JIKINGE NA UCHAWI,HASADI NA KIJICHO KWA ADHKAAR HIZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 วันที่ผ่านมา +13

    Ewee mola wangu nakuomba umueke shekhe wetu yey na kipenz chetu Muhammad rasulullahu pamoja peponi amiina kwa sote

  • @NeziasIbrahim96
    @NeziasIbrahim96 6 วันที่ผ่านมา +8

    Mashallah! Mungu alitie Nuru kaburi lako Sheikh Nassor

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akurehemu sheikh wetu kipenzi....

  • @halimasuleiman5429
    @halimasuleiman5429 วันที่ผ่านมา +1

    Jazaakallah khaira

  • @DhulfaabdullaAli
    @DhulfaabdullaAli 4 วันที่ผ่านมา +4

    Allah atukutanishe sote peponi pamoja na mashehe wote amin

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 3 วันที่ผ่านมา +2

    MASHALLAH ALLAH ALITIE NURU KABUR LAKO SHEIKH NASOR BACHU

  • @HamisaSaidi-e9y
    @HamisaSaidi-e9y 4 วันที่ผ่านมา +2

    Bismillah walajina Bismillah khalajina Bismillah rabbina halaika tawaklna

  • @fatmahmohamed5321
    @fatmahmohamed5321 4 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akurehemu na akuepushie mtihani ya kabri...na aijazi nuru kaburi lako na wote mliotangulia .nyingi mbele Sisi nyuma..kila nafasi itaonja maut.

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amiin Yaa Rabbal a'laamin Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinahu filjannatil a,ala..amiin

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 5 วันที่ผ่านมา +4

    اللهم ارفعه الدرجة في الجنة

  • @HawaaMkubwa
    @HawaaMkubwa 4 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuongoze njia iliyo nyooka Allah humma ameen

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 5 วันที่ผ่านมา +3

    Allah akujazie nuru ulipo akupe pepo Yarrab

  • @fatmahmohamed5321
    @fatmahmohamed5321 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mola akurehemu sheikh bachu

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 5 วันที่ผ่านมา +1

    MashaAllah kwakweli hawa ndio Mashekh wa dini waliokua wakijitambua!! Allah awape pepo Yarrab’ lkn sio sasa kumejaa mitapeli ilokosa haya mijambazi vishekh mitandao niaa tupu Allah awadidimize Yarrab

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 วันที่ผ่านมา +2

    Na wazazi wetu na watoto wetu sote utujaalie jannatul firdaus na waislamu wote amiina

  • @SemanzaSaidaty
    @SemanzaSaidaty 4 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah kwakweli wewe nimwalimu Allah akulipe pepo nasisi wasikilizaji atulalie kuyafata

  • @MaishaNuro
    @MaishaNuro วันที่ผ่านมา +1

    Allahu amrehemu shehe wetu

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 วันที่ผ่านมา +2

    Nakuomba mola wangu na sie utuingize peponi pamoja na shekhe wetu kwenye pepo Yako ya Rabbi km ulivyowaingiza maswahaba na mitume

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 4 วันที่ผ่านมา +1

    Aamn

  • @HusseinNuru-zd3bf
    @HusseinNuru-zd3bf 4 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akulipe jannatul firdous