Jackson Benty - Ndiwe Mungu (Official Music Audio).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #JacksonBenty#NdiweMungu#

ความคิดเห็น • 49

  • @pateriusrutatoka1402
    @pateriusrutatoka1402 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wangu pendwa.. Barikiwa sana mtumishi wa Bwana..

  • @rehemakimambo1221
    @rehemakimambo1221 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana My Pastor Jackson

    • @pendojohn9205
      @pendojohn9205 3 ปีที่แล้ว

      Yani kiukweli nyimbo zako huwa zinanikosha na xina mguso Sana songs mbele lakini namba zako hatuna tutakualikaje. Sasa tusaidie no zako.plz

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Yesu wewe Ndiwe Mungu! Hiki ni kiwango kingine kabisa cha Imani pale unapokubali kuwa Yesu Ndiye Mungu Mwenyewe

  • @emmanueldionismbena3461
    @emmanueldionismbena3461 8 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana kaka yangu

    • @jacksonbenty
      @jacksonbenty  8 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana

    • @emmanueldionismbena3461
      @emmanueldionismbena3461 8 หลายเดือนก่อน

      @@jacksonbenty rudi kaka kwenye muziki unajua ni wachache mnaoimba nyimbo zenye nguvu ya roho mtakatifu

  • @esthercheyo9547
    @esthercheyo9547 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @neemanyagawa9479
    @neemanyagawa9479 ปีที่แล้ว +1

    Bwana YESU asifiwe Pastor. Ule wimbo unaoimbwa "umenifanyia njia katikati ya bahari, umekuwa adui wa adui zangu" mbona haupatikani TH-cam?

    • @jacksonbenty
      @jacksonbenty  ปีที่แล้ว +1

      Utaupata ndani ya siku chache

  • @elizabethnyendo1635
    @elizabethnyendo1635 3 ปีที่แล้ว +4

    Shalom brother, tunahitaji pia nyimbo zako zile za zamani.. please upload..🙏🏼

  • @estherwilliam5125
    @estherwilliam5125 2 ปีที่แล้ว +2

    woow naupenda sana huu wimbo, kumbe ni ww kaka umeimba👏🏼👏🏼Be Blessed

  • @paulsamuel6265
    @paulsamuel6265 ปีที่แล้ว +2

    Kati ya nyimbo Bora Sana za kumfia Mungu kuwahi kutungwa Hapa Tanzania,wow mashairi,Muziki ni burudani Mno, melody, siwezi kumaliza eleza hapa ,huu ni ufunuo Mkubwa Mno Kwa mtunzi wa Huu Wimbo,nimeutumia Sana katika kipindi kigumu kumsifu Yesu mwokozi

    • @Shalom803
      @Shalom803 ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤❤

  • @damianm.1833
    @damianm.1833 7 วันที่ผ่านมา +2

    mtumishi napenda nyimbo zako ubarikiwe

    • @jacksonbenty
      @jacksonbenty  6 วันที่ผ่านมา

      Amen,utukufu kwa Bwana Yesu

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunasubiri video mtumishi wa Mungu.....

  • @christinamwingira3148
    @christinamwingira3148 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aubariki huu utumishi, Yaani hapo furaha ya Moyo wangu nikuabudu, very Powerfull Roho Mtakatifu azidishe mafuta yake juu yako.🙏

  • @carolinemungure6066
    @carolinemungure6066 6 วันที่ผ่านมา +1

    Huu wimbo nilikuwa nawazia umeimbwa na muimbaji mwingine kabisa

    • @jacksonbenty
      @jacksonbenty  4 วันที่ผ่านมา

      Labda kuna aliyewahi kuurudia

  • @joyceanthony7383
    @joyceanthony7383 ปีที่แล้ว

    Nimesikiliza huu wimbo,Moyo wa Ibada umerudi kwa upya ndani yangu!!
    Glory to Jesus!!

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 2 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo ni zaidi ya mali mengi, ni zaidi ya asali katika sega la asali. Nakumbuka mbali sana, wakati nimeanza wokovu. Mungu akubariki sana mtumishi

  • @KAPONDA001
    @KAPONDA001 ปีที่แล้ว

    Back in 2015 mara ya kwanza nausikia

  • @graciezablon7816
    @graciezablon7816 2 ปีที่แล้ว

    Tumsifu yesu kristo brother, Please bring back ule wimbo wa Bwana ndiwe nguvu zangu. Nimeutafuta sana haupatikani popote. Asante, Ubarikiwe sana

  • @GadiSedekia
    @GadiSedekia 2 ปีที่แล้ว

    Baraka sanaa

  • @januarymwingwa2962
    @januarymwingwa2962 11 หลายเดือนก่อน

    Mpendwa nautafuta huu wimbo naupataje mana kila platform ya kudownload haupo

    • @jacksonbenty
      @jacksonbenty  8 หลายเดือนก่อน

      Wewe unapatikana wapi?
      Naomba namba yako

  • @BARAKAGIDEON
    @BARAKAGIDEON ปีที่แล้ว

  • @farajamalumbi9555
    @farajamalumbi9555 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏾

  • @ashelgabriel1696
    @ashelgabriel1696 10 หลายเดือนก่อน

    Uweke wa video sasa mtu wa mungu

    • @jacksonbenty
      @jacksonbenty  8 หลายเดือนก่อน

      Amen,asante sana

  • @rizikigilbert3972
    @rizikigilbert3972 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen!

  • @oliveramani5629
    @oliveramani5629 2 ปีที่แล้ว

    Glory to God

  • @ashelgabriel1696
    @ashelgabriel1696 10 หลายเดือนก่อน

    Bwana ndiwe nguvu zangu unatakiwa

  • @elienezamwanga9448
    @elienezamwanga9448 2 ปีที่แล้ว

    God we Glorify Your Holly Name Via this Song

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 3 ปีที่แล้ว

    Yesu wewe ndiwe Mungu, oh! Hallelujah

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @pendosima8721
    @pendosima8721 2 ปีที่แล้ว

    Amina Yesu wewe ndiwe Mungu

  • @johnmtulya528
    @johnmtulya528 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba ile ya umenifanyia njia njiaaaa haipo TH-cam

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 ปีที่แล้ว

    This song🙌🙏

  • @sharifamatenda2766
    @sharifamatenda2766 3 ปีที่แล้ว

    Yessss🙏🙏🙏

  • @geofreykituye7885
    @geofreykituye7885 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeitafuta sana hii nyimbo!
    Mungu akubariki sana Jackson Bent! Ni miongoni mwa nyimbo zinazobariki mno mno🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @januarymwingwa2962
    @januarymwingwa2962 ปีที่แล้ว

    This song bless me a lot..thanks man of God

  • @victorchampoa
    @victorchampoa 3 ปีที่แล้ว

    🙏🏽🙏🏽💪🏽