Vaileth Mwaisumo - Mkono wa MUNGU (Official Music Video) Skiza *811*255#
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2023
- Mkono wa MUNGU hauwezi zuiwa na Mazingira, wanadamu, muda yani chochote hakiwezi kuzuia baraka za MUNGU kwa mtu hivyo nikutie moyo kupitia wimbo huu kuwa baraka zako zipo na kwa wakati wa MUNGU zitakufikia. #vailethmwaisumo #MkonowaMungu #hapaniwapi #officialmusicvideo
- เพลง
Today is when I get to know that this song and artist exists after I had this so yesterday in a wedding and told myself that I also want it for my wedding...anyway it's lit...may God bless you!!
Amina
Finally mum ubarikiwe sana Kwa kweli mkono WA mungu sii mfupi umenifikia hata na mimi
Amina🙏🏼🙏🏼
Nice song mummy nataka tufanye moja na wewe
Mukono wamungu umenifikia ata mimi
Hapa n wapi ,,God is so faithful
Walio sema hatuendi mbali, hapa ni wapi 💃💃
Kwa kweli mono wa Mungu umenifikia na mimi
Mwalimu wa math ulisema hatutaenda mbali hapa ni wapi. Mungu sio wenu😂
Hakika
Hivi Mwalimu wa Maths kakosea nini jamani
@@emanuelidagharo9897 Kama unatokea Kenya utaelewa maana yake.
😂😂😂
@@emanuelidagharo9897alisema hatuendi mbali😅😅😅😅
Ameeen Ameeen hallelujah hallelujah glory to God 💪 nimebarikiwa na wimbo huu barikiwa mwimbaji Vaileth
Amina
Ghwimbile kanunufijo kyala akusajeghe fijo nnyamwaisumo
Amina
Wimbo na ujumbe.... Mambo tosha. Keep that spirit burning my sister. Mimi na wewe hadi mwisho.
Thanks much
You made me love and love the song because my English teacher told me that I'll go nowhere now God has opened my ways 😂
Hakika MKONO WA MUNGU si mfupi
hapa ni wapi .. Mungu ametutoa mbali..Mungu aitwe Mungu.mkono wa Mumgu iwafikie wote ambao wamefiwa.....
Mukono wa muñgu umenifikia jamani❤❤❤❤
Ameeen ❤Hapo ni wapi?Mungu hatoki kwenye familia yao❤Hiyo part imenigusa.. Nakupenda sana❤
Amina
Hallelujah, this is beautiful 😻😻 mkono wa Mungu umenifikia kwa kweli
Amina
Wacha wewe,Mimi infact ni jirani wangu but kweli Mungu Yuko.
Wimbo unanibariki sana
Mungu atoki kwenye uko wenu 😅😅hapa ni wapi mahetus😅😅
Hallelujah! Mkono wa Mungu sio mfupi hata Mimi utanifikia. Asante mama kwa huu wimbo wenye ufunuo wa Neno la Mungu. Kazi safi sana 🔥🔥🔥🇱🇷🇱🇷🇰🇪🇰🇪💃🏾💃🏾💃🏾💞💞 This is a daily anthem!💃🏾💃🏾
Thanks much
AMINA AMINA I RECEIVE THIS PROPHETIC SONG WITH THANKSGIVING FOR MY FAMILY IN JESUS NAME 🙏
NEVER AGAIN WILL MY FAMILY BE THE SAME AGAIN IN JESUS NAME 🙏
MORE GRACE MOMMY
Amina
AMEN 🙏
Ooh yes am blessed with your song
Hakika mungu hapiti kwa akina mtu,shetani ng'oooo
Acha nipite nturudi cku nyingne
This one slaps hard, I've played the song since morning, and it will play overnight. Eti siendi mbali,eeeeiish waje Waone hapa ni wapi🙌
Hakika Mkono wa MUNGU si mfupi
Waiting to sing this song soon... i believe in God for everything thing.. i will come back soon with my testimony
Najua Mungu atatenda kwangu nami niimbe huu wimbo,. I will keep trusting in God
Don't give up siz
Hakika hata Mimi Mkono wa Mungu upo juu yangu Kwa Wema
Amen
I can't get enough of this song. May the message move through my veins and grant me a breakthrough in Jesus' mighty name. Amen. Be blessed mama forever🥰🥰🥰🥰😇
Amina🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@@vailethmwaisumo❤
Many blessings to you sister in Christ Jesus. Nice 👍 song.
Amen
The love ❤️ i have for this woman is of another level 👏👏... can't get enough of this song....ata mm najua mkono wa MUNGU utanifikia tu.
Amina
Mwalimu wa math mungu sio wa kijiji chenu mkono wa mungu umetufikia
Hakika Mkono wa MUNGU umetufikia
Walio nikataa nawaambia mkono wa mungu si mfupi umenifikia❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Amina
I've been playing this song since morning. I can't get enough of it. Am soo blessed. Thanks sister. Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi.Amen❤❤
Amina🙏🏼🙏🏼
Nmefungua tiktok Leo asubuhi nkapata nao,mimi huyo...Leo nmeushindia huko.
I love it but I don't know what it means
These song should be trending by now 👌👌❤
Amina
Which was started by a kenyan person ( mwalimu wa math ulisema sitaenda mbali hapa ni wapi
Nauliza hapa ni wapi kweli mungu hatoki kwenye ukoo wao God is good 🎉 ubalikiwe mtumishi wa mungu
Hakika mkono wa Mungu si mfupi
Ungeurefusha huu wimbo jamani hata ukacheza dakika kumi na tano hivi, una shuhuda mingi za wanadamu.
Powerfulll❤
Thanks
Wangapi tunawatch tukisoma comments, mkono juu ✋✋
mambo
✋✋
Niko 😂😂
Ila huyu dada namkubali sana kutoka ngoma yake ya mama ..naona anatububujisha kiiman
Mkono wa mungu c mfupi lovely song
What a beautiful song to listen 🤗 thanks mum for this🙏🙏mkono wa bwana is a certified banger
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Your voice is a blessing to many souls 🙏
Amina
Nyimbo ya harusi nishapata imebaki Bibi🙏☺️
😄
Wow nyimbo nzuri sana mkono wamungu umenifikia
Thanks you mama na nikitaka download nitafanyaje ndiyo nipate huu wimbo aky inanibariki tu sana God bless you 👏👏👏👏👏👏👏
Wow nyimbo nzuri sana mkono wamungu umenifikia ❤❤❤❤❤ 3:52
Nanjiizi niko mbinguni walai mkono wa Mungu umenifikia 🙏🙏🙏🙏
Amina
Mwalimu wa maths hapa ni wapi.... 0:31 ...God of all creation
Huu wimbo umeniguza mahali haki.
May the lord bless you mpaka ushangae.
Mwalimu wa math alisema aje.
Utaenda mahali apa ni wapi
Amina
Hakika ni mkono Wa Mungu
Mkono wa mungu hakika si fupi hiyo tu yatosha.barikiwa mama
Amina
Tiktok family 🎉🎉🎉here we are
Amina
Wenye kiburi na dharau hii ni yenye
WALE AMBAO MKONO WA MUNGU UMEWAFIKIA KAMA MIMI TUKUTANE HAPA,TUMPE MUNGU UTUKUFU WAKE KUPITIA MTUMISHI WAKE V.M.TAKE THE GLORY ALMIGHTY GOD 🙌 🙏. AMEN
Amen🙏🏼
Huku Kenya tunaulinzanga,"Mwalimu wa Maths hapa ni wapi" . Can't get enough of this
🙏🏼🙏🏼
Oh hallelujah ❤❤muliosema siendi mbali hapa ni wapi,?jmn🙏🙏🙌🙌🙌👏👏👏 Amen
Amina
Wacheni Mungu aitwe Mungu 🙌🙌🙌
Amina
Walai ❤ mkono wake sio mfupi
Hii imeenda kabisa hii
Amina🙏🏼
Wash Wen God amounts no one can take away the aniointings? Powerful
From Tiktok niko huku..❤
Ni huku🙏🏼
Huu wimbo ni wa baraka, ubarikiwe mtumishi wa mungu vaileth mwaisumo
Amina Asante
From tiktok nice song just gained new subscriber ❤🎉🎉🎉
Thanks
Waooo yes mkono wangu aki this is great l am being blessed while in galf may the Lord bless you mammy
Amina
Kazi nzuri sana
Walisema sipati mtoto mwingine huyu ni nani kweli mkono wa Mungu
Jamani mkono wake so mfupi kweli.....hallelujah
Amina
Mwalimu wa matg
My testimony song, aki Tanzanian gospel musicians mnatubariki ,Kenya ungesikia asusu ,asusu hadi unashindwa wanaimba nini, ubarikiwe dada
😂😂😂😂
Mwalimu wa maths Mungu hatoki kwa kijiji yenu🫵🫵🫵
Kabisa
Baaaas aki Mungu fanya kazi yako hii imeniguza 🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏 blessed mummy
Thanks much
Mwalimu wa maths upoooo God has done it again
Amina
Kweli mungu ayitwe mungu muku🙏🙏🙏🙏
🎉🎉🎉🎉woow hapa ni wapi
Amina
@@vailethmwaisumoukinja kenya tutafanya duet pamoja dear
Very true mkono umenifikia kweli hapa ni wapi mungu atoki kwenyu Barikiwa mum for nice song🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
Amen
Mbingu zinene mema katika maisha yako my fellow minister
Amina
Mungu halali kwenu apa n wap😊
Kweli wasema
Amina
Mkono wa Mungu simfupi umenifikia🙏🙏🙏🙏
Amina
Mungu ni nani na penye amenifikisha
Mkono wa MUNGU si mfupi
I need the lyrics... Ghanaian here ..so in love with this one...
kweli umesema dada yangu mungu wa mbinguni akubariki zaidi
Amina
Na mimi utanifikia tu kwa jina lake kuu😊
Hakika
Ubarikiwe sana dada ni Mungu hatoki kwenye ukoo wao alelluya
Amen
Iko sawa tuko mbari mukono wa mungu umetupikiya👏♥️
Amina
Woooooow!!!!! Mkono wa mungu enyewe c mfupi,,,,, ukweli mungu atoki kwenye family yao,,,,,mummy really l love this song may God bless you abundantly,,,,, Continue with that spirit of God.songs zako zote ziko na content nzuri .One day l wish to meet you face to face mummy.
Amen
Mungu hatoki kwene ukoo wenu, akiamua ameamua barikiwa sana
Amina
Mwalim wa maths ak Huna bahati🎉🎉🎉congratulations Vaillet mwaisumo
🤣🤣🥰🙏🏼
Mulio sema sitapanda dege hapa niwapi😂😂 barikiwa dada
🥰🥰
Nguvu ya kutosikiza nyimbo zako tamu ivo ntatoa wapi,,,nice one keep on moving vessel of God
Amina thanks much
My role model umbali nimefika ni mkono wa mungu watesi wangu habari muipokee stay blessed mightily mama vaileth🙏🙏🙏
Amina
Hii wimbo ni moto ,Hapa ni wapi Shukran sana mungu 🙏🙏
Amina
Waliosema hatuzi kujengea wazazi wetu kimewaramba Mungu si miungu yenu 🙏🙏🙏
Hakika Mkono wa MUNGU si mfupi
Hakika mkono umenifikia ubarikiwe sana mama
Amen
Wow hallelujah hallelujah Aki tu nimebariwa sana
Shukrani sana
Mkono wa mungu si fupi umenifikia eeeeeeeh,,,,,walio sema siendi mbali hapa ni wapi,,,,,acheni mungu aitwe mungu❤❤❤❤❤❤❤❤❤ much love to this song
Amina
Wachane mungu aitwe mungu ❤❤🎉🎉
Hii song nitaeka nikitoka kwa nyumba ya mwarabu
Akie umenifurahisha dada ,,nikweli kabisa😂😂😂
Wimbo mzuri hatari,barikiwa sana
Amen
Qweli bila mungu hatuendi mahali
Kabisa
Acheni Mungu Aitwe Mungu. Lovely song.
Team gulf mpo❤❤❤❤❤
Mbarikiwe
Hakika mungu akuinue barikiwa sana
Mkono wa Mungu sio mfupi jamani haki hii nayo ni ukweli,walisema Mimi ni tasa sai Mimi ni mama,wakasema siwezi faulu lakini Mungu naye ni nani. ...Wacha Mungu aitwe Mungu
Amina