Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu Jackson Benty. Nimefurahi Kuona umerudi tena. Kwa kweli nyimbo zako nyingi zina UPAKO. Sifa na heshima zimrudie mungu wetu.
Mtumishi ucbane hizo nyimbo unayumba wapi weka zote tunabarikiwa sana sana na nyimbo zako Mungu akubariki na aendelee kukuinua ili utukufu wake uendelee kuuinuliwa kupitia wewe
Asante Yesu niliusubir sana huu wimbo❤
Ameen Mtumishi wa Mungu wimbo mzuri sana huu .naomba sana tena sana weka na ule wimbo wa tenzi wa kijito Cha utakaso
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu Jackson Benty. Nimefurahi Kuona umerudi tena. Kwa kweli nyimbo zako nyingi zina UPAKO. Sifa na heshima zimrudie mungu wetu.
Nazipenda nyimbo zako sana ni za rohoni sana, zina nguvu za Mungu, ubarikiwe jackson.
YESU KRISTO umnyanyue tena mtumishi wako Jackson Benty pamoja na mapito yote..I feel to cry
Kaka, nyimbo zako ni za mudaa ila hazichuji ni kama mpya kila siku. Umebarikiwa ase nabarikiwa saana na nyimbo zako tokea utotoni mpaka sasa
❤ Mungu wa mbinguni akunyanyue
MUNGU BABA aliye mbinguni na akubariki na asikupungukie……..
Aziongoze njia zako siku zote 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen!🙏
Thank you for uploading this song... niliutafuta sana
Yaan hata mimi nimeutafuta sana....
nice somg, naomba uweke na ule wimbo wako wa mwanangu
Mtumishi ucbane hizo nyimbo unayumba wapi weka zote tunabarikiwa sana sana na nyimbo zako Mungu akubariki na aendelee kukuinua ili utukufu wake uendelee kuuinuliwa kupitia wewe
🙌🙌🙌🙌🙌 nyimbo hii inanibariki sana
🥹🥹 ubarikiwe Sana, Nyimbo nzuri sana!!❤️🤎🤍
Amen!!! Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu, wimbo huu umenitia nguvu kila wakati nilipokua nachoka na umeendelea kua baraka kwangu since those days
Nyimbo hua inanibariki sana sana
Naipenda hii nyimbo mnoooo
Powerful song indeed YESU azidi kumimina mafuta ya upako wa Roho Mtakatifu juu yako Jackson Benty
Nabarikiwa sana nakazi zako
One of most powerful song is this God bless
My heart is lifted up by your song 🎶🙏
Sifa na utkufu kwa Bwana mtumishi wa Bwana
Tuwekee nyimbo zako zote mtumishi zinatubariki mno
MUNGU wa mbingun akutunze na akulinde!!!!
Aisee dahh..itoshe kusema uishi milele
Thanks for uploading this song nilikua nikiupenda sana
WE MIC YOU BRO
Nice song ...the old is gold
Barikiwa mtumishi wa Bwana
Ameen..Niliutafuta San huu wimbo.
Mungu akubariki na kukuinua viwango vya juu zaidi mtumishi wake.
Amen🙏
Huyu ndugu na Fanuel Sedekia walimanisha katika utumishi wao
Ni kwa msaada wa Mungu
Blessed song....Barikiwa sana.
Ubarikiwe sana brother Benty. Your Worship songs have been a blessing. I pray for more Revelation and Grace.🤲
Amen be blessed for uploading this song.
@@jacksonbenty Amen mtumishi
Asante Sana kwa hii
Aksante kwa Ku upload nyimbo zako Tunaomba ufanye zote mama tunabarikiwa mno bro
Be blessed pastor this song blesses my soul always
Asante sana Kaka nabarikiwa na nyimbo zako
Amen,🙏
Amen Amen 🙏 🙌 👏 kwakweli
Asante sana
Glory to God haleluya
Ubarikiwe kaka nyimbo zina uwepo waMungu sana
Amen,Glory to Jesus
jackson nmeitafta sana yani ndo unaipost leo jmn😭😭
Mimi nineitafuta for almost 3 yrs leo ndio nimeipata 😇
Mungu akuwezeshe ufanye na video yake,japo naona km imebadilika kidogo,ila upako mi uleule,Mungu akubariki sana,nabarikiwa sana
😁😁
Nataka niipate hii Audio ....naipataje wandugu....
@@jacksonbenty Nipo mbeya busokelo ,Ntaba hapa...
@@jacksonbenty Nashukuru sana ndugu yangu
Stay blessed mtumishi wa Mungu
Thank you God for this song🙏🏽🥺
Amen
Mungu ni Mwema
Amen,asante sana
Amen 🙏 🙏
NimeItamani Sana huruma za bwana
Asante sana
😭😭
Mtumishi wa Mungu aliye hai, Mimi natamani kupata nyimbo zote za album ya mwanangu, na huu wimbo si umo mle?
Daah 😭😭😭Mungu yupo kwenye sifa hakika