya njia amina kubwa vaileth🙏☝☝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @VictoriaJuma-xe9vd
    @VictoriaJuma-xe9vd 2 วันที่ผ่านมา +1

    ooh yesu fanya njia kwa ajili ya Kazi yangu na mshahara wangu, nimechoka kulia kila siku fanya njia Baba yangu😭😭😭🙏🙏

  • @brendermark5368
    @brendermark5368 ปีที่แล้ว +90

    I dedicate this song to my lovely mum ❤️it shall be well 🙏🙏🙏🙏

  • @evonmwende571
    @evonmwende571 หลายเดือนก่อน +6

    Going through a lot right now I need your prayer support,,my family depends on me and currently have no job...need prayers guys😢😢,,may GOD make away

    • @LinderAnyango
      @LinderAnyango 27 วันที่ผ่านมา

      God is faithful dear.. Wait and see

  • @JaneKirigo-fp1nj
    @JaneKirigo-fp1nj 4 วันที่ผ่านมา +1

    Oooooh Jesus fanya njia kwa ajiri ya ndoa nayoenda kuanzisha...bariki mtoto wangu fanya njia maishani mwake awenzee kutembea..Fanya njia katika familia yangu Amen.my favourite songs

  • @user-dz8kn7gs3n
    @user-dz8kn7gs3n 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kupitia wimbo huu najua mungu atafanya njia pasipo na njia kudharauliwa kutaisha na familia yetu itaheshimika kwa jina la yesu haigalishi hali ya sae but najua mungu yuko kazini🙏🙏

  • @annettemaua1666
    @annettemaua1666 9 หลายเดือนก่อน +32

    I dedicate this song to me and my family this morning it shall pass and it will be well😭Atafanya njia 🙏

  • @Preciouscaren209
    @Preciouscaren209 2 ปีที่แล้ว +38

    I am crying 😭😭😭😭😭😭 God Fanya njia maishani mwangu,mapito nayapitia niondolee...Fanya njia Baba ndo jina lako litukuzwe Amina🙏

  • @nashnash333
    @nashnash333 ปีที่แล้ว +82

    Am really blessed with this song,after my husband died and left me with 1 child of 1year,familia ya bwanangu ilinipokonya kila kitu,lakini kupitia huu wimbo kwa kweli Mungu amefanya njia coz hatua yenye nimepiga ni Mungu mwenyewe alifanya njia pale palipokua hakuna njia,barikiwa sana dada

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @aarpp4907
      @aarpp4907 ปีที่แล้ว +4

      Mungu azidi kukufanyia njia dadangu hata sisi tulifiwa na baba tukiwa mwaka nasai niko 24yrs hakika kuna Mungu anaebariki ,,mamangu alidharauliwa akapokonywa kila kitu lkn sai twashukuru Mungu tumekua hata twamjengea my mum,,,Mungu akubariki sana dada Ruth Mungu yupo tuzidi kumtegemea 🙏

    • @joabkava2471
      @joabkava2471 ปีที่แล้ว +1

      Good music. Good message. Very encouraging. Indeed God do you good in every situation. Hallelujah 🙏🙏🙏👍👍👍

    • @emmaotiende4712
      @emmaotiende4712 ปีที่แล้ว +1

      😢 same same me wacha mungu atafanya njia 😢

    • @herygibson6515
      @herygibson6515 ปีที่แล้ว +1

      Amen

  • @alicewanjiku4502
    @alicewanjiku4502 หลายเดือนก่อน +2

    Baba yangu, naomba nikumbuke, fanya njia uniondolee aibu ya madeni 😢😢sina tegemeo lingine Ila wewe

  • @jakijaki7507
    @jakijaki7507 2 ปีที่แล้ว +27

    Kupitia huu wimbo nina amini mungu anaenda kuniondolea uzuni na machozi na kuniondolea aibu amen

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @DolineGichana-ex1jb
      @DolineGichana-ex1jb ปีที่แล้ว

      Mungu ni mungu tu,,amefanya njia kwangu na kwa familia yangu

    • @floridamuindi6206
      @floridamuindi6206 ปีที่แล้ว +1

      Amen ..oh God you are taking away our pain and shame.....Mungu yule alisimamisha jua ndiye tunalilia.....

    • @josephinemutinda894
      @josephinemutinda894 2 หลายเดือนก่อน

      Amen atafanya njia mahali hakuna njia

    • @Fashionanddesign894
      @Fashionanddesign894 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏

  • @sharonjeruto7528
    @sharonjeruto7528 ปีที่แล้ว +19

    I am tired and depressed,full of disappointment,,,
    But may the message inside this song heal and comfort my heart,
    Mungu wangu fanya njia pasipo na njia katika maisha yangu.....
    Mungu fanya njia,naumia

  • @gideonnjenga6172
    @gideonnjenga6172 หลายเดือนก่อน +2

    God will open road for every one keep trusting in Jesus name🙏 everything will b fine mapito niyamda tu jipe moyo🙏

  • @peninnahjames4030
    @peninnahjames4030 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu fanya njia Kwa Maisha yangu

  • @user-qy9or9sq8t
    @user-qy9or9sq8t 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huu wimbo Kila ninaposikia ,hunipa tumaini la kuishi tena.quite encouraging.
    Indeed ,tukimwaminia,Baba atafanya njia.

  • @dianahdee849
    @dianahdee849 2 ปีที่แล้ว +12

    If your are still here with me like my comment...its one year down the line but the song is still a vibe...baba yangu atafanya njia😥😥😥🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽..be blessed mama vaileth🥰🙏🏽❤

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว

      Amina shukrani sana

    • @qadarcabdulahi6286
      @qadarcabdulahi6286 ปีที่แล้ว

      Ashukuriwe Mungu aliyejuu aketie mahali patakatifu naamini kupita huu wimbo atafanya njia na kwangu asante Madam Mungu azidi kukubariki .

    • @user-rm6ck9qi3c
      @user-rm6ck9qi3c 3 หลายเดือนก่อน

      May the lord hearken to your prayer and change your situation to be better

  • @user-jt9rd1qw8y
    @user-jt9rd1qw8y 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu wangu nifanyie njia maisha yangu😂😂

  • @user-qh9cp3eq7m
    @user-qh9cp3eq7m 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisaa baba yetu atafanya njia ...palipo fungwa na huyo muovu shetani patafunguliwa ..in.Jesus name

  • @laviethequeen
    @laviethequeen 2 ปีที่แล้ว +15

    I believe he will make a way in my ministry, in my life God I'm going through alot....... Anybody reading this just say a prayer of peace in my heart for me😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @nikitamalia2717
    @nikitamalia2717 ปีที่แล้ว +8

    Kila siku nasikiza huu wimbo nikiwa hapa saudia najipa nguvu taabu hii ni ya muda kwangu Amen Ame

  • @violambeche2531
    @violambeche2531 15 วันที่ผ่านมา +1

    There is atyme l went thro barrenness and l sang this song crying to God and indeed He made it happen am aparent of 1yr bby

  • @marcellarkenyanya34
    @marcellarkenyanya34 2 หลายเดือนก่อน +1

    God please fanya njia🥺am tired of being a slave kwa inchi za wenyewe 🥺🤲

  • @bettymoraa9766
    @bettymoraa9766 2 ปีที่แล้ว +116

    😭😭😭😭😭😭😭Listening to this song have found myself shedding tears for the situation my family we are going through. Ooh God of mercy make a way for my family. May all our tears and problems come to an end in Jesus name. 😭😭🙏🙏🙏🙏🙌🙌. Be blessed dia sister for an inspiring song Mungu akuinue zaidi 🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว +4

      Amen

    • @ondiekiorina398
      @ondiekiorina398 2 ปีที่แล้ว +3

      You shall overcome all in Jesus name........no situation is permanent

    • @saraphinakagure2959
      @saraphinakagure2959 2 ปีที่แล้ว +2

      It will be okey in Jesus name

    • @marvelyneatieno1690
      @marvelyneatieno1690 2 ปีที่แล้ว +2

      It is well in Christ Alone

    • @janetandisi3481
      @janetandisi3481 2 ปีที่แล้ว +2

      Just keep on trusting him He will never fail or disappoint you He will wipe all tears

  • @winniechemtai6599
    @winniechemtai6599 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baba yangu fanya njia maishani mwangu 🙏

  • @Veronica-yn5rb
    @Veronica-yn5rb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bahali ilimtii MUNGU njia kavu ikapatikana,wana Israel wakavu,baba yangu atafanya njia kwangu

  • @FaithKibwii
    @FaithKibwii ปีที่แล้ว +2

    Baba ninaomba ufanye njia kwa shida niliyo nayo sasa hivi nimefika mwisho baba.

  • @faithimani2329
    @faithimani2329 2 ปีที่แล้ว +17

    I'm heartbroken but this song gives me strength😭😭 lemme leave this comment here whenever someone like it..it will remind me how broken I was once I'm healed🙏🙏 AMEN and AMEN 🙏🙏

  • @josephinemumy9164
    @josephinemumy9164 2 ปีที่แล้ว +57

    A date like today 4months ago,my dad passed,it has not been easy,my mom ever since this has been her favourite song,and truly God amefanya njia,,coz after the burial my mum became very sick,and she used to sing this song,and I don't know how but angepata strength after singing na angetuencourage(my sisters and i)saying,"siwaachi,mimi ndo nimebaki kama baba yenu na mama yenu,na Mungu atafanya njia na atatupa wepesi".
    And we sing together with her,
    It's just God coz so far penye tumefika ni Mungu anafanya njia,

  • @elizabethnduta1085
    @elizabethnduta1085 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmi nilitwa maskini kwetu 10yrs ago na wakasema hawanijui coz i have nothing but through one of my daughter na mungu kufanya njia am okey they now look 4 me i go back

  • @roselynendoli1545
    @roselynendoli1545 ปีที่แล้ว +3

    What ????? nimeishi kusaka hii song but ckuwa najua mwimbaji n nani waaaaaaaa,,,,,mwimbaji pokea baraka kutoka kwa MUNGU acha afanye njia zake AMINA 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @pkmtetezi
    @pkmtetezi ปีที่แล้ว +82

    This song is a blessing to many & it's my daily bread.It gives me hope even when things ain't working.May God bless you my sister,may God meet the desires of our hearts and open the doors to whoever is reading this.🇰🇪

  • @zawadiamanda3143
    @zawadiamanda3143 2 ปีที่แล้ว +17

    Baba atafanya Kwa watoto wangu,, 🙏🏼🙏🏼🙏🇺🇬 Sara from Uganda (sister vaileth mungu akubariki , akulinde Kwa meneno mazuri ,, mungu atafanya na emefanya kweri🙏🏼🙏🏼🙏

  • @susanwambui9807
    @susanwambui9807 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yangu atafanya njia kwa yale yaliyomo mbele yangu,,nakutumainia tu wewe baba yangu.

  • @Nyarmigori
    @Nyarmigori ปีที่แล้ว +2

    Namini atafanya njia ndugu yangu ameteseka Kwa kuanguka na SI kifafa maana anaona nyoka zinamtembelea Kwa mwili ila siku Moja baba atafanya njia kuteseka ni kwa mda tu

  • @rossyodoa9208
    @rossyodoa9208 2 ปีที่แล้ว +39

    As I deal with rejection...listening to this song has set my heart free ......baba yangu na afanye niia nikubalike .

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @rachelkaymax547
      @rachelkaymax547 ปีที่แล้ว

      Mungu wa Amani...NIKO AMBAYE NIKO...Akufinyange Upya ukubalike kila utakapopita...AMEN

    • @eunahshiko5992
      @eunahshiko5992 ปีที่แล้ว

      Me sjakureject mamiii hugs 🥰🥰🥰

    • @stellawanyonyi1067
      @stellawanyonyi1067 ปีที่แล้ว +1

      Mm nimeachwa Leo hii bila sababu aki ...i don't know why

  • @violetimbwana2613
    @violetimbwana2613 2 ปีที่แล้ว +11

    Fanya njia kwa maisha yangu nasikia kuchoka 😭😭😭😭nimepotea Yesu 🙏🙏🙏

  • @kevinaiyeza1307
    @kevinaiyeza1307 2 หลายเดือนก่อน +2

    Me tuuu nko na imani baba atafanya njia pasipo na njia I believe in Jesus name 🙏🙏

  • @miriamachitsa1418
    @miriamachitsa1418 ปีที่แล้ว +1

    Kama uko hapa April 2 2023 just know God will make away surrender ur problem to God and He will make it happen ....be blessed

  • @nawiresarah1458
    @nawiresarah1458 ปีที่แล้ว +8

    Mungu wangu atafanya njia napitia mengi lakini mungu upon😭😢🙏🤝🫂

  • @namwanojune2798
    @namwanojune2798 ปีที่แล้ว +21

    God is going to make a way To each and everyone who is listing to the song including me Amen

  • @user-yn8vm4ch5g
    @user-yn8vm4ch5g ปีที่แล้ว +1

    Fanya njia kwa maisha yangu naskia kama nimeshoka na maisha mungu wangu 😢😢😢😢

  • @everlinemutimba8052
    @everlinemutimba8052 ปีที่แล้ว +1

    Nakimbuka nkiwambia na dad ya kwamba mama yako aliaka ukiwa 3 yrs over struggling with us Juu alituacha watatu wadogo m last born but Lord made then way 😭😭😭😭I cry wen dad come sick me hospita zing him 4 month hoping him to get well but invain Lord called him nlilia Sana but hearing this song I got strength to move on atafanya njia now 4 yr

  • @noraheclay5604
    @noraheclay5604 ปีที่แล้ว +12

    When I remember how I lost my mum💔💔 in June 2021. I was so devastated 😭😭😭😭 I lost all hope in this life. This song is an encouragement to me that God still loves me an He will make a way for me.🙏🙏

  • @brilliannafula7090
    @brilliannafula7090 ปีที่แล้ว +10

    Right now my life is not smooth..but l know Jehovah is making a way🙏🙏🙏🙏

  • @roba48
    @roba48 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yangu anaweza kusimamisha jua, usiku ukachelewa.🙏

  • @vionavivika8037
    @vionavivika8037 ปีที่แล้ว +2

    Natamani uwe mwalimu wangu lakini sijui jinzi ya kukupata nakuomba usikatae

  • @winifridashayo392
    @winifridashayo392 2 ปีที่แล้ว +9

    In twoo weeks nimempoteza Bibi na Babu yangu kwa korona, wamenilea tangu Nina mwaka Leo hii sipo nao Tena huu wimbo umenipa faraja baba atafanya njia😭🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว

      Pole sana mpendwa wangu MUNGU akutie nguvu sana

    • @lucynjeri6233
      @lucynjeri6233 2 ปีที่แล้ว

      @@vailethmwaisumo he is the way maker🙏🙏he will surely make away😭😭😭🙏

    • @robinsonkarogo5146
      @robinsonkarogo5146 2 ปีที่แล้ว

      Baba yngu,atafanya kw jina la yesu🙏🙏😭

  • @graciamudola8107
    @graciamudola8107 10 หลายเดือนก่อน +6

    Atafanya njia kweli....even when we feel weak and can't make a step anymore Mungu yupo nasii😢😢🙏🙏

  • @user-bx9qj2ym9q
    @user-bx9qj2ym9q 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu open my doors Baba yangu MBNA mapito haya,,,Baba yangu tenda miujiza Tu nikuone

  • @hannahirungu4527
    @hannahirungu4527 หลายเดือนก่อน +1

    My God is able to provide a way where seems to be no way He's a Faithful God i worship you

  • @user-pz5ul6oz9x
    @user-pz5ul6oz9x 8 หลายเดือนก่อน +7

    We struggled alot when we were young but God anaendelea kufanya njia.I remember mum used to borrow people ,they nicknamed her .He is a God who never disapoints.Thanks

  • @carloskitheka5401
    @carloskitheka5401 8 หลายเดือนก่อน +14

    I respect Tanzanians alot when it comes to writing songs and making beats.

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  8 หลายเดือนก่อน +2

      Thanks

    • @hadihadi9167
      @hadihadi9167 7 หลายเดือนก่อน +1

      True ❤ hizi nyimbo zinanikujia ata nikiwa kwa usingizi 😢

    • @millicentongaya7978
      @millicentongaya7978 6 หลายเดือนก่อน

      Hey Valieth mwaisumo is a Kenyan artist not Tanzanian dear

    • @milcahnyamiaka1594
      @milcahnyamiaka1594 6 หลายเดือนก่อน +1

      Is she a kenyan or tanzanian

  • @TaliaAngel-hm6ib
    @TaliaAngel-hm6ib วันที่ผ่านมา +1

    My first time watching your songs and am really blessed...endelea hivo mtumishi

  • @raphaelkinyua369
    @raphaelkinyua369 หลายเดือนก่อน +1

    For sure I will testify God is making a way where there seems none in my life to disapprove those where rejection was planted

  • @phoebeawuor5401
    @phoebeawuor5401 10 หลายเดือนก่อน +5

    Feeling strong. I lost my dad when I was 2yrs,mum passed when I was 10yrs, brought up by grandma but passed 2014,no brother nor sister. Got married but separated 3yrs ago,I have 2kids girls aged 11 and 7,we have been going thru a lot but my daughter do tell me that "mum God will remember us one day " no where to go no one to run to,no job and yet there are bills......but naamini baba yangu aliye juu ATAFANYA NJIA

  • @AmosObanda23Thursday16Nov8am
    @AmosObanda23Thursday16Nov8am 2 ปีที่แล้ว +21

    In Kenya we're touched and blessed with song, Hakika atafanya njia kwa mambo yote, magumu na hata rahisi. Jina LA Yesu Kristo litukuzwe Manake limetukuka milele. Hakika anaweza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @123nyanguka-xj2ox
    @123nyanguka-xj2ox 5 หลายเดือนก่อน +1

    The moment i feel like giving up i just listen to this song and get another strength in Jesus name be blessed mama🙏

  • @user-jo9fz7by3r
    @user-jo9fz7by3r 19 วันที่ผ่านมา +1

    PST asante Sana nyimbo zako ni za baraka Sana kwa maisha, proudly luhya

  • @teresiamueni1521
    @teresiamueni1521 2 ปีที่แล้ว +28

    You are always known as a waymaker...God of impossibilities please make a way for everyone reading this...thanks Vaileth

  • @markhabweotukho7416
    @markhabweotukho7416 10 หลายเดือนก่อน +12

    This song is a blessing to me and my entire family. I truly believe atafanya Njia in Jesus Name.

  • @Caren-yv3jr
    @Caren-yv3jr 6 วันที่ผ่านมา +1

    Eeeh mungu Fanya njia KW mtoto wngu heal her God

  • @user-bx9qj2ym9q
    @user-bx9qj2ym9q 9 หลายเดือนก่อน +1

    Taabu hii ni ya muda Baba yangu make a way mahali akuna way ,,,mapingo ninayo pitia mungu tenda tu

  • @GeneralMG11
    @GeneralMG11 10 หลายเดือนก่อน +3

    Baba yangu atafanya Njia...... My God shall make a WAY.....
    What an amazing song that penetrates the flesh of humans and captures the soul wholly.
    He can indeed.
    Mama barikiwa

  • @bethwamoro952
    @bethwamoro952 ปีที่แล้ว +13

    My spirit has directed me to this song...I have been praying for a job and God has just confirmed it is well through this song.thank you Jehovah

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว

      Amen

    • @Rassbaby-id6ge
      @Rassbaby-id6ge ปีที่แล้ว

      Amen

    • @montkellskesesi5141
      @montkellskesesi5141 ปีที่แล้ว +2

      Isaiah 60:22. "When the time is right, I the Lord shall make it happen"
      Believe that this is your season to reap with joy & Laughter after planting in pain and tears .

    • @mugambimukila4060
      @mugambimukila4060 11 หลายเดือนก่อน

      @@montkellskesesi5141 amen

    • @milcahnyamiaka1594
      @milcahnyamiaka1594 6 หลายเดือนก่อน

      Hallelujah

  • @BusieneiMeshack
    @BusieneiMeshack 14 วันที่ผ่านมา +1

    God is above all he will make away to my life Amen 🙏🙏🙏

  • @lydiamukhwana
    @lydiamukhwana 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Fanya njia Kwa kazi yangu, fungua njia Kwa watoto wangu wanapoenda kufanya mtihani wao wa taifa

  • @beatricemsemo4395
    @beatricemsemo4395 ปีที่แล้ว +3

    Hakika umenitia MOYO kwa huu wimbo.. MUNGU azidi kukuonekania..Nami atafanya njia kwa familia YANGU 🙏🙏

  • @millicentatieno1912
    @millicentatieno1912 ปีที่แล้ว +23

    Our God is wonderful nothing is impossible with Him, some of us have history we don't wish to remember, Amen to this wonderful song 🙏

  • @brilliannafula7090
    @brilliannafula7090 ปีที่แล้ว +2

    Oh God...may you make a new way at the end of this month😭😭😭😭😭😭😭 l believe in you God.. You did to our forefathers,,why not me???????????????

  • @Pramilla-kf4vi
    @Pramilla-kf4vi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pia nami naamini atafanya njia licha ya changamoto zisizoisha kuna siku itajipa na nitarudi kushuhudia matendo yake mema kwangu najipa tumaini 😢

  • @milcahnyamiaka1594
    @milcahnyamiaka1594 6 หลายเดือนก่อน +3

    I play it even in the middle of the night. Huu wimbo hunipa ujasiri fulani to face whatever am going through. Am here again here this morning playing it. Mungu naamini utafanya njia

    • @DgccjPyijgf
      @DgccjPyijgf 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu atafanya njia

  • @truphenabenta7285
    @truphenabenta7285 ปีที่แล้ว +4

    Babangu atafanya njia when things are not working thank you father 🙏 barikiwa dada

  • @FeithChebet
    @FeithChebet 2 หลายเดือนก่อน +2

    I dedicate this song to our family😢.....we are passing through many things buh i know God is there for us🙏🙏🙏......

  • @user-ks2om7xp9q
    @user-ks2om7xp9q 11 หลายเดือนก่อน +1

    nakutumaini wewe baba utafnya njia nipate kazi niloyoisomea baada ya kumaliza college 2019 till nao bt kuptia kwa wimbo huu najua kuwa mungu anaweza yote na atanifungulia njia ya kazi ameeeni.God bless u sana.

  • @humblechrismsafi3148
    @humblechrismsafi3148 ปีที่แล้ว +7

    In happiness and in sadness ,Glory to God FOREVER 🙏

  • @gladyskajuju3562
    @gladyskajuju3562 ปีที่แล้ว +5

    Nmefika hapa Leo,this song is a blessing to me and I believe what am going through,baba atafanya njia🙏🙏🙏
    Kuongoleshwa vibaya job,haujafanua makosa, always stressed 😥,
    God make a way for me

  • @Hadia-ze8ol
    @Hadia-ze8ol 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka nilikataliwa nikiwa 13yrs bt mungu alifanya njia saa ii nko 23yrs

  • @HappinessEvalist-tz6vn
    @HappinessEvalist-tz6vn 5 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks God kwa yote ninayopitia lakini bado unafanya njia napita salama

  • @dianahmuema2045
    @dianahmuema2045 2 ปีที่แล้ว +38

    Strong gospel artists.
    You are define woman of God.

  • @femmymtuva9624
    @femmymtuva9624 ปีที่แล้ว +12

    This song is a blessing to me,my current situation is Soo bad but I believe baba yangu atafanya njia na Kila kitu itakua sawa🙏🙏🙏

  • @happylonhambi861
    @happylonhambi861 ปีที่แล้ว +1

    Hata kwangu atafanya njia dada yangu neema atapatikana na atarud nyumban🙏🙏

  • @nazlynjacklyln4592
    @nazlynjacklyln4592 5 หลายเดือนก่อน +1

    God kweli utafanya njia hii ni Imani yangu kwako 😢aibu, kilio,ukavu ni wa muda baba nakushukuru

  • @liliantanga5034
    @liliantanga5034 ปีที่แล้ว +4

    My husband alinifungia v2 zangu na my kids aka2fukuza ili apate nafasi yakuoa my best friend bt nilitoka 2 nikatafuta job na yy wakaoana bt I thank God am working atafanya njia baba nalea wanangu🙏🙏

    • @SUZANAPANGANI
      @SUZANAPANGANI 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu atakufanyia njia awahi wala hachelewi atafanya njia

    • @liliantanga5034
      @liliantanga5034 9 หลายเดือนก่อน

      @@SUZANAPANGANI Amen🙌🙏🙏

  • @elizamichael1708
    @elizamichael1708 3 ปีที่แล้ว +5

    Baba yangu atafanya njia aibu ni ya muda masingizio ni ya muda ila baba atafanya njia barikiwa mama wmbo mzuriii

  • @leonardnamenge8067
    @leonardnamenge8067 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka mwaka wa 2000 when i lost my mum then 2001 nikampoteza my uncle 😢then sikujuwa kwetu bt Baba alifanya njia ainuliwe Mungu wa binguni Baba alikuja akanichukuwa sahii nina familia yangu, Kweli Mungu yuko

  • @user-je5kj9kn6m
    @user-je5kj9kn6m 7 หลายเดือนก่อน +1

    I know that lord will open doors for my education regardless I have no one to abide myself with only Lord...

  • @faithpaul6977
    @faithpaul6977 2 ปีที่แล้ว +8

    Baba yangu atafanya njia😭😭😭I believe Ameeeen 🙏🙏

  • @NAOMI-te4lx
    @NAOMI-te4lx ปีที่แล้ว +10

    I dedicate this song to my mommy,Baba atafanya njia🙏🙏

  • @jaclinaa9509
    @jaclinaa9509 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo huwa unanipa moyo hata nikiwa Kwa na stress najuanga baba atafanya njia

  • @ninahnewborn4617
    @ninahnewborn4617 ปีที่แล้ว +1

    Baba yangu ataendelea kufanya njia 2023