mze yupo sawa Ila kuhusu kiswahili na lafudhi tunatofautiana Hanmna sehemu ambayo haikosei na Tanga pie wanakikosea kiswahili na ukiulizia Tanzania nzima sehemu inayongelewa kiswahili safi ni Zanzibar big up mze majuto we kwetu Tanga
, NA PIA KUHUSU RAY NANI SIUI MIMI SIKUBALIANE NA RAIS KUMSAIDIA STAR KWANI KUNA WATU NA WATOTO WA MTAANI WENGI WANAITAJI MSAHADA SIO MTU ANAFANYA STAREHE MPAKA ANAJISAHAU NA KUWA MTEJA HUYU ALIKUWA NALAKE LINGINE NATAKA NIMUONE USO KWA USO INSHALLAH
jamani huyu dem aitwa nani naweza wasiliana nae vipi, huyu dem anaeongea na mzee majuto, pease help. nataka tu kua rafiki nae don't mis understand me. many thanks. I like her confidence etc
Mr Barwani. Nadhani wakati Mr Majuto amezungumzia baina mtu na ntu, mchuzi na nchuzi, hajakusudia Unguja, Pemba au Mombasa inawezekana kua ni mtani wa mtu anaezungumza hivo, lakini wako wanao tamka hivo katika moja ya sehemu nilizo tamka hapo juu. Na usimsigizie kwamba kasema uongo.
Kama Bado unamfatilia huyu Mzee Hadi Leo gonga LIKE HAPA
7/8/22 RIP Mzee wetu. With love from Kenya.
Legendary Majuto hakuna comedian kama KING MAJUTO no One TANZANIA
Namupenda Mze Majuto, he's down to earth and original!! Shukurani saana!!!!!!!!!
Amen Mzee majuto , maombi ndio silaha yetu
R i p Mr Majuto
salama uhodar wako wote na umwamba umekaa mbele ya mzee majuto huoni ndani
mungu akuzidishie umri baba majuto kwa kaziyako nzuri
Wat can i say..ooooooh....juto i reall lov u...ur amazing person....may God be with u
Tutakukumbuka Sana mzee majuto
Allahuma ghfir'lahu warrahamahu waskun fill jannah..tunamuomba mwenyezi mungu amrehem mzee majuto
salama we kauzu lkn kwa Majuto umekoma
Mzee Majuto umeuwa salama na cheko
mze yupo sawa Ila kuhusu kiswahili na lafudhi tunatofautiana Hanmna sehemu ambayo haikosei na Tanga pie wanakikosea kiswahili na ukiulizia Tanzania nzima sehemu inayongelewa kiswahili safi ni Zanzibar big up mze majuto we kwetu Tanga
Kazi nzuri sana Salama. Ninapenda sana kipindi hiki cha Mkasi. leo nimetazama mazungumzo yako na Mzee majuto. Nimefurahi sana. Big up!
Rahimahu llah
babu majuto big family mashallah hahaha luv from kenya
R.I.p. KING we will remember and praying for u ..father comedian
daah ilipendeza mno duuu ulale pema mzee
Good job mzee majuto we love you
Mtukufu Rais Mnunulie huyu mzee Trekta. Mchango wake ni mkubwa sana katika kuitangaza nchi na kuwezesha ajira kwa vijana. Tafadhari sana!
Azam 2
Siyo tafadhari brother, kiswahili kibovu,sema tafadhali
@@credolassana287 9ppoooooooo9o9o9oo9ooooooop
I'm
My
RIP KING MAJUTO. MARADH NDIYO KIKOMO KWA UMRI ULIKUWA BADO NA UELEWA HEKIMA NA BUSARA KUBWA NI PENGO USANII WA TANZANIA
Innaalillah wainna illah rajiuun
Nguli wetu mzee Majuto wa ukweli ulikuwa mchapa kazi kwa ukweli Pumzika kwa amani baba.
God bless his soul
Miss your talent Majuto
Uko pouw sana king, respect kwako mzee
I miss the show sana jamani salama
He make my night kwakumbiza menge!
Poa sana sisi tulio inje ya inchi tunawafuata sana kupitia mkasi iyo bomba kwakutupa raha.
Wema
Tunawapenda sana pia nyinyi watu wetu wa DRC
hongera kwa kuomba trekta mzee wa watu una busara sana
ila majuto una mizenguo we we I like u
hahahahaha we noma majuto nakukubali xan yaan hapa natoka machoz
mganga mkubwa ni Mungu
Tanga kumbe mashuhuri kwa uchawi, subhanallah, mtu hakosi kuulizia naskia Tanga kuna wachawi ? !!!
Majuto na kukubali sana baba yangu, hakuna kama wewe, hongera sana.
VIP WW
2024
Gather all here
Kutamka NTU badala ya MTU ni lafidhi ya Kipemba na si kiswahili fasaha.Pemba sio Zanzibar,lakini Zanzibar inaweza kuwa Pemba imo ndani yake.
Ijuilikane kuwa uko znz kuna unguja na pemba, sawa
majuto nomaaa!!
na salama vp!? mbn kakonda xnnn....
, NA PIA KUHUSU RAY NANI SIUI MIMI SIKUBALIANE NA RAIS KUMSAIDIA STAR KWANI KUNA WATU NA WATOTO WA MTAANI WENGI WANAITAJI MSAHADA SIO MTU ANAFANYA STAREHE MPAKA ANAJISAHAU NA KUWA MTEJA HUYU ALIKUWA NALAKE LINGINE NATAKA NIMUONE USO KWA USO INSHALLAH
babu majuto you're the moon among the star
I
this very good programmes which are encourage society.
RIP mzee majuto
kweli huyu mzee anafaa tumkaribishe Ras alkhema atuchezee sumsumiya, mali kwa mali hayadeni
King unapoteza muda sio maswali hayo kwnini unakubali maswali yao
The best majuto 👍🏾
Alitakiwa aitwe king of comedy tz! cjaonaga kama yeye.
Rip majuto
da mzee Unaweza tathinia ya filamu bongo
mungu kakupenda zaidi
nice to see mr majuto
RIP KING MAJUTO
Majuto mkalii wetu . vunja mbavu
love u moreeeeeeee
haha that was grr8t with majuto apande mpoki for sme new stories itakua poa sana
Kweli mnamuonea
R.I.P King Majuto
majuto anajuwa hakuna king mwingine
Salama umetsha
Maskin enzi zake za uhai innalillah wainnallilahi rajun 😭 our lovely papa
Salama wewe mwenyewe unamaisha
u do agreat job big up
Mzee namiss sana
jamaa anajua
Naiangalia tena Leo huku nikiwakumbuka
RIP Majuto mtanga mwenzetu
King majuto mmnmnsakama not fair
daaah nampenda sana majuto muigizaji bora
.
James Kamande
Ndio kashatuwachaa Mungu ampe Hatma njemaa alipo
cool majuto
Saa juki alobeba dawa
Hahaha yani Nimecheka jamani. Mkimbiza mwenge.
lizybongofashion Beibe tarab
I say Majuto...mie leo kapata nafasi kutazama mkasi. Nafurahi tu I say.
RIP king majuto
jamani huyu dem aitwa nani naweza wasiliana nae vipi, huyu dem anaeongea na mzee majuto, pease help. nataka tu kua rafiki nae don't mis understand me. many thanks. I like her confidence etc
Abjay Athman
anaitwa Salama Jabir
welldone erything only God
R.I.p Mzee wetu majuto
R.I.P King Majuto 21/8/2023
aaaah waZanziberry wamepanic
Ni hatareeeeeeeeee!!
Lafuzi ya kitanga na kizanzibar ni sasa na kama ulivosema tutaongea MTU kua Ntu ni lafuzi ya kipemba
majuto noma
teh teh majuto
Mzee majuto taakupenda.from Kenya.
Nakumbuka
RIP KING
vip
shekh majuto nasalama hamuwachi yakhe mmekuwa nyinyi ndio mnajuwa kiswahili kuliko znz msitake malumbano mzungumze mengine siyo mambp ya kiswahili ulizeni uzuri mzizi wa kisawhili umetokea wapi ?????????????????????
PAANDU MAZILA
Rip king majuto
Majuto noma lkn mbona familia kubwa kama daaaa
R.I.P king
R.I.p
😭😭😭
haaaaaaaaaa
Hi guys what's going on in zanzibar politics?
Majuto kwa ukweli ni nguli.
king majuto..
Titus Fihavango
R.l.P majuto
Hahahahaha
only king majuto
Iko poa baba
kingwendu
Do u really tok about mchuzi
Mr Barwani. Nadhani wakati Mr Majuto amezungumzia baina mtu na ntu, mchuzi na nchuzi, hajakusudia Unguja, Pemba au Mombasa inawezekana kua ni mtani wa mtu anaezungumza hivo, lakini wako wanao tamka hivo katika moja ya sehemu nilizo tamka hapo juu. Na usimsigizie kwamba kasema uongo.
E xtra musi a
E xtra musi a
1