Ukiwa na Dalili hizi, jua una Uchawi mwilini mwako. Sh. Othman Michael

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Omar Bakari Almasi online tv

ความคิดเห็น • 52

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว +3

    Bwana YESU akubariki sana nimesikiliza nimesisimuka sana!mme wangu amepumbazwa kichawi ameniterekeza na watoto,amechukua mke wa ntu niombee dua afunguke,Mungu Akupe Afya,

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuweke shekhe wetu mungu akutie nguvu.na.akupe wepesi wetu

  • @saidaabdu6964
    @saidaabdu6964 ปีที่แล้ว +2

    Aslm.alykm kweli kabisa uchawi uko subhanallah Allah awashinde nguvu inshallah 🤲🤲

  • @zayyello7880
    @zayyello7880 ปีที่แล้ว

    Shekh othuman ninakupenda kwa ajili ya Allah,Allah akupe umri mref uendelee kutupa darsa

  • @nuria7223
    @nuria7223 2 ปีที่แล้ว +1

    jazakallahu kheir sheikh

  • @AhamadShabaanmussaShaban-kv2zv
    @AhamadShabaanmussaShaban-kv2zv ปีที่แล้ว

    Sheh Mungu akubali akup maisha marefu uzidi kutuelimisha

  • @rukaiyalema7966
    @rukaiyalema7966 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli shgh nakupenda keajil ya allah

  • @MishiNdanie
    @MishiNdanie 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nateseka sanaa waallah..ugomvi san kwenye ndoa yangu

    • @suleimanjabiri729
      @suleimanjabiri729 12 วันที่ผ่านมา

      @@MishiNdanie Fanya dua kwa wingi....Allah atupa ufumbuzi

  • @iddihudu9835
    @iddihudu9835 ปีที่แล้ว +1

    Hata Mimi tumbo linaunguruma Sana sherk wangu dawa zote zimedunda

  • @joyceksoo7889
    @joyceksoo7889 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani mama yangu anasumbuliwa na tumbo sana linaunguruma na kuuma sana

  • @salumnassib7780
    @salumnassib7780 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @MohamadShimin
    @MohamadShimin 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh niombe mimi mohamad nikona hasad nyingi sana

  • @abdurahimmohammed-i2z
    @abdurahimmohammed-i2z หลายเดือนก่อน

    Sheikh asalam alaykum anawashwa akikoga maji ya barid au pia akiwa na mwili ukiw na joto anapata tabu sana tupe ufumbuzi

  • @tanzaniat7151
    @tanzaniat7151 2 ปีที่แล้ว

    Kweli hsekhe yote hayo yapo Allah akuzidishie kheri

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ulikuwa mkrusto ndo Mana jina lako mwisho michael

  • @irinenacha6543
    @irinenacha6543 ปีที่แล้ว +1

    Kwer upo sahhh

  • @RahmaRujaina-qq3cd
    @RahmaRujaina-qq3cd 9 หลายเดือนก่อน

    Shekh uko wap nahitaji Dua na sumbuka sana na majini

  • @nicasiomugo437
    @nicasiomugo437 ปีที่แล้ว

    Asantaa binti yangu alichajwa chale mbili wiki iliyopita na aliendesha sana na tumbu kutoka sauti sijui nitamsaidiaje ni saaidieni

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Dawa shilingi ngapi

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyewe nikienda kanisani napenda niwe na sadaka

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Sisi tulishawai kuwashwa nyumba nzima

  • @ummukhaullah3007
    @ummukhaullah3007 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh naomba utoe darsa ya ufafanuzi zaidi juu ya chale kwani ninatatizo hilo na kukosa maziwa kabisa

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilinyolewa nywele nyingi

  • @husnarams3698
    @husnarams3698 ปีที่แล้ว

    Asalam alaikum yaan me hyo dalili ya kwanza ninayo

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Chale mbaya za kichale halafu anakuona

  • @suleimanjabiri729
    @suleimanjabiri729 หลายเดือนก่อน

    Ila kuwa makini usijekuingia kwenye shirki tu....wenzio wanaanza hivyo hivyo

  • @popoohamisi5832
    @popoohamisi5832 11 หลายเดือนก่อน

    Sheikh kma unaskia kutambaliwa mgongoni n ukishika huoni kitu

  • @winnielifted1888
    @winnielifted1888 ปีที่แล้ว

    Mie hizo chale nimechanjwa kwa miaka 5 sasa na sijapata tiba

  • @Farida-mz4so
    @Farida-mz4so ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum shekhe samahan naomba kukuhuliza unaweza kumfanyia mtu ruqya ya kumtoa jini? Au unamfaham mtu anaesoma ruqya? Nina shida sana ya jini mwilin mwangu Hila achomoki mpka asomewe qur an ndio anapandisha Hila ananitesa naumwa umwa ovyoo alafu maumivu ya aina moja

  • @zinatmohamed1986
    @zinatmohamed1986 ปีที่แล้ว

    Asalam nataka no yako plz mm nawashwa bila sababu wanase kama ktk kisuri inakuwa kwahiyo nakula lkn haoponi

  • @ZainabAli-tx9ne
    @ZainabAli-tx9ne 2 ปีที่แล้ว

    Nshawahi tumia hizo ila hazijanisaidia je Kuna dose nyengne sbb hazjanisaidia

  • @aminamichael5023
    @aminamichael5023 2 ปีที่แล้ว +1

    Wachawi mnafaidika na nini mwisho wa siku? kuona wenzenu wakiteseka?au ni maradhi ya kutojiamini na roho mbaya? hiyo shinga ukiikanyaga km mjamzito mtoto wa kiume huchukui dakika mimba inatoka, wanga shkamooni ila ipo siku yaja na haiko mbali

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

      Kwel wachawi ni watu wabaya sana wanemlogq baba yangu aliteseka

  • @khamisalnabhany1985
    @khamisalnabhany1985 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tahadharini na Shekhe huyu. ni Hatari sana kwa kuwapotosha Watu kwa ajili ya Maslahi yake

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 ปีที่แล้ว

      Acha chuki binafsi ww umejuwaje hayo yote

    • @swalehmwalim4662
      @swalehmwalim4662 2 ปีที่แล้ว +1

      Acharoho chafu usijikute ushakua mushilikina anaongeya ikweli

    • @rukaiyalema7966
      @rukaiyalema7966 2 ปีที่แล้ว +1

      Naww wapotoshee kama unawezaa

    • @thetrends9973
      @thetrends9973 2 ปีที่แล้ว +2

      Ukitahadhari wewe pia inatosha

    • @aminamichael5023
      @aminamichael5023 2 ปีที่แล้ว +1

      dalili za mchawi ni hii ulokuwa nayo wewe ,nyamaza tu shekh hajakutaja yy anazungumzia wale wanaotendwa sio wewe mwanga

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Mafuta Bei gani

  • @zuumohammed6878
    @zuumohammed6878 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah