...WOW!!! Totally not what I Expected, yaan Mr Blue ndo anaadabu na heshima hivyo? Wewe ndo mfano wa kuigwa kwakweli. Nice one Blue, mungu akujalie mbeleni. Kwa akili hiyo na utulivu huo, huwezi kushindwa maishani. Nice Interview Salama.
nikweri mdogo wangu blu unga ni starehe ya matajiri sisi masikini bangi ndio hiwe starehe ya mwisho sasa umekuwa mkubwa na una mtoto pia. cha muhimu kuangaria familia na kujari kazi yako marafiki wapo kazi yao ni mbili 1 kukuharibia ,2 kukusaidia. hakiri kimkishwa man
Tozi wa kwanza na wa pekee TZ wengine wote wanaiga tu. Tozi aliekubali harakati za mtaa na mtaa unamuelewa hadi kesho. Show nzuri
Mr. Blue is smart n humble interview imekuwa fresh. Siku mkimleta Mr. Nice nawapa 100%
dah sijawahi kucoment ila kwa kweli huyu jaamaa anajibu maswali kiukweli aiseee haogopi yaaan mpaka sitamani iishe big up mr bluu
gff .
dah byser keep it up ma favorite artist
cuuuuuuute. big up mr blue. true bongo flava legend
the show was very nice....Nice interview Mr Blue.....Kip it Up!!
Apprct blue hana makuu,mjanja swagaz sanaaaa he is gud
2025 still watching🔥🔥🔥🔥
...WOW!!! Totally not what I Expected, yaan Mr Blue ndo anaadabu na heshima hivyo? Wewe ndo mfano wa kuigwa kwakweli. Nice one Blue, mungu akujalie mbeleni. Kwa akili hiyo na utulivu huo, huwezi kushindwa maishani. Nice Interview Salama.
Nimekupenda zaidi Baisah yani upo zaidi ya nilivyokufikiria
Big up sana kijana wangu...umetishaaaaaaaaaa
respect kwa Blue. nice one bro.
Ktk wasanii nao wakubali mr blue nakuelewa sana
ukirudi shule tena kiduchu itakua safi saaaaaaaaana.nice interview
I cant say enough about how i love salama.. Hebu niite interview
2023 uyu ni salama😂
Dah,Blue kilio n gate husahaau? karibu tn Dubai '''Nice Interview Mkasi''
I respect tha dude...He's a real Gentleman
safy sana mr kiss the lady unatisha kma ukoma
U deserve bro...keepit up
uyo jamaa namkubali sana
Sana ata mimi pia
Atiiiiii niniiiiii @Salamajabiiiirrrr
blue interview was awesome, hana papara mtulivu na open
nikweri mdogo wangu blu unga ni starehe ya matajiri sisi masikini bangi ndio hiwe starehe ya mwisho sasa umekuwa mkubwa na una mtoto pia. cha muhimu kuangaria familia na kujari kazi yako marafiki wapo kazi yao ni mbili 1 kukuharibia ,2 kukusaidia. hakiri kimkishwa man
Nice interview..@baisah
Tunamtaka LANGA hapa mkasini.
good luck bro!
nampenda sana
Blue umekuwa.......unaongea points tupu, big up
Salama hichi kipindi vp sikuizi hakipo au ati nini
Dogo Dubai sio Ulaya. Ulaya ni uerope,
Dubai ni uarabuni.
salam mubah na john muko sawa kabisa lakini munachelewesha kupload new videos
said issa blue umenitia aib dubai sio ulaya
2020
duuh!!! Blue kawa mkubwaaaaaaaaa...lol
wow nice
cool guy
good show
aaaah i love mr bluuue
Babilon bizzy micharazo classic
TUNA HITAJI MAUSIANO YA MKASI NA MR.NIE PLEASE
jaman me naombeni niulize swal moja tu......je hichi kipindi cha mkasi huwa inawalipa hawa wasanii wanaokuja kwa interview?
Jibu ushalipata au bado?
@@emmanuelbongo5754 atakua badoo 😂😂😂
blue long time apo ulikuwa umechoka kidogo
Apana
NA MAANISHA MR. NICE
salama mshamba tyu
Huyu dogo mbona amekonda sana?
100%
baisa
rudi tena dubai
mohammed