Mungu mtenda makuu Nmeusikia wimbo huu, nguvu iliyomo ndani yake iwe mwongozo na maombi kwa haja ya moyo wangu maana uhai ni wako Bwana. Matendo makuu nayaona, 🙏 🙏 🙏
Its 31st 2024 0934hrs Thankyou Jesus for the grace whole year. Lord am grateful 🙏 Thankyou for the mercies able to see the last day of the year...am grateful 🙏
Jackson, hii ni powerfull song ever...Bado nasikiliza tangu miaka na miaka enzi na enzi yet it's a blessing to me..Ntakutafuta Mtumishi. Actually tangu enzi zile ukija kuhudumu DPC na kina John Lisu. Sikumbuki kilikuwa ni kitu gani nyakati zile. Mungu akubariki.
Mungu ni mkuu mno hakuna wa kufananishwa nae. Anatupenda, anatulinda, anatupigania na kutushindia mabaya yote. Tumpende, tumwabudu na kumsifu kila siku.
Kaka confirm,huu wimbo uliupiga kwenye Key gani? Key ya F Maj? Progression zake ni zipi? Huu wimbo umebariki wengi broo.... Stay exalted,lifted and elevated broo🎉🎉
Amen❤
MUNGU BABA aliye mbinguni na akubariki na asikupungukie…….. Aziongoze njia zako siku zote 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen!🙏
Heri jina lako ee bwana yesu 🙏🙏🙏
Nimefurahi kuupata huu wimbo wa enzi za 2005+
Amen🙏
Kwakweli Bwana wewe ni mkuuu😂😂😂
Amen!
Huu wimbo uliimbwa katika uwepo wa Mungu, maana upako wake hauchuji miaka hata miaka, huu wimbo huwa unanibarikisa sana kila niusikiapo ❤
Amen🙏
😊kcoh😊lsd
Mungu mtenda makuu Nmeusikia wimbo huu, nguvu iliyomo ndani yake iwe mwongozo na maombi kwa haja ya moyo wangu maana uhai ni wako Bwana. Matendo makuu nayaona, 🙏 🙏 🙏
Nyimbo zako zinaniweka Kwenye uwepo sana Barikiwa Sana Mtumishi
Let the glory honour and mercies be back to you Jehovah ...am grateful Jesus ...be blessed people .Amen 🙏
Its 31st 2024 0934hrs Thankyou Jesus for the grace whole year. Lord am grateful 🙏 Thankyou for the mercies able to see the last day of the year...am grateful 🙏
2025
Amen 🎉
Nataka nifanane nawe yesu moyo wangu
Jackson, hii ni powerfull song ever...Bado nasikiliza tangu miaka na miaka enzi na enzi yet it's a blessing to me..Ntakutafuta Mtumishi. Actually tangu enzi zile ukija kuhudumu DPC na kina John Lisu. Sikumbuki kilikuwa ni kitu gani nyakati zile. Mungu akubariki.
🙏
Ni neema ya Mungu
Mungu ni mkuu mno hakuna wa kufananishwa nae. Anatupenda, anatulinda, anatupigania na kutushindia mabaya yote. Tumpende, tumwabudu na kumsifu kila siku.
Nabarikiwa sana kaka..endelea mbele Mungu akutumie zaidi
🙌
Wewe ni mkuu Bwana❤❤ 🙏🙏🙏
Sijui kwann hii nyimbo inanitia nguvu kwenye kila pito nalopitia 😢
hii nyimbo nikiisikiliza hua machozi yanatoka aliimba Kwa hisia sana 👏👏👏👏
Halellujah Yesu 🙌🏽🙏🏿
❤❤❤❤
Kweli Bwana yupo ndani yako, so just maintain the anointing
2024
amen
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Tunamaliza nwaka 2024 tukikiri kuwa BWANA WETU NI MKUU 🙏💯
Wimbo mzur sana
Kwa kweli Bwana wewe ni mkuu🙌
Daaaah mung akup kipawa xaid
Amen🙏
Hallelujah thank you Jesus for all baba yangu
Amen🙏
Kwa kweli Bwana wewe ni Mkuu
Ni kweli bwana wewe ni mkuu 🙏 Mungu akubariki katika utumishi wako.
Amen🙏
🙏❤️
Wapo Radio wamenifanya kukujuwa ..huu wimbo unanibariki sana ..2024..
Amen,🙏
Barikiwa sana
Asante sana
Nafurahia kuzisikia hizi nyimbo tena
Nyimbo zako zinanibariki sana, natamani kukusikia tena kwenye uimbaji
Kwa neema ya Mungu naendelea
Dah Mungu akubariki mtumishi
Kaka confirm,huu wimbo uliupiga kwenye Key gani? Key ya F Maj? Progression zake ni zipi? Huu wimbo umebariki wengi broo.... Stay exalted,lifted and elevated broo🎉🎉
Ndiyo,F
Nani yupo hapa 2024..nimepata ujumbe wangu Leo. Umekuwa kama ndio nimeusikia Leo Kwa mara ya kwanza. Barikiwa
Amen,utukufu kwa Bwana Yesu
Mimi hapa mpaka nasikia ndani yang kujaaa
Today because of mwamposa woshiper.. i found this song.. amen
Amen,Glory to God
Yaan baada ya kudkiliza huu wimbo nimemkumbuka fanuel sedekia 😢
Mungu mwema sana,kazi yake inasonga mbele
Amen
The dressing code resembles What's coming out of the mouth.. mouth this the church we wish to have in this century but it's so unfortunate
God will make it happen
@@jacksonbenty AMEN
Mama yangu kabla hajafariki aliusikiliza huu wimbo siku nzima😭😭nmemkumbuka leo nmeuckiliza naishia kulia tu😭😭😭😭
Mungu akutunze
4
Amen Amen ❤